KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA : IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 16/01/2023

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 121

  • @gladysmuthui818
    @gladysmuthui818 Год назад +7

    Oh so sorry for pastor Eliona but we thank God he has helped us grow spiritually. Always follow from American but originally from kenya . Mtumishi we are praying for you and family let Gods will be done as it is in heaven May it be done in your life and family. We are waiting for you in this fellowship in March after your Vacation.

  • @kamalaeditha5864
    @kamalaeditha5864 Год назад +13

    Hata hili.litapita mtumishi wa Mungu. Damu ya Yesu Kristo ikumulikie kila wakati. Tunakupenda Mchungaji Kimaro. Wamtumainio Bwana hawataaibika kamwe.

  • @roseasimwe827
    @roseasimwe827 Год назад +6

    Jamani mi nimkatoriki pure nashukuru sana baba Kimaro nimejifunza mengi kutoka kwako nilikuwa nakusikiliza sana kupitia hii channel nitakumiss sana,ila jamani wangeruhusu hata seminar iishe basi

  • @doreen9516
    @doreen9516 Год назад

    Ubarikiwe sana Mchungaji! Tunakuombea amani na afya njema! Asante kwa kutusaidia kukua kiroho! Amen! 🙏🏾

  • @shuca
    @shuca Год назад +7

    Leo ndio siku ya kwanza kuona wahumini wakiendelea kukaa na kutotaka kuondoka kwa mshangao walioupata. Amina leo tunakesha nawe Mchungaji wetu Mpendwa. Semina hii uliyojitayarisha naamini tutaisikia kwenye RUclips channel yako siku moja na karibuni. Mungu ni Mwema, tupo pamoja nawe. Ulitufunza tusimamie neno la Mungu, nalo tutafanya bila kuacha kukufata ulipo tupo

  • @harietjohn1328
    @harietjohn1328 Год назад +2

    Hatima Mungu aliyoweka ndani yako Baba Mchungaji inaenda kuonekana Ni kubwa kuliko nafasi uliyokuwa nayo,Mungu you pamojanawe

  • @Maggie-yx8pw
    @Maggie-yx8pw Год назад

    Kaburi la Elisha tujuane hapa 🙌🙏🙏🙏 Baba Eliona wanajua wanakuzika kumbe wanakupanda Ulipo tupo Baba📢📢📢📢📢📢

  • @judithmakenya9719
    @judithmakenya9719 Год назад +1

    Mchungaji Kimaro umetetea kanisa la Mungu lisimame, unaitwa mmbarikiwa wewe na vizazi vyako vyotee! soma ZABURI 125 yote. salamu zetu.Usalama wa watu wa Mungu
    1Wanaomtegemea Mwenyezi-Mungu, wako kama mlima Siyoni,
    ambao hautikisiki bali wabaki imara daima.
    2Kama Yerusalemu inavyozungukwa na milima,
    ndivyo Mwenyezi-Mungu awazungukavyo watu wake,
    tangu sasa na hata milele

  • @neyshao2492
    @neyshao2492 Год назад +2

    Mwenyezi Mungu wa Mbinguni akulinde Baba . Kijitonyama mtasimama in Jesus name

  • @fridamseja2743
    @fridamseja2743 Год назад +5

    mungu katika jina la yesu kristo ninaomba mapenzi yako tu yasimame juu ya Mchungaji eliona kimaro na sio mapenzi ya watu wengine wenye hila na wivu na kitu chochote ambacho ni chasiri sisi hatujui mungu wewe unajua ninatanguliza na kulipa sadaka ya damu ya yesu kristo ikalipe kila mashitaka na ikanene mema na kuzungumza kwaajili ya mchungaji eliona kimaro mapenzi yako yatimie ninasimama sawasawa na luka 1:37 luka 18 - 27 na warumi 8 -37 Amina

    • @shufaambonde1047
      @shufaambonde1047 Год назад

      Mpendwa andika Mungu na Yesu Kristo Anza na herufi kubwa

    • @fridamseja2743
      @fridamseja2743 Год назад

      Asante mpedwa ila nilikuwa moto na mchungaji wangu kuondoka kwake sijaelewa nimepigwa n kitu kizito kichwani ila angalia ujumbe usiangalie nimekosea wapi ? asante

