Toxic X Stamina - UJANI PRODUCT

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 229

  • @haroonmarco490
    @haroonmarco490 7 месяцев назад +50

    Kiukweli ninachokiona hapa mbali na kutangaza biashara kuna haja ya hawa jamaa kufanya ngoma ya pamoja nahisi tz itasimama, much respect you brothers well done

    • @Tonitoo
      @Tonitoo 7 месяцев назад

      For real

    • @ASMAFTAAH
      @ASMAFTAAH 7 месяцев назад

      I BET IT

    • @yohancabbaye7456
      @yohancabbaye7456 7 месяцев назад

      Mbn washafanya haoo ila hawakutoa videoo

    • @IssaMarwimo
      @IssaMarwimo 7 месяцев назад

      Ngoma Yao inaitwa kesho

    • @emmanuel_cs
      @emmanuel_cs 7 месяцев назад

      Mbona walishafanya ngoma ya pamoja inaitwa KESHO

  • @yohancabbaye7456
    @yohancabbaye7456 7 месяцев назад +8

    Ngoma kalii sana Toxic na legend Stamina mmeua sana humo🔥🔥🔥siwapingi

  • @directorballo9598
    @directorballo9598 7 месяцев назад +20

    ALO HIII KITU KAMA MMELIPWA MFANYE TANGAZO TUNAOMBA MUONGEZEWE POSHO ALOOO.. KAMA MM NIMEKUA MTEJA

  • @vincentBE05
    @vincentBE05 7 месяцев назад +4

    Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪well represented,,tunawapenda majirani

  • @kakadabby4017
    @kakadabby4017 7 месяцев назад +9

    Unyama hii🎉🎉🎉🎉🎉🎉,,Mwanangu stamina shorwebwenzi kauwa

  • @boss_the_dj
    @boss_the_dj 7 месяцев назад +8

    Nitangazo lakini ni hit.🔥

  • @godfreymartinegodfour7272
    @godfreymartinegodfour7272 7 месяцев назад +6

    Hivi hamuwezi kuifanya hii UJANI ikawa ngoma Official!?..Mbona mmeuwa Sana wazee🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥

  • @josephlemi8084
    @josephlemi8084 21 день назад

    Hiki kichwaa kinatembea na wakongwe kama level moja tu asee talented toxic man

  • @deejaykid2543
    @deejaykid2543 7 месяцев назад +4

    Kwan Kenya Hakuna hii ujani😊

  • @Victor-z7m5r
    @Victor-z7m5r Месяц назад +1

    Nimeikubari saana big up saana unaua😮

  • @Topherjayover1259
    @Topherjayover1259 7 месяцев назад +1

    KAZI mzuri topher from kenya

  • @saula_brand
    @saula_brand 7 месяцев назад +20

    Kwa Toxic like zake zooote hapa

  • @yumbihussein
    @yumbihussein 7 месяцев назад +1

    Kali sana achieni yote mazee Daaah

  • @ghettoarmy5132
    @ghettoarmy5132 Месяц назад +1

    Broo hii imeweza .... From Kenya

  • @arnoldtigerofficial1581
    @arnoldtigerofficial1581 Месяц назад +1

    Content kali mwanetu

  • @kadito-music
    @kadito-music 7 месяцев назад +3

    Hasira siku hizi tunaifanya biashaha....maua mengi kwenu wanetu🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺

  • @GerardNDUWIMANA-vd6rv
    @GerardNDUWIMANA-vd6rv 3 месяца назад

    Ningoma ya dakika chache lakini inavingi vya kujifikilia l lespect you shabiki wangu stamina 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮♥️🇹🇿

