Mungu akubariki Mh. Mabeyo ulifanya kazi kubwa Sana ya kuituliza nchi ukweli nikwamba Watanzania tuligubikwa na wimbi kubwa la huzuni na Giza Nene mungu akupe maisha marefu cdf wetu mstafu.
Mabeyo...sura halisi ya Mkuu wa majeshi. But u look very humble aisee. Misimamo kwelikweli. But still uko na utimamu kinoma. Umestaafu mapema jamaa ww. Familia itakufaidi sana kwa busara zako. Nakutakia afya njema
❤❤Still feels like a dream. I wish ajitokeze awakemee Tanesco even for a minute! Huu umeme uwake hata kwa hizi kumbukumbu..mikono ya wanaokata umeme hovyo iwe mizito kama enzi akiwa hai.
Thank you General for keeping the peace during the transition period. You are a true example of a soldier, leader and General. God bless Tanzania and may the soul of our beloved President Magufuli rest in peace.
Rtd Cdf, what do you eat in a seminary that makes you get organized, intelligent but humble ? You skillfully and wisely enabled us to safely navigate through the darkest chapters in the history of our great nation. We shall always pray for you.
Hayati Dr John Pombe Joseph Magufuli ni Rais aliyeifia nchi yake He didn’t fear the consequences for loving his mother country! Talking of CDF Venance Salvatory Mabeyo he is the calm, intelligent and composed soldier Thank you Mabeyo
Salute sana kwake Rtd. CDF Mabeyo. You a true son of the land. Ulituvusha kiueledi sana. Hapo kwenye 'yawezekana walisahau katiba' ndipo panatupa tabu hadi leo. Kina nani hao walijisahaulisha kuhusu katiba? Mungu akulinde. Na Rais. Samia aulipe wema wako kwa kazi na utendaji bora kwa watanzania. Uishi sana mzee.
Inawezekana kuna watu walitaka kupora madaraka au kubadilisha katiba ili mama Samia asiwe raisi. Nchi yetu ni ya amani sana, angekuwa kiongozi mwingine angewafunga wote waliokuwa wakivutana kuhusu nani awe raisi.
Mioyo yetu inaugua hata sasa huyu baba kiongozi jemadali basi anajua mungu kilichompata sisi sote tunamshukulu mungu kwa maisha ya shujaa magu asante mungu
@@bworldproUsilo Lijua n Sawa na Usiku Wa Giza Aise, Kabla Magu kufariki alikua anaumwa Now and Then na Hakuamini Mtu yeyote kasoro Prof. Janabi na ali Play Vital Role for the Last 2 years ya Maisha Yake
Alipata nafasi nzuri ya kuikabidhi roho yake kwa Mungu! Kwa sisi wakristo nafasi ya kutubu kabla hujakata pumzi ni ushindi.. nilitofautiana mengi na Magufuri lkn alimkumbuka Mungu
Members of his family should have been there. Before we belong to the nation,we first belong to our families. Blood is heavier than water ! . His last moments hear on earth might have been so tough with no one to receive his heartfelt farewell. Bwana wangu na Mungu wangu, umhurumie mtumishi wako JPM !
This thing is still flesh like it happened yesterday, Rest in Power JPM, Rest in Power Mr. President. Rest in Eternal Piece John Joseph Pombe Magufuli.
Mungu wangu kweri aliamin hawez kupona kutokana na maxingira kwann msinge mpeleka nyumban aliamin angeenda nyumban angepona kwakuwa wasukima kwa Iman yao kama ni Mambo ya kiswahili ange pona baba ko mlisubilia afe ndo muanze kituadi sia hadithi 😭😭😭😭
Auawe na nani? Watu mbona mmekaa kama hamjaenda shule? Magufuli aliumwa kwa muda mrefu na maradhi yake yalikuwa yanajulikana. Acheni story za mtaani hazitawasaidia chochote na mtakufa masikini tena muda sio mrefu.
