#TBCDIGITAL

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 апр 2024
  • Mbunge wa Viti Maalumu, Neema Mwandabila amesema Kikokotoo cha wastaafu kipo vizuri na kinawaweka wastaafu katika hali nzuri.
    Mwandabila amesema hayo leo Bungeni jijini Dodoma wakati akichangia Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2024/2025 na kuongeza kuwa mara baada ya kupatiwa elimu na mamlaka husika aliona Kikokotoo hicho kinamsaidia mstaafu na kuitaka Serikali itoe elimu kwa watumishi ili wawe na ufahamu wa kutosha.
    “Katika fedha ya mkupuo wanayopewa ni fedha ya kutosha ambayo ni asilimia 33 kutoka asilimia 25 waliyokuwa wanapewa awali, ambapo kuna ongezeko la asilimia 8 ambazo wananchi huenda hawana ufahamu mzuri wa walichokuwa wanakipata kwa sasa kipoje, wastaafu walikuwa wanachoka sana.” amesema Mwandabila
    ✍🏾 @clementsilla
    #BungelaBajeti #Bungeni #TBCdigital #TBCupdates

Комментарии • 51

  • @aidankakulu398
    @aidankakulu398 2 месяца назад +2

    Mbwa koko mmoja anazungumza limama la hovyoooooooooooooo tahiraaaaaaaaa

  • @peterjanuary1067
    @peterjanuary1067 Месяц назад

    Fara sana huyu mother halafu ukute ana watoto nyumbani SI akatwe yeye hicho kikokotoo

  • @joharimtango4986
    @joharimtango4986 2 месяца назад +1

    Nadhani huyu mtu ana upungufu kichwani. Na kwa vile Mungu ni fundi Mkuu na akafanye kazi yake

  • @mkolwebrown4599
    @mkolwebrown4599 2 месяца назад +1

    Toeni hela ya mtumishi yoote

  • @TabuManga
    @TabuManga 2 месяца назад +1

    Mama bora ungeacha kusema kuliko machungu unayo tupa kikokotoo hakina hata chembe ya ubora ni mateso mateso mateso mateso tunaomba wabunge mtutetee kadri mungu atakavyo wajalia nasi tuko nyuma yenu tunawaombea

    • @robertmhilu132
      @robertmhilu132 Месяц назад

      Msikae nyuma ya wabunge muende nao sambamba

  • @user-yp5uz6kk1b
    @user-yp5uz6kk1b 2 месяца назад +1

    Huo ushuzi unaoongea sijui umeutoa kwa wastaafu au umetoa Tu kichwani kwako. Uliza Kwanza wahusika ndio uongee.

  • @liberatusmsasa7103
    @liberatusmsasa7103 2 месяца назад

    Du! Tuna safari ndefu sana!

  • @lidyateddy6950
    @lidyateddy6950 Месяц назад

    Kama ni mbuge huyu mama sijui kama watampa kura tena😅

  • @emmanuellawrence2434
    @emmanuellawrence2434 Месяц назад

    Nikifariki icho kikokotoo kitanisaidia kaburini...

  • @JamesChrizestome
    @JamesChrizestome 2 месяца назад +1

    Nafikiri Kuna nia ya kujitafakali kwanza kabla ya kukujibu,

  • @josephmchila6467
    @josephmchila6467 2 месяца назад +1

    Mh.mafunzo uliyopata hukuyaelewa kabisa, kikokotoo siyo kizuri,siyo swala la kuelimishwa,tunaelewa.

  • @mohamoudhussein4570
    @mohamoudhussein4570 2 месяца назад

    Hawa watu Wakitukanwa huwaga wanasema Wanaonewa.Walipeni watu hela zao zote.Mbona Nyie munaliowa hela yenu yote?Wacha Porojo mpuuzi mmoja.Mungu akulaani wewe na Ukoo wako.