  • @FrankSamson-r6s
    @FrankSamson-r6s 7 месяцев назад +5

    Oyaaa toxic leta namba ya ujani😀😀😀

  • @naftalmogaka8103
    @naftalmogaka8103 7 месяцев назад +2

    This chemistry is well planned and synthesis from kenya❤

  • @ramsootz
    @ramsootz 7 месяцев назад +1

    Unajua mpaka kero kaka ckupingi 💥💥

  • @chidi_don
    @chidi_don 7 месяцев назад +2

    Dah sio poa mzee mumetisha sana 😂😂

  • @mohamedslh5478
    @mohamedslh5478 7 месяцев назад +1

    kwakukawia tu iloswala usiseme kama mmewasha radio mnaweza mkamaliza umeme 🙌🙌🔥

  • @nsengiyumvawhite6480
    @nsengiyumvawhite6480 6 месяцев назад

    Kitu kikali lakini kifupi jaman ❤❤❤❤❤❤

  • @DigitalizeitNow
    @DigitalizeitNow 7 месяцев назад +1

    Toxic eeh nimekubali ninja kabisa

  • @Jilanilucas
    @Jilanilucas 7 месяцев назад

    Imewezaa sana...Toxic na stamina mkiungangana itakuwa mpango mzima...yani TOSTA

  • @Dadieztvonline
    @Dadieztvonline 7 месяцев назад

    Toxic mtunziii nzuriiii Safi imepita na my brother stamina na ukubwa wakee 💥💥💥💥

  • @ASMAFTAAH
    @ASMAFTAAH 7 месяцев назад +2

    HUYU DOGO ANAJUA
    KOMAA TOXIC YOUR FUTURE IS BRIGHT

  • @REVOLUTIONARYLYRICS
    @REVOLUTIONARYLYRICS 3 месяца назад

    Umefika kwa mtaalam
    Ujani Product

  • @filsboyyoungrichfbm
    @filsboyyoungrichfbm 7 месяцев назад +1

    Wanyamwezi Wa 2 on the beat 🔥
    From 🇧🇮

  • @maulidnambunga846
    @maulidnambunga846 7 месяцев назад +4

    Nakubali kaka 😂😂😂

  • @StevenPeter-sg7zo
    @StevenPeter-sg7zo 7 месяцев назад +2

    Ujani ndani haina TOXIC wala fuvu.,
    Ila inaleta STAMINA shoro anapata nguvu

    • @kenyamoviesofficial__23
      @kenyamoviesofficial__23 7 месяцев назад

      ubishi haina ujani inamaguvu.,
      utafika mpaka china safari ilioanzia pugu.🔥🔥🔥🔥

    • @StevenPeter-sg7zo
      @StevenPeter-sg7zo 7 месяцев назад

      Mwendo ni mperampera uwanjani akija stela, lazima utikise nyavu hata ukigonga besela. 🤛🏻

  • @edmundnkarangu134
    @edmundnkarangu134 Месяц назад +1

    Heavy Idea Mze salute💪🙏

  • @KingaTz-nl3qd
    @KingaTz-nl3qd Месяц назад

    Unaua xan fuvu 🔥

  • @kingfisher101
    @kingfisher101 7 месяцев назад +1

    Mzigo nimeucheck naona niwenyewe kabisa

  • @user-CULTUREMANSHOW
    @user-CULTUREMANSHOW Месяц назад

    Iv listen to kenya rappers n tanzania...le mee be honest Tz mkuu juu...im kenyan by the way lakini TZ MKO juuuuuuuuu

  • @CqbikTalentedBoy
    @CqbikTalentedBoy 7 месяцев назад

    Daaah hii ngoma 🔥🔥🔥

  • @YahayaFadhili
    @YahayaFadhili 5 месяцев назад

    Oy bonge la tangazo stamina umetisha

  • @harrsmgaya8141
    @harrsmgaya8141 7 месяцев назад +2

    Hata kama ni tamganzo limekaa kinyama sana

  • @jmklwango
    @jmklwango 4 месяца назад +1

    mbona aiya kwetu Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @theyoungamazing9338
    @theyoungamazing9338 4 месяца назад

