Kila mtu Sasa ni nabii. Kila Nabii yeyote mnafaa kufanya ni kuombea Jamii hiyo urejesho.Ipatikane. Kuchafua Jina la Martha haito saidia chochote, Mungu na amtetee ju imekua chorus. Mwenye kuumia zaidi ni make Martha na Beatrice. Ila Mungu ana saa na wakati wake ya urejesho. Mungu tuliza hizi midomo zinaamkia Martha.
Jaman hata kama ni kweli, yatosha sasa kama ni maonyo Martha mwaipaja ameshayapata, acheni kuendelea kupost mahabar yake tena inatuuma, thus msimuongezee stress mdada wa watu!
Kwani kuna washirikina wangapi hapa Tanzania wenye nafasi na uwezo tofautitofauti na bado wana ishi kwa amani na utylivu, mpaka mumshambulie Martha Mwaipaja kama vile anamiliki chuo cha ukahaba hapa Tanzania?
Kama Martha amesha jiunga na chama Cha freemason basi acha kumwita mtumishi wa Mungu hamtumiki Mwenyezi Mungu Tena anamtumikia shetani mwite mtumishi wa Shetani na sio Martha tu wote wale wengine
Ukiludi nyuma utagundua sasa hivi dini zote ni usanii tu, maana hakuna kiongoz wa dini yeyote alishawahi kuomba mvua ikanyesha, ila machifu wanaomba mvua na inanyesha ina maana machifu na wako kalibu na Mungu kiliko nyie mashoga mnatumia neno la Mungu kuwaibia watu, unajiita mtumishi wakati mnashinda mitandaon kusutana nq si kuongelea ukuu wa Mungu, Salam Zang ziwafikie popote mlipo wasenge wote mnao jiita manabii
Unayo ongea yote ni upusi nani hanjawahi kufanya kosa tangu kuzaliwa kwake kama hunjawahi fanya kosa mnyoshehe Martha kidole.usihukum usinje ukahukumiwa.
Kwani hamna kazi za kufanya kila siku kumchokonoa mtu? Mkikaa mnawaza Leo uamke na kitu gani kipya kupitia kwa matha kwenda zako wewe ulikuwepo kama na wewe haupo hukohuko inamana mnajuana
Basi na wewe ulikuwepo uko sababu uwezi kumjuwa martha bure bila wewe kuwepo kwa nini mmemuandama jamani kwani yeye amekuwa wakwanza kutenda zambi? Kwani wewe umekamilika mumetuchosha sasa
Alikwambia? Na mbona unatangaza si umwombee kamq alikwambia itakuwa alikwuamini mwombee sasa akitoka huko ndo utangaze maana itakuwa ni ushuhuda wala sio umbea kama mnaoufanya
Achaujinga wewe sio mungu sema siri zako acha kuhukumu mtu wewe mwenyewe unazambi alie kusibitishia hayo ni nani kama nimkweli kwanini uhitaji viwazi hizo ninjaa zako
Tanzania kila kukicha ni watu wafanya hiki wafanya kile mbona amsemi manabii? Watu wanatekwa mchana kweupe atujahona manabii wanahongeya ila kwa martha tu?
Izo Siri ulijulia wap ama we n mmoja wao?ka amejiunga maisha n yake mwny anadai kajiunge pia Kwan mtashdia kitu Moja , nyimbo zake uwa zanibariki Io mambo ingne kahukumiwe na lakini sio sisi
Acheni upuuzi wenu mbona mnamsakama sana mathar wa watu inamana nyinyi ndio watenda mema sana hata nyinyi niwatenda maovu mungu ndie atakaehukumu wewe unaehukum umekuwa nani?
Mwenye haki ni. Mungu tuh❤
Mungu wangu simama wewe ndiye mwenye jicho unamulika dunia nzima.Utoe ukweli wanayoyasema.Binadamu ni binadamu tu hata y
Amen
Mtumushi WA Mungu na Nabii hivyo vyeo umevipata wapi ? Kuhukumu watu ovyo....jicho la Mungu linawaona....
Acheni kuhukumu wewe huo ushetani unajua wewe mbona kila siku matha jamani naombeni kwa huruma zake mungu mwacheni dada apumuee jamani
Kila mtu Sasa ni nabii.
Kila Nabii yeyote mnafaa kufanya ni kuombea Jamii hiyo urejesho.Ipatikane. Kuchafua Jina la Martha haito saidia chochote, Mungu na amtetee ju imekua chorus. Mwenye kuumia zaidi ni make Martha na Beatrice. Ila Mungu ana saa na wakati wake ya urejesho. Mungu tuliza hizi midomo zinaamkia Martha.
Yametosha jamani hata kama NI chuki imezidi Wa kuhukumu NI mmoja tuu ambaye NI mungu
Jaman hata kama ni kweli, yatosha sasa kama ni maonyo Martha mwaipaja ameshayapata, acheni kuendelea kupost mahabar yake tena inatuuma, thus msimuongezee stress mdada wa watu!
Ata Nami Nauga mkono maneno yamezidi jambo gani jilpwa Mwache yametosha by priska mwz
Yesu simama kwa haya maneno yanayosemwa
Kwani kuna washirikina wangapi hapa Tanzania wenye nafasi na uwezo tofautitofauti na bado wana ishi kwa amani na utylivu, mpaka mumshambulie Martha Mwaipaja kama vile anamiliki chuo cha ukahaba hapa Tanzania?
