WIMBO mpya wa MAGUFULI CHUMA kutoka kwa Mkongomani FABRICE KULIALIA (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 ноя 2024

Комментарии • 251

  • @ibba8082
    @ibba8082 5 лет назад +64

    Wa Lweba Fizi D R Congo,Ukweli Husemwa Jameni JPJM (JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI)Nichuma kweli kweli,Afrika yote Ukiwa Mwana Mahendeleo na Mpenda Mageuzi lazima Umpende JPJM kwa Usubutu wake Licha ya kuwa Binadamu kweli ni Jembe.Swala la Wafungwa Hewa bado Hujanikuna Sawa sawa

  • @teddyoscar6876
    @teddyoscar6876 5 лет назад +131

    Wimbo mzuri hatari, Maguful oyeeee hebu bandugu nipeni like za Magufuli hapa 🤸‍♀️🤸‍♀️

  • @leonardmrope9528
    @leonardmrope9528 5 лет назад +38

    Oyooooooooh,,,,Sisi tunaemulewa Rais wetu,,,like apo,,,

  • @miltonstephano3246
    @miltonstephano3246 5 лет назад +77

    Good song, Kama umerudia kuangalia zaidi ya x2 kama mimi gonga like twende pamoja

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 5 лет назад +60

    Adui wa mwafrika ni mwafrika mwenyewe.Tusitafute mchawi.Tuchape kazi na tumsaidie rais wetu kujenga uchumi.Wimbo safi sana.

    • @MightyLumber
      @MightyLumber 5 лет назад

      Happiness Mwenda uyasemayo ni kweli

  • @papaj6795
    @papaj6795 5 лет назад +14

    Mziki Safi vyombo vimepangwa Sana na uimbaji imepangwa safi sana hongera Sana nakupa 200 percent kitoko Lindanda eza bie kaka naomba kujua Ni studio ghani na programmer Ni Nani na Nani kapiga solo na Base guitar

  • @Itarusii
    @Itarusii 5 лет назад +10

    Kama hata wageni wanaona umuhimu wa uongozi bora, tufunguke tujenge Nchi yetu.👏🏿👏🏿👏🏿

  • @fadhiliefron6356
    @fadhiliefron6356 5 лет назад +66

    Me I believe ziKo nchi nyingi Africa wanatamani Sana magufuli awe raisi wao........ Me I like my president Magufuli

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 5 лет назад +33

    WA KENYA HEEE WAKENYA HAAA WAPI WANAO MUKUBALI MR PRESENTS MAGUFULI

  • @tanzanianaturalt.n4846
    @tanzanianaturalt.n4846 5 лет назад +21

    Nomaaa ngomaaa inaviwangooo vyoteeeee baba magu watanzania tunakuongeza miaka 50

  • @kiuwamhina2802
    @kiuwamhina2802 5 лет назад +11

    Safi sana, wageni wanaona umuhimu wa magu, si zaidi sana cc watz, let's support him and protect what he is doing, Mungu ibariki tz

  • @faidamasegenghe3379
    @faidamasegenghe3379 4 года назад +1

    Wimbo huu umenipa raha sana magu mungu akubariki was tz tujivunie kuwa na rais kama magu kweli wew ni tigatinga umewakomesha wanyanyasaji

  • @jordanfromyt2861
    @jordanfromyt2861 5 лет назад +25

    Hii tamsana Congolese gonga like tujuane

  • @zakiazakia4552
    @zakiazakia4552 5 лет назад +83

    Tunafrahi kwa kuisapoti Tanzania na kumsapoti Rais wetu

    • @nicksongerson6416
      @nicksongerson6416 4 года назад

      Mungu ampe nguvu na afya raisi John Pombe Magufuli ..kwa kipindi chake.