Mobeyo ameelezea vizuri sana. Inaonekana Bila wewe kwa ukarimu wako na msimamo nchi ingepitia kipindi kigumu. Inaonesha pia wanasiasa walileta sana marumbano juu ya nani kuchukua nchi. Tulitamani sana hii story iwe ya wazi tuone palikp na shida ili vizazi vijavyo vijifunze. Nakupongeza sana mkuu Mabeyo
Dah!Rtd.Cdf.Mabeyo ni mtu mwema sana pia ni akili kubwa na tafsir kamili ya mkuu wa majeshi.Hakika tulimpata mtu sahihi kwa nafasi hii.Hongera sana @mabeyo
So many things viko hidden but we are humbled to receive a short paraphrasing, all in all you are one man army
Namkumbuka sana JPM mabeyo ana mengi ya kusema anaonekana Asante kwa hayo machache
Nani wa kumkumbuka pombe hakuna lolote muuaj mkubwa hyu gaidi Uhuru wa kuongea kobri
@@Zuwenamachelaacha shobo
@@Zuwenamachelaalikuuwa wewe?😢
@@Zuwenamachela
.
@@Zuwenamachelawew ni mpuuzi sanaaa......ni rais gan nchi hii aliefanya maendeleoo makubwaa ya uchumii kuzidii JPM??......
Hatimae tumeambiwa kwa ufupi maneno ya mwisho ya mpendwa wetu. Very interesting story!
Magu alikuwa katili, muuaji, mtesaji, ni mpendwa wa nani?
@@paull8659 chuki zako hizo, lete ushahidi mahakamani
@@paull8659mpendwa wangu mimi na wengine wanaompenda.
Wetu sisi kama SI wako usitulazmishe
Paulo usilete upumbavu wa kivyama hapa alimuua nani, au babako mbowe na lema wameyumbisha dish lako
Mungu akubsriki sanaaaa ndugu Mabeyo umestaafu jwa heshima zote ubarikiwe
Leo nisikia mengi ambayo sikuyajua - asanteni sana. Kwa kweli Mzee Mabeyo alifanya kazi nzuri sana. He is a humble man. God bless
Ila kuna dharau nyingi Kwa Mama Samia either uzanzibar wake au uanamke wake Ndo nilichojifunza
@@wadhhasuleiman2621dharau zake nizipi au alimfanyia nani au unaandika kwakuongozwa na hisia tuu
Ni kweli kabisa 😊
@@wadhhasuleiman2621tujifunzi kitu gani kutoka kwa Samia na uongozi wake????????? 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😎
Atadhdhalauliwa au kuheshimiwa Kwa KAZI zake Kwa watz maana heshma hainunuliwi Kwa fedha@@wadhhasuleiman2621
Excellent, intelligent, and composed.
❤😢😢😢
Hakuna ukweli
Aisee story nzuri mno.....hongera mkuu wetu wa majeshi mstaafu
The big Man was incharge even at a time of expecting death✊.
Mungu akubariki Mh. Mabeyo ulifanya kazi kubwa Sana ya kuituliza nchi ukweli nikwamba Watanzania tuligubikwa na wimbi kubwa la huzuni na Giza Nene mungu akupe maisha marefu cdf wetu mstafu.
ashukuriwe mungu Kwa kuipenda nchi Yangu Tanzania ahsante mstaafu, mtengeneza amani mungu yupo pamoja nawe.
I wish my kid was a soldier to follow in the footsteps of this great cdf, man of God ! He knows how to lead and say big things !
Mabeyo...sura halisi ya Mkuu wa majeshi. But u look very humble aisee. Misimamo kwelikweli. But still uko na utimamu kinoma. Umestaafu mapema jamaa ww. Familia itakufaidi sana kwa busara zako. Nakutakia afya njema
Ukiambiwa ustaafu utaachaje
13 hrs on no.2 trending in Tz and kenya this how peoples loved magafuli
Yes itaenda namba moja
Acha tu now ni namba moja😢😢😢😢
Wala sio Sababu Wana mpenda😂😂
Asante Mungu kwa zawadi ya maisha ya mtumishi wako john pombe magufuli
Ata rutherani tunapata sacrament ya mwisho
Thanks Mabeyo you showed up your maturity in leadership
❤❤Still feels like a dream. I wish ajitokeze awakemee Tanesco even for a minute! Huu umeme uwake hata kwa hizi kumbukumbu..mikono ya wanaokata umeme hovyo iwe mizito kama enzi akiwa hai.
Sawaaaàaaaaaaa
Thanks for sharing!
May God bless my Country Tanzania.
Thank you General for keeping the peace during the transition period. You are a true example of a soldier, leader and General. God bless Tanzania and may the soul of our beloved President Magufuli rest in peace.
Mm nakupenda sana mabeo
JPM FOREVER WE WILL MISSING YOU SO MUCH😢😢
😢😢😢😢😢!!
