WAJIBU WANNGU - Timotheo D. Chimosa || KWAYA YA MT. AUGUSTINE - VIWAWA- PAROKIA YA GITTIG || MANYARA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2024

Комментарии • 86

  • @FeliJuma-yk6jj
    @FeliJuma-yk6jj Год назад +1

    Hongeren Wana Jimbo la mbulu inapendezaa❤❤❤❤

  • @EmanuelMargwe-fd3nj
    @EmanuelMargwe-fd3nj 6 месяцев назад

    Mungu awabariki sana kwa kazi nzurii nawapenda❤❤❤ waimbajii

  • @daimonmwamakula
    @daimonmwamakula 9 месяцев назад

    hongereni sana jamn mmependeza sana ndugu zangu❤🙏🙏🙏

  • @priscaabias4130
    @priscaabias4130 Год назад

    Mwimbo nzuri Sana ❤

  • @vincentkyaloofficial5998
    @vincentkyaloofficial5998 Год назад

    Hongereni Sana kazi Safi Zaidi producer good job

  • @JeromeSamweli-cx5pp
    @JeromeSamweli-cx5pp Год назад

    Hongereni wimbo Mzury San

  • @VictorMenilady
    @VictorMenilady 4 месяца назад

    Amina Mbarikiwe waimbaji Kwa kazi nzuri

  • @domisiandominik555
    @domisiandominik555 Год назад +1

    Hongereni Sana hakika mmeimba vizuri Sana.

  • @RaphaelSaetwa-c5q
    @RaphaelSaetwa-c5q Месяц назад

    Amen amen Mungu yu pamoja nanyi ndug zang nyimb nzur mpak inaniongezea uzima ndan mwang

  • @albinlai9366
    @albinlai9366 Год назад +1

    Hongereni kwa kutuletea wimbo mzr

  • @ChristinaMhowera-jp8xv
    @ChristinaMhowera-jp8xv Год назад

    Mko vizuri kuimba Raha sana

  • @Anna-yp2rg
    @Anna-yp2rg Год назад +3

    Hongereni sana somo wenu anasema kuimba ni kusali mara mbili roho mtakatifu awaongoze ili mzidi kufika mbali 🙏

  • @MerryNkwaje
    @MerryNkwaje 11 месяцев назад +1

    Mbarikiwe sanakwauinjilisha kwa njiaya nyimbo.....

  • @Jean-PierreKwisekaharerimana
    @Jean-PierreKwisekaharerimana Год назад +1

    Asante sana Mungu awatiye nguvu n'a uwezo , mudumu mille .

  • @maxminobarabojick5248
    @maxminobarabojick5248 Год назад

    Kazi nzuri sana viwawa, Mungu azidi kuwainua na mzidi kumtumikia kwa vipawa alivyowajalia,

  • @oninaalay7167
    @oninaalay7167 Год назад

    Hongeni Jimbo katoliki la mbulu nawapenda sana ndugu zangu w gitting

  • @RomwaldGabriel
    @RomwaldGabriel Год назад

    Mungu awabariki Kaka zangu na dada zangu nami Ni mwanaparokia ya gitting japo kwa sasa nipo mbali

  • @kaijageleonard7220
    @kaijageleonard7220 Год назад +1

    Mubalikwe kwa nyimbo nzuli nimebaliwa nyimbo i

  • @cesiliasulle8798
    @cesiliasulle8798 Год назад

    Parokia yangu. Mungu ametenda miujiza. Mbarikiwe sana

  • @johnissaay460
    @johnissaay460 Год назад +2

    Hongera sana kw vijana wetu kuinjilisha kw njia hii ya kuimba.. Mungu atukuzwe daima..

  • @Aloycejr-sk4yg
    @Aloycejr-sk4yg Год назад +1

    Woooow nc song my youg brother God is blessing you

  • @Cletus-g9q
    @Cletus-g9q Год назад +1

    Mbarikiwe

  • @mathiashalle1064
    @mathiashalle1064 Год назад +3

    Hongera kwako Dr.T.Chimosa good! good nasema gooooooooood

    • @timotheodaudi2819
      @timotheodaudi2819 Год назад +1

      Amina mungu mwema ndugu yangu pamoja sana siwezi elezea furaha yangu juu ya tmutume huu na hatua hii zaidi ya asante kuu kwa Mungu nakwako ndugu yangu

    • @mathiashalle1064
      @mathiashalle1064 Год назад

      @@timotheodaudi2819 ucjal kaka anayejua kesho yetu ni Mungu Pekee tuombeane heri na baraka ktk utume

    • @timotheodaudi2819
      @timotheodaudi2819 Год назад

      Amina

    • @phinapaul4807
      @phinapaul4807 Год назад

      Hongereni sana ,kuimba ni kusali Mara mbili Mungu awatangulie

  • @paulinaqelesh3402
    @paulinaqelesh3402 Год назад

    Hongereni sana wapendwa endeleeni kuinjilisha kwa nyimbo

  • @MerckSweke-gk9up
    @MerckSweke-gk9up Год назад

    Eeh mungu wape uzima wako vizur

  • @priscaabias4130
    @priscaabias4130 Год назад +1

    Mbarikiwe wimbo mzuri

  • @dismasqawoga3142
    @dismasqawoga3142 Год назад +2

    Nzuri sana Kuimba ni kusali mara mbili Kama Mt Agutino alivyosema.