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 5 лет назад +16

    Asanteni ujumbe umefika na sisi atutogeuka nyuma wale wanataka kugeuka nyuma geukeni mazwazwa

  • @peterlukuba5857
    @peterlukuba5857 5 лет назад +20

    Aiseeeeeeeeee.....mkongo umetishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa karibu sana

  • @naimamunishi1241
    @naimamunishi1241 5 лет назад +18

    Najivunia kuwa TANZANIA

  • @whodha-3353
    @whodha-3353 5 лет назад +33

    JPM is not only a leader of Tanzanian is a leader of Africa, he’s a good example and inspiration to the future presidents in Africa

    • @kiyabonjemu9885
      @kiyabonjemu9885 5 лет назад +1

      Its true, the man is greatest, also the African leaders must learn through this strong man of AFRICAN LEADER

    • @franklyne2977
      @franklyne2977 4 года назад +1

      Thats true we wish him long life

  • @fainnamvungi4364
    @fainnamvungi4364 5 лет назад +55

    M2 kaona umuhimu wa huyo mzee na Nchi yenu ilipo sasa mshaanza eti anaiga kwan Konde boy ndio wakwanza kuimbia Rais....mkongo imba weee

    • @fistonkyuing9888
      @fistonkyuing9888 5 лет назад +1

      Sasa mbona unamutukana bila kosa yoyote hile unachukiya kwanamna anavyo pongeza raisi wenu??

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 5 лет назад +1

      @@fistonkyuing9888 watoto wa mafisadi wakisikia wimbo kama huo awanaungua kwambaili ndio maana maneno machafu yanawatoka bila sababu achana nao ngugu

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 5 лет назад +42

    Chuma juu sana Asante kijana Masha ili yote ni ndio kabisa nzuri sana

  • @munguaibarikitanzanianawat9254
    @munguaibarikitanzanianawat9254 5 лет назад +8

    Mashallaha wimbo upo vizurii sanana hongera sana

  • @boniphacebelius1544
    @boniphacebelius1544 5 лет назад +41

    kama umeiangalia zaidi ya Mara 2 piga kick hapa

  • @josephmgema6764
    @josephmgema6764 5 лет назад +1

    kura yng 2020 haina mpingamizi baba mungu mbalik JPM mungu, balik Africa ,na mung balik watanzania wote wenye nia nzr na inchi yetu

  • @robertterry8909
    @robertterry8909 5 лет назад +11

    asante kaka kwa kuiona kazi ya Kiongozi wetu magufuli acha Magufuli apige kazi nchi iende

  • @jahabdallah1829
    @jahabdallah1829 5 лет назад +1

    Daaaaaa uyu mcongo?????bora tumpe ulaia ni mzalendo yahani hile na fasi ya wa pumbavu wasio mpenda raisi wetu atilisi tumpeni uyu jamaaa ni mzalendo??good song?????makufuli oyeeeee m south Africa jah

  • @eddynyaki5539
    @eddynyaki5539 5 лет назад +20

    Kazi nzuri wale vibaraka wa mabeberu na mashabiki zao hawawezi sikiliza nakuangalia huu wimbo hahaha Chuma juu...

  • @tweveben2893
    @tweveben2893 5 лет назад +26

    Jaman mpaka wakongo wamekubali lakn watazania hatuyaon hayaa

    • @idaroselle4755
      @idaroselle4755 4 года назад +2

      Tweve Ben kweli kabisa mimi Congo democratic tuna mukubali. Mangufuli anatumika muziri. Tanzania 🇹🇿 muwe na raha nyinyi hamushambuliwe kama sisi Wa Nyarwanda wana tuvamia inchi yetu

    • @tweveben2893
      @tweveben2893 4 года назад +2

      @@idaroselle4755 safi Sana'a nmepokea appreciation zako ndugu yangu karibu kwetu bwana kisiwa cha Amani

    • @leahedward5889
      @leahedward5889 4 года назад +2

      wasomi wa Tanzania tutumie elimu yetu kumtetea jemedari wetu magu
      ona majirani zetu wanavyotusapoti

    • @tweveben2893
      @tweveben2893 4 года назад +2

      @@leahedward5889 well said Leah umeongeaa vizur Sana'a naungana na wewe katika hoja hio

  • @fridambezi6067
    @fridambezi6067 4 года назад

    Makufuri ni nabiii mungu akamutuma atukomboe watanzania Nina imamani ataongoza mpaka aliye mutuma atapo mwita wrote tuseme aminaaaaaaaaa

  • @petergebo8198
    @petergebo8198 5 лет назад +19

    Mzigo unapigwa maendeleo tunayaona
    HAPA KAZI TU VIVA JPM

  • @mgallahtv4704
    @mgallahtv4704 5 лет назад +1

    Mungu ni mwema ambariki Rais wetu

  • @ramakheri9824
    @ramakheri9824 5 лет назад +4

    Mda kidogo lkn tunamtambua rahisi Magufuli,mmoja kati ya viongozi bora nchini Afrika

