PART 2 - "DIAMOND Simchukii, Nipo Tayari Kufanya Nae Kazi" - OMMY DIMPOZ

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 117

  • @lapozzydone5203
    @lapozzydone5203 5 лет назад

    Chuki binafsi upaswi kuzileta kwenye kazi za watu Ndugu yangu Mwijaku..Maswali yako yanadhiirisha chuki binafsi kwa upande wa pili.
    Mdogo wangu Ommy Asante kwakua makini na maswali ya kukujengea chuki kwa wenzio.Usijaribu kurudia yale makosa tuliyoyatatua nyuma mdogo wangu kua makini sana na watangazaji wanafik wanao kukosanisha na wafanyi biashara wenzio..uwezi jua kesho yako itangukia wapi.

  • @naybakari3490
    @naybakari3490 5 лет назад +1

    Big up ommy wangu 😘😘😘😘

  • @allykassim9826
    @allykassim9826 5 лет назад +6

    Mwijaku utapotea.. Amin inachokwambiya. Sababu hapo ulipo unahoji maswali kwa utashi wajo binafsi. Upo ovyo sana. Na intevw mbovu kwa kweli.

    • @sammahababoy5794
      @sammahababoy5794 5 лет назад

      Weeewe unaemuombeaa duuah mbayaa mwijaku wewe namama mangapi achaa kuaanziaa watuuu lakufanyaa unachokiaamini

  • @derrickmalivah2479
    @derrickmalivah2479 5 лет назад

    Ommy Ni msanii mdogo sana Kwa diamond.level yake Ni akina mboso.hauezi ukamlinganisha na msanii kama diamond.ommy anajulikana Tanzania.Kenya sehemu chache.haezi linganishwa na msanii international kama diamond.kama kiba yuko chini ya diamond sasa utakuwa ommy.wcb label kubwa inajulikana kote duniani.rockstar bado wako chini.mwinjaku uko na shida sana.Tania za uke izo

  • @emmanuelshinyanga6459
    @emmanuelshinyanga6459 5 лет назад

    Mwijaku we mseeeew sana

  • @snowwhite4670
    @snowwhite4670 5 лет назад +1

    Good man

  • @aminahamiyu8471
    @aminahamiyu8471 5 лет назад

    Mwijaku safi saaana

  • @oldboy3760
    @oldboy3760 5 лет назад

    unazinguaaaaaaaaaaa mwijakuuuuuuu

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 5 лет назад +3

    Huyu Ommy anaongea points sana... Alafu huyu Mwijaka yuko na chuchu Sana... 😆 😆

  • @mariamkingu9577
    @mariamkingu9577 5 лет назад +1

    Jamani mwijaku unamuulizaaswali yalinafki ommy hajazoea unapenda kuwadis wasafi jamani duuuuuuuuuu

  • @davidmpungu8502
    @davidmpungu8502 5 лет назад +1

    Ommy utakosa mashabiki ukimsikiliza Mwijaku Diamond uwezo anao ila wivu sana umezidi.

  • @abbaxsaid8442
    @abbaxsaid8442 5 лет назад

    Nzuri

  • @aclejohnlee2968
    @aclejohnlee2968 5 лет назад +1

    Big up Mwijaku

  • @abdallahmakame5260
    @abdallahmakame5260 5 лет назад +1

    Sound haijakaa sawa

  • @dangote7496
    @dangote7496 5 лет назад

    Mwijaku...pambana na hali yako mkunduo!!

  • @jafarikule7300
    @jafarikule7300 5 лет назад +8

    Yaani mwijaku wasafi sijui wamemfanya nini

  • @emmanuelkaaya938
    @emmanuelkaaya938 5 лет назад +2

    Sijaona chemistry ya watangazaji hapo embu jipangeni freshi mnauliza maswali ovyo ovyo 🙃🙏

  • @josephmsusi9424
    @josephmsusi9424 5 лет назад +5

    Me niwachane tu ebu jipangen hamna chemistry watangazaji

  • @mbodzebemasika7477
    @mbodzebemasika7477 5 лет назад +1

    Mwijaku 🤗kidaku

  • @mesutozil6890
    @mesutozil6890 5 лет назад +10

    Huyu mwijaku Hana hata kipaji cha utangazaji yeye kakalia chuki tu na wasafi km chokolisim omy mwenyew Hana hata mood ya kujibu maswali wanaomuuliza hawajielewi