Clyfafht
Rtd Cdf, what do you eat in a seminary that makes you get organized, intelligent but humble ? You skillfully and wisely enabled us to safely navigate through the darkest chapters in the history of our great nation. We shall always pray for you.
Hayati Dr John Pombe Joseph Magufuli ni Rais aliyeifia nchi yake He didn’t fear the consequences for loving his mother country!
Talking of CDF Venance Salvatory Mabeyo he is the calm, intelligent and composed soldier Thank you Mabeyo
Salute sana kwake Rtd. CDF Mabeyo. You a true son of the land. Ulituvusha kiueledi sana. Hapo kwenye 'yawezekana walisahau katiba' ndipo panatupa tabu hadi leo. Kina nani hao walijisahaulisha kuhusu katiba? Mungu akulinde. Na Rais. Samia aulipe wema wako kwa kazi na utendaji bora kwa watanzania. Uishi sana mzee.
Inawezekana kuna watu walitaka kupora madaraka au kubadilisha katiba ili mama Samia asiwe raisi. Nchi yetu ni ya amani sana, angekuwa kiongozi mwingine angewafunga wote waliokuwa wakivutana kuhusu nani awe raisi.
Venance Mabeyo ni Mfano Halisi 🙌🙌
😢😢😢
Aigwe kwa lipi? Alikuwa wap zaman kusema? Aigwe kwa ujinga huu anaousema hapa? Hajasema bado atasema tu kama na yy alihusika
Huyu MTU MABEYO ni Classic ❤
Mungu amuweke mahala pema Mzee wngu Jemedali Magufuli👏🙏🇹🇿
Mwenyezi mungu akinipa nafas Moja tuu yakufufua mmoja magufuli namba moja
The Prestige and Glorious leader....ITS Charismatic leader...Godbless Gen Venance Mabeyo.🎉🎉🎉
Mungu we mbinguni akuangazie Nuru yake Mzee wangu Mabeyo uzidi kubarikiwa baba
Mioyo yetu inaugua hata sasa huyu baba kiongozi jemadali basi anajua mungu kilichompata sisi sote tunamshukulu mungu kwa maisha ya shujaa magu asante mungu
Lipo lakujifunza hapa,Asante kwa elimu na asante kwa utumishi wako uliotukuka CDF Mstaafu Venance Mabeyo..Mungu akubariki sana..
Uzuri wa Jeshi, Uongo ni 2% tu.! 👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
Nani alikuambia?
Bado umlala ukiamka utajielewa 😎
Hii mada inatokea wapi
Uongo mwingi hapa najanabi ndiyo mwingi
hujakua bado ww ukikua utaelewa2
So interesting story 😢😢😢
Hongereni sana Jeshi, nyinyi ni wazalendo wa nchi. Tumekuelewa!
Hongera Mabeyo kwa taarifa hiyo achana maneno ya watu tunachojua raisi alikufa basi amemaliza kazi Mungu ndiye anayejua.
Asante Kwa Historia
Allah akuhifadhi baba magufuri na jannat iwe malazi yako amin
Ahsante mungu kwa kumpokea aliye kutumaini kwa 100% R.I.P JOHN POMBE MAGUFULI wetu
Kifo hicho kililiza watanzania wengi sanaaaa
Magufuli hakuwaamini kabisa hao madaktari nimeisi ndo maana akataka arud maskan
Kuna mtu katajwa simuamini kabisa na sura lake baya jeusi yani JPM wetu atatuuma daima wameniliza upya
Hilo nalo neno. Ila CDF hakulifahamu Hilo sababu kubwa na yeye pia pengine alishtushwa na Hali ya Mzee baba.
@@bworldproUsilo Lijua n Sawa na Usiku Wa Giza Aise, Kabla Magu kufariki alikua anaumwa Now and Then na Hakuamini Mtu yeyote kasoro Prof. Janabi na ali Play Vital Role for the Last 2 years ya Maisha Yake
@@abineralfayo2516 walishanunuliwa wamemsaliti mzee wetu daima tutamkumbuka
P@@jumaothman9449
Habari nzuri Sana Asante mwandishi
Mungu amlaze mahali pema peponi tutamkumbuka daima kwa uchapaji kazi wako
Huyu mzee anakili nyingi na anajua kazi he was at right place at right time kusaidia nchi yetu
Forever in our heart JPM ❤❤❤❤
Hongera sana kwa kusimamia katiba ya Nchi vyema. Tanzania ni nchi ya kipekee kabisa kwenye amani na utulivu. Mungu ibariki nchi yetu zaidi
Mabeyo ulisimama Imara sanaa kufanyika transaction ya smooth.hongera sanaa.
