DOH! Mwanangu Ali Kiba umewaanika wote wanaoenda majuu na kurejea makwao bila ng'o. Mac Muga kibwena majuu au sivyo? Ahsante sana Ali Kiba. Afrika Mashariki matawi ya juu :)
Alikuwa maarufu sana, Akajiona yeye ndo winner Kwa kujichanganya na wasichana Club zote za huko kujulikana Yeye Mac Muga Wewe Mac Muga Ah, hii dunia, Mac Muga huruma!.. Mungusha asumani alipofika South Africa alikuwa na maisha bora Ya juu, ya thamani tena yanayohitajika magari yote kwa nyumba Mbona sasa amesharejea, hajui...
ali kiba the best of the bests in east africa plus he's just gettin started...the United Struglers of Africa president just left u the touch blessss bredreeeeeen 1 luv peace; the
We we we Mac Muga, najua wengi wetu wanaosikiliza huu wimbo katoka Bongo, Zanzibari au Kenya. Wengi wetu/wenu wako mamtoni(majuu) lakini tunawajua Mac Muga wengi in the making na wengine tayari finished article. Naomba sote tupate funzo toka kwa ndugu yetu Ali Kiba, ni ajabu songi zake nzito na zinakubalika. Support kibao toka Kangemi, Kenya
Ali Kiba has real talent... i wish one of them music moguls could recognise him and help him advance....get a record deal or something... You the best Brother, let nothing put u down or anyone tell u different... Keep your head up
hey luvgal3,Kenyans n tz hatujawai kuwa battle of r n b,it was decided kitambo,Tz do the blues Kenyans the party songs,i tell you no one can do without the other!we make a beautiful combi! your kenyan gal!love ali kiba!
mimi ni mkenya lakini dis song is soo tyt dat now i believe kenyans hav been beaten in the battle of r'n'b musiq by the TZ's, i luv ali kiba soo much + he is hott!!lol!! and dis is one of his best, if not his best song
Liston in kenya wewe ni kame wengine fala.we shall live to see.This is what will also happen to you in dandora very soon,life hupelekwa mosmos brother.
Mbona sasa amesharejea (kutoka South Afrika) Hajui wapi ataanzia Hakuna kazi kutwa kajinamia Sababu ya aibu dunia... Wewe Mac Muga Mungu akupe nini, Mac Muga?.
...Mcheza bongo Mac Muga Yuko single sana Mac Muga Ukimwona mtu akijinamia kwa sababu ya maisha yamchanganya Chali wangu alizamia Kuenda kusini mwa Africa Huku pia akimchanua kwa sababu ya maisha aliyofuma
Vilabu zote za huko kujulikana.... Shida walimwelezeya wasichana na shida zao akawatatulia... Afanye nini sasa cha kufanya kila anachofanya an'ona anakosea... Mac Muga hurumaaaa... Kuna kupanda na kushuka bwana!!!!.
Mungu si adhumani... alipofika South Africa alikuwa na maisha bomba Ya juu, Ya dhamani tena yanayohitajika magari na kubwa nyumbax2 Mbona sasa amesharejea? Hajui wapi ataanzia... Hakuna kazi kutwa kajinamia sababu ya aibu dunia Hivi upewe nini Macmuga? Mungu akupe nini Macmuga?