  • @franksam8581
    @franksam8581 5 лет назад +5

    Hahaha WCB hatari paparuka rukakaaa paaa 😭😭😭😭

  • @walterjohn7415
    @walterjohn7415 5 лет назад +2

    Mwijaku atakuwa sio rizki

  • @chiefkaitaba.m.9466
    @chiefkaitaba.m.9466 5 лет назад

    Mwijaku ni matako eti RockStar mko mbele sana jamaa hajuhi Record huyu,achana na WCB ww fala pumbu ww😎

  • @paschalewamtaa726
    @paschalewamtaa726 5 лет назад +3

    Mwijaku sio riziki

  • @rasvegas8991
    @rasvegas8991 5 лет назад +1

    Mwijaku mbuzii

  • @hamzanasry8011
    @hamzanasry8011 5 лет назад +6

    Mmmmmh yani inaonekana wcb unawafatilia sana.siofresh

  • @paschalewamtaa726
    @paschalewamtaa726 5 лет назад +7

    Jamaaa shoga mwijaku uchunuzwe

    • @alimussa2655
      @alimussa2655 5 лет назад

      Kuandika hujui wewe ndo uchunguzwe

  • @hamzadimpoz391
    @hamzadimpoz391 5 лет назад +8

    Huyu mwijaku atapata mimba mwanaume mzima

  • @boazambokile8842
    @boazambokile8842 5 лет назад

    😳😂😂😂 Mwijuku baba leo naona upo Wcb

  • @allyshabani8680
    @allyshabani8680 5 лет назад +1

    Shigongo be care na uyu mwijakunya atakuharibia kaz

  • @rasvegas8991
    @rasvegas8991 5 лет назад +7

    Nilikua naangalia lakini mwijaku umeharibu kipindi mbuzi wa mila

  • @salumjumah5648
    @salumjumah5648 5 лет назад +1

    PKP ni Rock star tenaaaaa

  • @sofiaasukuku8238
    @sofiaasukuku8238 5 лет назад

    Mwijaku anaga jipia majungu tu ,kwanza kaharibu kipindi

  • @mouradiali5164
    @mouradiali5164 5 лет назад +4

    Mwijaku wacha umbea hata Ommy Dimpoz anakuolea kizuri hhhhhh

  • @ombeniibawa4481
    @ombeniibawa4481 5 лет назад +2

    mwijaku atakua anafoko#

  • @franklinemoi8516
    @franklinemoi8516 5 лет назад +5

    Huyu mwijaku kafaa kutafutiwa sketi hafu tusubiri kumwish happy mothers day.😂😂😂😂😂😂😂

  • @latestminhokidonly1734
    @latestminhokidonly1734 5 лет назад

    Ili lijamaa lenye upalaaa na nyama za shingoni silipendi

  • @jumarashidi2476
    @jumarashidi2476 5 лет назад +4

    Mwijaku nahic anatatizo sijui nikiakili or laaaa! Ila komaa bado hujachelewa

  • @alimussa2655
    @alimussa2655 5 лет назад +3

    😂😂😂😂 mwijaku bwana

  • @sofiaasukuku8238
    @sofiaasukuku8238 5 лет назад

    Nawewe video za sh 2000

  • @hamzadimpoz391
    @hamzadimpoz391 5 лет назад +5

    Diamond ni maji jamani

  • @justinkibonge8426
    @justinkibonge8426 5 лет назад +2

    Hako ka kademu cheupe kanavomcheki dmpoz

  • @omaryntagala3740
    @omaryntagala3740 5 лет назад

    Mwijaku shoga

  • @goodboi9821
    @goodboi9821 5 лет назад

    Na itakuwa ni Mara yangu ya mwisho kukitizima kipindi hiki. Mwijaku akiachishwa kazi mniite nirudi

  • @oldboy3760
    @oldboy3760 5 лет назад

    mwijaku unaalibu kipindiiiii

  • @munashabani1376
    @munashabani1376 5 лет назад +1

    Uyu jama Kiki ina musubumbua sanaa

  • @hkmeme5437
    @hkmeme5437 5 лет назад +6

    Mwijaku maswali yake ya kishoga kweli chuki tu, kumamake

  • @kasabukuanthony6208
    @kasabukuanthony6208 5 лет назад

    Fake it till you make it

  • @jamilaomar9860
    @jamilaomar9860 5 лет назад +6

    Mwijaku wacha umbea bahna uliza maswali ya kimsingi

    • @ambrosmtupili4668
      @ambrosmtupili4668 5 лет назад +1

      WCB ndio record rebel iliyokamata mziki wa bongofleva kwa sasa,acha tu atapetape na wafamaji wenzake...""

