Yani Askari wa mama wanavituko na swaga acha,yani paka najikuta nacheka kama mazuri,kiufupi wamepanic sana jeshi la polisi, CHADEMA OYEEE! CHADEMA JUUU
Kumeanza kuchangamka ndiyo muwajue vizuri polisiccm wanavyotenda kazi yao bila kufuata sheria za nchi hilo ni fundisho kwa wanahabari wote mjifunze kutoa habari juu ya manyanyaso ya raia
yaani polisi wetu wanatumia bunduki kuuwa chawa lakini ku a tembo wana tumia fimbo, kwanini wasitumie nguvu kubwa kama hii kudhibiti mafisadi wanao neemeka na kodi zetu? na haya yote ni matokeo ya katiba yetu mbaya kuliko korona yaani kwasababu raisi ndie anae mteuwa igp ndio maana ni lazima afuate anacho ambiwa na alie mteua na c rahisi wawa tetee wananch kwasababu wanalinda mkate wao,mimi naona maandamano tuu hayawezi kusaidia ila kinacho takiwa ni kujitokeza kwa wingi ktk kupiga kura tusi pige kelele tuu kumbe hatupigi kura ziwe nyingi sana ili iwe ngumu kuibiwa kwasababu ikiwa tuta shinda kila kituo watashindwa kuziiba naamini tukifanya hivi kijani anakufa kifo cha mende,na wamama mjitambue kitenge cha elfu 2 kisi kusababishe upoteze haki yako au kuku ingiza katika laana inayosababishwa na hawa watawala waio na roho kama mashetani wanaofikiri kuwa wakisha pewa madaraka ni wame ingia peponi na kuwafanya wale walio waweka hapo kuwa kama mifugo yao,
Hao ndiyo police wa bongo nguvu nyingi akili kidogo na hii siyo vijana waliowakamata hapana bali ni hao viongozi makamanda Busara zao ni zero hata ubinadamu wao ni zero
Sasa na nyie wanahabari muwe nakili kama nyinyi hamthaminiki kwa vyombo vya dola nanyinyi hamtakiwi kuvithamini ifike wakati msitangaze mambo yanayo wahusu na hata mkiitwa kwenye conference na maaskari mnagoma
Poleni sana waandishi wa habari. Ingefaa haya maonevu na yanayofanywa na jeshi letu katili la polisi yahubiriwe makanisani na misikitini ili wananchi wafahamu unyama wanayowafanyia raiya wasio na hatiya.
Hakika bila katiba ni Bora tu upinzani wasiingie hata kwene uchaguzi wawaache watawara waendelee kutawala mpaka hapo watakapokuwa tayari kuwa na katiba mpya,maana watanzania wamechoka na haya manyanyaso hata hao viongozi wa vyama vya upinzani ni binadamu pia,haipaswi kufanyiwa hayo wanayofanyiwa.
Polisi wangejua watanzania ndio tunatoa Kodi zetu nawao ndio wanapata mshahara wajaribu kua Na utu wanamueka mh Raisi kuchukiwa na watanzania uchaguzi ujao mungu ndo anajua
Swali langu ni hili . Inakuwaje mwandishi wa habari aliyeko eneo la tukio kwa kufanya kazi yake harali kisheria sawa na jeshi la 👮 police. Na wanahabari kuandika habari yupo huru kisheria ili kuwapa wananchi habari ambayo ni haki yao ya msingi kikatiba. Poleni Sana 😢 ndugu zangu kwa kunyanyasika kwenu . Ila police mbona mnjitengenezea uadui/ uhasama na wananchi? Mjue kuna maisha baada ya hizo kazi za kiuasikari mnakuja uraiani.
Kuna kauli nimeipata mtandaoni leo nami nainukuu Kenya ikifa itafufuka na kudai haki. Uganda ni wagonjwa na wakipona watadai haki. Tanzania ni maiti ikifa imekufa kufiii.
Pole kaka angu na Dad angu akika mmefanya kazi nzuli Sana ccm wanataka muwe munalipoti habari zao 2. Hao Ni police wa ccm chamusingi Ni kuungana Kama taifa kuikataa ccm na vibaraka wao.
