SIKIA JINSI WAMALAWI WANAVYOIZUNGUMZIA NCHI YA TANZANIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 июн 2019
  • #MbeyaYetuTv

Комментарии • 57

  • @jiweg-unit5408
    @jiweg-unit5408 Год назад +1

    Nimefurahi sana kuona Hata wamalawi wakiongea kiswahili Yaan dah mungu mkubwa sisi wote ni waafrika lazima tupendane

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 5 лет назад +9

    Sisi ni ndg watoto wa baba mmoja tupendane.

  • @feezdidthis2220
    @feezdidthis2220 Год назад

    watangazaji professional ase .. good job!

  • @ladykimoraladykimora3933
    @ladykimoraladykimora3933 4 года назад +3

    Aaah ni vizuri tu
    Aaah waendelee vizuri tu
    Aaah gonga like tu

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 5 лет назад +16

    Sisi wote ni wa Mungu
    Mipaka ni kurahisisha utawala tu.
    Sisi ni ndugu

  • @samj125
    @samj125 5 лет назад

    Maashallah hadi raha

  • @petermoga4229
    @petermoga4229 5 лет назад

    Nipo mbali nimefurahi Sana ISONGOLE kwetu

  • @joeldhahabu2037
    @joeldhahabu2037 5 лет назад +1

    Mungu ni mwema kila iitwapo leo

  • @enizemwayingatv5196
    @enizemwayingatv5196 3 года назад +1

    Wandari wangu

  • @mustaphareua2370
    @mustaphareua2370 3 года назад +1

    Tare

  • @sarahmarishay6938
    @sarahmarishay6938 3 года назад +1

    Aiseee

  • @sunganipakonda8282
    @sunganipakonda8282 3 года назад

    Nice 👍

  • @mengiuswege3654
    @mengiuswege3654 Год назад

    Nice

  • @theokapinga5890
    @theokapinga5890 5 лет назад +4

    Tanzania ya bwina

  • @enizemwayingatv5196
    @enizemwayingatv5196 5 лет назад +3

    Hahaaa nawaona wandali mnaongea kidari safi sana

  • @user-ih1nl4pq5e
    @user-ih1nl4pq5e Год назад

    😊😊😊😊😊

  • @fikirimabula8429
    @fikirimabula8429 5 лет назад +4

    Uhusiano wetu ni wa miaka mingi, tuimarishe amani yetu!.

  • @kiatu
    @kiatu 3 года назад +2

    Daraja vipi? Tafadhali fanya follow up ya kipindi hiki.

  • @saidkulwa1251
    @saidkulwa1251 5 лет назад +3

    yes kikubwa amani tu nakuzingati taratibu za mipakan

  • @babukasiaka2833
    @babukasiaka2833 4 года назад +1

    yaani hadi kiswahili wanakijua? walijulia wapi

  • @wemapeter1078
    @wemapeter1078 5 лет назад +4

    Upepo nimwingi

  • @alexbenedict5378
    @alexbenedict5378 3 года назад

    Mmmm

  • @mwakamelejohn7424
    @mwakamelejohn7424 5 лет назад +2

    Hongera mkuu wetu kweli Mungu aeendelee kukupa uzima

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 3 года назад +1

    Mzunguko wa Pesa unaongezeka

  • @madaiincubationcenter4947
    @madaiincubationcenter4947 3 года назад +3

    Haya mahusiano ndio yanayotakiwa kwenye nchi zetu za Kiafrica kenya wanajirudisha nyuma kimaendeleo uongozi wao wa kujitazama tena, hongereni Wamalawi kwa kuona umuhimu wa ujirani mwema

  • @furahiakamwela8136
    @furahiakamwela8136 5 лет назад

    nyumban halizi

  • @aminatahir9311
    @aminatahir9311 5 лет назад +1

    Mungu mkubwa . Ndi zabwino

  • @dennischeyo1302
    @dennischeyo1302 3 года назад

    Ileje ndiyo nyumbani mulibhakafu bhogwamwitu

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 5 лет назад +5

    Nilifika hapo,Nina kumbukumbu ya maneno" echibuzi cho kulipila" ha ha haaaaaa !!

  • @ramadhannakitepe7570
    @ramadhannakitepe7570 5 лет назад

    Yap

  • @boazambokile2587
    @boazambokile2587 2 года назад

    🤛🤙🤛🤙🤛🤙🤛🤙🤛🤙

  • @gabrieljesus1018
    @gabrieljesus1018 5 лет назад

    @dr.mumbishow must watch this...

  • @georgesambala6790
    @georgesambala6790 2 года назад

    Safsafi yani

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 5 лет назад +4

    Safi sana hivi ndivyo inavyotakiwa wanadamu tuishi kwa amani na pia amani ndio inayofanya ivyo tuishi vizuri sio wale wanao payuka payuka kule ughaibuni marekani kutanga tanga na miji alafu wanasema tanzania akuna amani pumbavu zao

    • @ejaypanganya628
      @ejaypanganya628 5 лет назад

      Anuary Ally

    • @saidkulwa1251
      @saidkulwa1251 5 лет назад +1

      Anuary Ally hhhhhhh nikweli ndugu yangu tuishi kwa upendo Kwan ss sote n ndugu moja tofaut ytu ni mataifa2

    • @corrolesscps
      @corrolesscps 5 лет назад

      Said Kulwa . Mkoloni ndie alietenganisha kwa kugawa mipaka, lakini kabla ya mipaka hao watu unawaona eneo Hilo ni wamoja tu na huko nyuma walikuwa hawana mipaka, Yaani hakukuwepo na nchi, Yaani MFano Hii Malawi au hii Tanzania palikuwa tambalale tu. Bara lote hili la Africa lilikuwa bara tu, bila mipaka au nchi ndani yake,

  • @mustaphareua2370
    @mustaphareua2370 3 года назад +1

    Leta vitu

  • @yahyahamad3744
    @yahyahamad3744 5 лет назад +2

    Namshaur maguful afanye mipngo tz iungane na malaw .jina TANZAMALA. Thn tudumishe km ulivo dumishw wa tngnyk na znzb

  • @bockernyarusahi3655
    @bockernyarusahi3655 5 лет назад

    Yaani hamjui kuhoj kabisa na hamjui kutazama wa kuhoji

  • @bausiwessa4951
    @bausiwessa4951 5 лет назад

    hakuna uhamiaji

    • @adenihalisi4218
      @adenihalisi4218 5 лет назад

      Wapo lkn kwa anayeenda na kurudi haitaji uhamiaji ila tu asipande gari kwenda mbali lkn hapohapo hakuna shida