DIAMOND Afunguka "HARMONIZE ni Mwanangu/Nimefurahi KUPATANA nae/Tuliondoka Wote"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 апр 2024
  • ...........................................................
    Contact Us : 0742447854
    -------------------------------------------------------------------------------
    Instagram rickmediatz...
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Facebook / rickmediatz
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Website www.rickmediatz.com
    -----------------------------------------------------------------------------------
    #Diamondplatnumz #Harmonize
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 41

  • @Lanihsarumu
    @Lanihsarumu 2 месяца назад +7

    Safi Sana napenda Sana daimond na Harmonize kuhelewana mungu awazidishie

  • @elkanawangari9705
    @elkanawangari9705 2 месяца назад +20

    Wanangu kutoka Kenya nipeni likes tukisonga

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 2 месяца назад +9

    Wanangu simba ameludi tena mimi diamond maneno yako nayakubali nimeanza kukufatilia toka nenda kamwambie umesemwa sanaaa ila bado upo nasasa ndio one on on Top Tanzania ❤❤❤❤❤❤❤

  • @erickkelvin3889
    @erickkelvin3889 2 месяца назад +5

    Presenter uko vzuri sana kwenye Maswali Keep shining 🌟

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 2 месяца назад +11

    Nimefurahia sana kuona Diamond na Homonize wamepatana.🌹

  • @saideassanencacha2294
    @saideassanencacha2294 Месяц назад +1

    Eu gosto muito de ti Desmond es o homem simpatico

  • @user-pu6pr5jt4n
    @user-pu6pr5jt4n 2 месяца назад +3

    DAIMOND MY BEST EVER ARTIST ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ramadhanishabiru5474
    @ramadhanishabiru5474 2 месяца назад +16

    Wa KWANZA NIPENI LIKE ZANGU JMN

  • @SimonBaraka-yv2cx
    @SimonBaraka-yv2cx 2 месяца назад +2

    Harmonize aombe Radhi Watanzania kwa kumukosea Diamond Platnumz hiyi myaka yote...May God bless Diamond Platnumz 🙏🙏🙏

  • @awadhijumaa939
    @awadhijumaa939 2 месяца назад +3

    Fact

  • @kenedytz
    @kenedytz 2 месяца назад +2

    Well said

  • @davidibrahim9138
    @davidibrahim9138 2 месяца назад +12

    Simba ni msanii alieingiza mabadiliko makubwa sana kwenye hii game na kuonekana inahadhi,,huyu sio tu msanii ni mwanamageuzi,, akili kubwa sana akili za kibepali always zinawaza maendeleo katika soko la ushindani,, huyu jamaa ndo anaamua bongo fleva iende wapi,kabeba vision nzima ya mziki wa bongo, watatamba akina Qchilla,,cjui nani bila mond babu hakuna impact kwenye mziki wa bongo

    • @malianonicass7029
      @malianonicass7029 2 месяца назад +3

      Sure kaka

    • @giddie_barnabas
      @giddie_barnabas 2 месяца назад +3

      Uo ndo ukweli hata wao wanajua bac tu wachache wanajizima data

    • @elvisernest3280
      @elvisernest3280 Месяц назад +1

      Watu ni Wana sema eti diamond 💎 atakuja kisahaulika nooo sio rahisi

    • @elvisernest3280
      @elvisernest3280 Месяц назад +1

      Uyu ni jamaa ni game changer

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 2 месяца назад +5

    Huyu jamaa nikweli hakibu kitu kwenye mtandao. Jamaa anajielewa sana.

    • @denismigayi8513
      @denismigayi8513 2 месяца назад

      Kwa niaba yake H Baba, Baba levo huongea juu ya wanaoshindana naye

    • @kilungahamis1270
      @kilungahamis1270 2 месяца назад

      ​@@denismigayi8513msanii mkubwa yupi ambae hana wa kumsemea?
      Mbona wanashindwa kukaa kimya kama Mond?

  • @amisilukongo4518
    @amisilukongo4518 2 месяца назад +6

    Nipe like zangu apa

  • @FirstBorn-hi6wv
    @FirstBorn-hi6wv 2 месяца назад +1

    🎉

  • @isawmsafi5710
    @isawmsafi5710 2 месяца назад +3

    Kama wampenda modi leta likes zako

  • @MTUMZIMADAWA
    @MTUMZIMADAWA 2 месяца назад +3

    🎉🎉🎉❤❤❤

  • @sazwizkid536
    @sazwizkid536 2 месяца назад

    Nakubali kaka

  • @MOBIGO2F
    @MOBIGO2F 2 месяца назад +4

    Ni founder wa RICK MEDIA???

  • @Sarah-tq2vc
    @Sarah-tq2vc 2 месяца назад

    Maa shaa Allah Diamond

  • @magidalenarauya4286
    @magidalenarauya4286 2 месяца назад +1

    Harmonies aombe msamaha hadharani kama alivyokuchafua hadharani,kujidai kurudi ni kiki tu,mzee wakiki huyo uwemakini nae diamonda,😊

    • @jameskasololo8594
      @jameskasololo8594 2 месяца назад

      😂😂😂😂 wewe unahusika vipi na chuki zao

  • @TIZZOBOYOFFICIAL
    @TIZZOBOYOFFICIAL 2 месяца назад

    rick media ni yake

  • @yahyamkahepe6472
    @yahyamkahepe6472 2 месяца назад

    Diamond amebobea Sana saikolojia anapoongea utamuona mwema saaaana lakn moyon mwake po tofauti (Nyoka uyo)

  • @officialdana5114
    @officialdana5114 2 месяца назад +7

    Mulizen kuhusu mavoko

    • @davidibrahim9138
      @davidibrahim9138 2 месяца назад +5

      Mavoko anamuhusu Nini wkt alidanganywa na washenzi wa clouds kwa nn usiwaulize clouds chanzo Cha kumtoa Mavoko wasafi

    • @ISSACCECYTIN
      @ISSACCECYTIN 2 месяца назад +3

      Ndioo craud wali mponza mavoko. Na lile kampuni la mubi pilipili ndilo lime mpoteza mavokoo kaka

    • @sarahgaula2220
      @sarahgaula2220 2 месяца назад +1

      Kumbe

    • @user-zu5cy5gv4j
      @user-zu5cy5gv4j 2 месяца назад +1

      kweli naona wanamsahau kumtaj!!

    • @Mwamalejr-wg7pt2xm8n
      @Mwamalejr-wg7pt2xm8n 2 месяца назад +1

      Ahahaha au basiii

  • @DiorMabaril-zp1xl
    @DiorMabaril-zp1xl 24 дня назад

    Wezombi haujui Simba wamasimba dangote 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @NgindoNdingo-nm4in
    @NgindoNdingo-nm4in 2 месяца назад +1

    Uyu ndo simba

  • @mak2810
    @mak2810 2 месяца назад

    Hiyo kofia navalia nguo nyingi 😂

  • @user-xd2tg8eq1h
    @user-xd2tg8eq1h 2 месяца назад

    Huo ni unafki tu toka kwa diamond