Hiki walicho kifanya polisi leo wanatengeneza bifu kubwa sana si na wananchi tu mpaka na wandishi wa habari na wanajisahau kuwa wanategemea wandishi wa habari kufikisha habari
poleni sana wanatasnia wenzetu,ifike wakati waandishi likitokea jambo kama hili nasi tutangaze kutofanyakazi nao ili Press conference zao wazifanye wenyewe. kupitia tukio hili ninatumai MCT na vilabu vya Waandishi wa Habari mikoani wangeweza kusema neno. Tukumbuke tunaelekea katika chaguzi S/M na uchaguzi Mkuu.
POLISI Elimu Yao Ni Kuilinda Ccm Bora Mlivyokuwa Huru Kuliko Kukutwa Umekufa Mungu Awalinde Ila Acheni Kuisifia Hiyo Serikali Ya Ccm Ndio Maana Yanatokea Hayo
Hahaaha kosa lenu kuchukua habari ila wamewaovar teck msichukue habari kwishaaa kabisaaa ningekuwa kiongozi mimi yote ningeyatambua haya kuna kitu hapa cha kujitafakari
Yan mm ninyi mwaandishi wa EAT Hata mkibanukwa poa tu coz ninyi niwanafiki sana. Ningefurahi sana kusikia mmevunjwa mijuu sikuzote si mnawasifia imekuwaje Leo wawakamate
Mm uliluhusu wafanya siasa mwenyewe. Achawaenderee hawatoasili kitu haoniwadogosana. Kuliko kuwa wawe wanakamatwakamatwa itakuvunjia heshima. Wao wazingatie shelia tuubasi.
Kwa mazungira yaliyokowepo na tukio lenyewe halikuwa na nafasi yakuwepewa kutoa taarifa lakini ukifika kituoni mtapoitwa ndio mtaweza kuongea na kuulizana
Kabisa mzee wangu.. Waandishi na presenters wengi hapa kwetu wanajiegemeza na kujipendekeza badala ya kusimamia hoja ya msingi.. Sasa acha wajionee wenyewe
Police hawana elimu na hawajui Sheria, sasa mtu alipata zero na baba yake ni mkuu wa kituo hapo unapata nini. Mtamkumbuka sana magu ila too late ndugu zangu.
Mimi nilipokua mdogo sinanguvu waliokua wananizd nguvu kdogo walikua wananitesa sana kwakipigo hila mungu siasumani nilipo fikisha miaka 14 skujua nguvu ilitoka wapi walewote waliokua wananitesa nilianza kutembeza kichapo kila m2 aliekuana nionea nililipa kisas mpaka sasa ata nikioa waitka sasa mm nawaza chadema ikitokea ikipata Dora awawanao watesa watalipwa kisasi namna gani
😂😂 Police walijiandaa mno na kupambana na waandamanaji sasa walipokosa waandamanaji wa kukamata wakaona wazoe na wandishi wa Habari 😂😂 kisaicology waliandaliwa na mapambano polen bhana 😂😂😂
NI BORA SANA MAANA NYINYI WANA HABARI WA TZ. MNA MASLAHI NAO. MNAAMINI NA SISI TUNA AMINI NYIE NI WAANDISHI WAO. MLIKUWA MMEKWISHA AMINI, HAYO NI YA WAPINZANI. SIYO YA WANA CCM NA WANA HABARI.. WENYEWE KWA WENYEWE, WAMEANZA KUSHIKANA, "KAZI IENDELEE"
Ila kuna kila uwezekano hawa polisi wadogo wanaotumwa field kutekeleza operation fulani hawafundishwi vyema sheria na katiba ktk kuwaongoza kutekeleza wajibu wao. Hawa polisi ktk utendaji wao wako kama wehu vile, wamekula bangi and very frustrated!!
Sasa kuna uhuru wa habar ktk nchi hiii kweli kama tunavyosikiaga!!!! ?? Au hua nimaneno tu ya midomini , na pia kuna uhur wa nchi hii kweli kama tunavyoambiagwa na viongozi na kujiambizana mitaani kwawasioelewa undani wke kweliii!!!!!?? Duu nchii hii ndio mjue hakuna uhuru ila nashangaaga wanakuta wanSema ati nchi hii kuna uhuru
Nchi hii sheeia zake nimali ya CCM tu wakiamua wazifate au wasizifate akuna wa kuwasumbua kwakua wao ndio miungu lakini wengine awastahili kuzitumia izo sheria ata ziwe za haki huu ni ufilauni tunamuomba Allah awaangamize CCM wote na mapolisi wao
Waandishi wa Habali, Lamada Hotel, Shelia, Gali. Deleva. Hawa ndio waandishi wa Habari wetu wa Bongo. Wanaichafua Lugha kwa kushindwa kabisa kutofautisha L na R.
