Pole sana mtumishi wa Mungu.Inahuzunisha kwakweli😭😭😭.Kilichokuwa kinakutesa miaka yote ni huduma ya Mungu iliyoko ndani mwako ndio walikuwa wanaiwinda wanaitaka waiue kabisa
Ok sawa mtumushi Bwana yesu akubariki Kwa hii huduma, Bali tumalizie juu ya sabato, ujamaliza twagojea, pili ndoa yapili mtumushi hio asielewi Romans 7:1÷4, mpaka mmoja afe,ukiona mwingine,Bwana aturehemu .
Yaaani nionavyo mm shetani alikukosa kote. Akakupata kwenye ndoa. Akatyma majeshi yake, yaani ma agent wake ili wakupoteze. Pitieni shuhuda za Mch katekela, anatumwa mtu kabisaaa ili akufungie matunda maisha yako. Wakamrudisha nyuma. Kwa jinsi huyu mtumishi alivyo honest sasa hivi angekuwa mbali sanasana. Amecheleweshwa. Na udhaifu wake ndio waliutumia. Mungu tusaidie. Wote tunatakiwa tuombe kwa kufunga kabla ya kuoa na kuolewa. Kama ulivyoenda mlimani kule singidani kuomba. Ukajibiwa
Mtu akioa au kuolewa na wakavunja ndoa hakuna anae ruhusiwa kuingia kwenye ndoa nyingine maisha yao yote labda wao warudiane tena ukifanya ivo basi ni uzinzi
Wanawake wengi mbingu kuingia itakuwa nadra sana.. mimi ni mwanamke lkn.... ni kutubu na kunjinyenyekesha sana... kwa kweli mwanamke mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa jwa mikono yake mwenyewe.
Kila kitu n YESU na Roho wake mt..Bora uache mme au mke bal usiache iman inakayokufanya uingie mbingun..kma ndoa ikishindkna bas shetan amepta nafas,maan MUNGU apend kuachana.😢bas jitunze tu..mpka pale MUNGU atakaporuhus mapenz yake
Kwa part 5 aliguza kuhusu SDA hiyo swali pia Mimi inanisumbua sana, nilikuwa nagojea aendelee kutuambi vile kulienda alipotoka mlimani kuomba na hakuendelea,plz we want to know what happened after kuomba
Wachungaji wanaofungisha ndoa mara mbili wanahatia kubwa, niliachika,mchungaji alipaswa kujenga mahali palipobomoka,nasikuwaachanisha wanandoa, nakuwafungisha nawengine,lakini wewr mtumishi ulikuwa umemnyima Mungu nafasi yakutengeneza juu yako,ukazifuata akili zako,nilipita ktk hayo mapito lakini nilizidisha maombi,nanikamshinda shetani hadi leo ameaibika kabisa
Ndo shida ya kukosa unyenyekevu ndo tunapitia magumu sana, xhida ilitokea pale uliposafiri kwenda fanya kaz ya Bwana bila kumuaga mpakwa mafuta, hapo hapaku na utii kabisa, shetan anambinu jaman
Jambo Mutumishi wa Mungu , ilikuwaje sasa wakati ulipokuwa una muomba Mungu kuusu hilo swali la kuabudu juma pili na wa kuabudu juma mosi wa Adventist, kwai Bwana Mungu aka kwambia je sasa, tuweke sawa kwaili jambo.
Shetani akitaka kuharibu hutafuta mtu wakumtumia,haswa akipata mtu anaeishi mwilini ila anasema ameokoka hao watu huwa niwabaya sana,ameokoka lakini hajaokoka hao watu niwabaya sana,naanaweza kuwa hata mchungaji,
Tueleze n wew bas ukwel wako😂😂.jamn shetan anayo Kaz hapa dunian mtu unasikia at wvu wa mtu akieleza testimony yake ya NENO la MUNGU.poleeee na wew upate kibali utuletee testimony yako.YESU akuokoee n wew n kuiponya nafs yako
Kuhusu sabato nitajibu promova tv mwezi huu Mungu akitupa uzima.
