Crazy Baby Mamas in Kenya!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 32

  • @ramonperroni7926
    @ramonperroni7926 22 часа назад +3

    Streets ni byaad😂😂😂...Stay woke fellas!!

  • @NutritiousBites-Healthylife
    @NutritiousBites-Healthylife 22 часа назад +2

    Nakutambua BBO 🤌🤌

  • @alpha11597
    @alpha11597 День назад +11

    the other side of green grass ni vumbi

  • @kimanijonez5404
    @kimanijonez5404 23 часа назад +4

    very true i also can relate. buda uskii kuna dem flani najua ako 29 na ni bm ya mtu na bado uyu dem anaprefer kuishi na mama yake just because anadai kufanya vile anadai na life yake. akona mtoi lakini dem ni mtu LAZY AF. uyo bxtch alikua ameforce mechi na mimi lakini nilimkataa kabisaa alinijamia ever since. mimi nilijua kitu nitaface in future if at all ningemkula. uyo dem huwa hadai job yoyote anatakanga kukaa tu na kudinywa maboiz wa young ili ndio awakamue ile wakonayo ama wamewachiwa. also the last two guys who betrayed me were raised by single mums, sai sidai umorio na watu wako raised like them ama dem amelelewa na single mum IDGAF kama hao ndio wamebaki hii dunia they should keep their distance.

    • @thechampion6397
      @thechampion6397 12 часов назад

      Noma bro ulimake good decision 😀,most of them wako wanataka tu pesa ya bure

    • @menyaristictv.1208
      @menyaristictv.1208 6 часов назад +1

      In other cases sio ati mtu huchoose kulelewa by single parenting

  • @KremaJohn
    @KremaJohn 2 часа назад

    Real talk big bad ogre continue with that kind spirit ,wengine wetu we through your lessons

  • @stanleyk2857
    @stanleyk2857 9 часов назад

    Wewe Ogre, unanipea stori nikiwa job. Nitakupiga viboko 😂😂😂

  • @Coachbill254
    @Coachbill254 19 часов назад +3

    The baby momma probably needed the money instead of snack.

  • @KaterkimaKinsman
    @KaterkimaKinsman 22 часа назад +3

    kenya tunafaa tuweke law yenye kama mother ya mtoi ndo ameitisha divorce ye ndo ata take care of mtoi and vice versa.........kama huwezi lea mtoi bila dooh ya bwanako either umwachie ama usare divorce💯💯😎

  • @richardodong8695
    @richardodong8695 День назад +6

    Apa issue ata si snack's issue ni vile akutuma doo so instead alidelay na akapeleka snacks 🥨 me I'm sure kama baby daddy angetuma doo baby mama can't send back the money 💰 💰 nowadays this shi#t is just a business
    Mimi ikifika apa heri nipige dead beat sasa!!!

  • @Coachbill254
    @Coachbill254 20 часов назад +1

    I feel and share his pain.
    Ladies nikama huambukizana tutabia na Bluetooth.
    I got my money reversed since it was late and since then I swore to turn my back, mtoto atanitafuta akinihitaji.

  • @angangaus
    @angangaus 15 часов назад

    😂😂😂😂

  • @frimmbits
    @frimmbits День назад +8

    Kama hauna pesa wacha nyege. Nguvu zako peleka mjengo

    • @omwami360
      @omwami360 15 часов назад

      Ngono inafanywa na watu wawili

  • @johnestheurie3870
    @johnestheurie3870 День назад

    Tunaenda wapi

  • @JOZZELKENYA-1
    @JOZZELKENYA-1 День назад

    Tutapanga tumeet,let me recover first

  • @menyaristictv.1208
    @menyaristictv.1208 6 часов назад

    Golddigers n bums are for real

  • @paulwahome2956
    @paulwahome2956 10 часов назад

    misleading information on the Kenyan judicial system in regards to custody and maintenance of children, you need to carry out more research.
    US judicial system is much more harsher on ex-husbands and baby daddies when it comes to matters regarding divorce and child maintenance.

  • @Coachbill254
    @Coachbill254 19 часов назад

    11:23 keep growing man

  • @Psychologicalofficial
    @Psychologicalofficial 9 часов назад

    ruclips.net/video/Fl7edrg6iMU/видео.htmlsi=rgB9x5x3E5orT4MB

  • @mawaristic
    @mawaristic День назад +2

    Like breezy said, that grass ain't greener on the other side
    ruclips.net/video/8z9IVNNYRFo/видео.htmlsi=jFT7EuY9EI2HyPBY