Amini kubalini hatuna wanaojua kazi yao ya kutaka kujua Hawa waandamanaji wasikilizwe kama alivyofanya Raisi Wa Kenya Na wafanyavyo mataifa siyo watu wanashindwa kutuletea fujo Kali wanaweza Tena tunaomba Mungu atupishilie mbali Na vita ndani ya nchi
Tuendelee kunywa mtori, nyama tutazikuta chini. Hii nchi imekosa viongozi waadilifu na mapolisi wasio waadilifu, ila kuna mtu aliwahi kusema, wakimaliza wapinzani watarudi kwa wasio wapinzani
Mungu akamp farao roho ngumu ili awez kujidhihirisha
Umesema vyema
Siku za kupewa hizo nguvu, zajaaaa
Best comment of the year 👏👏
@@ireneshao7950😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
@@musichealsTz❤❤❤❤❤❤❤❤
Yani Askari wa mama wanavituko na swaga acha,yani paka najikuta nacheka kama mazuri,kiufupi wamepanic sana jeshi la polisi, CHADEMA OYEEE! CHADEMA JUUU
🙏🙏🙏
Pipooooooooz
Aibu sana. Nchi inazama
ni Tanzania tu hiyo au
Sanaaa
@@mussamussa9446Yaani inashangaza sana.
watanzania ni wafu walio hai 😂😂😂😂 mnaishi tuh kama mbuzi Wenye akili wachache
😂😂
😅😅😅
Kwahiyo ww mkenya au mganda mbina kote yapo
Hii haina tofauti na utekaji
Mungu isaidie nchi yetu
Hata vitani mwandish wa hbr haitakiwi kukamatwa
Hapaswi kuguswa anabid apewe ulinzi shida elimu polisi nguvu nyingi mno
@@ChoroTeslawakiambiwa ukwer awakubari ukwer
EATV wapo baadhi ya watangazaji kuwapinga wanaoandamana kudai haki ya Msingi lkn mnawapinga. Natumai mmejifunza
Kumeanza kuchangamka ndiyo muwajue vizuri polisiccm wanavyotenda kazi yao bila kufuata sheria za nchi hilo ni fundisho kwa wanahabari wote mjifunze kutoa habari juu ya manyanyaso ya raia
yaani polisi wetu wanatumia bunduki kuuwa chawa lakini ku a tembo wana tumia fimbo, kwanini wasitumie nguvu kubwa kama hii kudhibiti mafisadi wanao neemeka na kodi zetu? na haya yote ni matokeo ya katiba yetu mbaya kuliko korona yaani kwasababu raisi ndie anae mteuwa igp ndio maana ni lazima afuate anacho ambiwa na alie mteua na c rahisi wawa tetee wananch kwasababu wanalinda mkate wao,mimi naona maandamano tuu hayawezi kusaidia ila kinacho takiwa ni kujitokeza kwa wingi ktk kupiga kura tusi pige kelele tuu kumbe hatupigi kura ziwe nyingi sana ili iwe ngumu kuibiwa kwasababu ikiwa tuta shinda kila kituo watashindwa kuziiba naamini tukifanya hivi kijani anakufa kifo cha mende,na wamama mjitambue kitenge cha elfu 2 kisi kusababishe upoteze haki yako au kuku ingiza katika laana inayosababishwa na hawa watawala waio na roho kama mashetani wanaofikiri kuwa wakisha pewa madaraka ni wame ingia peponi na kuwafanya wale walio waweka hapo kuwa kama mifugo yao,
Askari polisi wanatumia nguvu kubwa kuliko akili
Safi sana askari wetu hawataludia tena kusema anaupiga mwng
Hao ndiyo police wa bongo nguvu nyingi akili kidogo na hii siyo vijana waliowakamata hapana bali ni hao viongozi makamanda Busara zao ni zero hata ubinadamu wao ni zero
Sasa na nyie wanahabari muwe nakili kama nyinyi hamthaminiki kwa vyombo vya dola nanyinyi hamtakiwi kuvithamini ifike wakati msitangaze mambo yanayo wahusu na hata mkiitwa kwenye conference na maaskari mnagoma
Wewe hujui ukiwa na dv one huchukuliwi??
