MTOTO YUNIS APOTEA na MAMA YAKE KIMAAJABU, ALITABIRI MVUA KUBWA ITANYESHA na WATU WATAWACHUKUA!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025

Комментарии • 107

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Год назад +2

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @majomamajoma8776
    @majomamajoma8776 Год назад +9

    Wanaume wengi riziki ikiongezeka ndani hawanaga adabu Bora kaondoka na mwanaume acha jua limuakie

  • @winnesakara6957
    @winnesakara6957 Год назад +7

    Mwanaume akisha pata pesa ni shida sana 😢 pole sana mama yunis

  • @Expedito2512
    @Expedito2512 Год назад +15

    Ndiyo maana kanisa huwa linajizuia kushabikia haya mambo! Kanisa lingekuwa limejihusisha na haya mambo ingekua aibu

    • @Fm-MornStar2014
      @Fm-MornStar2014 Год назад +2

      Ndio Kanisa Katoliki hilo! Halikurupuki na mambo kisa ni ya maajabu.
      ✍️ Kanisa Katoliki wanaelewa kama ni cha Mungu, kitajidhiirisha na kitadumu. Maana Mungu sio awe na haraka na ufunuo wake.

  • @nicolenabintu2509
    @nicolenabintu2509 Год назад +9

    I’m very disappointed, na uyu Baba ata deal na Holy Spirit of God kwaku haribu kipagi , Mama Bikira Maria mlinde uyo mtoto na mwanae in Jesus mighty name 🙏🏾😭

  • @saranelima691
    @saranelima691 Год назад +5

    Usherati na kazi ya mungu haiyendeshani

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 Год назад +3

    Nilisema mapema hapo hakuna Mungu ni unjanja wA Pepo watawala wA Anga ndungu zangu msidangnyike hata kidogo,

  • @pigmotho8662
    @pigmotho8662 Год назад +2

    Imani ya hawa wazazi iliwekwa kwa test na mungu

  • @eunicechege1104
    @eunicechege1104 Год назад

    Huyo babake mkubwa is a real man

  • @biberpriyer330
    @biberpriyer330 Год назад +4

    Akionekana Tena atakuw mungu sasa😅😅😅 itakuw kaenda mbinguni😂

  • @devotajulius7572
    @devotajulius7572 Год назад

    Aisee jamani kaka yangu hela ndio umeshapata hela ndio unakuwa hivi

  • @stellah3844
    @stellah3844 Год назад +8

    Pesa kidogo tu keshaongeza wake 2😅😅😅😅

  • @RachelMethod-rt1qx
    @RachelMethod-rt1qx Год назад +14

    Tutanyaona mengi kabla Yesu hajarundi

  • @isabelaadeleke9733
    @isabelaadeleke9733 Год назад +1

    Huyo Baba mbaya Sana atakiona cha moto

  • @justinendizeye714
    @justinendizeye714 Год назад +2

    Dah izi ni issue

  • @callebonyango
    @callebonyango Год назад

    Huyo baba Eunice amepotesha baraka kubwa sana nani mwenyeziMungu ndio atamurehemu

  • @aishachambo8663
    @aishachambo8663 Год назад +1

    Washapata pesa wameenda kutumia sasa😂😂😂😂 utapeli kwisha

  • @agneswanjikungunjiri5104
    @agneswanjikungunjiri5104 Год назад

    God put a stop to this cult

  • @AfricaQueen
    @AfricaQueen Год назад +8

    🤔🤔🤔💯Wamerudi Kenya kwao Baada Ya Kupiga Pesa nyingi✍🏽🗣️🗣️Hakuna Mataifa mbali mbali yamekuja Sikilizeni Kenya Yametokea Nini Wacheni Kushabidia Ujinga Huu Moto Unawasubiri🗣️

  • @lulually5209
    @lulually5209 Год назад +9

    Huo ndio mwisho wa utapeli na bado mungu atawanyoosha tu

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q Год назад

    Inawezekana ni kazi ya mungu lakini shetani naye hapendi

  • @psttitonakazaelimjema.9562
    @psttitonakazaelimjema.9562 Год назад +1

    Daah!.

  • @safianamani1375
    @safianamani1375 Год назад +5

    Total madness... In 🇺🇸 would be arrested... The kid can't even rest or enjoy childhood😮

  • @lgdnce8309
    @lgdnce8309 Год назад

    Duuu baba kawa jeuri kweli hela ya mutoto hiyo imewatia kelele pole yangu miye

  • @mussaandrew2083
    @mussaandrew2083 Год назад +10

    Baba mkubwa apewe maua YAKE

  • @theresianduku9837
    @theresianduku9837 Год назад +1

    Ogot tamaa ndio imekufanya ndoa yako isarabatike.omba mama msamaha.withing 2 months unaoa kumanisha ulikuwa umemkombolea nyumba,mama watoto asijue.