Wewe chama unakijua kwendaaaaaa
Kama Martha amesha jiunga na chama Cha freemason basi acha kumwita mtumishi wa Mungu hamtumiki Mwenyezi Mungu Tena anamtumikia shetani mwite mtumishi wa Shetani na sio Martha tu wote wale wengine
Ukiludi nyuma utagundua sasa hivi dini zote ni usanii tu, maana hakuna kiongoz wa dini yeyote alishawahi kuomba mvua ikanyesha, ila machifu wanaomba mvua na inanyesha ina maana machifu na wako kalibu na Mungu kiliko nyie mashoga mnatumia neno la Mungu kuwaibia watu, unajiita mtumishi wakati mnashinda mitandaon kusutana nq si kuongelea ukuu wa Mungu, Salam Zang ziwafikie popote mlipo wasenge wote mnao jiita manabii
Uko pepo kama haujajitambuwa
Ingekua vema wewe kamamtumishi ungeongea nae muhusika kwa kumsaidia Nasiyo kufaidisha watu
Unayo ongea yote ni upusi nani hanjawahi kufanya kosa tangu kuzaliwa kwake kama hunjawahi fanya kosa mnyoshehe Martha kidole.usihukum usinje ukahukumiwa.
Kwani hamna kazi za kufanya kila siku kumchokonoa mtu? Mkikaa mnawaza Leo uamke na kitu gani kipya kupitia kwa matha kwenda zako wewe ulikuwepo kama na wewe haupo hukohuko inamana mnajuana
Round hii Martha atajionea maneno,Bora amesema sahi amesema aogopi tena ushindi lazima.hiii nayo ni uongo ametaja YESU wewe kwenda uko.
Namidomo yako ahifanani kuwa mtumishi hachekelele yako mna malizia watu bando zaho
Nabi kutoka wapi?😂
Kila mtu ni nabii,haiwezekani😢
Mmezidi kilasiku. Matha matha tutoleni ubeya wenu wakwenye mitandao matha tunampenda tu
Nabigani mtendahaki mungutu wengine mnademawatu I'm kama ww nizambi
uongo
Basi na wewe ulikuwepo uko sababu uwezi kumjuwa martha bure bila wewe kuwepo kwa nini mmemuandama jamani kwani yeye amekuwa wakwanza kutenda zambi? Kwani wewe umekamilika mumetuchosha sasa
Kwani hawa manabii wa Tanzania awahoni majanga ingine huko tanzania majanga mwisho na mwanzo wa mwaka ni Martha tu?
Alikwambia? Na mbona unatangaza si umwombee kamq alikwambia itakuwa alikwuamini mwombee sasa akitoka huko ndo utangaze maana itakuwa ni ushuhuda wala sio umbea kama mnaoufanya
Wayasem yawenzak ww je mkamilifu sikuzot mlikua wapi kuyasem
Achaujinga wewe sio mungu sema siri zako acha kuhukumu mtu wewe mwenyewe unazambi alie kusibitishia hayo ni nani kama nimkweli kwanini uhitaji viwazi hizo ninjaa zako
Acheni mambo yenu fanyeni kazi singing ondoeni kwanza viboriti kwenye macho yenu na ndio muweze kutoa viboriti kwenye macho ya wenzenuuu😂😂
Kukosa kazi unapoteza mda kuongelea wtu
Tanzania kila kukicha ni watu wafanya hiki wafanya kile mbona amsemi manabii? Watu wanatekwa mchana kweupe atujahona manabii wanahongeya ila kwa martha tu?
Kama Mimi nyimbo zake ndio zinazonibariki,mambo mengine stambui,yeye ndio kielelezo changu,Martha I love you,but kuhusu mama yako,care about her
Nnani aliyekwambia kuwa wewe ni nabii? Kila atakayetokea tu ni nabii mbona mnaleta michezo
Nyie mkona wivu sana mkiona mtu afanikiwa ndio mnayo chuki mingi
akubali kuuza vitu ili apone kwisha
Sibonyezi😢
Wewe siyo nabii😢
Izo Siri ulijulia wap ama we n mmoja wao?ka amejiunga maisha n yake mwny anadai kajiunge pia Kwan mtashdia kitu Moja , nyimbo zake uwa zanibariki Io mambo ingne kahukumiwe na lakini sio sisi
Acheni upuuzi wenu mbona mnamsakama sana mathar wa watu inamana nyinyi ndio watenda mema sana hata nyinyi niwatenda maovu mungu ndie atakaehukumu wewe unaehukum umekuwa nani?
Hukumu ni ya mungu peke yake
Shikeni majembe mkalime muachane naubeya mumetuchocha
Wewe nikumatuu
Achen kuchafua mwenzenu
Uyu nae mtumishi ivi awa mbwa wakishatokaga uko kuzimu wanaubiri kenge we
Tena mama mtu ingia kabisa kwa Yesu usiacha hata mguu atakutowa kafara mwanao
Ww umejuaje Kama matha amejiunga na Masonic!?unaushahidi upi!?
Huyu jamaa ni nabii?
Yanakuhusu tokapepo tangaza yako
Kwenda zko kz kumsakama wenzen we km nani
Muache wivu
Munahuakika.na.mnachokisema.si.kila.anguko.la.mtu.kajiunga.na shetani.hayo.majoka
Uongo mtupu nyoooooo
Ebutupishe nauogo wako wewe nimchungaji wambwa tutolee uogo wako
Acheni kumchafua mtu
NA WEWE NI NABII!!!? DAH JAMANI TWAELEKEA WAPIII, SASA HIVI KILA MTU ATAJIITA NABIII, WOLOLO YAWA.
Huo ni uongo nyie kama mnaongea hivyo mmejuaje kama wewe haumo basi na wewe umo