Hahaa😂
Nasubiria Kauli za Waandishi wa Habari kuhusu kutendewa haki zao..Vurugu za sehemu zingine zisihamishiwe kwa wana Habari..hii siyo Haki
Haki haipo kabisa lkn kuna wakati Mungu atachoka na kutuhurumia sisi wanyonge
MUNGU HACHOKI MUNGUNI MUWEZA WAKILA JAMBO
UKIONA MUNGU ANACHOKA AU ANALALA AU ANAKIMBIA UJUWE HUYO SIYO MUNGU
Kbsaaaa
Poleni sana waandishi wa habari.
Ingefaa haya maonevu na yanayofanywa na jeshi letu katili la polisi yahubiriwe makanisani na misikitini ili wananchi wafahamu unyama wanayowafanyia raiya wasio na hatiya.
Dah poleni sana wanahabari wetu tatizo wait wahana weledi na majukumu yao ni shida
IVYO VIKOTI VYENU VYA KAKI WALIFIKIRIA NYIE NI CHADEMA😂😂😂
😂😂😂
yaani polis wakionaga tu hiyo rangi wanajua nichadema
Kusud
😅😅😅
@@MabulaMalembeka
Mh kwani polisi Wana kadi za chama gani
Vikoti vya kaki😂😂wazee
Mmeshaambiwa andamaneni hamtaki
ww wende pata wp hizo habar na kisimu chako km hata waandishi wasitoke ndani kakojowe ukaale
@@chihoma-m4f huna elimu wewe ni mwehu
Polen sana waandish habali,hiyo ndio tanzania ya mama anaupiga mwingi
Uyo mwandishi.alikwenda kwa jina lachama.
Mh
Jina la chama gani chawa ww@@jumamussantuiche
nikwel ata mamaake uko Zanzibar anapigwa nying
@@jumamussantuicheKipi, tutajie na vipi hao wengine wanaendaga kwa kofia ipi? Nisaidie mimi mbumbumbu nisojua kitu
Poleni EATV, ila mjitahidi kurusha habari za vyama vyote, msiwe na upendeleo au uoga.🙏
Big Up Brother Peter Mbogo DSJ Finest
Inauma sana polen
Askari wa tz awajuwi Sheria, sana wanaongozwa kwa mihemko
Wanajua vizur ila wanajizima data tu.
Mwana kondoo ameshinda ; chadema hongeren Sana kwa kututetea wananchi wake ili tuwe na maisha Bora si Bora maisha tuliyonayo sasa
Wa tz tutaendelea kutaabika hadi hapo Mungu atakapoingilia kati, ni taifa lenye changamoto nyingi san
io sio sheria, sheria ni kujua kosa lako kwanza. OCD hana.haki ya kukamata bila kujitambulisha na kukwambia kosa lako
Mtakuwa salama siku mkijitambua na kuacha Unafiki!
Jibu la yote haya ni Katiba Mpya ya Wananchi!
Hakika bila katiba ni Bora tu upinzani wasiingie hata kwene uchaguzi wawaache watawara waendelee kutawala mpaka hapo watakapokuwa tayari kuwa na katiba mpya,maana watanzania wamechoka na haya manyanyaso hata hao viongozi wa vyama vya upinzani ni binadamu pia,haipaswi kufanyiwa hayo wanayofanyiwa.
We mwenyewe unaweka MB upate taarifa zinazoendelea ila unaropokwa,, si ungeenda mwenyew ukajionea yanayojir bc.
@@MohamedSaleh-q7w aende yeye mwandishi wa habari
Ya zaman huijui unataka mpya.
Usifuate mkumbo...itakula kwako
Polisi wangejua watanzania ndio tunatoa Kodi zetu nawao ndio wanapata mshahara wajaribu kua Na utu wanamueka mh Raisi kuchukiwa na watanzania uchaguzi ujao mungu ndo anajua
Mhhh huuu sijui ni uongozi wa namna gani katika nchi yetu ila mungu yupo atapigana nao wanawaonea watu wake
Serikali hi nguvu nyingi kuliko akili😂
😂😂😂liveee xema nd maisha tuliyo yachagua
Swali langu ni hili . Inakuwaje mwandishi wa habari aliyeko eneo la tukio kwa kufanya kazi yake harali kisheria sawa na jeshi la 👮 police.
