BREAKING: TUNDU LISSU KUFUKUZWA CHADEMA,,KAMATI KUU KUFANYA MAAMUZI HAYA MAGUMU,,TAZAMA MPAKA MWISHO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии •

  • @MavaiboMavaiboo
    @MavaiboMavaiboo 13 часов назад +29

    Sasa mbowe anauwezo gani wa kumzidi lissu? Wanangu wa lissu tujuane kwa like

    • @samwelmatemu8873
      @samwelmatemu8873 12 часов назад +2

      Lisu ana uwezo gani .anapesa kiasi gani wewe unafikiri makelele yake Kama ya mwanamke Malaya ndio kuongoza chama.

    • @1961nungwi
      @1961nungwi 11 часов назад

      Kuongoza chama sio una hela kiasi gani. Ni maono na uzito wa hoja. ​@@samwelmatemu8873

    • @wiliamkatala
      @wiliamkatala 11 часов назад

      Uongozi sio pesa ww,Rudi shule.​@@samwelmatemu8873

  • @EmmanueNzilano
    @EmmanueNzilano 2 часа назад +2

    Lisu ❤💪✌️

  • @BARAKALUKUMAI-h7t
    @BARAKALUKUMAI-h7t 13 часов назад +7

    Lissu your the best no one like youuuuuuiiii,

  • @AthumaniAbeid
    @AthumaniAbeid 57 минут назад +1

    Lisu must go

  • @yonazimpombe1160
    @yonazimpombe1160 11 часов назад +4

    MIMI SIPENDI SIASA LKN LISSU NI MSEMA KWELI, SIO MUOGA, ANAONYESHA NJIA IWAPO KAMA AKICHAGULIWA NAOMBA NIWE WA KWANZA KUKABIDHIWA KADI YA CHADEMA NA LISU

  • @josephmantago2837
    @josephmantago2837 13 часов назад +9

    Sisi tunamhitaji mh Lisu

  • @JoelSanka-u3n
    @JoelSanka-u3n 13 часов назад +5

    Lissu ni wa muhimu kwa sasa

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 11 часов назад +2

    Sasa tunajua Hakuna demokrasia Chadema. Waongoooo

  • @JoelSanka-u3n
    @JoelSanka-u3n 13 часов назад +4

    Lissu muhimu

  • @hectorgold147
    @hectorgold147 12 часов назад +3

    jamani anastahili kuwa wapi acheni kumusema vibaya lisu sio vizuri mungu hapendi aheni lisi aiongozi chadema mbowe umechoka

  • @paulojohn9608
    @paulojohn9608 13 часов назад +5

    Majungu hayana faida mbowe msipo angalia mtauwa chama

  • @samwelyesaya1202
    @samwelyesaya1202 10 часов назад +3

    Mtahangaika sana Lisu atashinda uchaguzi

  • @malackedson7706
    @malackedson7706 12 часов назад +3

    Tunataka tundu lisu.

  • @7stianPius
    @7stianPius 13 часов назад +3

    lisu yuko juuuuuuu sana

  • @AllyKija
    @AllyKija 12 часов назад +2

    Kumbe hiki chama ni Cha mtu mmoja Bali c chama Cha wanachama

  • @7stianPius
    @7stianPius 13 часов назад +3

    lisu apewe uenyekiti tafadhali,huyo wenje na mbowe wamekula hela za abduli

  • @mosesmacha1080
    @mosesmacha1080 11 часов назад +1

    Hiyo Kamati kuu inakaa vipi bila Lissu

  • @adamsanga062
    @adamsanga062 2 часа назад

    Mbowe know brother heshima yako ipo mwachie lieu tunaipenda chadema

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 13 часов назад +2

    Tena wafanye hivyo haraka sanaa kama taarifa hizo ni za kweli. Lissu tutampigia kura za nje mbowe apigiwe za wajumbe.

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 11 часов назад +1

    Mbowe Hana issue!!
    Akakojoe, alale!!

