Tanzania Bara 0-2 Burkina Faso | Highlights | Mapinduzi Cup 09/01/2025

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 янв 2025

Комментарии • 42

  • @iconifcOfficial
    @iconifcOfficial 15 дней назад +8

    Wa kwanza tokea Kenya. Leo sina maneno. Nangoja tu Kasarani stadium imaliziwe timu tunao

  • @FBIAbduking
    @FBIAbduking 15 дней назад +2

    Me is first to coment

  • @GodlistenMaro
    @GodlistenMaro 15 дней назад +2

    Safar ijayo waandaaji wa haya mashindano hawataita tena team za taifa maan ni fedheha hii

  • @ShukruMakoko
    @ShukruMakoko 14 дней назад +1

    Tumekubali bila simba yanga niutumbo tu

  • @Ngolo1905
    @Ngolo1905 15 дней назад

    The 1st goal was offside, there's aplayer blocking goalkeepers view who was way off..

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 14 дней назад +2

    Halafu unasikia mjinga mmoja kwa sababu ya wivu na tamaa anakuambia TFF itunge sheria ya kupunguza wachezaji wa kigeni kwenye Timu zetu. Eti hawana tofauti wanachukua pesa nyingi bila sababu. Na wachezaji wenyewe wanaoongelewa ndio hawa sasa.

    • @IbrahimOuta-q7g
      @IbrahimOuta-q7g 14 дней назад

      Labda hawapewi nafasi kwa timu zao ni wageni tu ndio hucheza.

    • @PedroMalisa
      @PedroMalisa 14 дней назад

      Uko sawa chief

    • @josephjohn2114
      @josephjohn2114 14 дней назад

      @@IbrahimOuta-q7gsasa unapewaje nafasi ya kucheza wakat una kiwango cha chini kama hawa Tanganyika bara. Ona wamefungwa mechi zote.

  • @blacksignaturevisuals694
    @blacksignaturevisuals694 14 дней назад +1

    Simba na Yanga wamejaza wachezaji wa nje...waachie watanzania wenyewe uone maajabu.

  • @simonmmbaga678
    @simonmmbaga678 14 дней назад +1

    Uchaguzi wa wachezaji tu ulionyesha hatufiki mbali wachezaji wengi toka timu moja dhaifu kocha Hana exposure kwa kweli hata hapo wamejitahidi

    • @eddyabel4099
      @eddyabel4099 14 дней назад

      Shauri zenu watanzania. Sisi tunaongea kiswakinge au kiswahili na kiingereza tukicheza mpira mzuri

  • @musazain6183
    @musazain6183 14 дней назад

    😮😮Tanganyika 0-2 Bukina😅😅

  • @AbdullahKhamis-q8k
    @AbdullahKhamis-q8k 15 дней назад

    Naomba Wimborne wataifa wa Tanganyika jamani na c watanzania

  • @abuu-hx3ru
    @abuu-hx3ru 15 дней назад

    Hii timu inatia aibu Kwa kweli wachezaji wapo wa maana tu lakin duuuh hawaitwi wakat lig imesimama 😢😢😢😢😢

  • @tauredtv99
    @tauredtv99 14 дней назад +1

    Tanzania hata goli moja hamuwezifunga kwa mechi tatu?😂😂😂Kila kitu mmeshindwa.

  • @godfreysituma7207
    @godfreysituma7207 15 дней назад +1

    Huyo goalkeeper wa tz ni kama wachimba makaburi

  • @AlliMohamed-q2y
    @AlliMohamed-q2y 15 дней назад +1

    Tumechoka sana Tanzania 😂😂

  • @josephminja7953
    @josephminja7953 15 дней назад +1

    Skufichi hii timu nimbovu mno

  • @IbrahimOuta-q7g
    @IbrahimOuta-q7g 14 дней назад

    Mmejaza wachezaji wa kigeni kwa ligi yenu mka sahau wa nyumbani ,ndio maama mwafungwa

  • @amosdickson6318
    @amosdickson6318 15 дней назад

    Kwanini isiitwe Tanganyika tu maana tunacjoshana sana.
    Wengine wazanzibar wengine tz bara vs zanzibar

  • @thehustlerafrica
    @thehustlerafrica 15 дней назад +1

    This is not Tanzania going to play on Chan

  • @Grataaaaa
    @Grataaaaa 15 дней назад +1

    iyo ndo tanganyika

  • @franccoz94
    @franccoz94 15 дней назад

    Hii ni Tanganyika stars sio Tanzania bara

  • @nesbitmiriti4366
    @nesbitmiriti4366 14 дней назад

    Majirani poleni 0 goal,0 point,😂😂😂😂😂.

  • @joachimluhamo3042
    @joachimluhamo3042 15 дней назад

    Azamu kwenye hihlith mnazingua sana mechi nyingine hamuweki kwanini

  • @MercyNyaga-y5h
    @MercyNyaga-y5h 14 дней назад

    Jirani poleni akii,haya ndo maumivu tuyopata kwa kutofuzu afcon na mkatuchongoa sana😂😂😂...

  • @samirsaidi8386
    @samirsaidi8386 15 дней назад +1

    Mmepata nafas pasipo wachezaj wa simba na yanga bado mmetuangusha sasa nyie mnataka nafas ipi kuku nyie

  • @AbdallahJuma-wb8lq
    @AbdallahJuma-wb8lq 15 дней назад

    Tanganyika hamna mnachokiwrza labda kulima tumbaku

  • @HassanRamadhanPashua
    @HassanRamadhanPashua 15 дней назад +1

    Ndio imetoka tyri mechi zote umefungwa

  • @majidabdul-wg8ww
    @majidabdul-wg8ww 15 дней назад

    Tanganyika vibonde wa kundi 😂😂🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪

  • @thirdsigntzofficial
    @thirdsigntzofficial 15 дней назад

    Tuwekeze kwenye academy za mpira wa miguu tuache kamdomo!

  • @OthmanMwela
    @OthmanMwela 15 дней назад

    Gar lapoint ilo

  • @bin-wales
    @bin-wales 15 дней назад

    😂😂😂😂

  • @christopherkimea8514
    @christopherkimea8514 14 дней назад

    Shda

  • @AbdullahKhamis-q8k
    @AbdullahKhamis-q8k 15 дней назад

    Hawa watanganyika bila wazanzibar hawawezi kuendelea kwa lolote one hapa wamekuwa vibonde

    • @SuleimaniabdelehmaniChitanda
      @SuleimaniabdelehmaniChitanda 15 дней назад

      Kuwa na akili brother Tanganyika wachezaj wengi wapo kwenye club zao acha ujinga wew MLA urojo Sasa nyinyi mutafika mbona munapigwa tu

    • @mohdhaji550
      @mohdhaji550 14 дней назад +1

      Nyinyi vichogo hamna lolote ati club bingwa kupigwa kupigwa tuu maana hao wanaocheza sio vichogo ni mapumbu​@@SuleimaniabdelehmaniChitanda