Ben Pol - BADO KIDOGO (feat. Wyse) (Official Music Video)
HTML-код
- Опубликовано: 8 фев 2025
- #BenPol #BadoKidogo #Wyse #SlideDigital
(c)Slide Digital
Listen & Download Ben Pol Music Worldwide
Follow Ben Pol On:
/ iambenpol
/ iambenpol
/ iambenpol
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz - Видеоклипы
Huu wimbo unanikumbusha mbali Ben Pol nakumbuka ulivyokua unafanya mazoezi usiku uwanjani ajentina kule yombo nakumbuka kuna siku usiku nilikua na baba yangu ulikua unafanya mazoezi baba alikua ananifundisha Gari akaja kukusalimia nakumbuka ulimwambia "ndo kama hv bro Napambana" akakuambia "unaweza sana mdogo wangu kaza utatokaa" leo hii yametimia I'm so proud of you cause I witnessed your struggle mungu akubariki sana na aendelee kukuinua
Ni muda wa kuonesha tofauti kati ya muimbaji na msanii. Ben wewe ni muimbaji na Mungu amekupa sauti. Asante kwa wimbo huu. Utarudisha matumaini kwa watu wengi waliokata tamaa na maisha kutokana na changamoto zinazowakabili. Hakika, bado kidogo, mambo yatanyooka. Heko Hanscana, kwa kuupa wimbo huu video inayostahili. Mwaka 2018 umeanza kwa kishindo. Nina furaha
SimuliziNaSauti Sijutii kukukubali kaka, #Skywalker unajua
#Muimbaji Vs #Msanii
SimuliziNaSauti true talk a wise words from the mouth of one of the best analyst in this music industry, it will live forever in any circumstances...
Nimejikuta naangalia na kusikiliza tu nashangaa umeisha. Huu wimbo ni universal kiukweli unagusa wengi Sana kwa namna moja au nyingine
Well said sns . You say it allllllll kaka
Asante sana Kaka yangu Sky, nashukuru kwa blessings zako since day one nilipokusikilizisha
Ukimwaminia,Utajiaminia; MWENYEZI MUNGU.
Njoo umwimbie Bwana Yesu Muumba wako naona unaenda hadi mataifa ya mbali ukimwimbia Mungu.
Karibu
Dah ama kweli mung akubark Ben Po
I can't believe cjawahi ckiliza huu wimbo till this day, I missed smthng worthy. Hongereni 🙌👏💪
#Bado kidogo usife moyo ,,,, Amina ben Mungu yupo pamoja na wewe
Huu wimbo ni bora zaidi na ninaamini kuwa hautatoka kwe ye chati za muziki kwa miaka na mikaka, Ben pol umedhibitisha kuwa sio lazima msanii aimbe kuhusu mapenzi na kuonyesha wasichana uchi ndio wimbo uhit, keep it up, Mombasa kenya ninakukubali naamini bado kidogo ndio nifanikiwe
Amina kaka
Huyu ndo Ben Paul ninayemfahamu tangu enzi za "Sikati tamaa" Thank you brother.
Mambo ya kutekana waachie magaidi😃
Huu ndo wimbo wangu,hapa umeniimba mimi aiseee!!!very inspiring,heartouching!!!ahsante kwa hili song bro!!!
kama huna kinyongo na benpol gonga like yako
Akika nimetokea kuikubali Ben pol nice
I'm appreciate . My brother
acha ni comment brohh dahhh ulikokuwa unaelekea kubaya na Yale makiki uliyoanza kufanya now umerudi benpol wa kipindi kile niliyekuwa nampenda safi sana nyimbo nzur sana
Na watu hawajui mangapi yanakukabili,Kabla ya jua kuzama kuzama utaona mengi yaliyofungwa kwako yatafunguliwa....... Best song ever
Ni wimbo Ambao Unatupa Matumaini Kwa watu Tunaopitia Changamoto Mbali Mbali katika hii Dunia .
Benpol Hongera Kijana Kwa Nyimbo Nzuri Unayoinspire Jamii inayotuzunguuka Katika Hii dunia Blessed more ,, Hata Mie Najua Bado Kidogo Sana Ntafanikiwa Katika Hii Dunia Never Give up.