  • @abadimapunda7218
    @abadimapunda7218 Месяц назад

    Kwa kifupi tumewachoka na dhulma zenu

  • @gervastoyi6858
    @gervastoyi6858 Месяц назад

    Mbunge na mtetezi wawanyonge huyo! Huyo sijui hao waliomfundisha ni walimu gani! Apewe hiyo hela kama jasho halitamtoka.
    Kwa kifupi hafai luwa mtetezi wa wanyonge.

  • @andrewmasele1963
    @andrewmasele1963 2 месяца назад +2

    Hivi wachawi mpo? Ebu tusaidieni kumroga huyu mbunge asiye na maana huyu

  • @mohamedmillanzi9070
    @mohamedmillanzi9070 Месяц назад

    Ukiwa na wabunge 10 tu kama huyu mmekwisha

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 Месяц назад

    Huyu mama achunguzwe inawezekana ni mtoto wa kufikia ama aliingilia ndoa ya mtu

  • @robertmhilu132
    @robertmhilu132 Месяц назад

    Kama kweli ni kizuri kwanini walalamike ulivyo fundishwa na kinachofanyika ni tofauti

  • @matildamfoi8313
    @matildamfoi8313 Месяц назад

    Huna huruma kabisa

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 2 месяца назад

    Wananchi ambao huyu Mbunge anawawakilisha poleni Sana kumchagua Kilaza. Anatoka Mkoa gani huyu?

  • @user-fi6kz8lk7u
    @user-fi6kz8lk7u 2 месяца назад

    Huyu mama wa wapi? Anawazaje? Kwakweli kama huyu ndio mwakilishi wa wananchi tunabahati mbaya sana!

  • @gideonmwampyate8458
    @gideonmwampyate8458 Месяц назад

    Kachaguliwa na wananchi huyu .anatakiwa 2025 asirudi Tena bungeni. Ni mtu hatari sana!

  • @abadimapunda7218
    @abadimapunda7218 Месяц назад

    Ulipewa mafunzo ya kuwadhurum wastaf? Mbona nyinyi mkimaliza muda wenu mnachukua pesa zote,hivi mnawachuliage wastafu ,kwamba hawana uwezo wa kuzitumia au inakuaje?

  • @nicasliberath5519
    @nicasliberath5519 2 месяца назад

    N yeye tukimpa asilima 33 atatobo au anongea upuziii

  • @oswaldtemba2770
    @oswaldtemba2770 2 месяца назад

    Kama kuna mtu mpuuuzi duniani wewe ni namba moja.
    Hovyo kabisa mtu mzima.

  • @edwardyohana190
    @edwardyohana190 2 месяца назад

    Huyu sijui ana akili gani bora anyamaze

  • @oswaldtemba2770
    @oswaldtemba2770 2 месяца назад

    Fala kabisa.tunakuombea kwa mungu usiishi zaidi ya mwezi mmoja.hayawani mkubwa.mshahara wako wa miezi miwili ni zaidi ya kikokotoo cha mtumishi aliyetumikia nchi yake kwa uadilifu kwa zaidi ya miaka 30.punguani mkubwa weee. Nakisubiri mahakamani

  • @davidmziray2048
    @davidmziray2048 Месяц назад

    Political thieves

  • @deomusyebi9930
    @deomusyebi9930 Месяц назад

    Yaani wewe mama usijifanye umeelimika mpuuzi wewe , wewe mbona hukatwi kwenye mshahara wako unaonekana Huna mtoto pia nafikiri wewe ni mbunge wa viti maalum kwa kuwa Huna unachochangia hapo ili mradi humo mjengoni

  • @oswaldtemba2770
    @oswaldtemba2770 Месяц назад

    Hujafa tuuu pumbavuuuuuuuuuu

  • @andrewmasele1963
    @andrewmasele1963 2 месяца назад +1

    Na nyie wabunge mpate mafao yenu yafanyike kwa kikokotoo

    • @AlbertSabo-hp3ss
      @AlbertSabo-hp3ss 2 месяца назад

      Waanze kulipa kodi kwanza. Maana hawa wabunge hawalipi kodi ndio maana wanaongea upuuzi

