Magoli | Tanzania Bara 0-2 Kenya | Mapinduzi Cup 07/01/2025

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 янв 2025

Комментарии • 136

  • @sadahamad6158
    @sadahamad6158 2 дня назад +17

    Kenya oyeee 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤸🏽‍♀️🤸🏽‍♀️🤸🏽‍♀️

    • @mohamedsuleiman1222
      @mohamedsuleiman1222 2 дня назад +2

      💪💪💪🇰🇪

    • @gabrielnybala2165
      @gabrielnybala2165 2 дня назад +2

      Sada umenishinda sasa hadi huku upo 😂😂😂😂

    • @sadahamad6158
      @sadahamad6158 2 дня назад +2

      @@gabrielnybala2165 lastborn wapenda kuzunguka 🤣🤣🤣

    • @sadahamad6158
      @sadahamad6158 2 дня назад

      @@mohamedsuleiman1222 🇰🇪🇰🇪✌

    • @gabrielnybala2165
      @gabrielnybala2165 2 дня назад +2

      @@sadahamad6158 wewe ndio unazunguka sana unatafuta nini huku sasa

  • @noelalazarus8250
    @noelalazarus8250 2 дня назад +8

    Willy Paul 2- Diamond 0

  • @jamesemillion6530
    @jamesemillion6530 2 дня назад +5

    The match was between Tanzania Vs Kenya team B...Kenya hoyeeeeee🇰🇪🔥💪🏻😂

  • @iconifcOfficial
    @iconifcOfficial 2 дня назад +3

    😂😂🇰🇪 siku zote dah 🎊👏👏

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 2 дня назад +4

    Hivi Tanzania Bara wapo serious kweli mbona kila siku wanafungwa tuu

    • @yahyamajidyahyahilalal-har8762
      @yahyamajidyahyahilalal-har8762 2 дня назад

      Watoa utam 😂😂😂

    • @thirdsigntzofficial
      @thirdsigntzofficial 2 дня назад +1

      Quality ya wachezaji wanaocheza kwenye hii mapinduzi cup ni ndogo...wachezaji wenye high quality karibu wote wapo kwenye vilabu vyao wakipambania club zao kwenda robo finally ya caf championship na confederation!

    • @kifandenabil
      @kifandenabil 2 дня назад +2

      😂😂😂😂​@@thirdsigntzofficial

    • @thirdsigntzofficial
      @thirdsigntzofficial 2 дня назад

      @@kifandenabil au kaka nakosea hahahha...maana wangekuwepo akina mzinze na kibudenga magoli yangepatikana sasa akina ayubu lyanga na ngushi kweli unatarajia tupate magoli 😀

    • @kifandenabil
      @kifandenabil 2 дня назад +1

      @thirdsigntzofficial na hizo timu nyingine wameleta wachache tu ndo kama hao wakina AZIZ K hawapo.ila mpira ungechangamka sana vikosi vingekua vimetimia kama ulivosema broo

  • @aboodbawazir8338
    @aboodbawazir8338 День назад

    Au sio vzr hz jez za kili star sio za taifa star

  • @SaadHamudu
    @SaadHamudu 2 дня назад +1

    Ila metacha kwa kweli kiazi

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 2 дня назад +4

    Tanganyika imejaa utapeli hii timu iliyoenda visiwani ni ya kimchongo

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 2 дня назад

      😂😂😂😂 acha watu wajisifu bana ,tumefungwa

  • @jumajames1767
    @jumajames1767 2 дня назад +3

    Tanzania ni bibi zetu siku zote

  • @eddyabel4099
    @eddyabel4099 2 дня назад +3

    Watanzania wamenyamazishwa

  • @KhamisOmar-kt4kz
    @KhamisOmar-kt4kz 2 дня назад +4

    Mbona Tz bara wamelegea mnoo kama sio.wanaume bhana

  • @AbdalaBlackford-xl7by
    @AbdalaBlackford-xl7by 2 дня назад +2

    Kwani ikiitwa Tanganyika star kuna tatizo?