  • @michaelmshighati8432
    @michaelmshighati8432 11 часов назад +1

    Mbowe amechangia Mchango Mkubwa sana ila Agombee Uraisi atamshinda Samia ila uenyekiti ni LISU Uraisi Mbowe anahekima za Kuongoza NCHI ila CHAMA pumzika LISU akuingize Ikulu.

  • @ignasmahundi4734
    @ignasmahundi4734 14 часов назад +3

    Hawana.jeuri hiyo

  • @masijamajogoro7231
    @masijamajogoro7231 10 часов назад

    Yeriko ndio kitu gani.. pitapita kule
    Lissu ndo habari ya mjini

  • @josephmchila6467
    @josephmchila6467 13 часов назад +2

    Kibajaji my best MP

  • @SalmaAthuman-hp3en
    @SalmaAthuman-hp3en 5 часов назад

    Ukiwa mkweli utaonekana hufai mbowe ni mla rushwa na vichawa wake walamba asali mbowe ashazeeka apumzike ashalamba sana asali za samia mbowe hana nguvu tena kwenye siasa

  • @mfwimiekayuki8692
    @mfwimiekayuki8692 7 часов назад

    Kifo cha CHADEMA itakuwa Mbowe.

  • @naftalsigwejo623
    @naftalsigwejo623 12 часов назад +1

    Hivi makamu wa sasa anatofauti yoyote na zelensky ktk misimamo na mtazamo. Zelensky anaua watu wake kwa faida ya magharibi. Huyuu ni hatari. Mbowe!!! Huraaaàaaaaasa

  • @michaelmshighati8432
    @michaelmshighati8432 11 часов назад

    Niwakati wa LISU Enough is Enough Tunamtaka LISU mpende msipende ni LISU.

    • @osmannassor1845
      @osmannassor1845 10 часов назад

      @@michaelmshighati8432 kisha naona hamna kazi, nchi hiyo ni ndoto za mwendawazimu kuchukua nchi,

  • @jumamnumbwa9483
    @jumamnumbwa9483 9 часов назад

    Cdm ni chama cha mafisadi wa awamu wa serikali ya kwanza msimamizi wa pesa zao walizoweka nje ni mbowe

  • @edwindezidery632
    @edwindezidery632 8 часов назад

    Lissu kwanza mengine badae

  • @AndrewChilua
    @AndrewChilua 12 часов назад

    MTAISHA CHADEMA KABISA HAMTA AMINI

  • @kinkybanjukome217
    @kinkybanjukome217 3 часа назад

    Chadema kwisha na muaji wa chama hiki ni mbowe kwa nini akae miaka yote hiyo alikuwa asigombee tena
    Good bye chadema

  • @ramadhanchenga4606
    @ramadhanchenga4606 26 минут назад

    Mbowe hana hekima angekua na hekima huu ndo wakati wa kuonekana hiyo hekima lkb mpaka sasa haijaonekana

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 5 часов назад

    Apewe lisu mbowe abaki na maridhiano yake ya uongo

  • @RamsonBosco
    @RamsonBosco 11 часов назад

    Kwenye chama lisu nijuu

  • @RichardLyamuya
    @RichardLyamuya 13 часов назад +1

    Lisu hana uwezo ,siasa zake ni za mihemko ,Mbowe ni mzee wa siasa za mikakati ndie anaefaa

    • @EphraimMwandemange
      @EphraimMwandemange 13 часов назад

      Muongo wewe acha kuwachanganya watu

    • @SalambaPeter
      @SalambaPeter 13 часов назад

      Toa hoja tujagiri sio kubeza mtu , hivi kugombea kwa mujibu wa katiba wazifa wowote ndani ya chama au lisu amefanya kosa kugombea?

    • @josephwilliammnyune5464
      @josephwilliammnyune5464 13 часов назад

      Hapo sasa. Kumfukuza Lissu, ni sawa na kung'oa goli.