  • @juliussinkala2167
    @juliussinkala2167 5 лет назад

    WCB ndo kiboko ya mjini

  • @evaristmandilindi6147
    @evaristmandilindi6147 5 лет назад +2

    Et baada ya kucheza hii nyimbo girl umezngua ni wimbo sio nyimbo

  • @agrotako8040
    @agrotako8040 5 лет назад +3

    Unalega wcb
    Tambua diamond ndo kamjulisha inje ya nchi 🇬🇧 mpaka 🇺🇸 alafu unaoji ukuma tu natamani kiki shoot we fala

    • @ashamlosi1899
      @ashamlosi1899 5 лет назад

      Ali kiba

    • @stevewanga957
      @stevewanga957 5 лет назад

      Alimjulisha Nani nje ya Nchi.... Ww hauna jipya

    • @mwajuma74
      @mwajuma74 5 лет назад

      Diamond kwani ni mungu? Munamubudu kama ambae anawalisha na kuwalipia bills zenu . Hata pesa ya bando mnatafuta kwa jasho ili tu mu comment. Angalieni maisha yenu kwanza muwe tajiri sio kusifu mtu ambae hata hawajuwi mumekula au mumelala njaa. Nyinyi mashabiki wa Diamond mna shida kweli na nawaonea huruma sana.

    • @jasmineshechambo3401
      @jasmineshechambo3401 5 лет назад

      @@mwajuma74 saf sana lv nimekuelewa sana

    • @agrotako8040
      @agrotako8040 5 лет назад

      nancy lutta ukweli utabaki kuwa ukweli tu
      Sio ushabiki rafik yangu

  • @rajaytz7655
    @rajaytz7655 5 лет назад +1

    Mwinjaku acha ujinga
    Unatengeza beef lalazima kwa wasafi

  • @davidmpungu8502
    @davidmpungu8502 5 лет назад

    Mbon intervew inaonekana kama imebez kwenye kumkosoa msaani Diamond inamana mwijaku umekosa maswali.

  • @ramajuma0253
    @ramajuma0253 5 лет назад

    yan mwaijaku nikuma anakalia kudixi wasafi

  • @sadyroger7624
    @sadyroger7624 5 лет назад

    We mwinjaku kama sio choko sijui hivi ww Una ujuwa mziki kweli wana muziki wenye mafanikio lazima wawe na mitiani. Akuna k2 raisi Acha unafki ww mwinjaku

  • @jumarashidi2476
    @jumarashidi2476 5 лет назад +2

    Hivi mwijaku anakipi chakumfanya awe mmbeya kiac hicho

  • @oldboy3760
    @oldboy3760 5 лет назад +1

    mwijaku auna sifa ya utangazaji iyo siyo interview iyo ni chokochoko

  • @munashabani1376
    @munashabani1376 5 лет назад +5

    Yani weweee mwinjaku ni mnafkii sanaaa

  • @kagoggoalfred2730
    @kagoggoalfred2730 5 лет назад +4

    hii ni interview au story telling ,guy talks are too much.

  • @hamadnasri5251
    @hamadnasri5251 5 лет назад

    Yaan ww .mwijaku umekalia kuichokonoa tu wasaf wasaf huna unalo fanya apo

  • @derrickmalivah2479
    @derrickmalivah2479 5 лет назад +2

    Mwinjaku unawivu.Kwa diamond.jealousy will kill you.diamond is on top in everything.acha kujiabisha on radio shame on you

  • @husseinshaban21
    @husseinshaban21 5 лет назад +3

    mbona ommy ni mdg sana kimafanikio kwa mondi,nahisi ata harmonize tu kamzidi saivi,mbona mnapeana moyo kwenye amna

    • @winfredmoki1573
      @winfredmoki1573 5 лет назад +1

      Ommy dimpoz music is real .he is qualified

    • @jasmineshechambo3401
      @jasmineshechambo3401 5 лет назад

      Yote ya mungu hussein alichokosa ommy na alichonacho mond mungu ndio anajua jina lako mashaallah hussein lakn upo na mambo ya kishetan ujue HIV kuna kitu ommy anacho ila mond hana na kuna kitu mond anacho ila ommy hana

    • @magangajesca6939
      @magangajesca6939 5 лет назад

      Kila mtu na fungu lake kaka

    • @jasmineshechambo3401
      @jasmineshechambo3401 5 лет назад

      @@magangajesca6939 ❤

    • @magangajesca6939
      @magangajesca6939 5 лет назад

      @@jasmineshechambo3401 thanks

  • @issashabanihusseniwewe9024
    @issashabanihusseniwewe9024 Год назад

    Tafuteni viti vya kukalia alafu icho kiofisi ji kidogo mnabanana to humo ndani

  • @salmaothman153
    @salmaothman153 5 лет назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂mwijaku ulipo nipo

  • @hansvangela6349
    @hansvangela6349 5 лет назад

    hv huyu mwijaku anajhucsha na nn hapa mjn ?