    Oya mmetisha sana

  • @SefuPeter
    @SefuPeter 7 месяцев назад

    Song kali sanaaa❤❤❤

  • @ShillaSaid
    @ShillaSaid Месяц назад

    Haujawah niangusha , km inaendelea hiv

  • @mohdkams5582
    @mohdkams5582 7 месяцев назад +1

    Love from DRC congo

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 7 месяцев назад +2

    Mjanii 💥

  • @KassimMbwana-m6i
    @KassimMbwana-m6i 7 месяцев назад +2

    Shorwebwenz umeua hpo haina madhara sio babu kichwa kaanza kutokwa kipara😂😂😂😂🙌

    • @Jabali_Media
      @Jabali_Media 7 месяцев назад +1

      Ondoa Shaka hii dawa ya asili...
      Hakuna aliyepaka halafu akarukwa na akili... 😢😂

    • @KassimMbwana-m6i
      @KassimMbwana-m6i 7 месяцев назад

      @@Jabali_Media 😂😂😂😂Jamaa noma sana 🙌

  • @KAMMELODYMELODY-t2j
    @KAMMELODYMELODY-t2j Месяц назад

    Dah asee nim😂ependa sna

  • @ChizzaChui
    @ChizzaChui 7 месяцев назад +5

    Anytime someone like my comment, i am coming back to watch this video

  • @mabehi
    @mabehi 7 месяцев назад +25

    Wa kwaza hapa like zangu mashabiki✌👆❤

  • @JEANS-TZ
    @JEANS-TZ 7 месяцев назад +2

    Stamina bwana tumpe maua yake ❤❤❤❤❤❤

  • @peterdaudi2487
    @peterdaudi2487 7 месяцев назад

    Hii ngoma inapatikana wapi jamani😂😂😂 ni tamu kweli

  • @spiizokante685
    @spiizokante685 6 месяцев назад

    WANANGU SANAA NGOMA KALII ❤

  • @nicksonmkombozi3411
    @nicksonmkombozi3411 Месяц назад

    Oya yuzo mwamba kajichanya tunaoomba ashuhulikiwe like hapaaaa

  • @Dysmedia254
    @Dysmedia254 7 месяцев назад

    At last 2 most underrated artists kwa track moja❤. Tunasubiri nyengine @Stamina @Toxic Fuvu

  • @hazukamusic5196
    @hazukamusic5196 Месяц назад

    Dah Sina Cha kusema fuvu

  • @mtorowaziri2645
    @mtorowaziri2645 7 месяцев назад

    Uyo ndo TOXIC FUVU

  • @JamesDeus-dk5bu
    @JamesDeus-dk5bu 7 месяцев назад

    Sawa sawa ujan

  • @SalumSadi
    @SalumSadi 7 месяцев назад +1

    Mim stamina ananiuwa sana

  • @makejaffar8119
    @makejaffar8119 3 месяца назад

    Yani nimejikuta nacheka mwenyewe.hawa aliyewkautanisha nani😅😅😅😅kweli jani

  • @ezromyohana
    @ezromyohana 7 месяцев назад

    Siku hizo kila kitu kipo wazi wazi, of course we are going to the END.

  • @SteveTegemea-fj6de
    @SteveTegemea-fj6de 7 месяцев назад

    Ngoma Kali Kinoma..Ilà fupi

  • @mustarwhite
    @mustarwhite 7 месяцев назад

    hahaha😂😂😂😂 hii nchi ngumu sana

  • @jonnygabriel9648
    @jonnygabriel9648 Месяц назад +1

    Great talent

  • @hamokennykaguluboy8669
    @hamokennykaguluboy8669 6 месяцев назад

    Sanaaaaa

  • @HassanOpondo
    @HassanOpondo 7 месяцев назад

    🎉❤❤Kali kuruka

  • @blaysonx
    @blaysonx Месяц назад

    Ashura unanisaliiiiti.. oya eeeeh 🤣🤣🙌

  • @issamatola2031
    @issamatola2031 7 месяцев назад

    Tunaipata je shows how

  • @midmanofficialtz
    @midmanofficialtz 7 месяцев назад

    Unyama kakaaaaaa

  • @SurprisedAlligator-iz5km
    @SurprisedAlligator-iz5km 7 месяцев назад

    Mmetishaaaaa

  • @martinnjiru500
    @martinnjiru500 7 месяцев назад

    Stamina siku zote

  • @SospeterJuma-y5i
    @SospeterJuma-y5i Месяц назад

    Salute Toxic fuvu

  • @Dokta_kuku
    @Dokta_kuku 7 месяцев назад

    Toxic ni mkali sana ila yupo underrated!