  • @vivianavivy3656
    @vivianavivy3656 Год назад +3

    Mtoto hata ishara ya msalaba haijui ...wizi mtupu

  • @judithmkiramweni4137
    @judithmkiramweni4137 Год назад +4

    Haya mambo Huwa siyaamini Huwa Yana kipindi macho hivi
    Nikikumbuka hata babu wa loliondo ni shida

    • @bonifasiemanueli21
      @bonifasiemanueli21 Год назад

      Hongera ndugu Kwa kulitambua hilo kiufupi ni kwamba,hapo hakuna Mungu ni ujanja wA shetani,watawala wA Anga,

  • @adelinabaitu3291
    @adelinabaitu3291 Год назад

    Watu wanapata hela kilaini sana

  • @stellamarisokoko1073
    @stellamarisokoko1073 Год назад +4

    Shetani ameingilia hii familia,huyu mzee amejiharibia

  • @RachelMethod-rt1qx
    @RachelMethod-rt1qx Год назад +8

    Pesa ni mbaya inabandilisha tabiya ya mtu

  • @stellah3844
    @stellah3844 Год назад +2

    Kheeeee baba anatamaa jaman😅😅

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 Год назад

    Aibu hana huyu baba nae mungu amewapa ufunuo wa mtoto wa ajabu leo hii unamtangisha tangisha mtoto kweli

  • @floramlowe7078
    @floramlowe7078 Год назад

    Wanaume apunguze tamaa

  • @sa3dasa3da87
    @sa3dasa3da87 Год назад +3

    Mzee alianza kulewa pesa
    Sasa kitega uchumi chake kimeondoka,aongeze mke wa 3 na 4 sasa

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Год назад

    Huyo mchezo umekwisha toka romani katoliki wakaoa wanawake wengi mungu atachukua ridhiki zake zote na hao wote watatoweka na wanawake wenyewe watamkimbia ridhiki by

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 Год назад +8

    Baba amekuwa na jeuli ya hela za mtoto baba jinga 😏😏

  • @majomamajoma8776
    @majomamajoma8776 Год назад

    Pesa inaingia bila baba kufanya kazi hivo anaweza kuwa na kiburi anachotaka pesa imemchanganya baba

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Год назад +1

    Uwongo na utaperi. Kwisha

  • @agnesmajura6102
    @agnesmajura6102 Год назад

    Global hii habari cjaielewa mmeanza kuwaje

  • @abajenezasolange6811
    @abajenezasolange6811 Год назад

    Hajapatikana?

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 Год назад

    Yaani kupata umaarufu tu nikosa kwako mwanaume.umeshasahau mateso yte mliopata mamkeo,tumbo limeshiba nyumba umepata bass ukaona uoe sasa.Kweli binadamu tuwasahaulifu.

  • @officiallymercymargaret3259
    @officiallymercymargaret3259 Год назад +2

    Mijanaume mingine ulimbukeni tu😒😒😒

  • @sr.elizabethmbuligwe5540
    @sr.elizabethmbuligwe5540 Год назад

    Wewe baba mkubwa wa yunis mbona mnafiki sana na uwongo mkubwa ulioweza kuwapa Wana habari nyinyi wanafamilia mmefanya nini au mnaona kutoa taarifa Kwa wanahabari ndio suluhu ya kusovu matatizo yenu?

  • @aplokimo405
    @aplokimo405 Год назад

    Sasa?anaharibu kipawa cha mtoto

  • @Humble-f3p
    @Humble-f3p Год назад

    Wewe mzee ni wewe umetuma mama yunis aende mbona uoe bibi mwingine heee hiyo ni aibu kwako

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 10 месяцев назад

    Kasashiba pesa.

  • @josphenembunde5805
    @josphenembunde5805 Год назад +1

    Borabu ni kisii kwetu whala mungu linda mtoto eunice na mama yake na hao wanawake ameoa wapiwe na radhi ya mungu

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 Год назад +1

    Uyomzee unaongeza wake kwapesa yamtoto aliezaliwa na mama mungine huondoutajiri wa wafrika aisee

  • @NaifinMohamed
    @NaifinMohamed Год назад

    Doris na mama Ake huyo wa huba😂😂😂

  • @aliemdogo
    @aliemdogo Год назад +2

    Nidhida

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 Год назад

    Kapotea au Mama kamchukua baba kaw jeuri kisa pesa

  • @mashannapapaaa9582
    @mashannapapaaa9582 Год назад +4

    Huyumuzee atalaniwa milele

  • @ashleyandeka
    @ashleyandeka Год назад

    Shetani ameamua kutawala hii familia na ameingilia mume waaa mungu awasaidie mama Yunis na mtoto

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 Год назад +2

    Huyo ni jini! Kawaida majini ndo yanapandikiza watoto wakijini kwenye tumbo na kuzaliwa! Unaweza kuona umezaa mtoto kumbe jini tu!