  • @marryjumanne5971
    @marryjumanne5971 Год назад +6

    Mungu anawaona na hatatulia kama kazi ya Mungu inasimamishwa gafla Mungu atuambie niyyeye au ni nani

    • @fortunataakyoo5547
      @fortunataakyoo5547 Год назад

      Mungu akutie nguvu hawawezi kuondoa sadaka zako za muda uliotumika 👋👋🏻👋👋

  • @ngubwene
    @ngubwene Год назад +1

    Amen nimepandwa na nachanua sasa kwa jina la Yesu

  • @jennytugara9470
    @jennytugara9470 Год назад +1

    Asante kwa Tuition mchungaji sio kingereza tu hata Biblia tunajifunza mnoooo ubarikiwe sanaaa🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @africaman_5219
    @africaman_5219 Год назад +4

    😢😢😢 Vita yetu si ya Mwili bali ni roho . Naamin hat hili litapita Baba yangu kipenzi will mc u alot popote utakapo kwenda sie tupo na wewe Dad . I lov u My favorite pastor you change my life sikuwaga hivi please God mlindi Baba yetu kimaro ❤

    • @renatuskanuthy5743
      @renatuskanuthy5743 Год назад

      Ina umiza sana ila kwa sababu ni jaribu na majaribu kaumbiwa mwanadamu basi acha tukuombee hata katika hili uvuke salama

  • @happinessmisanga4944
    @happinessmisanga4944 Год назад +3

    We love you Dr Kimaro ❤ ♥ 💙

  • @johnsonmtey5940
    @johnsonmtey5940 Год назад +2

    Kumbe shetani ajaribu hata madhabahu zilizo simama hivi!!!!?
    Lakini naamin kwenye hili nimbegu imepandwa na haijazikwa.
    Mungu anampango mkubwa sana na wewe Mchungaji wangu
    Barikiwa sana mpaka hao maadui zetu wapate Srock kwajili ya Baraka zako

  • @priskilafanuel3207
    @priskilafanuel3207 Год назад

    Mungu wa mbinguni atakushindia shetani hana nafasi kwa mtumishi wa mungu nimeumia sana kwa kukatisha hii semina

  • @prisca4612
    @prisca4612 Год назад +2

    Mungu wetu ni mwaminifu! Mchungaji tunakupenda na kukuombea❤️🙏🏿

  • @davidissangya2943
    @davidissangya2943 Год назад +2

    Mchungaji Hukupokea Barua na kivunjika Moyo Bali Umetiwa nguvu thabiti.Nauona ujasiri mwingi ndani yako.Mungu ataushangaza Ulimwengu kwa hili Mungu Yu pamoja nawe

  • @nikwisamwakajinga8318
    @nikwisamwakajinga8318 Год назад +2

    Jamani Mungu ailinde huduma yako baba unatuhudumia wengi!!Mungu akulinde na likizo yako ikawe yenye baraka machoni pa Mungu,damu ya Yesu ikufunike usidhurike kwa lolote.Tunamwachia Mungu ajuaye siri za mioyo yetu.

  • @jiselakikoti8931
    @jiselakikoti8931 Год назад +2

    Yesu ujuaye lugha ya machozi simama na mtumishi wako nasikia machozi 😭😭😭😭

  • @queenelvis888
    @queenelvis888 Год назад +4

    #bringbackourkimaro

  • @judychallw5521
    @judychallw5521 Год назад +1

    Hata sisi ambao ni wa pentecoste tulikuwa tunafuatilia mafundisho yako umehubiri kweli ya Mungu waziwazi! Mungu na akutetee wewe ni chombo cha Mungu songa mbele kila jaribu ni daraja la kuelekea mahali pako pa juu! Sina Shaka ktk hili ipo njia ya kupanda ambayo Mungu amekusudia kukupandisha Mtumishi songa mbele aliyekuita ni Yesu na sio mwanadamu!! Alichoweka ndani yako kitatoka tuu hata kizuiliwe Kwa namna gani! Be strong 💪🏻

    • @abiacharles
      @abiacharles Год назад

      Mungu aliyekupa kibali cha kuongoza usharika huu akakuvushe na Hila la wanadamu akuvushe kwenda kaanani yako ya kumtumikia Mungu ukiwa huru. Nina Imani huu ndio wakati wako wa kuanzisha huduma kubwa zaidi.

