Hii nyimbo nikiiskia inaniliza nakukumbuka Mwanamkee mmoja pale tanga alikuwa akiipenda Sana aliniimbia kila siku Da! Ajabu tukaja poteana nikaja kumkuta kaolewa nimebaki mpweke moyo unaniuma
Kihere here chake kimemponza mfa maji kafa angali mbichi ,na wafa maji mliobakia chukueni tahadhari,hakika bi Sabah salim ni mtunzi mahiri hakuna wimbo aliowahi kuutunga ukaweza kuutoa kasoro
kama munavyosema dada ze tetu vishindo vya sakafuni huichiya ukingoni umeshakwama mwambani roho iko mkononi sasa umo mautini mfamaji buriani heko maneno poa sana
Wallaahi nimelia nimepata kitu kimeniumiza sana Mungu anisamehe kwa yote nilomkosea
Hii nyimbo nikiiskia inaniliza nakukumbuka Mwanamkee mmoja pale tanga alikuwa akiipenda Sana aliniimbia kila siku Da! Ajabu tukaja poteana nikaja kumkuta kaolewa nimebaki mpweke moyo unaniuma
Nikiskia hu wimbo mashallah najihisi kama niko kwenye pepo ya mahaba all the best sabaha salum muchacho
Kujifanya number one mfano wa Firaun watapatapa majini... Umo ndani ghazabuni mahatuti mkononi bure yako tumaini wapotea duniani
Mwaaah
Rahima Ali Asanteee Kuvinjari ushindani huwi wangu mpinzani
Mashallah nyimbo nzuru
Ahsante bin seif kwa kuleta kitu mujarrabu..Allah amsahalishie mambo yake mama yetu Sabah
Napenda hii nyimbo na nyingine zote za huyu mama mashallah
Wallaahi nimelia nimepata kitu kimeniumiza sana Mungu anisamehe kwa yote nilomkosea
Sasa umelia kwanini ndugu yamgu
kafa angali mmbichi mfa maji buriani,love you my zanzibar
miss you
Mashaallah good music sweet music congratulations madam sabaha
Hii nyimbo naipenda sana, inanikumbusha marehem mama yangu, alikuwa akiipenda sana. Allah amrehem
Sakina hassan Pole sana
da mungu amueke maali pema peponi🙏
Mungu.amrehem ahera aliko na amsamehe makosa yake
izi ndo nyimb za utulivu kabisaa watu wanatunga vina vywa nguvu mfamaji maskn daah
Song nzur sana sana sana mashallah sabah mwaaaahhh
Umekua mtu duni hali yako taabani 😂😂😂😂😂hongera sana bi.sabah🇰🇪 salamu zimfikie mfa maji😭
asantemama mzaz kwahakika utabak kwenye kumbukumbu nyoyoni mwa watu huna bayamama by meja kichenje from kwasemkopi
Hatareeee sabah upo juu mamyyyy
I lyke ur songs very much na sauti yk maa shaa lwah mummy sabaha
Sabah salum muchacho mfamaji inanikosha
Ur the best Bin Seif Mungu akubarik.Old is always GOLD.
dah hii song namkumbuka x wangu tulikuwa tukigombana tu lazma asikilize hii song
young twite Hahaha kitu kikali hiki nakipenda sana
young twite 🤣🤣🤣🤣😂😂😂 ulikuwa unaekewa wewe
@@sherrysalim50 Hahaha alafu hajijui
Bin seif, Kuna nyumba ya zamani sana, jina halisi sijui, lakini ilikariri sana neno 'KUMBA KUMBA' naipataje hii
Kihere here chake kimemponza mfa maji kafa angali mbichi ,na wafa maji mliobakia chukueni tahadhari,hakika bi Sabah salim ni mtunzi mahiri hakuna wimbo aliowahi kuutunga ukaweza kuutoa kasoro
kama munavyosema dada ze tetu vishindo vya sakafuni huichiya ukingoni umeshakwama mwambani roho iko mkononi sasa umo mautini mfamaji buriani heko maneno poa sana
Kitambo sana amakweli hii ngoma inaish
waooo*naipenda*hii*nyimbooo
Salam kwa wote wafa maji
Mashallah sauti inaliza 😍😍😍😍
Waropokwa mitaani hujui wasema nini! Haya zitele usoni umekua uso chini!
likedatshorty Mfamaji uyo
likedatshorty hatar mom uyu anajua masha allah
mama ujawi kukosea kweny kazi yk ya mziki ww unafaa kuigwa mzk wk
Mfamaji kutapatapa haishi lol👌
wanajifanya number one ati wame win hahaha! heko waswahili pasueni
Hii kiboko kabisaaa 😊
mfamaji kutapa tapa haachi kafa angali mbichi mfamaji burian
Nyimbo mzuri mashairi mazuri
Jamani kuna recording ya hizi nyimbo za zamani kama vile compilation ya nyimbo zote maana watoto wetu wapate kuja ziskia na wao
Shamscookery A Wife’s Office Yaani watoto wetu watakosa mambo kama haya
Waache wakose tu haya mambo ni haram
I love this mother until I don't understand her......
Sabah uko juu
Umeingia shughulini mwisho sijasifureni... kiimbe umejisibu umebaki laitani
Nini maana ya" sijasifureni" pls
Rahima Ali Dada angu kiswahili cha zamani icho kigumu mie kila nikiitafuta maana ya Sijasifureni siipati ila nitakujibu some day
@@RioIpo Ishallah
Mfamaji haishi kutapatapa
Kiumbe umejicbu umebaki laitan😕
Preety Roshylne maneno mazima Wallah
mashallah
Kujifanya namba one na dharouba ishingoni
nice
Kitambo sana
kweli mambo.ya swabaha jamani nyimbo na.maana yake
sooo nice...omg
inanikumbusha.nilipokua.na.mume.wangu.mungu.amrahm.ahera.aliko.amina
Hii nyimbo naikumbuka mbali toka jangmbe jangmbe sio ya sasa jamani
jangombe kwa nani kwa ali hatib mraz marehe wamjuwa alikuwa kaz wa znz.
Sana
Jaman mie busra khamis muhamed natokea kigope mtambile
nyimbo poa aliwaza moyo
yaaan mimi achani tu
nyimbo ninzuri mnoo aaaaaaa sabaha muchacho.kiukweli.nyimbo.zako.zimetulia.sanaaaa
Sadalychibu Mayunga Sumile unatamani atae kupisha nani waropokwa mitaani hujui wasema nini
haya zitele usoni umekuwa uso chini
Kuvinjari ushindani huwi kwangu mpinzani
Ma shaa Allah wakati huo natoka kuelekea madrasa (chuoni) nyerere kwa maalim Jaber
Mda wa chuoni mwananguuuu
umebaki laitani mfa maji kutapatapa haachi
Asma Soud nyimbo sabah uwa zinanikumbuka mbali sana najikuta machozi unidondoka😭😭 wallah unazikonga roho zetu
Naipenda hii nyimbo
Muna muna kiumbe umejisibu umebaki laitani hahaha maneno mazima
@@RioIpo zamani kulikwa na watunzi sikuhizi hamna
Muna muna Kabisa yaani taarabu zamani
👍👍👍🙏🙏🙏🙇
Artist info please ?
The artist is called Sabah Salum muchacho
Hatari Pembejino Sabah Salum
Napenda sana zaidi
Nimeipend sana
Na iyo plz nitumie
Mashallah mashallah
yan mung amuweke huyu mama azid kutupa mautam