Duniani duniani mithili yako hapana Na peponi na peponi tutakutanishwa tena Mpenz mwenye imani mimi nakupenda sanaaahhh Ahsante Shangaz sabaha Muchacho @AbdulHamid de Zanzibar
Mithili yako hapana yaaani hakuna kama wewe..... anazungumzia mtu uliemzoea yaani mf'mpnz rafiki ndugu.... ila ndo hayupo tena duniani kwaiyo ndo anatamani kumuona.......hatari hiii kituuuu....... nampenda uyu mom mpk... rahaaa
Mashahalla bimkubwa sabaha mungu akuweke sanaa ktk ulimwengu huu
sauti mashallah
ana sauti nzuri sana mama.
Kipenz chng,hubby akiwa safari napenda sana huu wimbo kuusikiliza,,Maashallah bi Sabaha anajua na anajua tena
Unakumbusha mausiano mazuri na mweza wako really naupenda sana
Mithili yako hapana
Old is gold taarab Zanzibar
Viva Zanzibar taarab,viva Sabah Muchacho
asante sana kuandika kwa kingereza💗💗 Sabah kweli amejaaliwa
karibu sana.
Mithili yako hapana,Old is Gold taarab
Viva Shangaz Sabah,Yaa Salaaam
bi sabah
Hahaha hiii kitu noma imfikie khaulat
@@FadhilyOthman karibu
Mimi si mtu wa Pwani ila burdaaaaaaaaaaaaan napata nikisikia nyimbo Hizi. Bi sabah anakonga moyo wangu kwa sauti yake maridhawa kabisa...
karibu
Natamani kukuona❤️
swadakta mwenye ari.
Wimbo bora wa mapenzi kwangu mm mfano wake hakuna
Mpenzi mwenye imani mm nakupenda sana .....yaan imenigusa sana hii nyimbo🤗
Duniani duniani mithili yako hapana
Na peponi na peponi tutakutanishwa tena
Mpenz mwenye imani mimi nakupenda sanaaahhh
Ahsante Shangaz sabaha Muchacho
@AbdulHamid de Zanzibar
Any one 2024 🎉❤
2022/11/26 still listening to this masterpiece. Kweli old is gold.Mungu Akuwekee mametu Sabah,Akujaalie afya tele na uzima.much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Duniani mithili yko hapana na peponi tutakutanishwa Tena mpenzi mwenye Iman mm nakupendana sana
acha tuuuu
Mashallah tarabu haya yani imetilia mahaba ya mpenzi wangu sauti yako imezidi mahaba ndani ya roho yangu shukurani daa swawaba saloum nakupongeza sana
Sijaona kama hubby wangu love you sana
Allah awatunze na kuwaeka mpendane daima
Si ambari si zinduna... waridi Wala asmini. Adimu hapa hakuna..sijaonapo yakini. Daaaaah!! Maneno kuntu mashallah.
kiswahili cha pwani kitamu sana.
Mithili yako hapana yaaani hakuna kama wewe..... anazungumzia mtu uliemzoea yaani mf'mpnz rafiki ndugu.... ila ndo hayupo tena duniani kwaiyo ndo anatamani kumuona.......hatari hiii kituuuu....... nampenda uyu mom mpk... rahaaa
hapana ukisikiliza beti ya mwisho anasema "Salamu twaleteana mpenzi hatuonani..." maana yake yupo hai lkn yuko mbali tu.
@@salamukadir2588 Yes nakubaliana na wewe... tena mwisho anasema " Milele tutashikana langu kubwa tumaini, Tuishi tukipenda kwa salama na amani"
Yaan huu mwimbo hunifanya nikumbuke mbl sn, ila ndo hivyo no way out 😭😭😭
Natamani natamani natamanii
Natamani natamani kukuona
Mwenye hali,mwenye hali natamaniii
Majonzi furaha sina upo mwangu mawazonii
Mpenzi mwenye Imani mie nakupenda Sana......viva sister sabaha bint saloom
2024😂❤
Natamani sana kumuona Japhary milanzi
Niusikiapo wimbo hu humkumbuka mpz wangu wa zaman
pole
Masha Allah old is gold 🏆🎖
Natafuta ile taarab inayo imba "nampenda lakini simtaji kwa jina "
Nampenda kwa ishara naogopa kutamka?
Iko poa
Amazing golden voice
iko poa
Hii iko poa
Nakupenda bingwa
Tubia tena
so sweet music and voice
Natamn
Siku gani tutakutana unitowe adhabuni
Hhjjj
Any one 2024🎉❤
Iko poa
Hhjjj