    • @eddyabel4099
      @eddyabel4099 2 дня назад

      @@AbdalaBlackford-xl7by sasa kwa kuwa kenya tanzania na uganda wataandaa mchuonao wa afcon 2027, tanzania wakichezea nyanja za bara na zanzibar, hivi watanganyika watakuwa na timu mbili za nyumbani ama vipi

  • @ramadhanmusa2878
    @ramadhanmusa2878 2 дня назад +2

    Kawaida Tanzania hua ni chakula Cha KENYA

  • @AllyIssaally-j4o
    @AllyIssaally-j4o 2 дня назад +2

    Awa wakenya au simbo

  • @joshuakisanga9614
    @joshuakisanga9614 2 дня назад +2

    Hii ndio picha halisi ya juudi za serikali ktk kukuza mpira wa ndani hasa kwa vijana

  • @TradeIQ_Profits
    @TradeIQ_Profits 2 дня назад +1

    Majirani ata Kandanda iliwashinda kabisa...sasa mna faida gani hii dunia!!

  • @IliruJunior
    @IliruJunior 2 дня назад +5

    Hakuna kitu nachukia kwenye timu ya taifa km kufungwa na Kenya, mara mia tufungwe na timu zote lkn Sio Kenya, na kwani timu zetu zinafungwa sana na WA Kenya wenye mamlaka ya soka waliangalie hili Kuna kitu tunakosea kucheza na WA Kenya Sio timu za taifa mpaka klabu wakenya wanatufunga sana hatupendi na mmetukosea sana

    • @4806lency
      @4806lency 2 дня назад

      Sasa unataka kulia 😢

    • @mohamedsuleiman1222
      @mohamedsuleiman1222 2 дня назад

      Shhhhhh..tuliababa always🇰🇪

    • @IliruJunior
      @IliruJunior 2 дня назад

      @@4806lency amna ila wamenikere kwann kila siku sis tunafungwa na wakenya

    • @IliruJunior
      @IliruJunior 2 дня назад

      @@mohamedsuleiman1222 Aya baba natulia 😂

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 2 дня назад

      Wewe hapo unaona Kuna wachezaji wa kuwafunga Kenya ?

  • @MrBrown-ys8ui
    @MrBrown-ys8ui 2 дня назад +4

    Tanzania hatutarudia kuwaambia tena🤣🤣🤣kenya sio rika yenuu bana

  • @majidabdul-wg8ww
    @majidabdul-wg8ww 19 часов назад

    Kenya U23 pia imewashenyenta

  • @nshaijatedy5512
    @nshaijatedy5512 2 дня назад +2

    Alf nyie mtake kucheza team ya taifa shuuuúu!!

  • @AliOchu
    @AliOchu 2 дня назад +2

    Tuheshimiane hio sio tanzania ni tananyikaa

    • @mohamedsuleiman1222
      @mohamedsuleiman1222 2 дня назад

      😂😂😂😂..Leo mwagombana tena mgelikua mumefunga 🇰🇪 mungefurahi nyote lkn mumefunga ndio mwapiga nduru always🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @rodwave377
    @rodwave377 2 дня назад +2

    hio ni Tanganyika vs kenya😅

  • @eunicecharles612
    @eunicecharles612 2 дня назад +3

    Tanzania njooni mchukue hata mwinyi haji huku mtaani kwetu jmn hana kaz ya kufanya😂😂😂😂

  • @tishomkatoliki
    @tishomkatoliki 2 дня назад +5

    Niwatahadharisha nyie hamkusikia.Shida yenu ni kukuza wachezaji wa nchi akina Azizi K kipinda mnatelekeza wa ndani. Kenya wana wachezaji wa ndani nyinyi kueni tu na viwanja vizuri na Wachezaji wa nje kwenye ligi. Haya basi leta akina Mwajaku acheze false 9,mbosso beki wa panda na kushuka na Zuchu beki kisiki.Mtashinda🤣

  • @LeylaSaria
    @LeylaSaria 2 дня назад +1

    Hila metacha 😂😂yeye mwenyew anasema aha acha wafunge bn😂

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 2 дня назад +2

    Tanzania bara ndio nini semeni Tanganyika mbona hamsem Tanzania visiwani?

  • @johnaviha2441
    @johnaviha2441 2 дня назад

    Kenya imeishinda Tanzania tangu siku siku za gossage cup mpaka sasa.Tanzania huwa rahisi saana kwa Kenya.

