Asante sana Ferre Igola kwa utamu na utungaji wa wimbo huu endelea usonge nbele na Bokson endelea unasaidia wengi sana !Tunahitaji tafsiri ya wimbo Romantique ya Koffi Olomide asante sana
Asee natamani sana kujua ki Congo maana huwa nakupenda sana huu wimbo wa kilos naweza kuupiga tokea asubuhi hadi jioni haunikinaishi namenda sana feligola mungu ambariki
karibu saana, tayari ombi lako Liko kwenye list, tuta ku udumiya, wewe zidi ku share na wengine ili chanel yetu ifike kwa wote, na tuzidi kupata onyo za ndugu wengine
Umetisha sana from Tz lingara toka petii na bulula musica huyo mwanamke alilalamika sana
Mie nakukubali sana preince bockson uko pouwa sana boss
Prince,bro,naomba untafisiria Wimborne wake madilu system Rtc,Riva, naipenda sana sana
❤
Unyama sana kaka nakukubali
Prince unafanya Kazi mzuri sana. Mimi naitwa Ochola kutoka Kenya lakini ninaishi Boston, Marekani.
Mbona haikubali download
Kitoko makasi
Asante sana Ferre Igola kwa utamu na utungaji wa wimbo huu endelea usonge nbele na Bokson endelea unasaidia wengi sana !Tunahitaji tafsiri ya wimbo Romantique ya Koffi Olomide asante sana
Safi sanaa
Asante sana naomba tafsiri ya fally ipupa atete
Nakupongeza kwa kazi nzuri yakutuhabarisha tafsiri ya muziki ya banamindule ya DRC. Naomba nitafsirie wimbo Gomeze ulioimbwa na Papa Madilu system
Bockson nakubali sana nikiwa Burundi tupe zingine nyingi tu
asante sana
Iko poaaaaaaaaa mkuuu
Thanks for translation, the song is meaningful
Na kufwata vizuri apa Kolwezi n'a pendant sana namuna una fasiriya nyimbo iyi ya 100kg ni vile vile aksante sana
Nice Song
From Kenya
Nakuelewa sana niko hapa 🇹🇿👍
Asante sana Ferre kwa wimbo kuna ndani maneno matamu kabisa!Prince panda juu sana na kazi yako
Mimi ni Gaudis Ephraim Shinyanga Tanzania,
Big-up P Bockson kwa tafsri nzuri sana ya 100k
Asee natamani sana kujua ki Congo maana huwa nakupenda sana huu wimbo wa kilos naweza kuupiga tokea asubuhi hadi jioni haunikinaishi namenda sana feligola mungu ambariki
Nice
Asante sana kwa kututasfilia wumboo 100kgs..next tupatie feux de l,amour ya JB mpiana please
Kazi nzuri sana,hongera sana prince nakufuatilia toka Simiyu
Naomba ufafanuzi zamar
Big up Sana unafanya vizuri prince👏👏🔥
Good Good 🔥🔥 Sasa lete mere chef ya Ferre gola
Safi papaa naomba atente ya fally
Tunaomba na vie a zero ya ferre gora,nimeiomba sana hiyo nyimbo
karibu saana, tayari ombi lako Liko kwenye list, tuta ku udumiya, wewe zidi ku share na wengine ili chanel yetu ifike kwa wote, na tuzidi kupata onyo za ndugu wengine
Walai nikiskia huu wimbo naskianga roho yangu inajaa na furaha sana .tunakuombea ukuwe na Miiaka mingi.