  • @balljmushi9599
    @balljmushi9599 10 часов назад

    Ajadiliwe huyooo,,anaesema hvyoooo--pumbav kbsaaa nyieee. Hakun sheria inayoweza kumng,oa lissu CHADEMA.

  • @ramajuma5620
    @ramajuma5620 12 часов назад

    Hizi media zingine zinatafut kujikuza kwa mambo ya kipuuzi to

  • @AndrewChilua
    @AndrewChilua 12 часов назад

    ENDAPO mtasubutu kufukuzalisu NDIO mwisho WA CHADEMA ukwelinihuo

  • @ShaibuAwadhi
    @ShaibuAwadhi 10 часов назад

    Miaka ishirini ni mwenyekiti duu inanipa shida hiyo

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 10 часов назад

    Chadema shida yenu ni utawala tu.Hamuongelei sera mtusaidieje.Mnaongelea kuwa Lissu awatishe CCM ili mpate madaraka.Vitisho vyake ni kupeleka ujumbe kwa vibaraka ili tusipate mikopo😢.chizi.
    Chadema tunawaamini.nyie hamjafanya lolote zaidi kelele ugonmvi matusi😢usaliti nk
    Chadema mjitambue😢

  • @youssefsanje8743
    @youssefsanje8743 10 часов назад

    Chadema imekula upande

  • @NicholausVedasto
    @NicholausVedasto 9 часов назад

    Nyoko kabisa na channel yako

  • @JohnKatwanga-l1g
    @JohnKatwanga-l1g 3 часа назад

    Iisu mwamba

  • @Chungueni
    @Chungueni 11 часов назад

    Hicho chama cha mkwe wambowè mzee mtei yaani mbowe kuachia hicho chama mpaka MUNGU apende wezangu namimi tunashabikia tusichojua luzuku ni zafamilia kn lisu kutetea chama kote leo mnaona hafai atafute chama chenye katiba na miongozo

  • @JoelSanka-u3n
    @JoelSanka-u3n 13 часов назад +1

    Sion uongo niuwazi mtupu

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 10 часов назад

    Lissu a n a uwezo gani kumshinda Mbowe au kwsa kakaas U b eljiji au vipi😮😢

  • @andreahongole9332
    @andreahongole9332 12 часов назад

    Umeitoa wap hii boss wang

  • @OmaryHeri-c3h
    @OmaryHeri-c3h 12 часов назад

    Ndio maana hua tunakataa kubonyeza alama ya kengele ya tv zenu kwa ujinga huu

  • @RubensaroSaro-ip6by
    @RubensaroSaro-ip6by 13 часов назад

    Watajuana wenyewe , chadema chama kuzur lkn viongozi wake wote n wapenda fujo hawana matendo kazi fujona makejeli pamoja na uchochezi wa vurugu, hawana chochote kwanza hawaaa

  • @Selemlaki132
    @Selemlaki132 12 часов назад

    Wazee wanataka kuchafuana hawa

  • @JohnS.mwafubo
    @JohnS.mwafubo 12 часов назад

    Ww ni ccm acha uchafuzi

  • @RajabuMandia
    @RajabuMandia 13 часов назад +1

    Sakata hili SISI wapenda amani tukae mbali tuone hatima ya uongozi chadema

  • @mage5371
    @mage5371 8 часов назад

    Yote ya Nini tusubiri kura zitaongea

  • @osmannassor1845
    @osmannassor1845 13 часов назад +4

    Huyu lisu hafai kbs kuwa kiongozi, kwanza anaropokwa bila kujua anasema nn, ukifuatilia hotuba zake ni za uchochezi na ubaguzi, hivi karibuni nanukuu, akisema Raisi Samia ni mwizi na uislamu wake,imehusu nn uislamu? Kwsni chama hicho hakina waislam?

