TOENI SADAKA. Mtunzi: Boniphace Manditi: Pro. Studios Choir

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 дек 2024

Комментарии • 74

  • @georginahappy5417
    @georginahappy5417 13 дней назад +2

    Mwita izack
    Unautulivu wa hali ya Juu kaka nyimbo zako zinautulivu binafsi nikisikiliza najikuta kwenye Tafakari sana
    Mungu Azidi kukubariki Ili na Yeye Azidi kutukuzwa kupitia Utume wako🙏🏾

  • @AlexKAudax
    @AlexKAudax 15 дней назад +3

    Nshadowload
    ..huwa nawasikiliza nyimbo zenu zote.Muziki wenu umetulia sana. Harmonious music

  • @chrisowino9928
    @chrisowino9928 День назад +1

    Now this is quite something, quite a masterpiece.

  • @LadislausmzibaMhasa
    @LadislausmzibaMhasa 7 дней назад +1

    Kaka issack nimekubali tungo yako naisi kabisa sio hakili yako ila mungu baba mwenyezi alikuotesha pia waimbaji wameutendea haki kwa kutamka maneno kwa ufasaha ongereni sana

  • @marysemufali7011
    @marysemufali7011 15 дней назад +4

    Tunamshukuru Mungu sana kwa ajili ya Pro Studios! Tunakushukuru Mungu kwa ajili yenu nyote fans wa Pro Studios andPro Studios Mungu awabariki sana.
    Thumbs up to my Team Mwl Mwita, Bertha, Hilda, Maria , Mwl Kiatu u guys make a good team.
    To you director Mutongore loving and supporting you is what I can offer best! Am proud of you Hun.😘👍🏼🤲🏽😘

    • @Bether_Michael
      @Bether_Michael 14 дней назад +1

      Mama pro 😍

    • @waromokello
      @waromokello 13 дней назад +1

      The best team indeed. God should bless them with more wisdom ❤❤

  • @clarenaliaka7573
    @clarenaliaka7573 16 дней назад +1

    Amen 🙏🙏

  • @paulsanka7140
    @paulsanka7140 12 дней назад +1

    Amina sana, barikiwe wanakawaya

  • @EGBERTUS-fo2ie
    @EGBERTUS-fo2ie 18 дней назад +4

    Very interesting,, Thanks for it.

  • @KWAYAYAMTAKATIFUMONICA
    @KWAYAYAMTAKATIFUMONICA 11 дней назад +1

    Wow superb

  • @Bether_Michael
    @Bether_Michael 15 дней назад +2

    Great work ❤🙏🏽

  • @donmulati2547
    @donmulati2547 12 дней назад +1

    Very lovely, kazi safi sana wasanii. I love your work, so simple en perfect.. Zidi kunawiri.

  • @davidmwaniki5925
    @davidmwaniki5925 16 дней назад +2

    Good song. Keep it up waimbaji

  • @SylvesterKakukuPaul
    @SylvesterKakukuPaul 18 дней назад +2

    Beautiful one

  • @christinaraymond1928
    @christinaraymond1928 17 дней назад

    Mwl hongeraa sana unatubariki sanaa

  • @wariohalkanodida4969
    @wariohalkanodida4969 17 дней назад

    Beautiful one❤

  • @sarasimbeye965
    @sarasimbeye965 День назад +1

    ❤❤

  • @leopordbosco4221
    @leopordbosco4221 18 дней назад +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉
    Raha iliyoje

  • @stevenguta
    @stevenguta 18 дней назад +1

    Wonderful song ❤❤

  • @SananeMalulo
    @SananeMalulo 16 дней назад

    Nyimbo tamu da!!!! Munajua aise sauti za malaika ❤❤❤❤ ingependeza tukapata copy

  • @julianacharles5562
    @julianacharles5562 18 дней назад +1

    Wimbo mzuri sana🙏🙏👏

  • @aidanangelo001
    @aidanangelo001 18 дней назад +1

    Kinanda 💥

  • @John-e5o5h
    @John-e5o5h 18 дней назад +2

    They say music is an art, add creativity and you get it right.
    Well done everyone, Isaac Mwita and crew at Pro Studios. 👏

  • @donatusmlelwa5740
    @donatusmlelwa5740 17 дней назад +1

    Thanks for a good song
    I real love you

  • @JacintaAntonia-h5k
    @JacintaAntonia-h5k 17 дней назад +4

    Nawapenda sana❤❤❤.
    @isack Mwita.
    @Bether
    @Mary❤❤❤❤.
    You guys are my biggest inspiration.