  • @matthewben2146
    @matthewben2146 5 лет назад +4

    Najiona mwenye bahati kushuhudia rais mwenye kujivunia uafrika,waliomwona Nyerere ni bahat kwao na Magufuli ndo atae kua story kwa vizaz vyetu vijavyo

  • @lamsonkaminyoge5720
    @lamsonkaminyoge5720 5 лет назад +33

    Kwajisi hiyo unaweza kuingia Tanzania bila passport

    • @monicahovda5890
      @monicahovda5890 5 лет назад +2

      Tanzania iko ndani ya Africa. Nchi moja ikitoka ni raisi na zingine kuiga mfano wake

    • @komanyaamin6732
      @komanyaamin6732 4 года назад

      You're welcome

  • @gracebulegi8337
    @gracebulegi8337 5 лет назад +2

    Hongera. ..wimbo mzuri kweli magufuli chuma. .huu ndio uzalendo.

  • @teklamahenge5212
    @teklamahenge5212 5 лет назад +3

    Watanzania hawaridhiki hawaoni mambo yote alio Fanya magu kazi yao kulalamika tu

  • @Hassan_Mengi
    @Hassan_Mengi 5 лет назад +7

    Wimbo huu uko bien sana. Raisi Magu ni chuma kbs, na ni zawadi aliyotupa Mungu

  • @tzmny4909
    @tzmny4909 5 лет назад +18

    Kazi nzuri

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 5 лет назад +7

    Asante kwa wimbo wa rais wangu

  • @ismailhanya2327
    @ismailhanya2327 5 лет назад +12

    Rais wa Jamuhur ya Muungano wa Tanzania. Upo juu sana kwa mambo Mazur unayoyafanya. Kila nchi wa nataman wangekua na kiongozi kama wewe

    • @felixmagulu6142
      @felixmagulu6142 5 лет назад

      Hawa ndiyo wanamuziki, Uzalendo kwanza siyo kuimba mapenzi tu, katika album moja ukitoa wimbo wa kizalendo japo mmoja siyo mbaya, Tikala malamu Bana ba Congo.

  • @hawaafrica803
    @hawaafrica803 5 лет назад +1

    Wimbo ni ule ule wa konde boy tuseme umempa like au siyo jaman

  • @noelaleonard3467
    @noelaleonard3467 5 лет назад +5

    Safi sana mkongomani wimbo unakiwango big up acha waumie kazi wanayo

  • @angelinaelishachisongela7859
    @angelinaelishachisongela7859 5 лет назад +2

    Kudadeki na mimi nitatunga nyimbo ya magufuli kwa utendaji bora wa kazi zake

  • @marianagregory6640
    @marianagregory6640 4 года назад

    Najivunia Rais wangu, mungu mpe maisha marefu.Mungu ibariki Tanzania

  • @jarsaduba2626
    @jarsaduba2626 5 лет назад +5

    I wish tungepata raisi kama JPM hapa Kenya watu majipu yangetumbuliwa ki sawasawa

  • @mansoorsood7461
    @mansoorsood7461 5 лет назад +16

    Big up sana sana nyimbo imeenda shule

  • @rachelkibaya8537
    @rachelkibaya8537 5 лет назад +2

    Dyuuuuu wimbo bomba sanaaaa......CHUMA CHETU MAGUFULI NA WAHESHIMIWA WA AWAMU YA 5,MUNGU AZIDI KUWALINDA MPO JUUUUUUUUUUUUUUUUU MPAKA MWISHOOOOOO

  • @siwemaking7658
    @siwemaking7658 5 лет назад +5

    Hadi raha asante

  • @nshomamayungu2326
    @nshomamayungu2326 5 лет назад +5

    Nimefurahi na huu wimbo mpaka nimetoa machozi ya furaha.magufuri tunakuombea sana.

