Hongereni sana kwa kazi iliyotukuka. Kudos kwa utunzi mahiri wa marehemu Felician Albert Nyundo. Popote ulipo endelea kupumzika kwa amani. Alama uliyoacha haitafutika hakika
Tunazidi kuwashuukuru sana kwa support yenu kama Viewers wa kazi za Pro msiache kutuombea. Hongereni sana TeamPro Studios., Much lav to u Mi amor, A Mutongore
Wimbo bora wa Majilio kwangu
Wimbo unanikumbusha mbali saana wimbo mzuri mno.
Mnajua kunibariki
Hongereni sana kwa kazi iliyotukuka. Kudos kwa utunzi mahiri wa marehemu Felician Albert Nyundo. Popote ulipo endelea kupumzika kwa amani. Alama uliyoacha haitafutika hakika
Good job!
Asante
Fantastic 👏👏👏
Kazi safi
Great Composition ...R.I.P Maestro FELICIAN ALBERT NYUNDO. Ahasanteni Sana Kwa Kuinjilisha....🎉🎉❤❤👏👏👏🙏🙏🙏🙏
Ohh this was a great composition. May He continue to Rest in Peace. His legacy remains alive thru this song. 🎉🎉❤
Amen nimebarikiwa saana 🙏🙏🙏❤
Perfect song and a wonderful production as always❤❤
Asante sana kwa nyimbo
Asanteni sana kwa wimbo mzuri ❤❤❤
Basi mmemaliza🎉🎉🎉❤❤❤
So soothing
Kazi safi yenye Baraka
Safi safi safi kabisaaaa..
Nabarikiwa sana na utume wenu
Amaizing
❤❤❤ hongereni sana❤❤❤
Waoooh anakuja tuiandae njia yake
Mungu akurehemu ulipo,hata Mwenye Enzi yake akisikia anafurahi sana🎉🎉🎉🎉
Mungu asnte kutuletea mkomboz wa Dunia
Hongera sana
Tunazidi kuwashuukuru sana kwa support yenu kama Viewers wa kazi za Pro msiache kutuombea.
Hongereni sana TeamPro Studios.,
Much lav to u Mi amor, A Mutongore
Hongereni sana Wimbo Mmeutendea Haki kabisa🔥🔥🔥
Great ❤
Hakika Mnanibariki Sana
Napenda nyimbo zenu sana maana mnautulivu sana🔥🔥
Nyimbo zenu zina utulivu kiwango chaa Lamii 👏🏿
Nawapenda sana 🙏🏾
@@georginahappy5417 tunakushukuru saana. Ubarikiwe sana
Anakuja kwetu🙏
Simple shooting, melodious singing,talents
@@AlexKAudax thanks. Ur most welcome
Wimbo mzur
Perfect, Angelic, kudos
Amina Mungu awabariki sana
I really like the pro studios choir sopranos.....eeish these ladies do sing niiicely❤❤❤
They are so talented and gifted in a singing. They should be having great trainers too
Thanks for much for the appreciation
Eeeiiiishhh thank you for speaking out yur heart we love u
Saut zimeshib kweli kwel pongez kwenu jmn👏👏
Asante saana. Mwenyezi Mungu akubariki
Kazi Safi
Safi sanaaaaa
Amina, Nimebarikiwa na wimbo huu. Natiwa hamasa nikifikiria Yesu ni Emanueli, Mungu yu nasi na dhamira ya kuja kwake mara ya pili.
Ubarikiwe saana ndugu yangu
Shemela zangu hao Mungu awabariki sana
Imebidi nichekeeeeeeee ila sawaaa
Napenda sana kinanda chenu na sauti zenu ziko sooo melodious❤
Nasi twasema asanteni saana
Asante Ndugu
Kazi Safi! Mkitusaidia Nota ya wimbo itakuwa mzuri Sana! Shukran ❤
Tushapata Nota yake Asante
Nice and solemn ❤love this song.
Poleni sana nduguzangu wa MAYOKA B
Great song
Kazi safi, sauti tamu .❤❤ Naomba score ya huu wimbo
@@anthonymunywoki assnteeeee. Check WhatsApp+255744558606
Waoooh! Penda sana nyinyi❤❤, mumeimba vizuri mno, Mungu awabariki sana
Twakupenda piaaa asantee
If you know you know.
Hakika anakuja kwetu. 🎉
Mungu awabariki kwa utume wenu wa uimbaji
Ubarikiwe sana
Nice🎉🎉 mmeimba vizuri sana. Mbarikiwe
@@teopistakomba2189 Asante sana ndugu
Never disappoint akii mbarikiwe sanaa 🎉🎉❤❤ nawapenda tu
@@CatherineMartin-j6g asante. Tunakupenda pia
Ee Bwana ubariki kazi hii , katika yote Mungu atukuzwe .
Ameeeen
And smart ladies
Wow safi❤❤❤❤❤
Nawapenda sana hongereni na Mungu azidi kuwatunza
Nasi twakuoenda piaa.
Twakupenda pia mama yetu
Kazi nzuri sana ❤Mungu azidi kuwabaribiki sana
Asante sana. Ubarikiweee
🔥🔥🔥
Always you are doing well, God be with you ever🎉🎉
@@fidelisluvanda3585 thanks so much
Ameeeeeen we receive
❤️👌
Beautiful❤
Thank you! Cheers!
Goodwork
Safi😊
❤❤
🎉🎉
❤🎉
Merry Christmas 🎉🎉🎉🎉🎉
Same to you!
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤
Nina swali tafadhali, hao wadada wawili kwani ni mapacha?
Mtu na mdogo wake😂😂
@@veronicanyangwilamalindila Wananipendeza sana wanavyoimba. Hata ningependezwa sana kuimba na wao
@PanAfricanMuhati karibu sana. Unapatikana wapi?
@@PanAfricanMuhati amina. Ubarikiwe sana
❤❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