  • @eddymapega8978
    @eddymapega8978 2 месяца назад

    Kisukari chukua huyuuuuuii

  • @abdilahjuma2493
    @abdilahjuma2493 2 месяца назад

    Ila wewe huna adabu,

  • @daudimaembe3360
    @daudimaembe3360 2 месяца назад +1

    Yote hayo tunayajua na ndiyo tunayoyakataaa,wewe ni mbunge wa wapi?Kama ni viti maalum ni halali useme hivyo.Ila kama ni mbunge wa jimbo utatukuta.Unadhani watumishi wa serikali ni malofa?

    • @oswaldtemba2770
      @oswaldtemba2770 2 месяца назад

      Aliingia bungeni kwa rushwa ya ngono. Danga tu hilo.bora hata mavi.yanaweza hata yakawa mbolea.kuliko huyu mama

  • @janekapinga5377
    @janekapinga5377 Месяц назад

    Wananchi wa jimbo la huyu mama kuweni makini sana uchaguzi ujao.Huyusi mtetezi ni muonezi tu.Mbona nyie wabunge hamuusishwi na kikokotoo?Mungu atawalaani sana hadi vizazi vyenu kwa uonevu wenu.Kwa nini mnatulazimisha?

  • @abduljunior7288
    @abduljunior7288 Месяц назад

    Wewe mbunge Kama hujafanya utafiti usizungumze! Unatia hadi aibu,mtu aliyekuwa analipwa M 120 sasa analipwa M 50+ je hapo imeongezeka 8%? yaani mpaka nimekuhurumia umeyaongea ya nini kama huyajui?

  • @aidankakulu398
    @aidankakulu398 2 месяца назад

    We mbwa wewe na wewe si mtumishi?? Unahusika kwenye hicho kikokotoo???? matako wewe

  • @nicasliberath5519
    @nicasliberath5519 2 месяца назад

    Huyu mbunge tuna wasiwasi alifukaje bungeniii ..pitisheni n nyie kikokoteo kiwahusu mbona nyie mnapewa hela zenu zotee .....

  • @makameali2133
    @makameali2133 21 день назад

    Huyu mbunge wa kuteuliwa Nini? Hawao walio kufundisha wamekupiga change la macho
    Kawailize mwenyewe wafanya kazi Ili wakupe uhalisia
    Au kama kizur mbona nyie wabunge Hamna kipopotoa

  • @user-nz9eb4ud6y
    @user-nz9eb4ud6y Месяц назад

    Useme serikali emefirisi mifuko Sasa mnatumia ushetani wa kikokotoo uchwara kokotolewa wewe tuone mijitu ya jehanamu nyie

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 2 месяца назад

    Mngekuwa wa maana saana hicho KIKOKOTOO KINGEWAHUSU NA NINYI mtu unapiga domo miaka 5 unaondoka na mi 400 mtu unafanya kazi miaka 26 unalipwa mil 40?? Acheni uongo kama ni SAWA MBONA NINYI HAMJILIPI HIVYO???

  • @andrewmasele1963
    @andrewmasele1963 2 месяца назад

    Hivi wewe mbunge una akili wewe? Una elimu gani wewe kwanza? Hufai kuwa mwaakilishi wa wananchi toka mjengoni humu

  • @andrewmasele1963
    @andrewmasele1963 2 месяца назад

    Acha USENGEREMA wewe mbunge! Tuna elimu ya kutosha sana usifikiri wewe kuwa mbungeni ndiyo una akili nyingi kuliko sisi

  • @user-nz9eb4ud6y
    @user-nz9eb4ud6y Месяц назад

    Mpumbavu mmoja wewe