Pole sana mtumishi wa Mungu.Inahuzunisha kwakweli😭😭😭.Kilichokuwa kinakutesa miaka yote ni huduma ya Mungu iliyoko ndani mwako ndio walikuwa wanaiwinda wanaitaka waiue kabisa
Viongozi wengi wa dini wamesahau kazi yao na kuingilia vijana makanisani... Pole sana kwa hayo uliyoyapitia mchungaji
Pole sana mtumishi, kwakweli changamoto za ndoa ni nyingi, shetani anawinda huduma yako kupitia ndoa.
Simama imara.
Hapa nimejifunza kila hatua ya maisha inaitaji roho mtakatifu na maelekezo yake yawe ya mwilini au rohoni
God bless you.kwa huu ushuda umanifunaza mengi
Ok sawa mtumushi Bwana yesu akubariki Kwa hii huduma, Bali tumalizie juu ya sabato, ujamaliza twagojea, pili ndoa yapili mtumushi hio asielewi Romans 7:1÷4, mpaka mmoja afe,ukiona mwingine,Bwana aturehemu .
AMESHASEMA WASABATO WANACHEMSHA WASISEME NI AMRI KUMI ZA MUNGU,TUNASALI JUMAPILI KWA SABABU NI SIKU YA USHINDI ,KILA SIKU NI SABATO NDUGU IAZIMISHE
Yaaani nionavyo mm shetani alikukosa kote. Akakupata kwenye ndoa. Akatyma majeshi yake, yaani ma agent wake ili wakupoteze. Pitieni shuhuda za Mch katekela, anatumwa mtu kabisaaa ili akufungie matunda maisha yako. Wakamrudisha nyuma. Kwa jinsi huyu mtumishi alivyo honest sasa hivi angekuwa mbali sanasana. Amecheleweshwa. Na udhaifu wake ndio waliutumia. Mungu tusaidie. Wote tunatakiwa tuombe kwa kufunga kabla ya kuoa na kuolewa. Kama ulivyoenda mlimani kule singidani kuomba. Ukajibiwa
Akufungie mafundo * nasahihisha
Nimejifunza jambo kubwa sana Amen
Mwendelezo tafadhali tunaendelea kujifunza
Mtu akioa au kuolewa na wakavunja ndoa hakuna anae ruhusiwa kuingia kwenye ndoa nyingine maisha yao yote labda wao warudiane tena ukifanya ivo basi ni uzinzi
Uzinzi unaruhusiwa kuachana ila uwe na mashahidi
@@elizabethedwin6424Andiko gani hilo??acha kutupotosha
Mungu wetu ni mkuu sana
Wanawake wengi mbingu kuingia itakuwa nadra sana.. mimi ni mwanamke lkn.... ni kutubu na kunjinyenyekesha sana... kwa kweli mwanamke mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa jwa mikono yake mwenyewe.
Amen blessed tunawapenda promover tv😢
Kaah jaman pole sana mtumishi
Kama kuna kitu shetani anapenda kuaribu,ni kuharibu ndoa za watoto wa Mwenyezi Mungu,tuombe sana.😢
Mungu tutee
Pole mungu alikua na kusudi
Nita jibu kupitia promover tv ili watu wote wasikie
Kuna mwingine anaweza olewa au kuoa pepo maana na shetani anaweza kukuletea wakuoa au kuolewa ,Apo utafanyaje ??