Na wanahabari kuandika habari yupo huru kisheria ili kuwapa wananchi habari ambayo ni haki yao ya msingi kikatiba.
Poleni Sana 😢 ndugu zangu kwa kunyanyasika kwenu .
Ila police mbona mnjitengenezea uadui/ uhasama na wananchi?
Mjue kuna maisha baada ya hizo kazi za kiuasikari mnakuja uraiani.
Kuna kauli nimeipata mtandaoni leo nami nainukuu
Kenya ikifa itafufuka na kudai haki.
Uganda ni wagonjwa na wakipona watadai haki.
Tanzania ni maiti ikifa imekufa kufiii.
Pole kaka angu na Dad angu akika mmefanya kazi nzuli Sana ccm wanataka muwe munalipoti habari zao 2. Hao Ni police wa ccm chamusingi Ni kuungana Kama taifa kuikataa ccm na vibaraka wao.
Mimi nimelaani mwanangu asije akafanya kaziya police 🙏😂😂
Wewe ni Mimi kabisa kwangu asiwepo polisi Wala mwanajeshi
Poleni sana waandishi wa habari kwa yaliyo wakuta, hiyo ndiyo Demokrasi ya Africa,from Cedar Rapids Iowa state USA 🇺🇸
Acha ujinga wauwaji no 1 in the wold ni usa wachakupotosha
Kumbee nkweri police waonevuu daaa! Inasikitsha sanaa polen sanaa
Mmmh😢 polen
Eti urafiki wa tom & jeli,yani leo ni ituko acha😂😂😂
Umenikumbusha Tom na Jeli😂
Ndo.mmeanza kuelewa sasa polen jaman.
Kabisa.
East Africa ni redio kubwa bhana, wacheni izo vitu za kugeuza geuza mike ! Weka vifaa vyakutosha "
mwovu ni mwovu tu
Inchi inapotea askari mnachokifanya iposiku mtakuja kujutia maana mkistaafu mwarudi vijijini kwenu sasatutakomaa nanyie😭😭😭😭😭😭😭
Tena yanalia sana na kikotoo cjui wamerogwa na nn?
Sijui ni chanjo ya covid?@@estonsaimon6671
Hawa jana kimewakuta wanatabia yakupendelea upande mmoja wa ccm😅
Hiki walicho kifanya polisi leo wanatengeneza bifu kubwa sana si na wananchi tu mpaka na wandishi wa habari na wanajisahau kuwa wanategemea wandishi wa habari kufikisha habari
Wananchi gani?sema wanaCHADEMA asiwaambukize ujinga huo wananchi mpuuzi.
@@selemanmcharazokijana au mzee
@@OptimisticSpaceAstronaut-cu5sr😂😂😂😂🎉
Wamefanya ujinga dunia nzima imewaona police wa ccm 😂
@@OptimisticSpaceAstronaut-cu5sr mi ni Babu wa miaka 99 therefore
Daah bro unasimulia kwa hisia san bro
Exactly ni polisi wa madhalim wakubwa wa CCM
Poleni sana asee
Poleni waandishi wa habari
Mnaonekana kuwa ni vyombo vya hatari badala ya vyombo vya habari 😂
TZ ya viwanda
Tunatakiwa wengine tuwapeleke Congo
Bado hamjasema
Hasbunallah Waniimal Wakiil polisi wa CCM lakini malipo yao yanatokana na hao hao wapinzani sio CCM peke yao pumbavu zao
Mpka wasemeeree!!😂😂😂😂😂😂😂
Nanyinyi mna viherehere sana acha mkamatwe,mnafikili walioko jera wote wanamakosa?kwanza mgefungwa pingu maana nyinyi ndo wachochezi no.moja nchi hii
Hapo hamkutii sheria. Hapo mlitii amri, maana hapo hapakua na sheria pakua na amri uonevu tu.
Niliwahi kumskia Lisu akisema hakuna Mtu aliesalama asiena ufahamu anaweza asielewe yakimkuta ndio ataelewa.
poleni sana wanatasnia wenzetu,ifike wakati waandishi likitokea jambo kama hili nasi tutangaze kutofanyakazi nao ili Press conference zao wazifanye wenyewe. kupitia tukio hili ninatumai MCT na vilabu vya Waandishi wa Habari mikoani wangeweza kusema neno.