    • @NgasaMaduhu
      @NgasaMaduhu День назад

      Hii sio taifa stars ni kilimanjaro stars kuna wachezaji wa first eleven wengi tu hawapo

  • @PevukaTV
    @PevukaTV 2 дня назад +1

    Majirani mpendane

  • @humudalhashmiy1761
    @humudalhashmiy1761 2 дня назад +1

    Uwanja wa wapi huu Mbona Mzuri Sanaaa

  • @HusseinHussein-f7n
    @HusseinHussein-f7n 2 дня назад +2

    iyo ndo tanzania hili taifa halifai Ata kucheza mpira

    • @texenthepro9149
      @texenthepro9149 2 дня назад

      😂😂Tutakutana CHAN au AFCON🤣🤣🤣

    • @mohamedsuleiman1222
      @mohamedsuleiman1222 2 дня назад

      Hivi wangefunga Kenya ungesema ivyo kumbe Amna uzalendo wowote ..😅😅😅😅 ...💪🇰🇪

    • @mohamedsuleiman1222
      @mohamedsuleiman1222 2 дня назад

      Uzima in shaa Allah tutakuja kupimana ugali

    • @Khalid-mf3iu
      @Khalid-mf3iu 2 дня назад

      Uwanda wa Pemba

  • @Hamil-ud7yw
    @Hamil-ud7yw 2 дня назад +1

    Matwana kalimeni uko mpra kipji nynyi mwafoc t

  • @alitante4279
    @alitante4279 2 дня назад +1

    Tanzania bara ndio watoa utam wa ligii 😂😂😂

  • @mustamimmushajara8992
    @mustamimmushajara8992 2 дня назад +1

    Utasema hawashibi 😂😂😂😂

  • @salim_Mt
    @salim_Mt 2 дня назад +1

    Majirani sjui watajificha wapi this time 😂

  • @joshateka1396
    @joshateka1396 2 дня назад +1

    Hawa watanzania ni wake(wife) zetu.

  • @CJ-vd9wn
    @CJ-vd9wn 2 дня назад +1

    Bora kufungwa na man u kuliko kenya😂😂😂

  • @jeffchurum1431
    @jeffchurum1431 2 дня назад +1

    Nikama tu kuzima kelele ya mbu.

  • @EGM-TZ
    @EGM-TZ 2 дня назад

    From #EconomicallyGrowthMusicians nyie kenya hii ndo timu Full Mkoko hadi Wafungaji Bora wako humo mnashindwa kuwapiga akina Metecha hata 5😂😂😂 bado mnasafari ndefu😂😂 any chance Congratulations. Enjoy Muziki Mzuri kutoka EGM

    • @emmakicham4664
      @emmakicham4664 2 дня назад +2

      Economic growth gani😂😂😂😂kubali kushindwa 😂😂😂mdomo ndo mko nayo mob na kwa ground akuna kitu bro😂😂😂😂😂😂

    • @EGM-TZ
      @EGM-TZ 2 дня назад

      @emmakicham4664 😁😁😅 hicho ni kikosi B 🏃‍♂️ tena Metacha tutawapa Kenya kwa Mkopo 😆 😂

    • @mohamedsuleiman1222
      @mohamedsuleiman1222 2 дня назад

      @@EGM-TZ oe asie kubali kushindwa si what? Always 🇰🇪 🇰🇪🤓

    • @EGM-TZ
      @EGM-TZ 2 дня назад +1

      @emmakicham4664 acha tuimbe Muziki tu Kaka, karibu kwa Support yako kwetu

    • @EGM-TZ
      @EGM-TZ 2 дня назад

      @mohamedsuleiman1222 tukutane Chan Kaka 😄 Enjoy tu Muziki toka EGM

  • @mwanaloyarproduction
    @mwanaloyarproduction 2 дня назад +3

    Tanzania is nothing for football, why our country Tanzania doesn't win the match

    • @LovenessSimon-r9j
      @LovenessSimon-r9j 2 дня назад

      Angalia kikosi kilichopangwa sio kile Cha taifa stars

    • @gilbertwanje
      @gilbertwanje 2 дня назад +1

      Hata kikosi cha Kenya sio chenyewe, wengi wao wanachezea nje ya Kenya

    • @frida-oi6kw
      @frida-oi6kw 2 дня назад

      We una matatizo....kwani kenya na Tz wapi wako mbele kimpira...utachekwa.....Tz ni ligi namba 6 kwa ubora africa remember that...