Nimesikiliza zaidi ya Mara tanoo Yan napata nguvu ya kupambana 2023
Duuh wimbo nzuri hivi hujafila 1M
Kweli wabongo tunapenda mwimbo zisizokua na ujumbe
Wallah ukisikiliza hii nyimbo unasahau matatizo yote na inaleta matumaini. Ben hongera kwa nyimbo nzuri sana.
bwanaaa eehh sisi watanzania tunahitaji muda huu creativty na si vinginevyoo safi sana ben pol your very creative broooo,..............................
Wimbo upo powaa na zaidi umenivutia ulivyoimbia Lushoto kwenye jengo maarufu la Vuga Press ...Big up .
Ben Paul vizuri sana. Yaan Mungu asikuache katika kazi hii ya uimbaji uliyonayo. Hakika hiki ni kipaji kitumie vizuri katika jamii uliyopewa kuinua Mioyo ya watu, kuelimisha lakini pia kuburudisha. Mungu akusaidie.
Natamani kumuona Ben akiendelea kuimba nyimba za kumwabudu #Mungu maana hata voice hii imefika mbali!ombi langu!
Kuna tofauti kubwa Kati ya mwimvaji na msanii,umeimba n this is the song we sing tother forever n ever
God bless you my dear brother hatujutiii kuwa na msaniii Kama wewe unae Angalia taifa zima bila kujali wewe ni mtu wa Aina gani Inshaallah mungu akupe maishaaa marefuuu yenye baraka na mafanikio mema 🙏🙏🙏🙏
Daaa huwezi amini tangu wimbo huu utoke nimekuwa naurudia sana but leo naona ngoja nishiki japo kwa kucoment tuu ###BIG UP BEN### by shabiki makini wa ben pol from u started ur movement of music
Ni muda sahihi kwa hii ngoma kulingana na Hali halisi iliyopo sasa ..Coz Naliona Kundi Kubwa la Watanzania waliokata tamaa.Ila hapa tunaamini Kupitia Hisia za Kimungu na kuamini kila Zito lina Wepesi wake ..#Asante Benard
Kabla ya jua kutua kuna mengi yatafunguliwa..usife moyo sifi moyo kabisa..bado kidogo ..tuendelee kusugua hamamu kwa bidii..song of the year..from Kenya nimekubali 👊👊👊keep it up Ben unaenda mbali
Nikiwa na jambo langu napita huu wimbo unanifaliji Sana'a Ben Mungu azidi kukutunzaaa
Hili ndo G nalikubali bongo.. Greetings from mombasa 254
Sauti angavu fikra bunifu na uhofu wa mungu. God b wit ben poul
wimbo nzur unafarij sana aiseeeeeee kati ya wasaniii rnb wanaweza bas ni wew kaka benpol, tumefungua mwaka vyema kabisa
Nafatijika na huu wimbo jmn sitokata tamaa bado kidogo, big up Ben pol. it's me from (Oman)
Ben pol brother ukija Dom tuonane
umenipa matumaini kwa wimbo huu
hakika unajua, yako sauti, wako ujumbe
appreciate u ben pl
kila nikitizama ama kusikiza huu wimbo nafarijika sana, mungu hamtupi mja Asante benpol
Jaman kuna msanii na mwimbaji Ben n mwimbaj nac msanii ......bado kidg nackia kila wakat
bado kidogo usife moyo yaani huu wimbo umenibariki mno kaka nakupa big up
Like hapa Kama ww unamkubari huyu #Jamaa +255🇹🇿
mmmmmm kali
Umeanza mwaka vizuri mnoo.. Big up broo kwa kumbuka kutufariji nass
Never give up wimbo uliojaa ushindi katika maisha
benpol siwez kujizuia for sure unanifariji sana na nyimbo zako hufanani na hao watoga masikio unajiheshim sana kaka Mungu akubarik
Ben Paul this is really u mm huwa nakuwa shabiki wako kwa nyimbo hizi na ndo tunaiona tofaut kubwa sana kati ya "ujanja ujanja" na muziki mzurii... Big up sana
Wimbo huu nautazama taaaratibu nikiwa na mamangu mzazi....hata sina wasiwasi wowote.....Tazama Mungu anatenda mambo mapya BADO KIDOGO.....Mwenezi Mungu akusitiri na akuepushe na kiburi unapozidi kuinuliwa.