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 Год назад

    Wajaluo ni jamii inapenda wanawake sana hata Akiwa masikini angalau ataoa wanawake 2 mpka3 .Sasa huyu baba uchumi Wa mtoto anaenda kuoa wanawake 2 kwa mpigo .Sasa kitega uchumi kimeondoka ndio zitajulikana mbichi na mbivu.

  • @GladysWanja-eo5tx
    @GladysWanja-eo5tx Год назад +4

    Nonsense take the child to school

    • @annaridoch
      @annaridoch Год назад

      Toka upate A+ ya History unatutisha sana

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 10 месяцев назад

    Hee, kumbeee. HUYO NI SHETANI. BASI AKAISHI NAO MBALI HAO MABIBI ZAKE. HUUO MZEE ANAMAPEPO.

  • @AfricaQueen
    @AfricaQueen Год назад +6

    Mwacheni mtoto awe mtoto wazazi Tafuteni kaziiiiii Wacheni Huuu Utapeli Huyu Yunis Wazazi wakenya Hata kiswahili chao wakenya Hawa. Matapeli 🤔😏

  • @aishakambenga6191
    @aishakambenga6191 Год назад +7

    Apotea kama mbosso 😢

  • @KishaKisha-ux4ul
    @KishaKisha-ux4ul Год назад +1

    Baba Yuni Sasa atalijus Jiji lake. Jeuri yote Keisha. Atapata wapi pesa ya mtoto alafanyie umalays? Sasa ndio atajua kuwa be Majuto ni msanii au in mjukuu

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw Год назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @husseinkarim6745
    @husseinkarim6745 Год назад +9

    Hakupotea amechukuliwa na mamake.

  • @mutiembingi-le6kz
    @mutiembingi-le6kz Год назад +1

    Ni mganga Wala hakuna mungu hapo

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 Год назад +3

    Kekundu sio kenye pesa😅

  • @Irenes_Kitchen
    @Irenes_Kitchen Год назад

    Mmh maajabu😢😂😂😂

  • @mafurumatijo8803
    @mafurumatijo8803 Год назад +2

    Hata mariamu alitoroka na yesu kwenda misri badae alilejea.

  • @felisterandrew8741
    @felisterandrew8741 Год назад +1

    Hajapotea bali mama kaondoka na mwanae.

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 Год назад +1

    Baba mkubwa umeongea vizuri,hujapindisha .

  • @michellesaronga8065
    @michellesaronga8065 Год назад +3

    Mtawatambua Kwa matendo yao
    Haya Mambo yanamhitaji hicho la 3 kuyaelewa

    • @michellesaronga8065
      @michellesaronga8065 Год назад

      Mtawatambua Kwa matendo yao
      Haya mambo yanahiitaji jicho la 3 kuyaelewa
      Mbinu za adui ni za Siri mnooo

    • @mariaikombe7839
      @mariaikombe7839 Год назад

      Tayari.roho ya kufarakanishwa hii familia imeshaingia ndani ya nyumba bila maombi hii huduma itayumba

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 Год назад

    Huyu baba vipi huyu kaoa mara 2 kha

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 Год назад

    Huyu baba tapeli kha

  • @fatmaismail7683
    @fatmaismail7683 Год назад +1

    Hataki ushauri wala kuongea na MTU nimecheka

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 Год назад

    Wasijeikawa wameuawa!!

  • @silipunte1347
    @silipunte1347 Год назад

    Najivunia kanisa katoliki halichukuliagi kila mambo yanayotokea ovyo bila uthibitisho kamili

  • @MaedaMm
    @MaedaMm Год назад

    Bora tu kamchukua anaempa jeuri

  • @salomekitali1922
    @salomekitali1922 Год назад

    Wanawake why are you destroying this God mission.Huzuni mkubwa kabisa.

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 Год назад

    Masikini akipata matako huliambwata. Wanaume wengi huawatulivu wakiwa masikini hasa hasa watu weusi. Mzee anaongeza wanawake kwa kipajicha mtoto..badala ya kuongeza mashamba anaongeza binadamu watakao mkula .stupid black man

  • @mafurumatijo8803
    @mafurumatijo8803 Год назад

    Acha ngano na magugu yakuwe pamoja.

  • @kiswahili_mangat
    @kiswahili_mangat Год назад

    Hiyo ni kazi ya shetani. Kwa nini huyu mzee ameacha kuomba? Ujinga wa hali ya juu.

  • @judithmkiramweni4137
    @judithmkiramweni4137 Год назад +1

    Haya mambo Huwa siyaamini Huwa Yana kipindi macho hivi
    Nikikumbuka hata babu wa loliondo ni shida