Jionee Rais Samia akiwasili Ikulu ya Ufaransa na kupokelewa na Rais wa nchi hiyo

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 янв 2025

Комментарии • 56

  • @ellybrown5989
    @ellybrown5989 2 года назад +3

    Mama yake na sisi... 🙏🏾

  • @audphaxkamala7232
    @audphaxkamala7232 2 года назад +3

    Thank you my President!

  • @stevenmwenda3005
    @stevenmwenda3005 2 года назад +3

    Kazi ziendelee mama yetu endelea kutangaza tanzania yetu kila Kona ya dunia tupate wawekezaji na watali ajira zijekuwa nyingi kwa manufa ya watanzania kwa ujumla tunakuombea mungu akupe afya

  • @jiwekichwa2857
    @jiwekichwa2857 2 года назад +4

    Mama nina-kukubali sana.Endelea kupiga kazi. 👏👏👏

    • @hawahabibu661
      @hawahabibu661 2 года назад +1

      Akili nywele kila mtu ana zake

  • @vascomwansile8477
    @vascomwansile8477 2 года назад +3

    Mama tutembelee hata mikoani atukufaham tunakuona kwenye tv tukuone live kabla ya2025

  • @mohamnedsalum2150
    @mohamnedsalum2150 2 года назад +2

    Safi mama

  • @mdimimdimi4282
    @mdimimdimi4282 2 года назад +1

    Kimejipeleka Ili nchi ianze kupigwa upyaaa.utakuwa wa kwanza kuungua moto mbinguni.

    • @am2323tze
      @am2323tze 2 года назад

      Wee mjinga sana. Magufuli aliwapiga kasumba akawarejesha Karen ya 2.

  • @barakanestory3521
    @barakanestory3521 2 года назад

    Tuna injoyi kweli mama mambo live chezeya mama wewe mwacheni apumuwe

  • @captioncapition2574
    @captioncapition2574 2 года назад

    Dua mbaya uusimuombee mwenzio bila sababu itakurudia mwenyewe mw Mungu atamlinda haanguki

  • @anissataboubakar5297
    @anissataboubakar5297 2 года назад

    Monsieur le Président Français et Madame La Présidente de la République Tanzanie, avec tout le respect que j'ai enver vous,je vous demande d'être à la hauteur de vos embitions le monde vous regarde.

  • @mustajany689
    @mustajany689 2 года назад

    Safi sna ila hawajamletea shda shungi maana ufaransa sasahv haitakiwi kuvaa shung kwenye official business or any religious symbols kma msalaba

  • @bekaashbai1781
    @bekaashbai1781 2 года назад

    Piga kazi mama

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du 2 года назад +3

    Mwenda bure si mkaa bure. Tembea uone na TZ ionekane. Faida ya safari hizi tutaziona huko mbele.

  • @bakarinassoro2324
    @bakarinassoro2324 2 года назад

    sasa kama.hatokuwa makini sana vita vinakuja Tanzania na mmi lasima nishiliki kupinduhaa mtu tu mmi nipo taliy

  • @kingsanke
    @kingsanke 2 года назад +1

    Ati samia suluhu ni project ya wazungu 😁😁

  • @aloycesilwela3485
    @aloycesilwela3485 2 года назад

    Rais wa ufaransa ni kijana mdogo tu!

  • @tibaijukaolevarez6257
    @tibaijukaolevarez6257 2 года назад +1

    Sawa mamaaa

  • @danieldotto5896
    @danieldotto5896 2 года назад

    This is Tanzania: Utajua hujuiಠ益ಠ

  • @ziadasadiki8196
    @ziadasadiki8196 2 года назад +1

    Mmmammmaa ❤

  • @yes2676
    @yes2676 2 года назад

    Mmm napita tu, ????????????!!!!!!!?!!y

  • @naomysarky2612
    @naomysarky2612 2 года назад +1

    Unarihu pesa za wanting Hulu watu wanawake njaa

  • @jiwekichwa2857
    @jiwekichwa2857 2 года назад

    Mama ni kukubali sana.Piga kazi mama😘

  • @adam-saffi211
    @adam-saffi211 2 года назад +4

    Huyu mama must have killed JPM, mambo anayofanya ni mshangao kwangu! Loving all the trips ma watu wanauana nyumbani

    • @othumanlorenzo260
      @othumanlorenzo260 2 года назад

      Ni zama zingine na tawala ingine Iko hivyo Dunia nzima...kwenda Ulaya sio dhambi u akwenda kufanya nini ndo issue ......