  • @ababuumwanazanzibar4908
    @ababuumwanazanzibar4908 5 лет назад +4

    Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae Amani Yetu Taifa Letu ni Muhimu Sana'a Kuliko vyama vyenu Hapa kazi Tu JPM Nambari

  • @davidelliot3267
    @davidelliot3267 5 лет назад +9

    nakubali FABRICE KULIALIA tisha sana

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 5 лет назад +2

    tight song...asante saaaana bruv

  • @mudytelela2162
    @mudytelela2162 5 лет назад +11

    🇹🇿Tanzania juuu

  • @marympemba8843
    @marympemba8843 4 года назад

    Asante kaka yetu wa kwnya kwa kuyaona mazuri anayofanya baba yetu mpendwa Rais makufuli, mungu akupe kibali ktk uimbaji wako, ukiwa na kongamano watu waje kwa wingi pia wakubariki financial kuliko utakavyo tegemea, asante kwa upendo wako 👏🏾👏🏾👑

  • @aziz-lu9kn
    @aziz-lu9kn 5 лет назад +3

    Tanzania oyoooooooooooooo😘😘😘😘😘😘😘😍💖💘💋

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 5 лет назад +4

    Safi kaka nyimbo nzuri

  • @haibasalehe3568
    @haibasalehe3568 5 лет назад +2

    Hatariii

  • @binurusm8886
    @binurusm8886 5 лет назад +1

    Mkongomani, Asante Wimbo Maalum kwa Rais wetu Mh. Magufuli, halafu wengine wanajifanya hawaoni anayofanya, wakati wanapita barabara hizohizo, wanatibiwa hospital hizohizo, Kweli akili ni nywele kila mtu ana zake, Mungu Ibariki Tanzania yetu, Aamina.

  • @anithaneema9508
    @anithaneema9508 4 года назад +1

    Salute kwa Dr Magufuli rais wetu mpendwa💪💪💪💪

  • @jamalsalim2845
    @jamalsalim2845 5 лет назад +10

    Nice song for magufuli hongera sanaaaaaaaa

  • @bishoparronmgaya1749
    @bishoparronmgaya1749 5 лет назад +33

    safi magufuli chuma chuma

    • @channelychauka4723
      @channelychauka4723 5 лет назад

      Au unatetea hizo hereni? Nilisikia magu hapendi machoko

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 5 лет назад +3

    Bakia Madalakani muda wote tunaimani na wewe maana Watanzania tumeonewa sana na waliopita we love you President Magufuli.

  • @zesootv6726
    @zesootv6726 5 лет назад +29

    Wazungu awapendi hla ndyo hvo tena

  • @yahayamkone4040
    @yahayamkone4040 5 лет назад +1

    Umetisha mzee baba

  • @adyaa8922
    @adyaa8922 5 лет назад +14

    Safi sana kijana

  • @itembamother8743
    @itembamother8743 5 лет назад +4

    👌💪🏻💪🏻 chuma magufuli 🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 5 лет назад +7

    Mwenye wivu ajinyonge

  • @mankialema6490
    @mankialema6490 5 лет назад +12

    Thank you for the song, hamasa tosha, ujumbe sent and delivered

  • @nyanda427
    @nyanda427 5 лет назад +3

    Tisha sana

  • @henrymushi8340
    @henrymushi8340 5 лет назад +6

    nice song....

  • @bienfaitlongangi4582
    @bienfaitlongangi4582 4 года назад +2

    Kweii sisi wa congodrc tuna mpenda Jpm sana .Jpm iko na sifa sana Afrika

  • @janethpallangyo2633
    @janethpallangyo2633 5 лет назад +8

    Thank you lovely song

  • @agustinolugusi9671
    @agustinolugusi9671 5 лет назад +1

    hongera aaa

  • @peterlukuba5857
    @peterlukuba5857 5 лет назад +6

    Nouma sana ni fire

  • @lukaspatrick4117
    @lukaspatrick4117 5 лет назад +8

    Safi sana

  • @fatmaemily4971
    @fatmaemily4971 5 лет назад +12

    Mashaallah congratulated

  • @petergebo8198
    @petergebo8198 5 лет назад +14

    MUNGU AZIDI KUMJALIA AFYA NJEMA RAIS WETU KIPENZI MAGUFULI AZIDI KUTUJENGEA NCHI YETU

  • @dullahmudy2255
    @dullahmudy2255 5 лет назад +1

    Gud song brother thanks

  • @salmaoman3827
    @salmaoman3827 5 лет назад +5

    Waooooh masha allah

  • @amenyekibona8730
    @amenyekibona8730 5 лет назад +2

    huu wimbo uwe funzo kwa ZITTO, TUNDULISU, ADO, FATUMA, ALBERT NGURUMO, na wanasiasa uchwara wanao itafuta domocrasia na siyo maendeleo, pongezi kwako mkongo umeiona kazi ya Rais wa Africans na kiongozi aliyetumwa na Mungu

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 5 лет назад +1

    Wimbo mzuri shida hawa wakongo hawaindi kupigania nchi yao, wamebakia kusifia nchi za wengine na kwao kwadidimia.