    • @Mwita_Isack
      @Mwita_Isack 17 дней назад +1

      Thank you so much na sie pia tunakupenda

    • @marysemufali7011
      @marysemufali7011 15 дней назад +1

      Daaaaaaa!!! Speechless asante na Mungu akubariki pia

    • @Bether_Michael
      @Bether_Michael 14 дней назад +1

      😍

    • @JacintaAntonia-h5k
      @JacintaAntonia-h5k 14 дней назад +1

      Amen.
      One day am sure God will help me meet you in person and work with you.

    • @Bether_Michael
      @Bether_Michael 14 дней назад +1

      @JacintaAntonia. Ur welcome 😊

  • @williamumara5455
    @williamumara5455 18 дней назад +1

    Tamu sana Nakuru Kenya

  • @norbertsungu3922
    @norbertsungu3922 18 дней назад +1

    Hongereni sana pro studio Kwa nyimbo Nzuri ya majitoleo congratulation all my team 🎉🎉🔥🔥🙏 nyimbo imetulia sana 🙏

  • @brightonpeter1034
    @brightonpeter1034 18 дней назад +1

    Safi ✅

  • @jacksonkasind4221
    @jacksonkasind4221 18 дней назад +1

    we jamaa we ni kiboko

  • @Arati3
    @Arati3 18 дней назад +3

    Lovely 😊

  • @jescaemmanuel8671
    @jescaemmanuel8671 17 дней назад

    Wimbo mzuri sana,hongereni Pro Studio Choir

  • @lilianaduol8141
    @lilianaduol8141 18 дней назад +1

    Nice one, love you, team, continue praising God through singing ......you are my memtor

  • @RaphaelOtiende
    @RaphaelOtiende 17 дней назад

    Good work my Sisters and brother, May God bless you ❤️

  • @gilbertrutayuga4676
    @gilbertrutayuga4676 18 дней назад +1

    Asante sana Kwa wimbo mtamu. Hakika pro studio hamjawahi niangusha. Organist umeunakshi vzr wimbo ulivyoanza free organ unaweza Dhani ni wimbo wa TUPELEKE VIPAJI VYETU umetisha sana bro.

  • @waromokello
    @waromokello 18 дней назад +3

    Wow wow beautiful song done by a great team @prostudios. Thanks for nourishing my soul with angelic voices ❤❤❤🎉🎉

  • @christianmenas9528
    @christianmenas9528 16 дней назад

    Mimi siyo mroma lakin nawapenda mnavyoimba, organist uko vizuri, unaujua mziki. Munuu azid kukuinua na waimbaji wako wote mko vizur sana.🙏🙏

    • @mutongoreprostudios
      @mutongoreprostudios  16 дней назад

      Asante sana. Mungu akulinde saana. Uzidi kubarikiwa wewe na familia yako

  • @alexanderchacha8585
    @alexanderchacha8585 17 дней назад

    Wimbo mzuri Safi hongereni sana❤❤❤ naomba pdf music sheet❤🎉

  • @danielowiro4706
    @danielowiro4706 18 дней назад +1

    Safi❤❤

  • @BenedictorShime
    @BenedictorShime 18 дней назад +2

    ❤🔥🔥 naomba kopi samahan

  • @drfestoluambano9992
    @drfestoluambano9992 18 дней назад +1

    Mseminary Halisi ndo uyu sass

  • @ClotlidaFmayanja
    @ClotlidaFmayanja 17 дней назад

    Vizuri sana Pro studios nawapenda sana wimbo mzuri sana na kazi ni nzuri sana mbarikiwe sana

  • @directorgeo2432
    @directorgeo2432 18 дней назад +1

    🙏🙏🙏🙏

  • @tempochoir
    @tempochoir 18 дней назад +1

    So nice ❤❤❤ with beautiful voices 😍

  • @laurentinalaurent8952
    @laurentinalaurent8952 16 дней назад

    ❤🎉🙏

  • @RenardAloyce
    @RenardAloyce 16 дней назад

    Wimbo mzuri sana yani tafadhari naombeni mnisaidie copy yake mtandaoni haipo