KUTAMBUA FAIDA ZA ROHO MTAKATIFU KWENYE MAISHA YAKO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 ноя 2024

Комментарии • 16

  • @JacquelineMshanga
    @JacquelineMshanga 6 месяцев назад +2

    Ubarikiwe sana Pastor

    • @elishamasangwa
      @elishamasangwa  6 месяцев назад +1

      Amina sana Mpendwa Mama Mchungaji Barikiwa mno

  • @vavayoaminieli8958
    @vavayoaminieli8958 6 месяцев назад +1

    Amina amina mchungaji barikiwa mno mno kwa mafundisho mazuri!!

    • @elishamasangwa
      @elishamasangwa  6 месяцев назад

      Amina sana Mpendwa Mwalimu Aminieli Mungu azidi kukutunza Rafiki yangu

  • @samwelmungure1651
    @samwelmungure1651 6 месяцев назад +1

    MUNGU MWENYEZI akubariki sana baba Mchungaji

    • @elishamasangwa
      @elishamasangwa  6 месяцев назад

      Amina sana Mpendwa ubarikiwe sana sana

  • @SINYATIMASSANGWA
    @SINYATIMASSANGWA 6 месяцев назад +1

    Hakika hili ni somo zuri.
    Mungu atupe Neema ya kutembea na Roho Mtakatifu

  • @veneedward
    @veneedward 6 месяцев назад

    Amina mchungaji asante kwa chakula cha roho hakika naiona sura ya Mungu kupitia wewe

  • @rittakimario13
    @rittakimario13 6 месяцев назад

    Ubarikiwe mchungaji kwa somo zuri Roho mtakatifu atuongose

  • @veneedward
    @veneedward 6 месяцев назад

    Mungu aendelee kukutunza nashukuru sana kwa mafundisho

  • @MichaelMwanwa
    @MichaelMwanwa 6 месяцев назад

    Mwenyezi Mungu azidi kukuwezesha ili na wewe uzidi utupa mafundisho mema ya Neno la Mungu.Barikiwa sana Mpendwa Mchungaji wetu.

  • @safari20091
    @safari20091 6 месяцев назад

    Barikiwa sana Mchungaji.

  • @rabielakyoo9258
    @rabielakyoo9258 2 месяца назад

    😇

  • @hosianamollel316
    @hosianamollel316 6 месяцев назад

    Roho mtakatifu unikamilishe sawa na kusudi lako maishani mwangu.