Niceeeeee
Felicitation vraiment ndugu prince
Safi sana
Safi sana mkuu nafatilia kutoka majumba sita segerea
Lingala the most romantic word
Safi sana nime furai ira kuna nyimbo nyingine ipo umo kwenye albam iyo iyo ina itwa amulo etele samahani nime andika kiswairi mana kifaransa sijui
Merci mingi naomba horizon 2000 ya extra musica
Pongezi kwako... Naomba utafasiri nyimbo ya ferre Golla eme diet
Amina Migilla Hongera kwa juhudi yako tafsiri wimbo wa Ferre Gola Ekoti ya Nzube
I am from now your fun
Umetisha sana kaka. Sasa tunaenjoy dah...huwa natafuta sana tafsiri za nyimbo nzuri
Prince plz naomba sana nipate tofasir ya wimbo wa Dallick mock wimbo Mayele" nitapenda sna nikipata kiswahil cha wimbo huo
Courage ndugu nakuomba ku ameliorer
karibu sana, msaada wa ku share na wengine
Naomba wimbo wa meje 30 deiux saisons tafsiri yake
nilijuaga ni nyimbo ya uzun kwqmba jamaa kaachwa kumbe anamsifia dem dah
Safi bro
Asanteeee sanaaaa!!
Kwa tafsiri hii
Basi zidi ku share na ndugu na ma rafiki wote
Meilleur moment, vous me reverrez de Bill Clinton, Claudine lonzoka
Kaka prince nitafsirie egerie elegance ya cindy le coer kaka
Naomba tafisili ya koffi olomide danao ikipende zaidi na eflakatee
Safi sana kaka mwana wa mfalme
Nakupenda wew kaka
asante sana
Nataka nyimbo ya Eloko oyo ya Fally Ipupa kaka naipenda Ila siijui maana yake
Pakajuma
Nifanyie tafsir ya kamasutra
safi sana
Wow! Tafsiri ya nguvu! Naomba tafsiri ya ManiX tafadhali
Ndeko naomba uni tafsili ya wimbo wa papa na loisi wa kofi olmide
Naomba tafsiri ya wimbo wa Ferre Gola Nostalgie
Iatakuja
Tafsiri Nostalgie ya Ferre gola
Merçi ndeko nanga natondi maloba kasi osala nzembo oyo ya FALLY IPUPA DÉLIBÉLATION pambola yango naswahili
Ferre Gola😂❤❤❤
tafsiri Nsuki ya koffie illomide
Safi
👏👏👏👏👏👏100 kilos
Basi zidi ku share na ndugu na ma rafiki
Murakoze cyane
Tunataka viceversa ya madilu
Fally ipupa 5eme race
Umetudanganya hapo kwa Ferre Gola, hajasema wadudu ni kasuku ndege.
Kwenye hii umetudanganya sana
kama nikwa niya nzuri si vibaya
Tafsiri nzuri sana. Asante sana Prince.
Basi zidi ku share kbs
Somo trop
Tafsiri yako haijakamilika ,tafsiri yako haiko sawa kwa kuwa unaacha majina ya watu wanatajwa
Raphael unapinga wewe unajua au unapinga tu
Hahahahaaaaaa!!
Naomba tafsiri wimbo Kofi olomide aspirin
Aflaye ya fally siku gani?
Fally ipupa eloko oyo
Mon amor fally ipupa naomba tafusri
PB pesa nga numero nayo
Kwani iyi nyimbo anaimbia mwanaume? Sababu nasikia cousine, mwanamke mu lyrics
mziki wa Congo wote wanakuwa wana imba waki imbiya wanaume
@@princebockson5299 aje sasa, mwanaume anaimbia nyimbo ya mapenzi mwanaume mwenzie?
Hapana kwasababu video vixen mwenyewe alikua mwanamke
@@princebockson5299 kweli kwanza ile hupendwa na wakenya kama ya franco na fally
Naomba tafsiri ya papito mbala version 2 ya JB Mpiana
Luemba anaeimbwa ni mwanamke au ni mwanaume? 😀
Ni mwanamke
P Bockson,wewe ni mu kongomani wa Kabila gani?murega,mubembe,mushi Hama mu fuliru?
Vile naelewa hii wimbo,,, inamaanisha ferre anaimbia mwanaume,so ferre ni shoga😊
Ni impersonation kwasababu wanawake wengi hawapendi kuimba mapenzi. Franco alifanya hivyo hata fally ipupa
Maana ya wimbo huu wa LUCIANA -PRINCES
Tafsiri nyimbo ya Fally Ipupa "One Love"