    • @mohamedsuleiman1222
      @mohamedsuleiman1222 2 дня назад

      ​@@frida-oi6kw Acha kubweka wewe kubavako always🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 2 дня назад

      Kusema kweli tuko mbele yao kabisa, hiyo mechi 1 Wala halihalalishi wao kuwa mbele yetu

  • @samwelingasa1638
    @samwelingasa1638 2 дня назад

    Tanzania ni Simba na yanga bas

  • @yahyakabaila
    @yahyakabaila День назад +1

    Tanzania ama Tanzania bara 😂😂😂😂. Kwani kuna Tanzania ngapi ?

  • @MeshackLigate
    @MeshackLigate 2 дня назад +1

    Metacha metacha wew sio kipa huna lolote

    • @abbasihamidu9509
      @abbasihamidu9509 2 дня назад

      @@MeshackLigate upendeleo,rushwa na ubabaishaji watukwamisha vijana watapata nafasi lini!hatujifunzi kwa wenzetu..

    • @YohanaPaul-t1w
      @YohanaPaul-t1w 2 дня назад

      Harafu kwenye mechi za simba na yanga anajifanya anajua kudaka kumbe hakuna lolote🥺

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 2 дня назад +1

    Sema Tanganyika bhn,, Tanzania bara sio wabovu kiasi hiki😂😂

  • @SuleimanJuma-dv8gt
    @SuleimanJuma-dv8gt 2 дня назад +1

    Alafu hapo kwa Kenya. Ile cream team hakuna hata mchezaji mmoja. Hao wote ni Kenya B Kenya A bado. Weeii😂.

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 2 дня назад

      Cream ya Tz wako Simba na yanga mashindano ya CAF pia

    • @NgasaMaduhu
      @NgasaMaduhu День назад

      Taifa stars sasa hivi haiwezi kufungwa na kenya hii mlicheza nayo ni kili stars

  • @MshamAli-o4e
    @MshamAli-o4e 2 дня назад

    Hawa watanganyika wasijiite watanzania mbona wanaposherekea sherehe zao za uru wa tanganyika hawasemi uhuru wa Tanzania bara nyinyi watanganyika mjiite

  • @yahyakabaila
    @yahyakabaila День назад

    Tanganyika alafu eti wanasema Tanzania bara hata sielewi kwani kuna Tanzania ngapi

  • @Purity-j5j
    @Purity-j5j 2 дня назад

    😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅aty oohhh wamebaki na english yao sai nataka hixo comment😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @BenjaminMasudi-b2y
    @BenjaminMasudi-b2y 2 дня назад +1

    Kumbe wanacheza mpira kwa mdomo tu. Wanajisifia viwanja kumbe kucheza hawajui. Go back to the drawing board!!

  • @franccoz94
    @franccoz94 2 дня назад +1

    Hamna WACHEZAJI humoo,ni UTOPOLO mtupu

  • @OthmanMwela
    @OthmanMwela 2 дня назад

    Jamvi lawageni tanganyika

  • @JacobNcheye-po3it
    @JacobNcheye-po3it 2 дня назад

    Tz hakuna kipa zaidi ya Manula

    • @abbasihamidu9509
      @abbasihamidu9509 2 дня назад +1

      tukuze vipaji manula ameezeeka mpira sio kukalili

  • @chacha-255
    @chacha-255 2 дня назад +1

    Watanzania hawana muda na timu ya Taifa, hata ikifungwa 10 sawa tu, timu zinazopendwa ni Simba na Yanga

    • @mohamedsuleiman1222
      @mohamedsuleiman1222 2 дня назад +1

      Alafu mwasema mwapendana maneno kama hayo hivi kweli mwapendana..😅😅😅

    • @abbasihamidu9509
      @abbasihamidu9509 2 дня назад

      @@mohamedsuleiman1222 hatuwezi piga hatua siasa za ccm zinatuangusha

  • @IbrahimMohamed-c3c
    @IbrahimMohamed-c3c 2 дня назад +2

    Ila goli la pili ni clear offside 🇹🇿

    • @nostaarts5990
      @nostaarts5990 2 дня назад +3

      We fuatilia tu wife wa P Diddy diamond achana na football 😂

    • @eldios831
      @eldios831 2 дня назад +1

      Macho yako chongo😂😂😂😂😂

  • @johnaviha2441
    @johnaviha2441 2 дня назад

    They talk too much,may be these will shut them up.