  • @catherineaugustine7124
    @catherineaugustine7124 Год назад

    Kama MUNGU AISHIVYO NDIVYO MUNGU ATAKAPOINGILIA SHITAKA LAKO., Dr Mchungaji, Mungu AKUPE changamko.la MOYO from bitter to better.
    Baba Mchungaji Mungu karuhusu hili Kuna MAKUSUDI ya Mungu.
    Jipe MOYO MKUU🖐🏼🖐🏼🖐🏼🖐🏼

  • @mtagekindole9617
    @mtagekindole9617 Год назад +2

    Mungu pekee atusimamie tunakupenda Sana Baba yetu

  • @estherkatende7594
    @estherkatende7594 Год назад +2

    We gonna 🔥

  • @lyina1699
    @lyina1699 Год назад

    Mungu wa Israel aliyewavusha wana wa Israeli akakuvushe na wewe Mchungaji Baba Eliona Kimaro🙏🏼🙏🏼🙏🏼 We are praying for you and we Love you So Much 🙏🏼 MAY GOD BLESS AND KEEP YOU BABA🙏🏼Asante baba Mchungaji Eliona … Tunakupenda Sana!❤️🙏🏼 Ee MUNGU UTUVUSHE kwenye hili maana hata hili litapita🙏🏼

  • @auntyjj2754
    @auntyjj2754 Год назад +4

    Kwanini katikati ya seminer usimamishwe! Wangeacha tujifunze kwanza, ingekuaje, likizo ya miezi mitatu si ya wazazi, baba is so fit, Nimeumia kweli! I hope likizo haikatazi sisi kukuona ata you tube ukisema na sisi! For better for worse baba this is so saddened

  • @viviancharles8515
    @viviancharles8515 Год назад

    Our darling dady! We love you

  • @deokessy6596
    @deokessy6596 Год назад +1

    wamekuonea Wivu....

  • @mossesisaack5066
    @mossesisaack5066 Год назад

    Blessed Daddy

  • @gracealloyce8194
    @gracealloyce8194 Год назад +6

    Zab 34:19
    Mateso ya mwenye haki ni mengi, Lakini BWANA humponya nayo yote.

  • @liliannamanofficial
    @liliannamanofficial Год назад +2

    Mungu aendelee kukupaka mafuta yake matakatifu BABA

  • @Simbavanu
    @Simbavanu Год назад +1

    Mungu akubariki Mchungaji, tunakupenda tunakuombea

  • @catherineaugustine7124
    @catherineaugustine7124 Год назад

    MUNGU AKUTENDEE SAWASAW NA HITAJI LA MOYO WAKO BABA MCHUNGAJI
    ASANTE SANA KWA KUCHUNGA NA KULINDA KONDOO .
    MUNGU ATAKUSAIDIA SANA 🖐🏼🖐🏼🖐🏼🖐🏼🖐🏼

  • @carolinerubeya7817
    @carolinerubeya7817 Год назад

    Ameen

  • @vidakirenga4609
    @vidakirenga4609 Год назад +2

    Mungu akutangulie Mchungaji wetu
    Mungu anakuwazia makubwa kuliko tunavyofiki..hii ni njia ya kuelekea kwenye ndoto yako
    Umekuwa Mchungaji unayechunga na kulisha kondoo...bado tunahitaji maarifa Mungu aliyoweka ndani yako...Mungu atufanyie njia

  • @lizzybahati3739
    @lizzybahati3739 Год назад

    Eeeh Mungu wa mbingu nchi mtazame mtumwa wako baba kimaro mm binafis masifu yake ya kila sku yamenitoa mbali sana Mungu asimame upande wako baba

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 Год назад +1

    FROM BITTER, FROM BITTER FROM BITTER! TO BETTER, TO BETTER, TO BETTER ,TO BETTER ! NENO LAKO NI SHERIA EEEH MFALME WA AMANI. MIUNGU YOTE EEEH MFALME WA AMANI UNAIJUA! BARIKIWA BABA DR. ELIONA KIMARO, MAFUNDISHO YAKO YAMENIBADILISHA SAANA TOKA NIINGIE YUTUBE KUKUSIKILIZA. YEAH, FROM BITTER TO BEETTER! SEE U MAN OF GOD. AMEN KUBWAAAA

