Sisi Sote | Bony Mwaitege | Official Audio

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025

Комментарии • 391

  • @sashalemmoh3264
    @sashalemmoh3264 11 месяцев назад +82

    2024 gonga liki hapa tujuwane

  • @EddieRQ024
    @EddieRQ024 9 месяцев назад +13

    Such songs take many to God with all their broken hearts. God bless you beautiful people of God, don't lose hope in your struggles the owner of the Universe is one who is loving and caring. Happy Easter all 2024❤🙏

  • @polynenkirote6007
    @polynenkirote6007 4 месяца назад +18

    2024 Kenya bado huu wimbo hauzeeeki

  • @timmy9812
    @timmy9812 2 года назад +113

    Kuna dem kwa jirani alifanya harusi wakatumia huu wimbo na uliimba vizuri sana my mum hajawai sahau hio event anytime she hears it unaskia Tu eeei hii wimbo. Mum I will wed and this song lazima ichezwe so help me God.

  • @SeckWasonga
    @SeckWasonga 11 месяцев назад +10

    It remind me when I was in form four at anjego secondary school during exam period Kwa kweli sisi wote ni WA mungu

  • @akilimwendajohn3326
    @akilimwendajohn3326 Год назад +7

    Mungu ni mkuu nakumbuka 2014 nikiwa shambani nilikuwanikilima na nina sikiliza wembo iyi sikuwanaima kwambanitafika apanilipo leo!

  • @EmmanuelJoackim
    @EmmanuelJoackim Год назад +5

    Nampenda sana boni mwahitege ni Mimi ema wa neshino

  • @hatiagk4447
    @hatiagk4447 2 года назад +11

    Hakika sisi sote tu kazi ya mikono ya Bwana. Mungu akubariki kwa wimbo mzuri sana wenye kumgusa Mungu na.mioyo ya.watu pia.

  • @magogelameck1501
    @magogelameck1501 Год назад +3

    Nakushukuru Mungu wangu Mimi kuwa kazi ya Mikono yako Ntakushukulu Daima Milele Yote Amina

  • @johnwankengemukunda6415
    @johnwankengemukunda6415 4 года назад +16

    Kila mara ninapo sikiliza nyimbo zako, ninajisikiya nimebarikiwa, asante na Mwenyezi Mungu hakubariki

  • @reagankawina854
    @reagankawina854 День назад +1

    Happy New year 2025

  • @mhengamtarajiwa1733
    @mhengamtarajiwa1733 Год назад +6

    Ni kazi ya mikono yako😊❤

  • @BonifaceKazimoto-ni1cw
    @BonifaceKazimoto-ni1cw Год назад +9

    Mwaitege, uko wapi siku hizi? Mbona hausikiki? Binafsi mimi ni mpenzi sana wa nyimbo zako. Hasa sisj sote

  • @mecksonlongole6034
    @mecksonlongole6034 Год назад +29

    Mutwa alumbwagwe hilo Wanyalukolo wa Iringa na Njombe gongeni likes hapa twende sawa

  • @DRPAMLI
    @DRPAMLI 4 года назад +29

    Staying strong 2020 ..Corona virus ishindwe kwa jina la yesu.....

  • @nancymusembi617
    @nancymusembi617 Год назад +3

    2023 bado hii song yaakizwa na wengi...be blessed 🙌

  • @Michaelotieno-b7r
    @Michaelotieno-b7r 10 месяцев назад +3

    God to bless my brother Bonny mwaitege for dedicating this song it blesses me and remind me as well that we are all created by God dispite the challenges and disabilities that we may have as human beings because there is no hundred percent person

  • @FaridaHaji-d2w
    @FaridaHaji-d2w 5 месяцев назад +7

    Kyala atufigwege bhandu bha kyela ooooyeee

  • @innocentnyella4684
    @innocentnyella4684 Год назад +14

    2024 stil in my vein

  • @kishoshamakoye9015
    @kishoshamakoye9015 Месяц назад +1

    Wimbo huu unanitoa machoz ulipigwa kwenye msiba wa Mama yangu mzazi Kpenz changu mzr apumzike kwa amani daaah 😭😭😭😭💔💔💔💔

  • @aishakidoti8956
    @aishakidoti8956 Год назад +2

    Ahsante mungu kwa huumbaji wako kwangu napenda wimbo huu sana

  • @KingimmaKelela
    @KingimmaKelela 4 месяца назад +4

    Bony mwaitege Kati ya nyimbo zangu Bora za kwaya basi hii ni namb moja hongera sana kwa wimbo mzuri ukiusikiliza kwa makini unaweza kutokwa na machozi😥😥🙏❤️