all comments here make me laugh and smile...Mac Muga alichezea imagine gari ya kutembelea na sasa anatumia route 11 yaani miguu miwili juu alitimizia kina dada wasiotosheka mambo zao,,maybe alikua Mtwapa mji wa malaya hehe ama Casablanca ama Dar El Salaam ama Nairobi mji wa malaya wanaolia kama mafagini hehe........This guy ni msaniii man;;hello aus Calgary Alberta oyeeeeeeeeeeeeeeeeee
Verse 1 Mcheza bongo Mac Muga Yuko single sana Mac Muga Ukimwona mtu akijinamia kwa sababu ya maisha yamchanganya Chali wangu alizamia Kuenda kusini mwa Africa Huku pia akimchanua kwa sababu ya maisha aliyofuma Alikuwa maarufu sana, Akajiona yeye ndo winner Kwa kujichanganya na wasichana Club zote za huko kujulikana
No man, he is dissing a guy (Mr. Nice) who wasted his fame and millions. Moving to SA, then UK and squandered his money on women and the high life. Now he is back and has nothing to show of it. Basically
Najua bana.... hiyo ndiyo tunayoita slang. I know how to us epast and present participle tenses najua haujaelewa nimesema nini lakini poa mchizi chukua dictionari yaani kamusi ujifunze maana..
if u listen to this song carefully it's made for oathman... who was chosen to go to the show BIG BROTHER AFRICA... he had cars ,girls and everything..wen he came back to TANZANIA..... he din't noe wear to start offf... like no money no nothing.. that's wat that song realls meanz...listen to it carefully...
DOH! Mwanangu Ali Kiba umewaanika wote wanaoenda majuu na kurejea makwao bila ng'o. Mac Muga kibwena majuu au sivyo? Ahsante sana Ali Kiba. Afrika Mashariki matawi ya juu :)
2008 wow❤
This brother can sang..... Im from kenya and i think in Africa he's one of the best singers..na nimbo zenyewe zina maaana..... KUDOS ALY KIBA.....
this n binti kiziwi are just the boom.thanks for keeping it real bongo.
I love this tune, My Swahili speaking friends made me know its a Tazania thing, Mac muga...much love from Naija...Yor!!!
Alikuwa maarufu sana,
Akajiona yeye ndo winner
Kwa kujichanganya na wasichana
Club zote za huko kujulikana
Yeye Mac Muga
Wewe Mac Muga
Ah, hii dunia,
Mac Muga huruma!..
Mungusha asumani alipofika South Africa alikuwa na maisha bora
Ya juu, ya thamani tena yanayohitajika magari yote kwa nyumba
Mbona sasa amesharejea, hajui...
Alikiba is a great artist. He is my inspiration. I am a Kenyan, but kitu poa ni poa....wenye wivu wameze wembe.
ali kiba the best of the bests in east africa plus he's just gettin started...the United Struglers of Africa president just left u the touch blessss bredreeeeeen 1 luv peace; the
I love this guy soo much .i don’t speak Swahili but I enjoy his music
We we we Mac Muga, najua wengi wetu wanaosikiliza huu wimbo katoka Bongo, Zanzibari au Kenya. Wengi wetu/wenu wako mamtoni(majuu) lakini tunawajua Mac Muga wengi in the making na wengine tayari finished article. Naomba sote tupate funzo toka kwa ndugu yetu Ali Kiba, ni ajabu songi zake nzito na zinakubalika. Support kibao toka Kangemi, Kenya
kenyan based in Atlanta this song reminds me of back home. one of my favorite songs
Ali Kiba has real talent... i wish one of them music moguls could recognise him and help him advance....get a record deal or something... You the best Brother, let nothing put u down or anyone tell u different... Keep your head up
everyone needs a chill pill and chillax! im sure if ali kiba saw these comments he'd be happy he has fans from all corners of the world. peace
hey luvgal3,Kenyans n tz hatujawai kuwa battle of r n b,it was decided kitambo,Tz do the blues Kenyans the party songs,i tell you no one can do without the other!we make a beautiful combi!
your kenyan gal!love ali kiba!
best East African singer and i'm not even from Tanzania, he is even better than a majority of american rnb singers keep up
this is the of song of the century,i play it over n over,need to buy another cd,coz ya scratch,
Eyo kiba,Kazi nzuri mwanangu.
Kazana mwanangu.Longin NEWYORK.
Ali Kiba, you only get better. I adore thee..your talent, voice and you are smoking!