    • @dinocastico8495
      @dinocastico8495 4 года назад

      Unaitukuza mipaka ya nchi na kusahau uzalendo wa asili kama mtu mweusi. Kamsifu raisi kama raisi tatizo lipo wapi na kumhusisha na sehem aliyo toka?

  • @benjaminjoseph1747
    @benjaminjoseph1747 4 года назад

    Ahsante sana kaka yetu wa Congo. Wimbo saaaaafiiiiiii. Mungu akubariki na ambariki raisi wetu. Magu baba tuko nyuma yako. Magufuli oyeeeeeeeeee

  • @SAM_163
    @SAM_163 5 лет назад +4

    Good song ❤.Viva Magufuli❤ Viva Tanzania 🇹🇿🇹🇿

  • @kakawamashariki8978
    @kakawamashariki8978 5 лет назад +1

    Tanzania ndo nchi haswa ya ahadi,usidanganywe na wale wanaojiita Israeli(taifa la kizayuni),Anaye ibariki Tanzania naye atabarikiwa Bali Anaye ilaani naye atalaaniwa.Tanzania ndo Taifa teule."The birth place of Humanity"

  • @mercyemmanuel8536
    @mercyemmanuel8536 5 лет назад +2

    congra...

  • @fadhilplatnumz6209
    @fadhilplatnumz6209 5 лет назад +1

    Gd- sanaa Ikopw sana Vemaa songi Og

  • @fadhiliefron6356
    @fadhiliefron6356 5 лет назад +13

    Namimi naandaa my song for magufuli

  • @husseinjumaa4299
    @husseinjumaa4299 5 лет назад +1

    Hongera tumpongeze rais wetu

  • @MightyLumber
    @MightyLumber 5 лет назад +4

    Wachawi wa Mtanzania ni Zitto Kabwe, Lissu, Fatuma Karume, Membe, kibaraka Lema, na wapuuzi wengine wanaowasapoti huku hawalipwi kitu.

  • @deogratiusenock2775
    @deogratiusenock2775 5 лет назад +17

    thanks for supporting Tanzania

  • @felixmagulu6142
    @felixmagulu6142 4 года назад

    Hongera sana,Wimbo mzuri unaendandana na picha jinsi ulivyozipanga, Tikala malamu Bana Congo.

  • @naomiherman1792
    @naomiherman1792 5 лет назад +3

    Well done Mr. President, Maguful juu🔥🔥🔥.....Arumeru na Jerry Muro 👏👏👏👏

  • @asmabintikiwa1826
    @asmabintikiwa1826 5 лет назад +2

    Nice

  • @selemanimmeswa3556
    @selemanimmeswa3556 5 лет назад +3

    Chuma Chuma kweli

  • @zahramohd527
    @zahramohd527 4 года назад

    Wimbo ni mzuri sana umebeba ujumbe hucka

  • @yohanasiwale4337
    @yohanasiwale4337 4 года назад

    Safi sana kazi nzur pongezi

  • @veronicaroman4341
    @veronicaroman4341 4 года назад

    Ngoma kali san asee nimeipenda mno hongera mkumbwa wana wa jpm mpoooo

  • @mungholomakalanga8958
    @mungholomakalanga8958 4 года назад +2

    Mwanangu Magufuli ulitengenezwa na Mungu Mpaka machozi jamani

  • @nasonkarol
    @nasonkarol 5 лет назад +2

    Nzurii Sanaa big up coming soon

  • @mrsnam6897
    @mrsnam6897 5 лет назад +10

    Keep up Mr President

  • @atanasmatias8460
    @atanasmatias8460 5 лет назад +1

    Whaooo nice song