  • @queen-vc6de
    @queen-vc6de 4 года назад +35

    Watoto wa dodoma muwaha yalumbwe tumsimfuni Mungu watoto wa bungeni 🍇🍇🍇🍇

  • @danielwilliam5213
    @danielwilliam5213 3 месяца назад +2

    Mungu siku sotee bony mwaitege 🙏🙏🤲🤲🧎‍♂️🧎‍♂️

  • @aureliahamaro4913
    @aureliahamaro4913 2 месяца назад +2

    Barikiwa sana mtumishi wa mungu🎉🎉

  • @neliajosey8666
    @neliajosey8666 5 месяцев назад +3

    Omukama asimwe bukobaaaaa
    Haaaa hapa ulitisha Mungu akutunze

  • @Ohakabeauties.
    @Ohakabeauties. Год назад +6

    Wow seven years down the line.. and I am being reminded that I am a special workmanship. 🙌🙌

  • @BonifaceKazimoto-ni1cw
    @BonifaceKazimoto-ni1cw 9 месяцев назад +5

    Seba Akujiwe ndugu wane tukwibona

  • @oswardjames-yc9yz
    @oswardjames-yc9yz Год назад +1

    Ni kweli ni kazi ya mikono Yako mungu wetu

  • @PreciousBullybah
    @PreciousBullybah 7 месяцев назад +2

    Sisi sote tumeumbwa Kwa mfano wake❤❤

  • @Minayo-u7u
    @Minayo-u7u 2 месяца назад +1

    My wedding song❤❤❤❤ Inshallah... From my mouth to get God's ears😢😢😢

  • @AntonyMapunda
    @AntonyMapunda Год назад +1

    Najifunza kumbe watu wote ni wamoja barikiwa

  • @maccimunene143
    @maccimunene143 Год назад +1

    Mungu usifiwe sisi ni kazi ya mikono yako

  • @festus2269
    @festus2269 5 месяцев назад +4

    🎉🎉🎉🎉🎉 live long brother. You are the blessings to many 😢😢

  • @graidykelvin3782
    @graidykelvin3782 3 года назад +3

    Mutwa Alumbwagwe "wabena,wahehe,wakinga"

  • @erasmusshauritanga8485
    @erasmusshauritanga8485 3 месяца назад +1

    Nakumbuka 2007 driving from Dar es salaam to Lindi- Masasi playing back several times this song nilikuwa na Justin Ponera .Nakumbuka mbali sana.i most like the rylics of this song.

  • @verasilvan5062
    @verasilvan5062 6 лет назад +19

    Naupenda wimbo huu toka zamani na bado naupenda ubarikiwe sana bro Bonny. Mercy kutoka Nirobi Kenya

    • @hancibrahim381
      @hancibrahim381 3 года назад

      Aliimba sana huu wimbo auchuji

    • @gracekasonge7229
      @gracekasonge7229 2 года назад

      I love this song becoz it has bn a blsg to me since the day I heard it.may the Almighty lord bles you en continue upliftn you day by day.I love ur songs.

  • @rechomethod8288
    @rechomethod8288 3 года назад +3

    Hii nyimbo ibakumbusha mbali Sana, baba yangu alikuwa akanda alikuwa akiweka kwenye redio Basi ni rahaaa tuu

  • @annmumbi8484
    @annmumbi8484 2 года назад +3

    No sleeping today I'm crossing over to Sunday just worshipping..... welcome everyone let's worship God of Israel..........amen Alleluia alleluia alleluia

  • @terryray3147
    @terryray3147 2 года назад +4

    2022 register here...Always blessed by this song. Ni kazi ya mikono yako. Its
    not by our might! Our God is able.Amen

  • @ZawadiFuraha-z3e
    @ZawadiFuraha-z3e 2 месяца назад

    Wa mwanza seba akujiwe safi sana mchungaji mwaitege

  • @peterkiplangat254
    @peterkiplangat254 10 месяцев назад +1

    2024 God is still faithful to us
    This song reminds me far

  • @hafakopp-j4k
    @hafakopp-j4k 11 дней назад

    ❤ na upenda wimbo huu ❤
    Happy new year, may God protect us in the name of Jesus 💖

  • @BryanMathenge
    @BryanMathenge Месяц назад

    Mungu utukuzwe milele daima

  • @edwinmmary8459
    @edwinmmary8459 4 года назад +4

    Still listening this song 2021
    Ni kazi ya mikono yako Mungu upewe heshima zaidi na sifa kwa baraka ya wimbo huu.