  • @maulidnambunga846
    @maulidnambunga846 7 месяцев назад +2

    Ujani kama ujani

  • @mkizerhbc
    @mkizerhbc 7 месяцев назад +1

    🙌🙌🙌

  • @tajidenis1
    @tajidenis1 7 месяцев назад

    Mi sio wa Leo tangu unahusle mwanao TajiWeed apa

  • @farajakubeta509
    @farajakubeta509 5 месяцев назад

    Kwahiyo mwamba aliachwa kwa sababu ana kipisi cha sigara😂😂😂😂

  • @YMwambeya
    @YMwambeya Месяц назад

    Miaka mia shee

  • @GaliboSumailWambuesso
    @GaliboSumailWambuesso 7 месяцев назад

    Kwanini hamjaimaliza ihi rap bwana.

  • @alfredvilakazi785
    @alfredvilakazi785 7 месяцев назад

    Nataka moja

  • @chiconinde8135
    @chiconinde8135 7 месяцев назад

    Ujani inakupa Stamina lakini take care ni TOXIC hiyo

  • @EliasLukas-xc1bo
    @EliasLukas-xc1bo Месяц назад

    Mama mwenye nyumba akupe miez 6 free 😂

  • @alichanzi8095
    @alichanzi8095 7 месяцев назад

    Hii tangazo linaweza kuingia ontrending

  • @salimmwabundu958
    @salimmwabundu958 7 месяцев назад

    Ujaniiii

  • @HusseinMoyo-d3w
    @HusseinMoyo-d3w 7 месяцев назад

    Lake kwa stamina jamani kama unamkubari tujuane hap

  • @SalimMwamumbaNdunda
    @SalimMwamumbaNdunda 6 месяцев назад

    Good work

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 6 месяцев назад

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @officialmalkiss
    @officialmalkiss 7 месяцев назад +3

    Team stamina like hapa

  • @MagombaMagomba-d7j
    @MagombaMagomba-d7j 10 дней назад

    Ni banging au mboga😂😂😂😂

  • @rahatv5299
    @rahatv5299 7 месяцев назад +1

    Toeni kolabo bas wakuu maana hapo tu mumeuwa nakuzika 😂

  • @AnthonyMwangiR
    @AnthonyMwangiR 6 месяцев назад

    Kwawale tuko inje ya nchi tutapataje dawa hiyo

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 7 месяцев назад

    Ondoa shaka ii ni dawa ya asiri

  • @Colomimuzik94
    @Colomimuzik94 7 месяцев назад

    Unyama❤❤

  • @SweetberthOscar
    @SweetberthOscar 7 месяцев назад

    X wangu popote ulipo ukiskia nataka tuludiane ujue nimeenda kwa ujani 😂😂😂

  • @albertmalenge-cs6zy
    @albertmalenge-cs6zy 7 месяцев назад

    Ubunifuuu

  • @KessySailjr
    @KessySailjr 23 дня назад +1

    Naipataje dawa hii lakin

  • @SemiAnon
    @SemiAnon 7 месяцев назад

    Ujani InaoNgeza STAMINA na si TOXIC kwa Mtu. 😅😅

  • @ayambishow__
    @ayambishow__ 7 месяцев назад +1

    Toxic relationship 😜

  • @b1vevo
    @b1vevo 6 месяцев назад

    😂😂😂 dah this I crazy song😂

  • @ojkolabo8737
    @ojkolabo8737 7 месяцев назад

    Noma 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @wantedboy5533
    @wantedboy5533 7 месяцев назад

    very creative

  • @NathanHaule-sj5ep
    @NathanHaule-sj5ep 7 месяцев назад

    Hapo kwa babu kichwa kutoa kipara hahahahah