Hongera cdf uliitumikia nchi yetu vyema Sana mungu akujalie maisha marefu
Ingependeza ukawa Rais ❤
Kwakweli hatutakusahau maumivu uliyotuachia bado yanatafuna mioyo yetu,Hakika Binafis nilikupenda kipindi cha msiba wako nililia ucku na mchana nilishindwa hata kula,zaidi nikimuangalia mke wako mama yetu Janet hakika binafsi sitakusahau,Baba yetu kipenzi chetu Endelea kupumzika kwa Amani Tutakupenda na kukukumbuka milele daima Pumzika kwa Amani Kipenzi ❤❤❤
Big brain,big thinker mwambaa sana mabeyo
The general himself. I so appreciate him.
So sad😭😭😭😭😭pumzika kwa amani baba magufuli tutakukumbuka daima
Shukrani sana CDF Mabeyo kwa summary hii.
Mungu azidi kukulinda Mabeyo 🙏
Alipata nafasi nzuri ya kuikabidhi roho yake kwa Mungu! Kwa sisi wakristo nafasi ya kutubu kabla hujakata pumzi ni ushindi.. nilitofautiana mengi na Magufuri lkn alimkumbuka Mungu
Mkuu wangu bora wa majeshi venans mabeho...kipindi chako ulipiga kazi mkuu...
Taarifa hizi bado ni fumbo na utata ni mkubwa. Siku moja atakuja kiongozi mwenye uchungu na nchi wataeleza Kila kitu.
jitolee wewe tunasubiribkwa hamu na ghamu
Very composed,ahsante kwa utumishi wako
Interview nzur sana hii
Najikuta natokwa machozi hdi leo,R.I.P JPM.
Wengine tunazidi kufurahia haswa tukimuona Lissu anadunda
Hakika❤ Lufo kisikie tu,
Dah mzee wew mkuu wa majeshi ndo mtu muhimu sana uliebaki mungu akuweke
Asante , now we know
Zilikua habari ngumu sana hasa kwa mtoto wangu wa mwisho
Members of his family should have been there. Before we belong to the nation,we first belong to our families. Blood is heavier than water ! . His last moments hear on earth might have been so tough with no one to receive his heartfelt farewell. Bwana wangu na Mungu wangu, umhurumie mtumishi wako JPM !
Great. 🙏🙏
Natamani Mungu akuongoze uandike kitabu "uimara wa Nchi yetu" kitumike jeshini kufundishia
Kabisa
We nae bwana hayaaaaa nko moja naww
Ni basi tu, Ingekuwa Marekan hii movie ingekuwa best movie
Hii story mzuri sana ila kwa sisi tuliosoma cuba kuna vitu hapa vinafichwa
Mimi nimsomea tumboni mwa mamangu bado sielewi kwa nini sasa wakati ule haikuwekwa wazi.
@@leahmgunda4154😮 Leah Mgunda! Kwa hiyo wewe una cheti cha uhitimu kutoka tumboni mwa mama yako! 😂😂😂umetisha
@@EsterKiyabohicho ni kizuri kuliko Cha darasani 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Haviwezi kusemwa vyote na ni kawaida kabsaaa
Ndio maana inaitwa siri-kali, mengi sana yalitokea hapo mzena ila hiki kinacholetwa uraiani ni 3% tu
Rest in perfect heaven My late president.
Hongereni kwa mahojiano mazuri na wakati sahihi
This was the most darkest moment in our country’s history, mama yangu alipopata taarifa alilia na akaugua hadi kulazwa
punguza uchawa
Watu wengi walilia na wanalia hata leo
@@kwisa4899 mkeo na watoto siku ukifa, maana lazima ufe, watakuwa vichawa?
kuna mzee alipopata taarifa ya kifo cha Magufuli alipata mshituko wa moyo akafariki
Wapo waliofariki kabisa nawajua
This thing is still flesh like it happened yesterday, Rest in Power JPM, Rest in Power Mr. President. Rest in Eternal Piece John Joseph Pombe Magufuli.
