Utaipenda Historia Ya Askofu Ngalalekumtwa/ Afunguka Maisha/ Elimu/ Wito & Changamoto Sio Ya Kukosa.
HTML-код
- Опубликовано: 8 фев 2025
- Radio Maria Tanzania
S.L.P 34573,
Mikocheni Industrial Area plot no. 125,
Barua pepe: info.tan@radiomaria.org
Wavuti: www.radiomaria.co.tz
Mitandao Mingine ya Kijamii:
Facebook: Radio Maria Tanzania
Facebook Link: / radiomaria.tanzania
Instagram: Radio Maria Tanzania
Instagram Link: / radiomariatanzania
Radio Maria Tanzania, Sauti ya Kikristu Nyumbani Mwako.
Natamani NIANDIKE kitabu kuhusu mhashamu Baba askofu ngalalekumtwa ila naomba support kutoka radio Maria
Amina baba
Mwamba wa Liturjia huyu apa. Ukikosea tu unalo. 😂😂😂 Hongera sana baba Tarcisius (inatamkwa Tarchisius) Ngalalekumtwa
Ahaaaaaaa! sasa nafahamu kwanini Misale ya imechapwa Iringa, Kongole sana Baba Askofu.
15:58 mhasham baba askofu ngalale kumtwa honera ssana baba mungu akutunze.
Hongera sana baba
sauti ya Mhashamu ni ndogo na ya mtangazaji ni kubwa sana hivyo mmefeli hapo.
Ushauri wa Bure ukiwa unatoa maoni tumia maneno yenye Staha ikiwa itakuwa kinyume cha hapo maoni yako yanakosa Mashiko.....Amani iwe nawe