Hongereni na kongoleni kwenu nyote wanakwaya mlioshiriki kurekodi wimbo huo wa ‘ Wote wakajazwa.’ Sauti ni za viwango vya juu na mpiga kinanda ameifanya kazi yake kwa ustadi. Sauti zimetulia na zina sterio ya hali ya juu. Mungu akubarikini katika maisha yenu ili kamwe Msisi year kumsifu Mungu kwa sababu yo yote isipokuwa kifo!
Hongera sana Isack mwita and Philomena Deus & friends ❤❤😂😂. Ile Misa ya Damu ya yesu , ushikanishe iwe Moja na utukufu❤❤❤😂. Guys you are amazing. Heaven belong to all of you in this mission of spreading the gospel of Christ through singing. God bless you all
🔥🔥🔥🔥✅ Hongereni sana kwa nyimbo Nzuri Hongereni walimu pia na group nzima mpangilio wa sauti safi 🙏
I will always love you ❤
Hongereni sana
Kazi nzuri mungu awabariki ❤❤
🎉❤
congratulations 🎉🎉🎉🎉 very me melodious and easy to learn . Very timely song awaiting Pentecost
Safi sana Kamanda! Unastahili pongezi na zawadi😊
Wimbo mzuri sana,hongereni
Asante sana
🎉🎉🎉🎉 sanaaa safiiii
Aise Mungu ni mwema kweli mmejazwa
Aminaaa ❤❤❤❤
Hongereni Sana
Ubarikiwe
Mzuri sana. Hongereni waimbaji na studio🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
Ubarikiwe saana
Kazi nzuri sana hongera kwa mtunzi ,na kwa wanakwaya walioimba hakika wameitendea haki nyimbo hongereni sana👏👏👏
Asante sana. Ubarikiwe
Safiii sana ...utunzii safi mwita isack
Hongera
Nanyi pia mmejazwa Huyu Roho Mtakatifu. Sauti hizi nzuri si za kibinadamu. Baraka tele.
Tunakushukuru saana
Good work kwa mtunzi na studios
Shukrani sana
Hongereni sana,mmeupiga mwingiiiiii🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Waoh kazi nzuri nawapenda sana msichelewe kuleta kitu kingne ❤️❤️💗💗
Utazikimbia kazi
Hongereni na kongoleni kwenu nyote wanakwaya mlioshiriki kurekodi wimbo huo wa ‘ Wote wakajazwa.’
Sauti ni za viwango vya juu na mpiga kinanda ameifanya kazi yake kwa ustadi. Sauti zimetulia na zina sterio ya hali ya juu. Mungu akubarikini katika maisha yenu ili kamwe Msisi year kumsifu Mungu kwa sababu yo yote isipokuwa kifo!
Amina sana na ubarikiwe saana
❤❤❤❤ waoh
Huu wimbo mmetisha sana isee
Kazi nzuri🔥🔥🔥
Hongereni sana..copy ya huu wimbo tafadhali nimeshindwa kuipata kwenye swahili music
Thank you Jesus for this
👏👏👏
ASANte comrade Maingu
😇oooh woow! Hongereni kwa kazi nzuri. Hakika tutayasema matendo maku ya Mungu
Shukrani sana
Wow ❤❤❤❤
Naipenda vile mmnaimba mkiwa n fuhara
Nzuri sana 🔥❤❤
Amina...BE BLESSED
Asanteni kwa kutuhubiria
Hongera sana Isack mwita and Philomena Deus & friends ❤❤😂😂. Ile Misa ya Damu ya yesu , ushikanishe iwe Moja na utukufu❤❤❤😂. Guys you are amazing. Heaven belong to all of you in this mission of spreading the gospel of Christ through singing. God bless you all
Thanks ur welcome
Everything is excellent with pro studio 🎉🎉🎉
Thanks so much
Mungu awabariki hawa watu jaman
Hongereni sana wapendwa kwa wimbo mzuri, mmeibariki sana siku yangu hii ya leo. Mbarikiwe sana
Shukrani sana
Pia mimi nimejazwa
Congrats Singers ❤
Hongereni sana ndugu zangu kwa kazi nzuri.. Mbarikiwe sana.
Ubarikiwe sana
Enjoying much from your side❤
Glad you enjoy it!
Kazi safi sana
Amazing ❤❤❤❤
Nice one❤❤❤🎉
Wimbo mzuri
Nice And impressive
You people wow ,uimbaji wenu is on another level I always feel blessed
Thanks so much
Beautiful indeed
🔥🔥
0:51
Hongera sana kazi nzuri,naomba namba ya Isack Mwita
Check whatsapp 0744558606
Asante
nice
Mutongole umeanza kuwa Serious sasa,,,,endelea hivyoo utadumuu.
Asante
♥️🤍
Yan mbinguni nendeni tuu nyie hamna dhambi kabisa kwaiyo mbinguni ruksa
Asanteeeee