  • @aurorarose1815
    @aurorarose1815 Год назад +7

    Wameamua kuua usharika. Mimi ni Over and out. Lutheran majungu, siasa na wivu ndivyo vinaua kanisa la Lutheran

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 Год назад +1

    16.1.23 nimemsikiliza BABA Dr. ELIONA KIMARO KIMARO mchj Kiongozi kkkt KIJITONYAMA EVENING GLORY, lkn GHAFLA SANA akatoa taarifa ya kuwaaga . Basi TUUU! MUNGU AZIDI kumpa NGUVU na FAMILIA YAKE iimarike. Na leo namsikiliza TENA ya JANA. Eeeh MUNGU! Amen

  • @reginamaghisa4830
    @reginamaghisa4830 Год назад

    Ameeen 🙏

  • @HighlyFavored-zk4me
    @HighlyFavored-zk4me Год назад +2

    Shetani hana nafasi. Tote yatapita Baba Mchungaji. Tunakupenda na kukuombea!

  • @melanieonassis4296
    @melanieonassis4296 Год назад

    Kwakwli naamini tukisimama kama kanisa na kuomba mchungaji arudishwe; natumaini watamrudisha. Bwana Yesu endelea kumuongoza na kumpigania Mwl.mchungaji Eliona kimaro

  • @carolinepazi3730
    @carolinepazi3730 Год назад

    😢 jmn ..we gona miss you pastor kimaro❤️

  • @hildamatemu2836
    @hildamatemu2836 Год назад +2

    Jamani mm naishi Kilimanjaro kila siku nasikiliza mahubiri ya huyu Mchungaji nayamenijenga sanaaa. Uwiii jmn watu hawafanani kila mtu anakipaji chake aachwe atuhubirie ss tumefunguliwa sana na mahubiri yake.

  • @jescamacharia5716
    @jescamacharia5716 Год назад +2

    Mungu ataki kuitwa Mungu

    • @irinechalo6079
      @irinechalo6079 Год назад

      Luth mbona majungu sana Yuko pamoja baba popote ulipo tupo

  • @joshuamatemba7644
    @joshuamatemba7644 Год назад +5

    Bora wangeacha basi hata Hii seminar iishe kwanza hizi wiki mbili !!,Najaribu ku_imagine bila uwepo wake hapa 😑😑

  • @hilgathjoshua8804
    @hilgathjoshua8804 Год назад +3

    Kweli baba usiku wa leo umeniacha kivingine 😭

  • @hildermarwamarwa5935
    @hildermarwamarwa5935 Год назад +3

    Unaweza kufanya hata yale yalioshindikana !!! Hata hili Yesu atalifanya kuwa la Baraka tunakuombea Mchungaji Kimaro umetuombea saana kwa kujitoa na hujachoka !! 😢😢

  • @emmamnzava9372
    @emmamnzava9372 Год назад

    You'll forever be missed Baba Mchungaji. Ni ghafla mno. Ni majonzi jamani. Mungu akulinde na akubariki daima. Forever loved.

  • @liliannamanofficial
    @liliannamanofficial Год назад +2

    Oooh my God 🙆🙇🙇😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @florabuzoya3948
    @florabuzoya3948 Год назад

    Mimi ni Roman Catholic ila huwa ki ukweli sikosi mafundisho ya mchungaji kimaro morning glory and evening glory,nakua kiimani sana juu ya mafundisho yake

  • @hilgathjoshua8804
    @hilgathjoshua8804 Год назад

    Likizo njema Baba mchungaji Kimaro❤❤❤

  • @mamatriplee5638
    @mamatriplee5638 Год назад +3

    Nyi kiki ikyi mndumii ruwa. Hoi ruwa mtonga .Lutheran ndio nini hivi. Mchungaji Kimaro sijui nisemeje siku 60 alaf tena utorudi kjt. Mungu wangu kwa hiyo tusemeje. Mungu tunakulilia wewe ututetee.. Neno lako lisimame daima na mtumishi wako..

