ROSTAM WAGEUKA KUWA WAJEDA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 сен 2018
  • Wasanii wanaounda kundi la Rostam hapa tunawazungumzia Stamina na Roma wametoa vibe kwa wakazi wa Morogoro huku wakiwa katika sare za kijeda na kuhakikisha heshima yao ya ubunifu kwenye show zao inaendelea kuwepo hiyo ni baada ya kuperfome kwenye Tigo Fiesta 2018.

Комментарии • 169