A true and sincere tribute to the son of the soil......your achievements will be made known to generations......Rest in eternal peace John Pombe Joseph Magufuli.......you will forever be missed ....
Mungu awabariki Kwa wimbo mzurii naupendaa,Pongez Kwa Mh Rais wetu Mungu amekuweka Kwa kusudi maalum hatokuacha ukaenda peke,uso wake wakutazama;piga kazi songa mbele,tunakupenda
Nikisikia wimbo huu nalia sana, aliyofanya Magufuli hayatasaulika milele. Na watu kumsifu sasa kwa kazizake zimesababisha maisha yake kuwa mafupi sana katika kazi ya Upersdent. Magufuli bado tunakukumbuka .
Pumzika kwa amani dr. Magufuli yataongelewa mengi lakin marais walikuwepo wamepita lakin hakuna rais bora kuwa tokea tanzania na africa baaada ya mwl.nyerere,kwaya mbarikiwe kwa wimbo mzuri
A true and sincere tribute to the son of the soil......your achievements will be made known to generations......Rest in eternal peace John Pombe Joseph Magufuli.......you will forever be missed ....
Mara kwa mara uwa narudia huu wimbo jmn 😪😪😪 RIP JPM
Nikweli nice song Africa mashariki na kati
Mungu awabariki Kwa wimbo mzurii naupendaa,Pongez Kwa Mh Rais wetu Mungu amekuweka Kwa kusudi maalum hatokuacha ukaenda peke,uso wake wakutazama;piga kazi songa mbele,tunakupenda
Asanteni sana
God bless you my presideeeeeeeeent togathher with utumishi wa umma choir
Pamoja sana
Hongera sana Raisi wetu Mungu awe pamoja nawa pia pongezi kwa waimbaji wote wa Tpsc Mzidi kubalikiwa
Asante sana
Pumzika.kwaamani.baba wataifa
Mmetisha sana
Hongera sana nyimbo nzuri sana
Karibu sana
It is so pain but ,God 🙏 still only God 🙏🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲🤦🤦🤔🤷
Kazi nzuri sana mmefanya Chuo cha Utumishi wa Umma, mnenifurahisha sn mmenikumbusha chuoni kwangu tawi la Magogoni.
Kweli karibu tena chuo cha utumishi
Mungu akafanye baraka kwenu
Asante sana
Pumzika kwa amani baba yetu tutakukumbuka daima mioyoni mwetu
Amen...! I love you my lovely President DR. JPM,I real like the you run my country
Thanks goodluck
Nikisikia wimbo huu nalia sana, aliyofanya Magufuli hayatasaulika milele. Na watu kumsifu sasa kwa kazizake zimesababisha maisha yake kuwa mafupi sana katika kazi ya Upersdent. Magufuli bado tunakukumbuka .
kwaya nzuri sana, napenda kitazama video zenu.
Asante karibu sana jisikie na aman
Da Terecy!! Nakuona na wenzako kazi nzur sana..
Terecy yupo vizur
the bass is tops
Hakika magufuli ni zawadi kutoka kwa mungu tz Sasa inapaa mungu akulinde rais wangu kipenzi
Mungu amwongoze
Kazi nzuri sana
Mungu awabariki..
Amina
Bonge wimbo hakika mlitunga wimbo mzuri utasikilizwa na kila kizazi hapa tanzania cjui mmepotelea wapi jaman mweeee
Jaman nimependa saut zenu nimewaona tbc ikabid niwatafte kwa u tube
Yani Mimi mwenyew nimewaona TBC 1 TV nikaja mpaka RUclips...daaah mungu awabariki hawa watu
Karibu sana
shukrani
Yaani Rais Magufuli wewe ni jembe tena jenga baba niko tayali uongoze miaka yote mpaka pale Mungu atakaposema basi ishi miaka mingi Baba
Hongela Sana mmefanya kazi nzuri nimependa. Wimbo wenu kwakumpongeza rahisi wetu mbalikiwe
Pongezi kwake jpm
Huu wimbo ulipikwa ukapikika kweli kweli r.i.p our former president
Mvp ..hongereni kwa kaz nzuri .
Tunashukuru sana
John Julius mate tpsc tabora au nimekosea?
Apumzike kwa amani......kipenzi
Asanateni sana kwa pongezi zenu👏👏
Amina sana
He's real he care's about his people mashallah
Pumzika kwa amani nitaendelea kukumbuka daima na wote wazarendo wakweli wa nchi hii
I love their president
Magufuli R. I. P the best president of Tanzania
My Magufuli😭😭😭
😭😭 Rest in Peace my favorite president JPM
Pongezi kwa raisi wetu.
Amina sana
Mbalikiwe
Amina sana
Jaman naombeni wimbo huu
Pumzika kwa amani dr. Magufuli yataongelewa mengi lakin marais walikuwepo wamepita lakin hakuna rais bora kuwa tokea tanzania na africa baaada ya mwl.nyerere,kwaya mbarikiwe kwa wimbo mzuri
He's good in deed
Pote ulipo kazi yako inaonekana