  • @happinessselemani3182
    @happinessselemani3182 Год назад

    AMEN

  • @ekekitchen6278
    @ekekitchen6278 Год назад

    Jamani..😭😭😭😭

  • @jennytugara9470
    @jennytugara9470 Год назад +2

    Tunakutakia likizo njema you will be missed. Popote utakapokwenda utembee na vivuli vyetu. Umetufundisha upendo wa Agape na udumu katikati yetu milele🙏🏾

  • @mussaelia8693
    @mussaelia8693 Год назад

    Imekua gafla sana

  • @shukranikeneth1848
    @shukranikeneth1848 Год назад

    Umeomba kwa uchungu 😭🥲

  • @hilgathjoshua8804
    @hilgathjoshua8804 Год назад

    Ameni Ameni

  • @hellenrobinson2566
    @hellenrobinson2566 Год назад

    Mungu tunaomba uingilie kati🙏

  • @venuskimei6127
    @venuskimei6127 Год назад

    Mungu akuongoze na kukupigania, tunakupenda na kukuombea kila la kheri utakapoenda nina imani kukuona tena mtandaoni

  • @florabuzoya3948
    @florabuzoya3948 Год назад

    Hata hili litapita

  • @kaylamariani3142
    @kaylamariani3142 Год назад

    Eeeeh mungu utu hurumie jaman na umlinde na baba yetu

    • @suzanaringo9424
      @suzanaringo9424 Год назад

      Tunakupenda sana .MUNGU AKUSIMAMIE DR KIMARO NA HILI LITAPITA .MUNGU INGILIA KATI USINYAMAZE MUNGU WANGU.

  • @justinamautice9730
    @justinamautice9730 Год назад +1

    MUNGU ndie aliekupa kamara na kipawa no one will take it no matter what mchungaje wetu pendwa Dr. ELIONA ISACK KIMARO, ikiwa ni mpango wake na akutangulie popote utakapokuwa na kamwe usipungukiwe ikiwa sio basi na aingilie kati na kumuhaibisha shetani. "We will miss you Dadii"🙏

  • @shuca
    @shuca Год назад +1

    Mungu azidi kukubariki Mchungaji Dr. Kimaro

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 Год назад +3

    Tuko pamoja Baba Dr Eliona Kimaro, tutafunga na kuomba, hilo litapita tu, hatuwezi kuwa yatima huku nje. Mungu akubariki akutie nguvu. Hilo litapita kama mengine. Yesu ataingilia Kati tu. Devil is a liar.

  • @brightnjau651
    @brightnjau651 Год назад +4

    Kijito tumekwishaa🥹

    • @bahatizuberi9265
      @bahatizuberi9265 Год назад +3

      Ameondoka mchungaji hajaondoka Mungu kijitonyama. Fikiri katika hali chanya. Anapoondoka mchungaji tuliyemzoea katika sharika zetu huwa tunasikitika. Lakini Mungu yupo kutuwezesha kuendelea alipoishia anayeondoka. Ni wajibu wetu waumini kuomba moto wa madhabahuni usizimike na kumuombea anayeondoka akawe imara zaidi katika Bwana Yesu kule atakapopelekwa.
      Kijitonyama hamjakwisha.

    • @rehemamkamba9027
      @rehemamkamba9027 Год назад

      @@bahatizuberi9265 amina

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 Год назад

    Likizo ya siku 60, 17.3.23 kuripoti Dayosis! Mchungaji ANNA ndiye anashika nafasi yake. Eeeh MUNGU uwalinde watumishi wako hawa. Sisi mimi naamini MUNGU atatulinda nasi tupokee KUTOKA kwako. Amen.

  • @catherinemmudi9900
    @catherinemmudi9900 Год назад

    Mungu akutangulia popote utakapo kwenda

  • @norahngowi1457
    @norahngowi1457 Год назад +1

    Naota au? Jamani? What’s that? 😢

  • @glorylyaro2645
    @glorylyaro2645 Год назад

    😭😭😭😭😭

  • @catherineaugustine7124
    @catherineaugustine7124 Год назад

    Aminaaaaa🩸🩸🩸🩸

  • @christineamukoye9969
    @christineamukoye9969 Год назад +1

    Ligizo ya gafla miezi 3??? How? And why???Yani mimi nimevurugwa vibaya mno. MUNGU unaye mtymikia asimame nawe hakika Mchungaji kimaro umenitoa mbali sana nilipokuwa gizanai, how i will miss you?😳😳🇰🇪🇰🇪

  • @theresialubida161
    @theresialubida161 Год назад

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @suzanashiyo3755
    @suzanashiyo3755 Год назад

    😭😭😭😭😭😭

  • @helenabagege66
    @helenabagege66 Год назад

    😢😢😢😢🙆🏻‍♀️🙆🏻‍♀️

  • @henrytarimo9802
    @henrytarimo9802 Год назад

    Cha MUNGU kitabaki kuwa cha MUNGU tu. Hakuna hali inayodumu. Hili nalo litapita.