Big up aiseee Benpol. bagi kidogo. ...asante sana umenipa moyo sitakufa moyo
kabla ya jua kuzama utaona meng yaliyofungwa yatafunguliwa..............bado kidogo🙏🙏🙏🙏🙏
This is my best song to him,huwa nalia sana hasa kwenye mambo magumu nayopita Mungu nipe uvumilivu
Moja ya wakali wa rnb ambao mungu ametupatia big up bro bado kidogo
nam naamin bdo kdogo huu mwaka nam ntafanya kweli Ben ngoma anahamisisha sana thanks unatufarij wa2 Wengi keep it up
miongoni mwa ispiration song nzuri hapa bongo huwezi acha itaja na hii
BIG UP TO U BEN
Yan kila nikiusikilza wimbo huu napata nguvu mpyaaa love u Ben pol
Ohhh... bado kidogo sounds beautiful yani bonge la nyimbo much love
Pamoja na CORONA lakini BADO KIDOGO inanipa moyo. Wimbo mzur sana . AMEN.
Nimekuja kukupenda Ben poll baada ya kufatiria mikiki zako Aisee unatisha sana Hongera sana kaka
hakika aliyekupa kipaji azid kukuinua kwa viwango vingine vya juu zaid,hongera sanaa
unajua kaka kuimba ujumbe Mzuriii zaidi tusikate tamaa ktk maisha
Unaweza bro na
Unajua kuimba na pia allah kakujalia saut na mvuto wa ushawishi wa kuckilza nyimbo zako.
Hongera kwa kipaji ulichokua nacho
Tumainisha na kumbusha tanzania this is what i accepted to my country.we love u ben pol
Nashangaa promo zinaenda kwa walopokaji wa nyimbo huku waimbaji mpo mmetulia bro your the best singer.. God bless u guy..
hongera sana nyimbo yako ni nzur sn inatupa matumain mapya ss tuliokuwa tunaelekea kukata tamaa
kwel bado kidogo
Benpol nakukubali Sana hukurupuki, nyimbo ina mafundisho mengi tusikate tamaa
Nice One Kwa Kawaida Msanii Inatakiwa Abadilike Na kuonyesha Uhalisia Sio Wakati Wote Nyimbo Za Mapenzi, Umefanya vizur kutia watu Moyo katika Maisha Yetu Ya kila Siku Tunakupanda N Kushuka hii Ni Moja Ya Hali Ambazo Watu Wanapitia.........................................MOTIVATION SONG
I love this jam.... There's always light at the end of the tunnel..#Badokidogo
Wow.. This is what we need in Tanzania.,
Tired of love songs 😏
gloria mahongo
I Agree with you
Na Sio Tz Bali Ulimwengu Mzima Ulitakiwa Uelekeze Ujumbe Wao Kwa Wa Mziki Ki Ushauri, Historia Mwelekeo wa Mahisha na Sio JEURI Mapenzi Na Matusi Kila Kukicha Unafikiri Mziki kama Huu nani Ataona Wanawake waliovaalia Nusu Uchi au Nani Ataona Ahibu Kuutazama ?
gloria mahongo true
exactly mamaah
Good job
wewe acha bongo freva mwimbie yesu' nakukubari forever
Afadhari Bernard Paulo a.k.a mzee wa mafuta au Ben Pol umetuletea kitu tofauti. Tumeshachoka mapenzi tuuuuu, kila nyimbo mapenzi . Safi kabisa. Bado kidooooooooogo,bado kidoooooooooogo
Ben Pol umebarikiwa kaka .nakuaminia kwa uimbaji ..so inspiring bro.
hii nyimbo imenipa moyo kwa huk nilipo maan dah nashukru Allah kwakila jambo
Bonge la BIG UP kwako Ben Pol! Mmwimbo umetulia sana. Kazi nzuri.