Kila kitu n YESU na Roho wake mt..Bora uache mme au mke bal usiache iman inakayokufanya uingie mbingun..kma ndoa ikishindkna bas shetan amepta nafas,maan MUNGU apend kuachana.😢bas jitunze tu..mpka pale MUNGU atakaporuhus mapenz yake
Pole sana... Mtumishi wa Mungu aliye hai, nehema ya Mungu ikutoshe
Amina
Yaani unatufundisha sana
Kwa part 5 aliguza kuhusu SDA hiyo swali pia Mimi inanisumbua sana, nilikuwa nagojea aendelee kutuambi vile kulienda alipotoka mlimani kuomba na hakuendelea,plz we want to know what happened after kuomba
He spoke it that Sabato is not Ten Commandments but you Need Holy spirit and also Jesus Risen On Sunday
Jactani tafadhari nakuomba umpe nafasi huyu mzee atufundishe kuhusu sabato tafadhari@promover
Tulishampa nafasi akafundisha,Tatilia hapa ruclips.net/video/LhIynJ0WS-o/видео.html
Shuhudia kakangu ili upone kabisa lakini watumishi wa Mungu ndio wana tuangusha
Roho wa Mungu hunena na mtu wake na shatani naye yuko
Mbona hajamalizia kuhusu sabato ?
Link ya mwendelezo please jactan
ruclips.net/video/iA8qQow6fHw/видео.html
Hakika tunajifunza mengi sana kutokana na ushuhuda huu
Wachungaji wanaofungisha ndoa mara mbili wanahatia kubwa, niliachika,mchungaji alipaswa kujenga mahali palipobomoka,nasikuwaachanisha wanandoa, nakuwafungisha nawengine,lakini wewr mtumishi ulikuwa umemnyima Mungu nafasi yakutengeneza juu yako,ukazifuata akili zako,nilipita ktk hayo mapito lakini nilizidisha maombi,nanikamshinda shetani hadi leo ameaibika kabisa
Hata yeye amesema kwamba ameshindwa, anashauri wengine wawe makini alisema wazi hakuficha udhaifu wake Mungu amubariki
@@mwaminimwangazaAmina sana umenena vyema
EAGT NA WAISLAMU NA TAG WAnafanya
Kama ulikuwa umeolewa na mtu hajaokoka na wewe ukaokoka ukiachwa ni halali au
Ndo shida ya kukosa unyenyekevu ndo tunapitia magumu sana, xhida ilitokea pale uliposafiri kwenda fanya kaz ya Bwana bila kumuaga mpakwa mafuta, hapo hapaku na utii kabisa, shetan anambinu jaman
Jambo Mutumishi wa Mungu , ilikuwaje sasa wakati ulipokuwa una muomba Mungu kuusu hilo swali la kuabudu juma pili na wa kuabudu juma mosi wa Adventist, kwai Bwana Mungu aka kwambia je sasa, tuweke sawa kwaili jambo.
Shetani akitaka kuharibu hutafuta mtu wakumtumia,haswa akipata mtu anaeishi mwilini ila anasema ameokoka hao watu huwa niwabaya sana,ameokoka lakini hajaokoka hao watu niwabaya sana,naanaweza kuwa hata mchungaji,
Mchungaji nakupataje
Ila mambo mengi hapa tumefichwa saaana
Hio ndio inaitangwa Roho ya taraka kakangu,Taraka mbili sikapatana 😂 mungu tusaidie tunapo anza mambo na familia.
Yani wewe nitumishi mkubwa na huyo mke uliunganishwa na shetani kuua huduma yako ila Mungu ni mwema alichokusudia lazima kitimie
Wewe tu unada ganyika , mzee Yuko Sasa , wewe Ni giza
Mkristo anaruhusiwa ku divorce
Babu wacha kudanganya wenzako
Tunamuelewa sana
Tueleze n wew bas ukwel wako😂😂.jamn shetan anayo Kaz hapa dunian mtu unasikia at wvu wa mtu akieleza testimony yake ya NENO la MUNGU.poleeee na wew upate kibali utuletee testimony yako.YESU akuokoee n wew n kuiponya nafs yako
Hajadanganya mtu yeyote,the most honest man I have ever watched.God bless him.🙏
Amen amen tunajifunza kupitia testimony 😢YESU anataka tutubu tumtgemee yye kwa Kila kitu.JESUS CHRIST is coming very soon😢
Tunakusubiri nawe utuletee Ushuhuda wako