    • @iddykivu050
      @iddykivu050 13 часов назад +1

      Kwaiyo Huo ndo Uwezo wako wa kufikili Ulipoishia

    • @7stianPius
      @7stianPius 13 часов назад +1

      wewe ndo hufai Kennedy wewe,lisu viva

    • @JoelSanka-u3n
      @JoelSanka-u3n 13 часов назад +1

      Anafaa lissu sanaaaa

    • @YohanaMasebo
      @YohanaMasebo 10 часов назад +1

      Mkundu wewe mzee wako ndo hafai

    • @7stianPius
      @7stianPius 10 часов назад +1

      @YohanaMasebo wewe ndo mkundu,akili huna,utakua una msapoti mbowe,tako weee

  • @omarinyahegs4539
    @omarinyahegs4539 Час назад

    Acha ujinga

  • @MariamMussa-u2c
    @MariamMussa-u2c 13 часов назад

    Aanzishe chama chale wasigbane

  • @magesadani9058
    @magesadani9058 12 часов назад

    Acha uongo na uchonganishi

  • @habibunguvumali3331
    @habibunguvumali3331 12 часов назад

    Mimi nitamchagua Mbowe

  • @HafidhMaalim
    @HafidhMaalim 2 часа назад

    HUO NI UONGO

  • @JacksonKavana
    @JacksonKavana 12 часов назад

    No

  • @punnamalaba4445
    @punnamalaba4445 12 часов назад

    Nani amfukuze, wewe muongo huyu mwandishi hela za kuhongwa na mbowe zinakutesa, atakuja ccm hababaiki

  • @leodgardotmar7198
    @leodgardotmar7198 12 часов назад

    Yeriko hufai kabisaaa

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja 11 часов назад +1

    Uimara wa chama ni wanachama.Chadema mlikuwa na muda mfupi kujulikana,Sasa tumewajua .chama kina wanachama wa ovyo sana.mwanachama na akili zake unampa uongozi lissu !! Mtu ambaye mpaka leo hajui ni akina nani wamempiga risasi,anatumia ulemavu kuhurumiwa na kuuchafua uongozi uliopo madarakani.

  • @abdullramadhanii626
    @abdullramadhanii626 13 часов назад

    Wacha umbea

  • @jumakilinja6341
    @jumakilinja6341 11 часов назад

    Kwa sasa twende na Lisu,lisu ndiyo mkombozi

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 12 часов назад

    Lisu afukuzwa kwenye chama

  • @SmithJacob-f2r
    @SmithJacob-f2r 11 часов назад

    Mbowe ww ni konokono

  • @OlobikooTobikoo
    @OlobikooTobikoo 13 часов назад +1

    Lissu anatosha

  • @MalemboMarc
    @MalemboMarc 9 часов назад

    Swali 1 kwa Wana chadema:
    CHADEMA kama Chama cha Democratia na Chama kikuu cha upinzani, munalifikia je! Kuhusu ukomo wa madaraka? Sababu Chama tawala na mpinzani mkuu wa chadema ni miaka 10 tu. Je mukipewa urais wa nchi ninyi ambao tayari kuongoza miaka 20 na bado kurudhika, hamta poromosha nchi?

  • @RichardLyamuya
    @RichardLyamuya 13 часов назад

    Lisu atimuliwe mara moja ,kanunuliwa na wapinzani wetu

    • @7stianPius
      @7stianPius 13 часов назад

      lisu na mbowe nani kanunuliwa?wewe utakua team mbowe,akili huna

    • @geraldleger5793
      @geraldleger5793 13 часов назад

      Unaota mchana au ?

    • @vincentjohn2041
      @vincentjohn2041 12 часов назад

      Uongo mtupu huo

    • @joshuaswai8203
      @joshuaswai8203 12 часов назад +1

      Lissu kanunuliwa ndio sababu anaongea maneno hovyo sana akae kushoto

    • @IlhamKhalid-mt3jp
      @IlhamKhalid-mt3jp 11 часов назад +1

      Chama kimeisha hichoooo