  • @HvhVvb-k3i
    @HvhVvb-k3i 2 дня назад

    😂😂majukwaa kwanini hayaja jaa ? Bila ya shaka wapemba wameikomesha hii kw7bu ya mauwaji ya raiya kutoka amri za bara

  • @yusufuosman8966
    @yusufuosman8966 2 дня назад

    Nyinyi unaotuakilisha muwe kidogo seriously mnacheza kama mnalzimisha yaan mhana hata uchungu...

  • @felixmakinda7689
    @felixmakinda7689 2 дня назад +4

    Shida ya Kenya 🇰🇪 ni kwamba soka ni mchezo wa Upinzani. Serikali zote huwa haziwekezi kwenye soka inavyostahili. Siku serikali itaanza kuchukulia mchezo huo kwa uzito, Kenya itafika mbali. Uraisi wa Raila Odinga ungeifaa sana soka ya Kenya. Raila ni shabiki mkubwa wa mchezo na wachezaji karibu wote wa timu ya taifa wanatoka kwenye ngome yake kisiasa.

    • @mainakihurusia6380
      @mainakihurusia6380 2 дня назад +1

      Aaaiii c angekua amejenga au ana sponsored clubs uku Kenya Acha zako weuwe.....Kwa sai I think president ameeka michezo zote za kenya mbele....sai stadium ngapi zinaundwa Kwa kila county...Mingi mingi sanah then gorvemnt project Kwa sports sai iko sawa sanah.... president anajenga Talanta stadium on wich it was history that since 2013 kila mtu akuwai jua Ka kuna stadium itawai Jengwa Kenya ....tenah ni stadium ya kisasa....then Kwa mwaka kumi najua atajenga stadium moja kubwa Rift valley au Nairobi ya wanariatha....I am sure 100%

    • @Claris-b7z
      @Claris-b7z 2 дня назад

      Wewe hujui kitu unaongea

    • @felixmakinda7689
      @felixmakinda7689 2 дня назад +1

      @@mainakihurusia6380 Patron wa Gor Mahia ni nani? Hizo zote zinajengwa kuiba pesa za umma. Kila County ina uwanja ati International Stadium na Kenya hatuna hata uwanja mmoja wa kuandaa mechi za CAF na FIFA. Mara ngapi wewe umeona hata timu ya taifa inakosa ndege ya kusafiria na hoteli za kukaa. Hivi wewe umeona tofauti ya Tanzania na Kenya kimpira? Halafu Ligi ya Kenya wewe unashabikia timu gani? Tulienda kwenu Murang'a St. Sebastian Park, mashabiki takriban 20,000 tukitokea Nyanza na Nairobi lakini watu wa kwenu walilipwa kuja uwanjani na hawangefika hata 1000.

    • @felixmakinda7689
      @felixmakinda7689 2 дня назад +1

      @@Claris-b7z wewe hata unajua mpira wa Kenya ni nini?

    • @Claris-b7z
      @Claris-b7z 2 дня назад +1

      @@felixmakinda7689 kwani nowadays mpira ya Kenya inachezwa na kichwa Yako ama🙄

  • @muonlinetv1879
    @muonlinetv1879 2 дня назад

    Kenya ni wajinga sana mbona hawakucheza Ivo wakati wa Afcon qualifiers

  • @SalumJumaSalum-d9e
    @SalumJumaSalum-d9e 2 дня назад +1

    Kiukweli Tz bado tunakikosi kizuri Kwa CHAN imagine: Manula, Kapombe, Zimbwe Jr, Dickson job/Baka, Hamza, Kagoma/Bitegeko, Mudathir, Feisal, Kibu, Idd Naldo, Mzize.....hapo chache Ni 2-0 Kwa mpinzani..

    • @nshaijatedy5512
      @nshaijatedy5512 2 дня назад +1

      Ao wameziilisha kua wasiitwe Tim ya taifa akuna kitu

  • @JNRWANDA
    @JNRWANDA 2 дня назад

    ruclips.net/video/yRAnlY_pPvM/видео.htmlsi=-6hogHtOpjyX_Qwp