  • @Frankenstein-th3vb
    @Frankenstein-th3vb 5 лет назад +1

    Aisee Mwijaku badilika kaka, maswali yako yana chuki sana kwa upande fulani!

  • @sofiaasukuku8238
    @sofiaasukuku8238 5 лет назад

    Toka uko pumbavu ,,bifu lako nisababu ya diamond alikataha kuku sajili wewe fala ommy

  • @priscillaamossen8249
    @priscillaamossen8249 5 лет назад +1

    Acheni kutukana watu kwa ajili ya vitu personally,, kosoa kipindi kama kina mapungufu, na ukikosoa waambie kitu gani kitafanya program iwe nzuri sio kwenye na issue person.. kipindi ni kizuri, tatizo Tanzania wasomi wachache... mmeshazoea kudanganywa ndio maana hamuwapendi wanaoongea ukweli.mnadhani watu wanaopewa kazi either analala na mwenye Mali au ameonga hamna Imani kuwa watu wamepata nafasi kwa sababu wanapaswa na wana elimu, mbona mkija hospital hamsemi Yule nurse au doctor amehonga kupata kazi... elimu ni muhimu jamani, hata kama hukuwa na nafasi ya kusoma kitato cha Sita au university.. someni vitatu, Maktaba zipo nyingi, badala ya kununu internet kuandika ujinga , tumieni kujielimisha...

  • @hamishalidy5696
    @hamishalidy5696 5 лет назад +7

    Achekiwe akili yake manake anasaka kiki wasafi kwa nguvu

  • @hamishalidy5696
    @hamishalidy5696 5 лет назад +2

    Kipara Kama ugali mnafiki

  • @samtelah7578
    @samtelah7578 5 лет назад +3

    Poor enterview aisee global mmefel sana kumleta mwijaku hapo aisee

  • @davidmpungu8502
    @davidmpungu8502 5 лет назад

    Intervew gan hii hamna hata comment 1 ya kusifiwa hamuoni kama mmeanza vibaya aise mmefeli, WCB4LIFE hii leble ni chama la wana hamna cha ROCKSTAR wala nini wote ni watoto sana hata show zao za kubangaiza.

    • @jasmineshechambo3401
      @jasmineshechambo3401 5 лет назад

      David bint roho mbaya haijeng ila inabomoa halfu ROCKSTAR hawalali njaa kama ww shoga angu acha unafiki kijana wa kiume pambana na hali yako achana na wanaume wenzako choko ww mweee

  • @emmanuelkaaya938
    @emmanuelkaaya938 5 лет назад +3

    Sauti za mic zipo juuu poor production

  • @priscillaamossen8249
    @priscillaamossen8249 5 лет назад +7

    Kwa nini watanzania mna roho Mbaya.? Sasa mwijaku kafanya nini mnadhani waliompa kazi wajinga tafuteni pesa Mende shule mpate elimu.. Kila siku mnatukana watu wakati pesa ya kulipa kodi, chakula , matibabu zinawashinda .. angalia kipindi kama hupendi nenda channel nyingine.. kutukana watu haisadii, wenzenu wameenda shule.

    • @dominicchigumila2856
      @dominicchigumila2856 5 лет назад +1

      usikumbatie ujinga mwijaku anazingua,

    • @mlokolekaokoka8962
      @mlokolekaokoka8962 5 лет назад +1

      Priscilla Amossen NIMEKUELEWA SANA NWIJAKU YUKO SAWA SAWA .

    • @priscillaamossen8249
      @priscillaamossen8249 5 лет назад

      Dominic Chigumila Tati our hupendi kitu angalia a kingine sio kutwa watu watukana wenzao, tujifunze kuangalia vya kwetu kwanza.

    • @munashabani1376
      @munashabani1376 5 лет назад +1

      Nyinyi makuma tuu unafkii ndiio umewakalisha Apo tuu kazi kuwasema vibaya w b c

    • @rostamkamazima1012
      @rostamkamazima1012 5 лет назад +1

      We mwenyewe boya tu