I am from Bangladesh and i don't understand this song but i like the bit so much. i love Kenyan music.
Man, brings me back memories from Kenya, I love East Africa.
Ali Kiba, simply the best. wimbo zake ni bora kabisa
Uganda i used to love this Song back in 2010
The Guy has it all no one like him at this moment in bongo flava scene,he can truly truly sing in a class of his own in Tanzania vijana wa pwani hawa
I dedicate this music to all majuu people n back home wale bado wanalalia maskio,bless ali kiba for this touching music.jah bless
Tanzanian music has come along way. Hard work pays off. Keep it up!!!
Hey you 12yrs later here we are. How do you do?
this song is a bomb!!! keep rolling them bwana Kiba
mike
pound for pound ali kiba is the best in his class. hands down... .
asante sana kwa lyrics za wimbo huu!! Naupenda kweli.
Its of the hook, l like it. amevunja ikulu na sauti yake yakiajabu. keep doing your thing.
Umesikia, ndo ushaambiwa hivo.
Wimbo umebambaaaaaaaaaa🍒🍍🌷
Ali Bumaye keep doing your thing son, you got it men!!! EastAfrica's Best Kept Secret.
karibu sana alikiba tunakusubiri kwa hamu na ghamu
Nice one!!hAHAHA!!I was just thinking who is this Mac Muga!I love this song so much! And if its Mr. Nice I love it even more lol!
The Mac Mugas of USA and Europe should listen to these lyrics.....nyumbani ni nyumbani jameni. Hebu mrejee b4 its too late!!.
mimi ni mkenya lakini dis song is soo tyt dat now i believe kenyans hav been beaten in the battle of r'n'b musiq by the TZ's, i luv ali kiba soo much + he is hott!!lol!! and dis is one of his best, if not his best song
Liston in kenya wewe ni kame wengine fala.we shall live to see.This is what will also happen to you in dandora very soon,life hupelekwa mosmos brother.
Hii ngoma poa sana. Big up TZ!
Mbona sasa amesharejea
(kutoka South Afrika)
Hajui wapi ataanzia
Hakuna kazi kutwa kajinamia
Sababu ya aibu dunia...
Wewe Mac Muga
Mungu akupe nini, Mac Muga?.
...Mcheza bongo Mac Muga
Yuko single sana Mac Muga
Ukimwona mtu akijinamia kwa sababu ya maisha yamchanganya
Chali wangu alizamia
Kuenda kusini mwa Africa
Huku pia akimchanua kwa sababu ya maisha aliyofuma
Dash unyama no mwing👏👏👏👏👏👏
Good beats, excellent voice balance, instrument variety, but most of all Ali, your voice.....wow! Very talented. 9/10.
Vilabu zote za huko kujulikana....
Shida walimwelezeya wasichana
na shida zao akawatatulia...
Afanye nini sasa cha kufanya
kila anachofanya an'ona anakosea...
Mac Muga hurumaaaa...
Kuna kupanda na kushuka bwana!!!!.
Mungu si adhumani...
alipofika South Africa
alikuwa na maisha bomba
Ya juu, Ya dhamani
tena yanayohitajika
magari na kubwa nyumbax2
Mbona sasa amesharejea?
Hajui wapi ataanzia...
Hakuna kazi kutwa kajinamia
sababu ya aibu dunia
Hivi upewe nini Macmuga?
Mungu akupe nini Macmuga?
Nice Ali kiba
Mbona sasa amesharejea
Hajui wapi ataanzia!!!!!
Woi noma huruma kanyong'nyea.
my best bongo song of all time...Mac Muga
brandy
nc song ali nyimbo zako zanituliza 2 sana
Akiwa jambazi
gerezani ataishia...
Akiwa mwizi anaona
atauliwa...
Akifikiria kujiua
Nafsi nazo hatapata.
Woi noma huruma kanyong'onyea!!!!.