  • @PaskalinaDaudi
    @PaskalinaDaudi Год назад

    Ebwaana ee kumbe kwamungu ni raaha ivo namimi mme nishawishi hakika

  • @wenceslausjohn-sg5ni
    @wenceslausjohn-sg5ni Год назад

    Nawaomboni sana wanakwaya wote wa parokia zòte muimbe siku zote maana mnahubiri mara mbili na kutafakuri mema ambayo mungu anatukirimia tumsifu yesu keisto

  • @HB-ed3yx
    @HB-ed3yx Год назад +3

    Hongera Kwa wimbo mzuri,, hongera Kwa Mtunzi,, hongera waimbaji,, hongera studio hakika mmetenda vema mnoo

    • @timotheodaudi2819
      @timotheodaudi2819 Год назад +1

      Amina asante sana kwa neno lako Iwe ni kwa Sifa na Utukufu wa Mungu

  • @delphinajohn4556
    @delphinajohn4556 Год назад +1

    Hongeren sana hakika mnanipa raha Mungu azidi kuinua huduma yenu mmeimba vizur kwa kweli

    • @timotheodaudi2819
      @timotheodaudi2819 Год назад

      Amina Mungu ni mwema sana na rehema zake zijuu ya watumishi wake

  • @samuelmundia320
    @samuelmundia320 Год назад +2

    Kazi nzuri

  • @wilfredywilhelm1426
    @wilfredywilhelm1426 Год назад +1

    Like zenu kikumbo,... Naona mnaibua mapompolipo makali kabisa ya Mungu

  • @innocentqamnuwas5396
    @innocentqamnuwas5396 Год назад

    mungu nulowatsung'iii my homeland; mbarikiwe kazi nzuriii

  • @robertmasanja5565
    @robertmasanja5565 Год назад

    Safi sanaa

  • @yustinapaschal2421
    @yustinapaschal2421 Год назад +1

    Jamani nimeipenda hiyo kwaya

  • @adriansebastian6899
    @adriansebastian6899 Год назад +1

    Hongera sana vijana wa Gitting

    • @timotheodaudi2819
      @timotheodaudi2819 Год назад

      Amina yaani tunashukuru sana kiongozi kwa pongezi zako iwe ni kwa sifa na Utukufu wa Mungu

  • @michaelbaseke9894
    @michaelbaseke9894 Год назад +1

    Kwakweli sio Siri mnatisha Mungu awabariki mzidi kusonga mbele

  • @MeryRobert-u8m
    @MeryRobert-u8m Год назад

    mungu awabarik

  • @bitrinamange3753
    @bitrinamange3753 Год назад +1

    Mungu awabariki sana

  • @pepetuamarko2422
    @pepetuamarko2422 Год назад +1

    Nice

  • @sabinaemanuel7053
    @sabinaemanuel7053 Год назад +2

    Hongeran Sana kwa utume vijana wenzangu Mungu awatangulie

    • @timotheodaudi2819
      @timotheodaudi2819 Год назад +1

      Amina asante sana kwa sababu ya Pongezi zako dada iwe ni kwa sifa na utukufu wa Mungu Amina

  • @mathiashalle1064
    @mathiashalle1064 Год назад +6

    Waoooooooooooooooo!!!!!!!hongereni sana ndugu zangu kazi nzuri ukiona vya Elea vimeundwa Mungu awatie nguvu hakika Mmeweka historia ktk maisha yenu endeleeni kumtumikia Mungu Amina

    • @kikumbosound
      @kikumbosound  Год назад

      Hakika Mungu ni mwema

    • @kulwajiganza162
      @kulwajiganza162 Год назад

      Hongoreni sana Mungu atiye nguvu wito wenu wakutoa Injili Kwa njia ya Nyimbo

  • @delphinajohn4556
    @delphinajohn4556 Год назад +1

    Hongera kubwa kwa mwalm chimosa n studio kwa ujumla Kaz ni nzuri Mungu awainue

  • @gabriellambena9944
    @gabriellambena9944 Год назад

    Hongereni sana

  • @MaliusYohana
    @MaliusYohana Год назад +1

    Nice steps, this is cool 😎 and good, vijana wangu wa Gitting wanaogopa camera 📷 😀 but ni nzuriiii

  • @evobayo.5558
    @evobayo.5558 Год назад +1

    Pendeza xn ndugu zangu

  • @ajingulemoses2279
    @ajingulemoses2279 Год назад +2

    Though I don't know the language very well and glad and praiseful of the melody

  • @matildasankason5719
    @matildasankason5719 Год назад +1

    Nice song💗💗

  • @mwanziambilo6620
    @mwanziambilo6620 Год назад +1

    Congrats may the almighty bless you all

  • @michaellagwen8198
    @michaellagwen8198 Год назад +1

    Keep it up this is on fire

  • @ElizabethSilayo-fr7sw
    @ElizabethSilayo-fr7sw Год назад

    🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @owigomusa8254
    @owigomusa8254 Год назад +1

    Nice song and powerful message in it, may God keep on blessing you

  • @NicodemusPeter-w3x
    @NicodemusPeter-w3x 4 месяца назад

    Dal

  • @MagdalenaBea-go3fg
    @MagdalenaBea-go3fg 6 месяцев назад

    Km kuna group la whatsapp niungeni jmn❤❤❤❤

  • @adolfinaandrea5234
    @adolfinaandrea5234 Год назад

    Asante🤣

    • @RestiGwandu
      @RestiGwandu Год назад

      Hongereni Sana hakika mnaniongezea siku God bless you!/ Mungu nutsuqi!

    • @jenivajacob7460
      @jenivajacob7460 Год назад

      Hongereni sana kazi nzuri mungu azidi kuwatia nguvu katika uinjilishaji mfanye zaidi nmefurah sana .

  • @NTAMBALAANDREWMUNZEBBE
    @NTAMBALAANDREWMUNZEBBE Год назад

    Pw

  • @SilivanaNimenya-kc9so
    @SilivanaNimenya-kc9so Год назад +1

    Hongereni sana