Touching song...unaganga Moyo,ben pol kama vile uje kwa gospel music iviii asee
Walimwengu wakubezaa na wengine wakuchekaaaa😢😢 Kabla ya jua kuzamaa luna mambo mengii yaliyofungwa kwako wee yatafunguliwaaa, Bado kidogooo Bado kidogoo usiwe moyoo 🙏🙏
sijuti kuwa shabiki wako, kwani uwa unaniburudisha,unanifundisha na kunielimisha asante Ben
This is where you belong brother. This song is awasome. Be blessed.
Hakika Ben pol umeyagusa maisha yangu nimetokwa na machozi hakika wewe unastahili kuwa msanii
My best song ever!huwa nalia tu nikisikiliza
Hakika ngoma ya maana sana hii bado kidogo ubarikiwe sana benpol kwa ujumbe mzito huu
Iko Guuuud sana umetupeleka kwenye ladha ingne, sio kila ngoma mapenz tu
Ngoma kali 🙏bado kidogo / mambo itakaa sawa usife moyo dah!!! Ni 🔥🔥
Good music...
Bado kidogo. Big up Ben Paul...
Mwimbo mzur sana ever, unatia moyo sana,unakupa nguv ya kusonga mbele zaid.......Naweza kuusikiliza kila siku na kila wakati na nisiukinai(hauchuji😊)
hot song, thank benpol wimbo mzuri sana, unatia moyo
Ngoma kali mdogo wang
Duuuh beni kaka Yako BHN kaka clam snake boy, 2024
We n msanii pekee wa Tanzania ambaye nikisikiliza nyimbo zake machoz huwa yananilenga, unajua kugusa moyo kwa sauti yako kaka... Keep up the good work
Asante Sana Ben Paul wimbo mzuri Mungu akubariki sana
So btfl song . na ujumbe safi ..Rwanda tuko together!
Bado tu kidogo. This is a blessing. Thanks Ben Paul
God bless you,
huu wimbo huwa nasikiliza tena na tena na tenaaa,
huwa unani inspire sana,
naamini umewatia moyo wengi wanaopitia kipindi kigumu.
#RESPECT#
ubarikiwe Sana Ben Pol Na Rafiki yako kwa Ujumbe mzuriii umenitoa mahali kwa imani wimbo huuu
tuli kumiss kwenye game
master wa masaut pol
hapa ni kazi kazi
That's my boy. Wimbo huu unatupanguvu ya kusimama tena pale tunapoanguka na kuendelea na safari. Bado kidogo utafika. Don't loose hope. This is the real meaning of vitamin music.👑👑👑👑👑
Nyimbo ni nzuri pia inaleta tumaini Moyoni.Nice song
Ubarikiwe Snaaa kwa wimbo huuu Mwenyezi Mungu amekupa sauti ya kuimba nyimbo za Gospel tunakuomba keep this up na watu wengi wataokoka kwa kupitia nyimbo zako nime barikiwa na wimbo wako my brother May the Lord give you more powerfully thanks so much
Waooooh wimbo mzurii unatia moyo nakukubali Sana benpol we ndo Mkali wangu
Hii song nimeielewa sana na mungu akusimamie katika mipango yako itimie @benPol
kweli ulifikria chakutuambia Ben poo huna jua kuimba kwel
nakuombeaga kila la kheri blood wyse..... mwanzo mzuri sana na hongereni kiujumla ni BONGE LA NYIMBO!!
wimbo umebeba ujumbe nzito kaz nzuri sana ben kazana
Bro ngoma zako ni kalisana wala huwa hazihitaji kiki, kizuri zaidi zinaishi kwenye maisha ya watu, huwa napenda sana ngoma zako hasa hasa JIKUBALI
daawa kaka umeomba wimbo mzuri sana unanigusa kila kona. hiki ni kipindi nacho pitia japo kigumu nakaza moyo ile kiume. w
Safiiiiiii xan kaka Benpol wap watu wa Dodoma jmn
Ukifeli usijione haufai,
Give thanks n' praise to the most HIGH🙏🏻🙏🏻
dogo pia umetisha yaan siku tu naiangalia this song nikajuwa tu itawagusa wengi sana thanks, My God.for giving us Ben pol