Tukumbuke tunaelekea katika chaguzi S/M na uchaguzi Mkuu.
POLISI Elimu Yao Ni Kuilinda Ccm
Bora Mlivyokuwa Huru Kuliko Kukutwa Umekufa Mungu Awalinde Ila Acheni Kuisifia Hiyo Serikali Ya Ccm Ndio Maana Yanatokea Hayo
Poleni sanaa urafiki wa tom na jeri hahahahaha hiyo ndo tz
Pole sana mwandishi
Duuh. Mnaonges kinyoge kwelikweli. So sad
Hahaaha kosa lenu kuchukua habari ila wamewaovar teck msichukue habari kwishaaa kabisaaa ningekuwa kiongozi mimi yote ningeyatambua haya kuna kitu hapa cha kujitafakari
East africa ndo mwone sio huwa mnadiscuss utumbo tu
Waliopenda kusema mama anaupiga mwing hongeren sana
Yan mm ninyi mwaandishi wa EAT Hata mkibanukwa poa tu coz ninyi niwanafiki sana. Ningefurahi sana kusikia mmevunjwa mijuu sikuzote si mnawasifia imekuwaje Leo wawakamate
Mm uliluhusu wafanya siasa mwenyewe. Achawaenderee hawatoasili kitu haoniwadogosana. Kuliko kuwa wawe wanakamatwakamatwa itakuvunjia heshima. Wao wazingatie shelia tuubasi.
Bora anko Magu aliwafinya wapinzani na nchi ilikuwa inasonga mbele.
Kwamba wapinzani hawakuwa watanzania? Leo Yuko wapi magu wenu
Kwa mazungira yaliyokowepo na tukio lenyewe halikuwa na nafasi yakuwepewa kutoa taarifa lakini ukifika kituoni mtapoitwa ndio mtaweza kuongea na kuulizana
😊Nyie msijiachie sana Nchi hii haiko salaama kama mnavyodhan😢
Kabisa
huyu bnti juzi alikuwa anashadadia watu kupigwa anabahati hakuoja kilungu
Angevunjwa hata miguu yote ndo waelewe kuwa kinachokemewa na wapinzani Ni cha maana
Suala mda tu wote tutaimva wimbo mmoja
Kabisa mzee wangu.. Waandishi na presenters wengi hapa kwetu wanajiegemeza na kujipendekeza badala ya kusimamia hoja ya msingi.. Sasa acha wajionee wenyewe
Upi huo?
Hii vuruga ya haki iendelee Watanzania waendelee kuamka usingizini
Młitii shuruti bila Sheria, kwa kweli tumefika pabaya, Mungu au aingilie Kati.
Hii nchi ya hovyo sana
Katiba inavunjwa na taratibu nyingine zinavunjwa hatakama inajulikana ni nchi ya inayo ongozwa nasheria na taratibu lakini ni shida😩😫😩😫
Police hawana elimu na hawajui Sheria, sasa mtu alipata zero na baba yake ni mkuu wa kituo hapo unapata nini. Mtamkumbuka sana magu ila too late ndugu zangu.
Mnajiona mko salama tulishawaeleza hamko salama tuandamane wote sio chadema peke yao
Mimi nilipokua mdogo sinanguvu waliokua wananizd nguvu kdogo walikua wananitesa sana kwakipigo hila mungu siasumani nilipo fikisha miaka 14 skujua nguvu ilitoka wapi walewote waliokua wananitesa nilianza kutembeza kichapo kila m2 aliekuana nionea nililipa kisas mpaka sasa ata nikioa waitka sasa mm nawaza chadema ikitokea ikipata Dora awawanao watesa watalipwa kisasi namna gani
Poleni wanahabari wetu hao ni polisi wa Tanzania
Mnahaki ya kufungua mashtaka na kudai fidia kwa kupotezewa muda kwenye kazi zenu
umesomea wp sheria ww?
Mutalia san nyiye san kwasasababu watanzania auna aki tanzania
Kiukweli nchi hii tunakoelekea tutashika mtutu TU kama muhabarisha habari anakamtwa inakuwaje sisi?
