MOMBASA LIVE PROFESSOR MK NIPENDE AZIZI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 дек 2024

Комментарии •

  • @SaidiKilobo
    @SaidiKilobo 11 дней назад

    Hakika mungu kakupa kipaji kikubwa sana mashaaaallha

  • @MabwanaabadalaMselem
    @MabwanaabadalaMselem 2 месяца назад

    Unajua kaka hongera sana kwa minanda

  • @sophiamwinyi7711
    @sophiamwinyi7711 2 года назад +1

    Wamombasa ulitufurahisha natamani irudiwe wallahi big up mk karibu tena mombasa

    • @tamtamband
      @tamtamband  2 года назад +1

      Asante sana namm nimefurahi sana kuona upendowenu wakweli mombasa

    • @sophiamwinyi7711
      @sophiamwinyi7711 2 года назад +1

      @@tamtamband ukifirahi ww na ss ndio twapata burudani ballaaaa.asante sana tutakutafuta tena in shaa allah ajalie uhai na pumzi.mzee yusuf hatoshi sauti ajab na nyimbu zimeendana uko juu miaka 100

  • @AugustineBasil-ok3dg
    @AugustineBasil-ok3dg Год назад +3

    Hiyo show ilkua 🔥

  • @AsuuVideo05
    @AsuuVideo05 10 месяцев назад

    Namuona Khadija Kopa kaikubali nyimbo santa malkia wa mipasho❤

  • @bwengoabdallah2556
    @bwengoabdallah2556 2 года назад +1

    Woyooo woyoo vijineno vyenu vitupeni mbaliii hilipendoletu limejaa ukweli

  • @asaadalbusaidi1870
    @asaadalbusaidi1870 Год назад +1

    Unajuwa kaka👍

  • @thaniabai
    @thaniabai Год назад +1

    ❤❤ penda sana jmni

  • @bwengoabdallah2556
    @bwengoabdallah2556 2 года назад

    Professor professor professor Mk nakuita mara tatu kwa heshima yako kwangu unanikosha sana unapiga Live hasa ukanda Gani Dar au Tanga kaka tujumuike namimi nizipate raha hizo live mimi

    • @tamtamband
      @tamtamband  2 года назад

      Ok Asante sana tupo pamoja

  • @bwengoabdallah2556
    @bwengoabdallah2556 2 года назад

    Dah ila hao wachezaji wala hawajaitendea haki kucheza hawajajiachia hasaaa kucheza wamejibanaa sana

  • @saumunaaman777
    @saumunaaman777 2 года назад +1

    Mk tulifurai sanaaaa

    • @tamtamband
      @tamtamband  2 года назад

      Asante namm nimefurahi pia

  • @bwengoabdallah2556
    @bwengoabdallah2556 2 года назад

    Ah weraaaa weraaaaaaa rahaaaaaa jamanii.mbona rahaa

  • @moumineamouri9945
    @moumineamouri9945 Год назад +2

    Kaka anaua

  • @faizunmohd9839
    @faizunmohd9839 Год назад +1

    Tuli furai sana

  • @saumunaaman777
    @saumunaaman777 2 года назад +1

    Yaitwajee hii nyimbo na ntaupata wapi

    • @tamtamband
      @tamtamband  2 года назад

      Inaitwa nipende azizi ipo RUclips

  • @MwishoKitogota
    @MwishoKitogota Год назад

    Waweza

  • @bwengoabdallah2556
    @bwengoabdallah2556 2 года назад +1

    Nikikumbuka raha zako nacheka njia nzimaa miee hahaa wewe broo unajua ujuee

  • @paulamoka9923
    @paulamoka9923 2 года назад +1

    My favourite

  • @Alele001-eb1qq
    @Alele001-eb1qq Год назад

    Mambo

  • @MwajumaMuhammed-n9m
    @MwajumaMuhammed-n9m 2 месяца назад

    M k

  • @mussakhamis2377
    @mussakhamis2377 2 года назад +1

    Mk uko uzur big up brother