    • @adiliomar3006
      @adiliomar3006 2 года назад

      Usipende kuropoka uwe makini Sana usije uka juta baadae

    • @bajagihaji8923
      @bajagihaji8923 2 года назад

      Changanya akili

    • @hemedrashid2921
      @hemedrashid2921 2 года назад +3

      Magufuli tulimpenda hivyo mama Samia mumpendee acha chuki za uvunguni au kibaraka wa kagamee

    • @fundieddy9164
      @fundieddy9164 2 года назад

      Tatizo la 'interenet' ni kama WAVU WA KOKORO unasavyo samaki wakubwa na wadogo, 'internet' huunganisha wenye AKILI TIMAMU na VICHAA.
      Vichaa kwa sababu ya UKICHAA wao huwa wanaweka 'comments' za UKICHAA wakidhani wanafurahisha jamii kumbe WANAKERA NA KUWAUMIZA wenye AKILI TIMAMU.

  • @hawahabibu661
    @hawahabibu661 2 года назад +3

    Leo upo Ufaransa tena? looh!!; cyo kwa kuzurula huko Aisee

    • @reubenkissinga5802
      @reubenkissinga5802 2 года назад

      Kwa Mfano:Angekuwa ni Mama yako sasa ndio yupo kwenye hiyo nafasi??ungeropoka hivyo ulivyoropoka au ni mawivu na machuki mengi mnoo yanakusumbua??Kwanza wewe Hawa tuambie uliongea nini na nyoka pale bustanini Eden???

    • @othumanlorenzo260
      @othumanlorenzo260 2 года назад

      @@reubenkissinga5802 haka akili tumeamviwa anakwenda kufanya nini atakuwa la saba b

    • @hawahabibu661
      @hawahabibu661 2 года назад +1

      @@reubenkissinga5802 Mama yangu anatulia nyumban cku zote

    • @hawahabibu661
      @hawahabibu661 2 года назад +1

      @@reubenkissinga5802 Labda mama ako ww usie na chuki anazurula hovyo

    • @reubenkissinga5802
      @reubenkissinga5802 2 года назад

      @@hawahabibu661 Acha makasiriko binti!!!Wewe bado mdogo sana acha kushupalia mambo ya kikubwa yatakutoa kamasi,,,Kazana kumlea mzee Habibu huyo ndio msaada wako,,hawa wengine nao acha walelewe na wanao wahusu!!!Msalimie Adam!!!

  • @saidimtame2320
    @saidimtame2320 2 года назад +1

    Mtembeza bakur kazi kuomba omba tu

  • @salimahmed6005
    @salimahmed6005 2 года назад

    Mama huyoo

  • @daudkuyunga378
    @daudkuyunga378 2 года назад +1

    Mama kauiga mwingi

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 2 года назад

    Binadamu Zambi Kukaa Utupu Nasio Eti Suluwali Kwani Sio Nguo Nguo Ni Nguo Sema Nchi Hi Wakati Rwanda Walianza Kuchukiana Kwa Chuki Walizojazwa Jamaa Waliwajali Mmbwa Kuliko Binadamu Wa Rwanda Wengi Wajitahidi Kusoma Mataifa Yakuwa Nao Pamoja Kwenye Ulafiki

  • @abuuthauran9933
    @abuuthauran9933 2 года назад

    Acheni ujinga eti kazi kuomba omba binadamu wanaishi kwakutegemeana ,,, huo ni ushamba na chuki. Mama piga kazi

  • @sabastianraymond.6383
    @sabastianraymond.6383 2 года назад

    RAIS WANGU HABARI UNAENDELEAJE?
    MIMI BADO NAZUNGUMZA KWAMBA NI DHAMBI MWANAMKE KUVAA SULUALI.

  • @witnessmusa5454
    @witnessmusa5454 2 года назад

    Mama mzururaji huyu🤣🤣🤣

  • @dadaagnes4483
    @dadaagnes4483 2 года назад

    Ipo siku atadondoka mbele za watu

    • @shamsamuhammad3677
      @shamsamuhammad3677 2 года назад

      kwan adondoke

    • @dadaagnes4483
      @dadaagnes4483 2 года назад

      @@shamsamuhammad3677 huo mwendo wake unauona ni wakawaida huoni kama nayumba yumba

    • @shamsamuhammad3677
      @shamsamuhammad3677 2 года назад +1

      amezid kutembea muno kila siku ssafar hazimuish

    • @mandileykiritokangai3042
      @mandileykiritokangai3042 2 года назад

      Duy

    • @danieldotto5896
      @danieldotto5896 2 года назад +1

      Kodi zenu zinafanya kazi, inaonekana hajawahi kuwa na Pesa ya kumwezesha kuzunguka namna hiyo, anazitembelea G20 muda sio mrefu tunatoka uchumi wa Kati na kuwa uchumi wa juu zaidi