ZITTO KABWE "GARI LILILOMTEKA KUTEKWA NONDO linamilikiwa na Deogratius Deba Minja

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии •

  • @coolruler6820
    @coolruler6820 25 дней назад

    😮 namba zenyewe za kuchonga zinaonekana

  • @MamaEster-is9hc
    @MamaEster-is9hc 25 дней назад +2

    Tz tunaelekea wapi?

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 25 дней назад

    MBONA WATEKAJI WANAWEZA KABISA KUJULIKANA....MH. ZITTO HAO WATU WANAJULIKANA TU KWANI KUNA WATU WEMA HUKO HUKO USALAMA WA TAIFA NA POLISI NA NDANI YA CCM AMBAO WANAWAJUA....WEKENI MAJINA NA PICHA ZAO WATANZANIA WAWAJUE!

  • @zarihaSalum
    @zarihaSalum 25 дней назад +1

    Mama akooo haya miya miyaa akaee kwenu

  • @BensonTemu-h6h
    @BensonTemu-h6h 25 дней назад +1

    Mbona hizo namba ni magumashi? Itakuwa ni namba bandia😢

  • @2002-h6c
    @2002-h6c 25 дней назад +1

    Kwani kwa kawaida standi hua hakuna polisi kulinda usalama wa watu pale ?

  • @fgcomputers6596
    @fgcomputers6596 25 дней назад

    Hivi jamani mnakumbuka jina la aliyepona kutekwa mwez uliopita huko kibamba? Halafu fananisheni na jina la mwenye gari la story ya leo

  • @ZuhuraAthuman-u2i
    @ZuhuraAthuman-u2i 25 дней назад

    Wamuachie jamani mbona dhambi hizo hapo wazazi wake wanalia familia haina amani

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 25 дней назад +2

    Huku wanauwa huku wanateka aibu kubwa niujinga tena.mbona hata aibu hamna.

  • @MohammedSalumHamad
    @MohammedSalumHamad 24 дня назад

    😂

  • @champion-dz6kr
    @champion-dz6kr 25 дней назад +2

    Mama mitano tena ni drama tu izo wanajiteka wenye

    • @ELPHAZJAVANAMONAMON
      @ELPHAZJAVANAMONAMON 25 дней назад

      We ni mkundu

    • @zuwenasaid9707
      @zuwenasaid9707 25 дней назад

      Mitano kidogo bora 15 kazi nzuri zima zote washa kijani ,chawa wangu jee watakubali kweli mama chawa na kunguni wasikubali wapinzani wote watekwe au wauliwe ili mama ulete maendeleo bila gubu

    • @dionismutayoba3542
      @dionismutayoba3542 25 дней назад

      Muache ujinga kwenye mambo ya msingi,IPO siku sungura atafukuza mbwa na mgambo atamkamata polisi

    • @jamessiame5169
      @jamessiame5169 25 дней назад

      Matakoyako

    • @champion-dz6kr
      @champion-dz6kr 25 дней назад

      @jamessiame5169 ungejua nini namanicha usengesubutu Ayo maneno, ule msemo niliumia sana ijapokua Mimi sio mtanzania

  • @mohamedatismail
    @mohamedatismail 24 дня назад

    Jamani. Kwani hamnao watu wanaoweza kuzungumza Kiswahili?? Hizi clip zinaonekana dunia nzima. Aibu tupu.