Magoli | Simba SC 2-0 Ken Gold FC | NBC Premier League 18/12/2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии • 59

  • @IsaacMwasenga-it1cl
    @IsaacMwasenga-it1cl 18 дней назад +8

    Nikisema ubaya mnasema ubwela
    UBAYAAAAAAA😂😂😂❤❤

  • @agnesswai7174
    @agnesswai7174 17 дней назад +1

    Nampenda mnyama mshabiki Wa damu kabisa yani👌🔥❤️

  • @ngadutz4482
    @ngadutz4482 18 дней назад +2

    Simba❤❤❤

  • @SammySammy-h8g
    @SammySammy-h8g 17 дней назад +1

    I love you Simba ♥️

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 18 дней назад +9

    Wa kwanza ubaya ubwela❤

  • @AbdallahKadulu
    @AbdallahKadulu 18 дней назад +2

    This is the simba brother.

  • @IsackVedasta
    @IsackVedasta 18 дней назад +1

    UBAYA UBWELA ❤️🦁🇹🇿🔥

  • @johnemanuel9310
    @johnemanuel9310 17 дней назад

    🔥🔥🔥Ubayaaaa ubwelaaaa

  • @FurahaRyana
    @FurahaRyana 18 дней назад

    ❤❤❤❤❤ mpaka waseme

  • @DafrosapusNgomb
    @DafrosapusNgomb 17 дней назад

    Simba nguvu mojaaa

  • @rashidmaulid7312
    @rashidmaulid7312 18 дней назад +8

    Hizi timu zinazopambania kutoshuka daraja zina shida sana

  • @rodgersmwagu239
    @rodgersmwagu239 17 дней назад +2

    Wakuu uyu nouma anajua

  • @MarryMassawe-n9z
    @MarryMassawe-n9z 17 дней назад +2

    Hata mama ako bila kuvua chup ajakuzaaa

  • @EliudObeth-h1g
    @EliudObeth-h1g 18 дней назад +3

    Ubaya ubwelaaaaaa

  • @lcn_vol
    @lcn_vol 17 дней назад

    Ateba kaenda kwenye maombi , wanasimba msubili kuona mengi kutoka kwa ateba , nimeshuhudia mbingu zikifunguka.

  • @EdwardTiktoktz
    @EdwardTiktoktz 17 дней назад +2

    Ubaya ubwela dohuu

  • @EliabuKinkolo
    @EliabuKinkolo 17 дней назад +1

    Tunabebwa hutu tujamaa lakin kombe mali yetu wana yanga

  • @emmanuelmchomvu2676
    @emmanuelmchomvu2676 18 дней назад +2

    Kijili, mutale hao watu jmn hpna kama vp watafute Pengne aiseeee, alfu safu y ushambuliaji iongeze umakini wakipata nafas

  • @josephat66
    @josephat66 17 дней назад

    Azam mnafeli mnacherewa kupost mech zilizo isha

  • @Abisai-b
    @Abisai-b 18 дней назад +1

    Simba leo imepata kibonde

  • @juniorngahetwa8489
    @juniorngahetwa8489 18 дней назад +2

    Ubaya ubwela

  • @adelaphilip8089
    @adelaphilip8089 17 дней назад +1

    Walibana wakaachia

  • @GodwiniSwaiba
    @GodwiniSwaiba 17 дней назад

    point 3 muhimu

  • @chikualiy8705
    @chikualiy8705 17 дней назад

    Ila ateba sio kwa mishuti hiyo ukidaka hujitaki

  • @NoelyRaphael
    @NoelyRaphael 18 дней назад +2

    Wanabebwa hao utopolo

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 18 дней назад

      Ukibebwa bebeka 😂

  • @amourhabiby5118
    @amourhabiby5118 17 дней назад

    Jamaa kila gemu penalty utafikiri wao hawachezi faulo kwenye box Lao, ila ukibeba maiti mwisho wake ni kukanatwa tu mana harufu lazima itoke nje

  • @pollo_tv4514
    @pollo_tv4514 18 дней назад +2

    Simba bila penalty sio mechi

    • @storyzadully
      @storyzadully 18 дней назад +2

      Tulitoe hilo la penati

    • @Emmanuelbuyamba8037
      @Emmanuelbuyamba8037 18 дней назад +2

      Kumbuka utopolo ulishawahi kuchez penalty ukakosa muda huohuo ukashenyentwa😂😂 you

    • @MeshackMalemba-zm6cl
      @MeshackMalemba-zm6cl 18 дней назад +2

      Tulia dawa ingie kukubwa point 3 muhim😂😂😂😂

    • @GilbertMansuet-zv1ph
      @GilbertMansuet-zv1ph 18 дней назад +2

      Kichwa hujakiona , jini mahaba limekushika huoni

    • @faisaloaljabry6400
      @faisaloaljabry6400 18 дней назад +1

      Ukiona team inapata penalty nyingi ujuwe washambuliaji wake hawakua na ping amini la kufunga ila kwa kufanyiwa rough.mtakonda bure simba si kiasi chenu

  • @mazengojohn2090
    @mazengojohn2090 17 дней назад

    Marefa mnaharibu mpira awe anachezesha arajinga kwann wanachangua waamuzi

  • @Muhammedually
    @Muhammedually 18 дней назад

    Bomu chumba cha maiti

  • @GucciJackson-q1n
    @GucciJackson-q1n 17 дней назад

    Mipango

  • @albabakhui4727
    @albabakhui4727 17 дней назад

    Aya basi tufanye goli la penalties alipo ibaki moja bila ulizike

  • @NoelyRaphael
    @NoelyRaphael 18 дней назад

    Hakuna lolot tunawasubili tuwape dawa Yao yang dam

    • @AishshibnShibani
      @AishshibnShibani 18 дней назад +3

      Mmh kwayanga gani hii mlio fungwa na tabora au kunanyingine

  • @chondecannibal6108
    @chondecannibal6108 17 дней назад

    Hakuna penalt hapo mipango tu

  • @DinohChamajrmkelelwa
    @DinohChamajrmkelelwa 17 дней назад +2

    Ubaya ubwela

  • @FabyJulius
    @FabyJulius 17 дней назад

    Ubaya ubwelaaaaa