LIVE: Habari TBC 1, Haki za Mtuhumiwa Anapokamatwa na Polisi Hizi Hapa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 май 2017
  • #Mtuhumiwa anapokamatwa na polisi, ana haki ya kumuuliza polisi #jina, #kitambulisho na #kosa analomkamatia. Kumkamata mtuhumiwa kunaweza kuwa kwa kutumia hati ya kumkamata au inaweza kufanyika bila kutumia hati ya kumkamata.
    Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
    Kwa mujibu wa #kifungu cha #13 cha #sheria ya #Mwenendo wa #Makosa ya #Jinai, iwapo #mtuhumiwa atakuwa ameshafunguliwa mashitaka, basi mahakama kwa kutumia hakimu wake itamuita kwa kutumia hati ya kumkamata mtuhumiwa huyo na kama mtuhumiwa huyo atakuwa hajafunguliwa mashitaka kabla hajakamatwa, basi #samansi itatumika na wakati mwingine mtuhumiwa anaweza kukamatwa bila hata kutumia hati ya kukamata.
    Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
    Kimsingi ni jukumu la ofisa wa polisi au mtu yeyote anayemkamata mtuhumiwa, kumtaarifu mtuhumiwa huyo sababau ya kumkamata na si kumkamata kiholela kama ambavyo wakati mwingine inafanyika.
    Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
    Hali hii wakati mwingine inasababisha watuhumiwa kukataa kukamatwa na hivyo kuleta mtafaruku baina yao na mtu/watu wanaoenda kutimiza wajibu wao wa kisheria kuwakamata watuhumiwa hao.
    Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
    Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chaneli yetu kwa kubofya…
    / uwazi1
    / uwazi1
    / uwazi1

Комментарии •