😂😂 Police walijiandaa mno na kupambana na waandamanaji sasa walipokosa waandamanaji wa kukamata wakaona wazoe na wandishi wa Habari 😂😂 kisaicology waliandaliwa na mapambano polen bhana 😂😂😂
True
NI BORA SANA MAANA NYINYI WANA HABARI WA TZ. MNA MASLAHI NAO. MNAAMINI NA SISI TUNA AMINI NYIE NI WAANDISHI WAO. MLIKUWA MMEKWISHA AMINI, HAYO NI YA WAPINZANI. SIYO YA WANA CCM NA WANA HABARI..
WENYEWE KWA WENYEWE, WAMEANZA KUSHIKANA, "KAZI IENDELEE"
EATV mmevuna mlichopanda maana mijadala yenu kila siku imejaa watu wasiosikia kuhusu hali halisi inayowapata wapinzani
Ila kuna kila uwezekano hawa polisi wadogo wanaotumwa field kutekeleza operation fulani hawafundishwi vyema sheria na katiba ktk kuwaongoza kutekeleza wajibu wao. Hawa polisi ktk utendaji wao wako kama wehu vile, wamekula bangi and very frustrated!!
Sasa kuna uhuru wa habar ktk nchi hiii kweli kama tunavyosikiaga!!!! ?? Au hua nimaneno tu ya midomini , na pia kuna uhur wa nchi hii kweli kama tunavyoambiagwa na viongozi na kujiambizana mitaani kwawasioelewa undani wke kweliii!!!!!?? Duu nchii hii ndio mjue hakuna uhuru ila nashangaaga wanakuta wanSema ati nchi hii kuna uhuru
Poleni Sana
Ila ndo wakati huu wa kufanya maamzi 2025 Pia waombe Ad badly. Wanakela sana ila MUNGU Yupo.
Nchi hii sheeia zake nimali ya CCM tu wakiamua wazifate au wasizifate akuna wa kuwasumbua kwakua wao ndio miungu lakini wengine awastahili kuzitumia izo sheria ata ziwe za haki huu ni ufilauni tunamuomba Allah awaangamize CCM wote na mapolisi wao
Waandishi wa Habali, Lamada Hotel, Shelia, Gali. Deleva. Hawa ndio waandishi wa Habari wetu wa Bongo. Wanaichafua Lugha kwa kushindwa kabisa kutofautisha L na R.
Amini kubalini hatuna wanaojua kazi yao ya kutaka kujua Hawa waandamanaji wasikilizwe kama alivyofanya Raisi Wa Kenya Na wafanyavyo mataifa siyo watu wanashindwa kutuletea fujo Kali wanaweza Tena tunaomba Mungu atupishilie mbali Na vita ndani ya nchi
Kweli nimeamini polisi wengi wana elimu na uelewa mdogo sana
Wengi wao form four level
Kwnza kwenye hii redio sikuna dada juzi tu alikua anasifia jeshi letu la polisi
Hiyo ni tii amri bila shuruti siyo sheria
Poleni sana wandishi
Kwa yote haya na bado mwakani mtampa tena tz tuamke jamani huu sio uongozi mfano watu wamekamatwa manumbani kuna maandamano ya nyumbani??
Wewe kesho unaipigia kura ccm
Tanzania nchi ya hovyo sana hakuna demokrasia kabisa kwa wananchi wala uhuru wa vyombo vya habari 😢
Nilianza kumkubali samia na ccm yake lakin kwa unyama huu sitaki hata kumuona na wala sintakuja kumpigia kura hata iweje
Dah bro ijapo inaumiza af unaflaisha. Ama kweli uyo polis mbn msenge sana et
Ila Apo mmeerewa nchi ilivyo tukiogea mnatuona Wana chadema aya
Mdogowangu Peter mbogo pole sana Ndo changamoto ya Kaziyako
Wengine hawajui kusoma,walidhani hivyo vikoti ni vya CHADEMA
Na bado mnachekea mambo ya uvunjifu wa sheria namna hii, matumizi mabovu ya sheria na nguvu nyingi
Tuendelee kunywa mtori, nyama tutazikuta chini. Hii nchi imekosa viongozi waadilifu na mapolisi wasio waadilifu, ila kuna mtu aliwahi kusema, wakimaliza wapinzani watarudi kwa wasio wapinzani
Kaka pitter anacheka kwa uchungu
Nyie wandishi wa habari ndio machawa,Kila wakati ni kusifia sasa mmekiona ❤