HISTORIA NA MAISHA YA ASKOFU MKUU RUWA'ICHI,AZUNGUMZIA KUZALIWA,UBATIZO,ATAJA SABABU YA KUHAMAHAMA..
HTML-код
- Опубликовано: 14 окт 2024
- Karibuni sana katika Channeli hii inayomilikiwa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania {TEC}ikiwa ni moja ya chombo cha Uinjilishaji kwa njia ya Sauti na Video.Pia unaweza kutufuatilia kupitia mitandao yetu ya kijamii kama ifuatavyo.
INSTAGRAM: / kanisa_katolikitz
FACEBOOK: / barazamaaskofukatolikitz
Whatsup: 0738 916 628...KANISA KATOLIKI TANZANIA
Usisahau Kusubscribe,like na kushare maudhui yetu...
Tunakuombea daima. Mungu amekupaka mafuta utumikie ufalme wake. Atakulinda na kukubariki daima
Hongera sana Askofu wetu Mkuu JUDDE RUWAICHI kwa utume wako! Mungu azidi kukubariki na kukulinda uishi miaka mingi yenye furaha na Amani teleeeee. AMINA
Kwa kweli tuna kila sababu ya kukutakia maisha mema baada kufikisha miaka 25 ya kichungaji kama Askofu. Mungu akupe maisha zaidi na zaidi
Hongera Baba.... wewe ni kichwa
Hongera Sana Askofu wetu, Mungu akupe maisha marefu baba
Karibu Tena mbulu baba
Nakukumbuka sana Mhashamu Askofu Mkuu Ruwa'ichi... umeacha alama katika maisha yangu. Tunamshukuru Mungu kwa maisha yako..nakuombea afya njema na umri mrefu
Barikiwa sana katika safari yako ya u Injilishaji Baba Askofu
Amina Baba Mungu aendelee kukutunza vema,udumu katika utumishi wako,Nakukumbuka Sana, Dodoma,ulitujengea kikanisa cha kuabudia Ekaristi Takatifu,masaa yote,ishi Maisha marefu yenye Baraka tele Baba
Baba askof tumsifu yesu kiristu
Hongera sana Askofu wetu mkuu RUWAICHI.Mungu akupe afya njema utuongoze vema katika kazzi ya Mungu.
Amina zawadi ya uwepo wako ni tunu kwa kanisa letu.
Hongera sana Mungu aendelee kukulinda na kukubariki
Very true especially the last point... May God bless him!!! 🙏🙏🙏
Asante Mungu kwa Zawadi ya Baba Askofu wetu...
Amina❤
Tunamshukuru Mungu kwa ajili yako Baba Askofu. Mungu azidi kutusimamia na kutubariki sote tuimarike katika Imani yetu Katoliki.
Hongera sana Baba Askofu Mkuu kwa utume wako huu
Asante MUNGU akutunze ulisimamie Jimbo letu kuu la DSM isonge mbele Kwa maendeleo hususan ujenzi Wa kanisa mpya la gezaurole tulikamilishe Kwa wakati asante Baba askofu
Hongera Baba
Ee Yesu tunakushukuru kwa zawadi ya mtumishi wako baba askofu watu mkuu Yuda Thadeus Rwaichi, tunakuomba umjalie afya njema na maisha marefu katika utume.
Bravo
Ee Mungu umjalie afya njema azidi kulichunga kundi la kondoo wako.
Baba Askofu hajasema akiwa Mwanza akipewa pia kushikilia Dayosisi ya Shinyanga alihudimu hadi Vijiji ndanindani kabisa. Katumia muda huo kujifunza na kuongea Kisukuma cha kuridhisha kabisa. Ni mtu wa Mungu.