  • @ericmlonga3600
    @ericmlonga3600 2 года назад +3

    can't stop singing NIKAZI YA MIKONO YAKO MUNGU all the way from malawi the warm heart of africa

  • @rosalynekisusya442
    @rosalynekisusya442 3 месяца назад +1

    Nice song indeed. Rosalyne from Isiolo Kenya

  • @scottplatnumz2362
    @scottplatnumz2362 5 месяцев назад +13

    Wanyakyusa mpo?❤ 2024 july

  • @kionoministries3416
    @kionoministries3416 Месяц назад

    Omkama yesu asimwe

  • @frankkamano1307
    @frankkamano1307 8 месяцев назад +2

    Nyamuhanga apipawe. I like this sons and that since 2008. Thanks dear Bonny

  • @guytongaddafy6682
    @guytongaddafy6682 3 года назад +3

    Brother Bonny,Mungu asifiwe.
    In Kenya we still know ni kazi ya roho hivi vyote!
    2021.

  • @kimlolakimlolanelly6330
    @kimlolakimlolanelly6330 3 года назад +1

    Hongera Sana mtumishi wa MUNGU kwa KAZI NZURI

  • @joramjofrey9879
    @joramjofrey9879 5 лет назад +2

    Acha kabisa tokea 2007up to now nikiingia u tube lazima nianze n huu wimbo.. naupenda sanaaaa..

  • @CornéImani
    @CornéImani 4 месяца назад +1

    Uu wimbo unanijengaka sana❤❤❤

  • @syliviamgeta8131
    @syliviamgeta8131 8 месяцев назад +1

    Wakina dada wazuri tupo hapa ni kaz ya Mikono yako mungu🙏

  • @truphosaocholla7546
    @truphosaocholla7546 3 года назад +17

    ...and I can't stop signing this song today, as I look back at Gods faithfulness

  • @georgeonyango8059
    @georgeonyango8059 3 месяца назад

    Asante sana kwa hii wimbo........

  • @wardaYohana-fp8vb
    @wardaYohana-fp8vb 6 месяцев назад +12

    Muwaha yalumbwe 2024 watoto wa makao makuu❤❤

  • @ibrahimspharma
    @ibrahimspharma 3 месяца назад +1

    Thursday 10th October 24.my mum fighting for her life in ICU ifound solace in this song.

  • @gracekituku8251
    @gracekituku8251 4 года назад +10

    I like the song,,its inspiring!

  • @fredrickmuthama6223
    @fredrickmuthama6223 2 месяца назад

    Good song congratulations brother bonney waitenge

  • @EmmanuelMadoi-zz3lb
    @EmmanuelMadoi-zz3lb Год назад +3

    I love music but this song has life in it

  • @edwardshio4840
    @edwardshio4840 5 лет назад +2

    Ni kweli hivi vyote Bwana ni kazi ya mikono yako Mungu uhimidiwe

  • @bernardmutisya7603
    @bernardmutisya7603 3 года назад +3

    2021 bado nimekuja hapa...the song has been in my head the whole of yesterday

  • @AlbertesterSylv
    @AlbertesterSylv Год назад +2

    One of the best from Bony

  • @kidiaugustineoyoo6261
    @kidiaugustineoyoo6261 4 года назад +2

    Naupenda huu wimbo toka utotoni,Mungu akubariki sana inaujumbe kubwa kwa watu wenye ufahamu.

  • @marthavugutsa7374
    @marthavugutsa7374 3 года назад +1

    Sisi sote, sisi sote ni kaa ni kazi ya mikono yangu, who is like you God, we are made in your image

  • @carolinecongo1179
    @carolinecongo1179 3 месяца назад

    Finally got the original. Here after watching the beautiful Gladness Mwanga on tik tok ❤🎉

  • @tumainichomola5615
    @tumainichomola5615 Год назад +4

    Yalumbwe chibitirira

  • @lucksonmakatu_motivation1898
    @lucksonmakatu_motivation1898 3 года назад +4

    I am from Zimbabwe and i like your music very much even though i dont understand some of the lyrics

  • @MariumAlly-q6o
    @MariumAlly-q6o 3 месяца назад

    Wimbo ni mzuri San unanigusa moyoni Hadi nahisi machoz kunitioka BARIKIWA SANA BNNY MWAITEGE

  • @kimmathew6966
    @kimmathew6966 Год назад +2

    Hakika Mtumishi Bonny ubarikiwe, wimbo huu naupenda mno

  • @Alvinboris70
    @Alvinboris70 11 дней назад +3

    2025 Gonga like tujuane...

  • @augustasafari5264
    @augustasafari5264 3 месяца назад

    Asante Mungu wangu kwa kunikumbusha na kusema nami. Umeufungua moyo wangu

  • @MosesKithinga
    @MosesKithinga 3 месяца назад

    He is really anointed minister.... God will award him for good work is doing..

