Ni miaka sita Sasa nilizitafuta sana nyimbo zako katika mitandao bila mafanikio yoyote, ila nilikuwa na mtafakali Mungu wangu Leo tarehe 28/12/2024. Baada ya hapo Mungu akanikumbusha nyimbo zako nikasema gonja niingie RUclips ndio nikasearch yerusalemu zikaja 🥹😭niseme tu Kwa ufupi nyimbo zako ni mibaraka sana kwangu. Mungu akubariki sana!

Najua unajua jinsi gan unanibariki
Thank you dada for bringing the song back . I missed it
Karibu