  • @elizatete1452
    @elizatete1452 Год назад

    Mungu alitazame hili lipite imekuwa ghafra mno tulikuzoea babaetu umetufundisha mengi na sasa tulijipanga wiki mbili kukusikiliza mafundisho yako yanatupeleka mahali

  • @kabykaby
    @kabykaby Год назад +1

    Daddy .🤔

  • @ramadhaninnko6766
    @ramadhaninnko6766 Год назад

    Ee MUNGU simama na mchungaji wetu

  • @neemaminja6128
    @neemaminja6128 Год назад

    Mdumii ruwa akusongoye kyeri kyose piu

  • @ciciray5676
    @ciciray5676 Год назад

    Huyu mchungaji watu hawamuelewi kuwasifia waislam kuna kosa gani sasa waislam wanaweza kuja kanisani kwasababu mchungaji kawaona na kanisa linakuwa .... Watu hawapendi ukweli

    • @rehemamkamba9027
      @rehemamkamba9027 Год назад

      Nawala sio sifa za uongo mimi niko nchi za kiislam na kweli wengi wao ni waaminifu na hawapendi dhulma lakini wabongo ni wapigaji kila sekta na ukiwafuatilia utakuta ni mkristo sasa kuna ubaya gani kukemea dhambi

  • @fortunataakyoo5547
    @fortunataakyoo5547 Год назад

    MUNGU tukumbuke

  • @hellenrobinson2566
    @hellenrobinson2566 Год назад +3

    Jamani why why why

    • @salomemjema8242
      @salomemjema8242 Год назад +1

      Nimeumia sana. Mungu Anajua jinsi Ninavyobarikiwa na Madhabahu Hii. Mchungaji wangu sielewi kwa nini uhamishwe muda huu

    • @doreenmboya3502
      @doreenmboya3502 Год назад

      😭😭Roho mtakatifu ingilia kati wewe tu watosha

    • @irinechalo6079
      @irinechalo6079 Год назад

      Baba nimelia Sana na nitazidi kulia ninashukiru kwa mafundisho yako mungu akupe afya hekima nguvu baba tulikupenda sana

    • @irinechalo6079
      @irinechalo6079 Год назад

      Imenitoa mbali mpaka leo nimetoka Moshi kupaua nnyumbaije niwahi semina

    • @irinechalo6079
      @irinechalo6079 Год назад

      Mch,
      Eliona kimaro tunakupenda Sana tunabaki na kigugumizi kma Musa hata uamishiwe wapi tunahama nawe

  • @francisparmuat5501
    @francisparmuat5501 Год назад

    Sasa kama mchungaji kimaro hana imani na wachungaji wenzake kw kusema wote ni matapeli na wakristo waumini anaowafundisha wote ni matapeli kuna haja gani kuendelea kuwahubiria? Ina maanisha na yeye ni tapeli moja wapo kw kukiri kuwa hata wanaosimama madhabahuni ni matapeli, sifa za kutaka umaarufu mitamdaoni unakuponza mch kimaro,

  • @catherineaugustine7124
    @catherineaugustine7124 Год назад

    From to bitter to better🩸🩸🩸🩸🖐🏼

  • @Delinahproducts
    @Delinahproducts Год назад +2

    Mungu asimame na wewe Baba

  • @carolinerubeya7817
    @carolinerubeya7817 Год назад +1

    😭😭😭

    • @lindamkanza5963
      @lindamkanza5963 Год назад

      YOUR THE MAN OF GOD REV.KIMARO! WATASHANGAA WAO MAANA NDIO MUNGU ANAKUPELEKA VIWANGO VYA JUU ZAIDI. WE LOVE U SOOOO MUCH🕊🤲🙏🏻

    • @fortunataakyoo5547
      @fortunataakyoo5547 Год назад

      Sadaka zako mchgaj Mungu azikumbuke nazikafanye Vita juuu ya hayo yanayoendelea