Huyu ndiye mwimbaji pekee ambaye huimba kwa mafunuo ya kipekee, na haigi wala haigiki. Hata maisha yake ni tofauti kabisa na waimbaji wengine na ni mwimbaji asiye na majiproud. Mungu akuinue zaidi brother
Yule alikuja kukuondosha Lakn Man of God Mungu alikunusuru, na kwakua Alishindwa kukuua basi Ndiyo Maan alitoweka maan kazi yake Imeisha. kwa iyo vile unamtafuta Mungu Ndivyo Kifo nacho Kitakutafuta kikuangushe. Ila Nakuombea Sana. Umesema Huna tabia ya kujisikiliza Basi Sikiliza Wimbo Wa TUMEKUBALIKA.
Namshukuru Mungu juu ya ushuhuda huu ..Wengi huwa tunawaza ubaya lakini wema hatuuoni wakati mwingine twamtukana MUNGU na kumkemea tukiamini ni shetani kwa sababu tu ya ujio Alio kuja nao..
Huyu ndiye mwimbaji pekee ambaye huimba kwa mafunuo ya kipekee, na haigi wala haigiki.
Hata maisha yake ni tofauti kabisa na waimbaji wengine na ni mwimbaji asiye na majiproud.
Mungu akuinue zaidi brother
Kwakwel me nampendaa mung azid kumuinua
Sana haigizi
Nashukuru Mungu aliniletea mtu aliyeonesha upando wa kweli wakati wa raha,magumu na Magonjwa hakuniacha....... thanx jesus
Huyu ndie mwimbaji wangu wa siku zote nakufatiliaa sana Nina nyimbo zako kichwani (Julius)
Yule alikuja kukuondosha Lakn Man of God Mungu alikunusuru, na kwakua Alishindwa kukuua basi Ndiyo Maan alitoweka maan kazi yake Imeisha. kwa iyo vile unamtafuta Mungu Ndivyo Kifo nacho Kitakutafuta kikuangushe. Ila Nakuombea Sana.
Umesema Huna tabia ya kujisikiliza Basi Sikiliza Wimbo Wa TUMEKUBALIKA.
Ameen ubalikiwe sana ambwene natamani nikue kiroho nimtumikie mungu wangu katika maisha yangu yote
Hongera Mtumishi kwa ushuhuda , Mungu aliona mbele yenu ndio maana alimleta msaidizi kuwahudumia ili msidhurike ile ajali
Mungu azidi kukuinua mtumishi wake, nakupenda sana mtumishi wa Mungu unanibariki sana sana.
Acha mungu aitwe mungu, tunalindwa na mungu Usk na mchana!! Jina la bwana libarikiwe Sana.
Amen
Eimeee
Amen Kwa kwelii kabisaa
Amen
Jmn Kaka angu,wameshindwa kwa jina la YESU!UMEZUNGUKWA NA MOTO ULAO
Umekuwa baraka sana kwangu.Mwalm Ambwene Mungu akuongeze kwa viwango Apendavyo
Namuelewaga sana mtmsh, Mungu azidi kukulinda.
Mungu anazidi kumuuinua naomba hata Mimi nimwabudu mungu kwa viwango
Mungu akuinue zaidi kaka, nyimbo zako zinagusa maisha ya wengi, God bless you.
Mungu anatupigania popote tuendapo
Amen 🙏 nimebarikiwa sana na huu wimbo, be blessed 🙏
Mungu Ni mungu milele na milele
I am really Blessed Ambwene...God Bless you
Balikiwa Sana Mtumishi mungu azidi kukutumia
Pole Mungu hawez kukuacha
Huyu muibaija namupenda ainaiba ikiwa ndani ya roho ya mungu kabisa
Namshukuru Mungu juu ya ushuhuda huu ..Wengi huwa tunawaza ubaya lakini wema hatuuoni wakati mwingine twamtukana MUNGU na kumkemea tukiamini ni shetani kwa sababu tu ya ujio Alio kuja nao..
Mungu anawajua Walio wake.
Yesu aongeze kukutumia...
Tuna Nguvu kuliko wao!
Nashukuru kukuona mzima kakangu barikiwa
Mungu ni mwaminifu sana anatutumia malaika wake kutulinda
Barikiwa sana kaka kwa Utumishi wako mwema, na uliotukuka mbele za Mungu
Kati ya waimbaji wote akika nakupenda saana upo vizuri saana kwenye uduma yako mwana wa mungu
Ubarikiwe sana mtumishi Ambwene
Mungu ni mwema kwakwele.