In luv with the song...plus its very humbling..
im in love with this song,u go ali!!
Hii ni MASTERPIECE.
wonderfull...j'adooore!!!!Ali Kiba
2022 still with Mac muga
Here we are 🤝✌👌
nice one, Keep it coming...
Tighter than tight!!I can't stop listening to this song!!!
ah, naelewa sasa, asante
all comments here make me laugh and smile...Mac Muga alichezea imagine gari ya kutembelea na sasa anatumia route 11 yaani miguu miwili juu alitimizia kina dada wasiotosheka mambo zao,,maybe alikua Mtwapa mji wa malaya hehe ama Casablanca ama Dar El Salaam ama Nairobi mji wa malaya wanaolia kama mafagini hehe........This guy ni msaniii man;;hello aus Calgary Alberta oyeeeeeeeeeeeeeeeeee
Very very nice song!!! alikiba have a very wonderful voice
its great, it nidz tusker n nyamchom. kip it up bro n try n fix a concert 4 we in babylon [usa] .
Mbona sasa amesharejea...
Hajui wapi ataanzia!.
Afanye nini chakufanya?.
Huruma.....
I love very much. I think u awesome job. I can't wait to see you one day.
@kenyalinn that is mr nice another tanzanian singer
nice nyimbo nzuri
alikuwa na maisha bomba
you rock @ alikiba! good song
Let's listen to this song again 2️⃣ 0️⃣ 2️⃣ 2️⃣
When bongo fleva was Bongo fleva
Kitambo sana kweli
Ukimwona kutwa kajinamia
sababu ya maisha
inavyomchanganya!!.
kiba toka kipind mpaka leo ni nouma xana
deadly muzik... chafu sana
Ali Kiba U Rock, The best!!!!!!!
Huku kujichanganya
na wasichana
Vilabu zote za huku
kujulikana!!!!!
nyc sanaaa
dat tru bro, it aint dat hrd 2 akcept. jst alittle better than kenyan thin, peace
Verse 1
Mcheza bongo Mac Muga
Yuko single sana Mac Muga
Ukimwona mtu akijinamia kwa sababu ya maisha yamchanganya
Chali wangu alizamia
Kuenda kusini mwa Africa
Huku pia akimchanua kwa sababu ya maisha aliyofuma
Alikuwa maarufu sana,
Akajiona yeye ndo winner
Kwa kujichanganya na wasichana
Club zote za huko kujulikana
one of ma favourites!
No man, he is dissing a guy (Mr. Nice) who wasted his fame and millions. Moving to SA, then UK and squandered his money on women and the high life. Now he is back and has nothing to show of it. Basically
keep doing your thang man
still i love this song im in Qatar
Dem dayz....the adrenaline lol.....
Kali sana
Mr Nice is listening?
Najua bana.... hiyo ndiyo tunayoita slang. I know how to us epast and present participle tenses najua haujaelewa nimesema nini lakini poa mchizi chukua dictionari yaani kamusi ujifunze maana..
u are amazing!!
Bestest song ever.
Noma sana..........
if u listen to this song carefully it's made for oathman... who was chosen to go to the show BIG BROTHER AFRICA... he had cars ,girls and everything..wen he came back to TANZANIA..... he din't noe wear to start offf... like no money no nothing..
that's wat that song realls meanz...listen to it carefully...
napenda iy
This is a Tanzanian Musician.
2019 on line
nice song, great msg
what a nice song
makes me kumbuka mathree za mtaani
2017 July back to back
it was dedicated to MR.NICE after his career downfall,from riches to rags...
Mbona sasa amesharejea?.
Hajui wapi ataanzia.....
Maneno matam i seriously luv this song xxx
Very nice song :P MAC muga Mugababe :P
kipenzi cha roho yangu, maCmuga.
No this is Ali Kiba and he is Tanzanian. Mr. Nice is another guy and he is also Tanzanian