  • @azorybartholomew6641
    @azorybartholomew6641 8 лет назад +4

    Amina Borny kwakweli nabarikiwa sana ninapousikiliza huu wimbo,,kwangu wimbo huu kila siku ni mpya na kila siku lazima niusikilize.

  • @kouakoubricekoffidonald7862
    @kouakoubricekoffidonald7862 Год назад +1

    I like this song since 2014. I'm from Côte d'Ivoire. Thank you my friend Neymar from Congo DRC. 🇨🇮

  • @naitsharon9401
    @naitsharon9401 2 месяца назад

    I got in TikTok And I have to search,I don't understand all but the little have really moved, thanks child of God

  • @michaelsabaya4913
    @michaelsabaya4913 4 года назад +7

    This sang has given me hope and it blessed me

  • @doraplatnumz529
    @doraplatnumz529 7 месяцев назад +1

    This song it's always a blessing to me

  • @damarischeptoo6405
    @damarischeptoo6405 2 года назад +1

    Milele asifiwe 🇰🇪 🇰🇪

  • @AtengeLucy
    @AtengeLucy Год назад +1

    However much I don't know the meaning of this song but I feel the presence of God, be blessed brother.

    • @johnbagula5776
      @johnbagula5776 11 месяцев назад

      We are all the work of your hands, we were created in your image, receive the praise ohh God.
      Those are the first lines.

  • @marcomukinay3600
    @marcomukinay3600 7 лет назад +9

    for you our friend in Australia,this song just says We are all the work of God's hands,all people all language,all place and everything in this world should glorify the Lord

  • @bonfacetitus6459
    @bonfacetitus6459 2 года назад +3

    Thanks so much for inspirational Educative message glory to God

  • @emanuelmselle637
    @emanuelmselle637 2 месяца назад

    Rest in peace baba and mama🕊️,i remember the memories travelling to moshi , listening to this songs,missing you❤

  • @rosejuma8778
    @rosejuma8778 4 года назад +2

    Sisi sote ni kazi ya mikono ya Mungu 🙏🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝still listening 2020,, June

  • @lillianmwanika3392
    @lillianmwanika3392 2 года назад +2

    Glory to god Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @euniceajwalla
    @euniceajwalla Год назад +8

    Woke up with reminded of this song, it blessed me over many years ago. We still remain the workmanship of God. Let us keep praising him. More grace on you Man of God

  • @hellenkerubo9083
    @hellenkerubo9083 9 месяцев назад +1

    This song reminds me far,2019 nyenye nlipitia nmungu aljua,mateso in niliyoyapitia,mzee alnitenga sababu ya ugonjwa akaoa bibi mwingine hosipitali nkiwa kitanda ya theater

  • @francisnyawira7787
    @francisnyawira7787 4 месяца назад +1

    Naikubali sana❤

  • @lifalifalifa29
    @lifalifalifa29 4 месяца назад

    Imana ishimwe
    kigoma🇹🇿burundi🇧🇮 Rwanda🇷🇼

  • @victoriafovo8126
    @victoriafovo8126 2 месяца назад

    Zumbe Atogolwe!!Tanga tumeitika!!!!

  • @EmanuelTluway-x3m
    @EmanuelTluway-x3m Год назад

    Mtumishi MUNGU akibariki! Wimbo umenibariki sana

  • @neliajosey8666
    @neliajosey8666 5 месяцев назад +1

    Huuu mwimbo naupendaga sana

  • @dianahkebongo9345
    @dianahkebongo9345 2 месяца назад

    My primary teacher's skiza tune nikikumbuka vile alikuwa ananmtuchapa omoyo mungu anakuona😂😂 anyway it's cool pice 🥰🙏

  • @hamidushitindi1757
    @hamidushitindi1757 2 года назад

    Mnguuu usifiweee nimejilaza apa nasikiliza nyimbo zaa kunitumaini

  • @latifalibaba8034
    @latifalibaba8034 6 лет назад +3

    Sisi sote ni kazi ya mikono yako

  • @WinfredVungo
    @WinfredVungo 5 месяцев назад

    Mungu usifiwe ❤❤❤❤Haleluya hallelujah❤!

  • @lucinahmoranga2358
    @lucinahmoranga2358 Год назад +2

    Good song be blessed

  • @honorenihorimbere792
    @honorenihorimbere792 2 месяца назад

    Who is still being blessed by this song in October 2024? Love from Burundi 🇧🇮❤