Mungu nimwesana pole sana
Barikiwa mno mtumishi Ambwene CD ninayo hiyo
Mungu nimwema
Ni furaha iliyoje kuwa na ulinzi wa Mungu kwenye maisha
Mungu ni Mkuu
Ume sema nime kuelewa kama una taka manisha Nini
Mungu bi mwema Sana
Hongela mtumishi wa mungu kwa kaz ya bwan ukiwa na ulinz wa mungu laha sanaa mungu akutie nguvu zaidi na zaidi
Ubarikiwe sana sana sana babaa
Mung ndiye anaye mwezesha bila yy tusinge mjua
Ameni ubarikiwe
Barikiwa sana mtumishi
Mungu akuinue mtumishi
Mungu ni mwema sana🙏
Amina sana Mungu Ainuliwe
mungu akubariki mtumish wa mungu kupitia wewe ss tupone
Nikiona hiki kiumbe cha mungu nafurahiya ata nawimbo wake naupenda sana. Karibu yesu mwoyoni mwangu
Nakupenda mtumishi wa Mungu.
Achen mungu aitwe Mungu Kwa kweli.
I'm blessed for this 🙏🙏🙏
Mungu ni mwema
God bless you man of God.
Alikuwa pepo wa kusababisha ajali. Mungu ni mwema
😃😃😃😃
Hapana alikuwa ni malaika alokwenda kuzuia mauti
Huu wimbo Huwa Una nibariki sana.. Naguswa Sana 😥
Ubarikiwe Sanaa mtumishi wa mungu ubarikiwe
Sarah chima asante mungu kwayote umelinda Na mabaya yote
Mungu akulinde Kaka
Mtumishi Ambwene naenda Sana nyimbo zako hizishika na kuziimba kanisani
Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu kwa ushuhuda umenijenga
Ubarkiweee Bab Munqu n mwem jmn
Amen amen mtumishi Mungu yu pamoja nawe
God over everything
nimefungua kinywa sana looooh
Malaika akaingie mdomoni mwako😅
It is true, God is real
Amen Mungu mkubwa na nimwaminifu sana
Ambwene- that was the Angel of the Lord
Asanteeeeee mtumishi wamungu kwa ushuhuda
Mungu akubArik Kaka angu angu ongeze uwepo wa mungu akubArik Kaka
MUNGU ANAONGOZA KWA NJIA ILIYOSAHIHI!GOD BLESS US
Very powerful testimony
😭
Nabarikiwa nawe baba mungu akuzidishe imanii
Mungu alibariki
Nimebarikiwa!
Ambwene mtumishi wa MUNGU
Amwbene masongwe is best all the time to me .......
Jamani Yesu ni Bwana 🇧🇮🙌🙌🙌🙌🙌
Aminaaa ambwene
Napenda yule mwimbo alieimba huyo baba kwa kusema "majaribu ni mtaji"
Means wa Mungu USIOGOPE wewe ni shujaa unalindwa sana na nguvu za Mungu na ulindwe na damu ya Yesu.Ameeen!!
Aminaaa
Mungu atamubariki sana
Barikiwano Kaka ambwene
Ubarikiwe Sana.
Mtumishi wa mungu kanisa liko sehemu gani mtumishi wamunguu
Amen ,I feel encouraged through the testimony
amen
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Haisikitishi inafurahisha kilichomkuta ndugu Ambwene!
Ubarikiwe sanaa
Hallelujah
Means alikua Malika mwema...🤔
Nimeona hii Stori tiktok nkajiambia sioni nusunusu Hadi nije RUclips nione full
Ooh. My GOG
Ubalikiwe sana naimani Kuna siku ntakuona live toka nakuwa nakusikila majaribu ni mtaji
Pole sana ambwene
Amen 🙏🙏
Mungu hakutunze mtumishi wa Mungu
barikiwa sana mtumishi wa Bwana
Amen Amen amen
Thanks god
Mungu akutetee tu baba
Barikiwa mtumishi wa Mungu
YESU azidi kukutunza Mtumishi wa MUNGU.
Waaaooo nice song
Amen Mungu ashukuliwe
Poleni sana jamani 😓😓😓😓😓😓
Bless
huyo alikua pepo wa kifo na ajali
Mungu ni mwema kila wakat
Ukweli kabisa kaka ulikuwa unaenda respect god
Mungu azidi kukupa wepesi katika huduma yake
mwimbaji asie na makuu,keep it up broo
Mutumichi Wang ubarikiwe
Asee kwer Mungu niwaajabu ushuhuda nimeuelewa
Mungu arikuwa pamoja nanyiyi shetani asinge weza