Asante CDF Mabeyo... Mungu akutunze
it hurts 😢JPM tutakukumbuka Baba yetu,Tunamshukur Mungu kwa kila kitu😪😪
🙏🏿
Naumia roho sana juu ya Rais Magufuli nililia sana, Rais aliyependwa na Watanzania
Pole sana watanzania wote
Kuna mengi hayajasemwa hapo... Mungu aliona yote
Kabisa
ndio uyaseme wewe Sasa tuyajue
Hadi lini
Tutakukumbuka daima na kukuombea kwa Mungu
Mwamba huyu hapa🔥🔥
Mabeyo kwa nafasi yako ulisimama kuipigania Tanzania ukiwa na Amiri jeshi mkuu John pombe magufuri hakika mungu awabariki na wewe mungu akuweke zaidi
Aliomba tumuombee na sisi tunamuombea na tutaendelea kuomba dua zetu kwake
Ni ujinga tuu kwà nini hatukumuombea akiwa hai
@@MACHOYATAI-jk6fuEangle mbona kama sikuelewi au hujanielewa😡
Amin inshaalah
Mungu wangu kweri aliamin hawez kupona kutokana na maxingira kwann msinge mpeleka nyumban aliamin angeenda nyumban angepona kwakuwa wasukima kwa Iman yao kama ni Mambo ya kiswahili ange pona baba ko mlisubilia afe ndo muanze kituadi sia hadithi 😭😭😭😭
na vipi mkuu wa majeshi angeamuru wamrudishe nyumbani alafu afie njiani? je nini kingeendelea si wangemtupia mzigo wa lawama
Dah moyo umeumia kiukweli
I salute you Rtd.Mabeyo
Yan rais alilalamika kuusu majaribio kadhaa yakuuawa alaf mliyakalia kimya tu,Aina noma r.i.p jpm ❤❤
Utaenda jela ww na mdomo wako
Auawe na nani? Watu mbona mmekaa kama hamjaenda shule? Magufuli aliumwa kwa muda mrefu na maradhi yake yalikuwa yanajulikana.
Acheni story za mtaani hazitawasaidia chochote na mtakufa masikini tena muda sio mrefu.
@@khamisally9559Alie lalamika sio Mimi afu Kama hujafatilia hotuba zake usibishane na mimi
Ni kweli kazoa taarifa za mitaani huyo,ifike mahala tuwe wakweli katika maelezo yetu.@@khamisally9559
@@samwelkibogoyo1958 sisi sote Ni wafungwa watalajiwa alisema magufuli Kama unakumbuka
Pumzika kwa Amani Mhesh Rais Magufuli (from Kenya). Nilikuwa Tanzania
Bado uko kwenye miyoyo yetu na bado tunakukumbuka magu ❤❤❤ 😢😢😢
r.i.p Best President in Tanzania ❤❤
Nashangaa sana Rais alifariki bila kuwa na familia yake karibu, hata mke wake?? 😢
Protocol
Remember Aliongoza nchí hivyo national ínterest ínàkuwa mbele then family issues
JPM pumzika kwa Amani Baba Magufuri daima tutakukumbuka 😭😭😭😭
😢😢😢😢😢😢😢!!
Kwa mara ya kwanza video ya kiongozi wa kiserikali imekuwa no 1# on trending..Ama kweli Magufuli alikuwa kipenzi cha watu..😢
Magufuri wetu takukumbuka daima .asante Mabeyo story nzuri sana
Fantastic .
Very composed. Diplomatic and Professional.
My GOAT President Magufuli
sahihisha sentensi nahisi utakuwa umekosea typing
Cdf kazi nzuri mana mamlaka ya mgonjwa ni ya dactari pekee akigoma hutoki 📌
Your legends shall live on baba😢
Cdf mstaafu ajengewe sanamu lake! Ni very special person in Tanzania.
Sanam la nini?
Mungu atusamehe woote na sisi tusamehe kila wakati hii imenitafakarisha Sana
Mobeyo ameelezea vizuri sana.
Inaonekana Bila wewe kwa ukarimu wako na msimamo nchi ingepitia kipindi kigumu.
Inaonesha pia wanasiasa walileta sana marumbano juu ya nani kuchukua nchi.
Tulitamani sana hii story iwe ya wazi tuone palikp na shida ili vizazi vijavyo vijifunze.
Nakupongeza sana mkuu Mabeyo
Dah!Rtd.Cdf.Mabeyo ni mtu mwema sana pia ni akili kubwa na tafsir kamili ya mkuu wa majeshi.Hakika tulimpata mtu sahihi kwa nafasi hii.Hongera sana @mabeyo
Ivi aliyechukua nafasi yake kwa sasa ni nani
Jacob mkunda@@HappyMkongoma
Dah 😢