Napenda nyimbo zako. Lakini apo penye unapewa Gari unauza weee haifurahishi. Mtu akikupa zawadi haimaanishi Hana haja nayo wala Hana mahali pa kuiweka, inamaanisha anakupa uitunze Ile zawadi. Always treasure every gift offered to you.
Joel mdogo wangu siyo watu wote wana hekima hiyo kama wewe kwanza mtu mwingine kupata number yako anakuwa na kiwewe. yeye hapo aerewi yeye anachojua nikukupigia sm atakavyoongea kwake ni sawa lkn kwako unaona kakosea wasamehe tu sasa wataerewa jinsi yakuongea na wewe. Mungu akubariki sana nyimbo zako zinatubariki wengi.
Tatizo ni kwamba vijana wengi hawajui kujieleza, si kwa kuongea tu, hata kwa kuandika. Hilo ni janga la kitaifa, wanahitaji kusaidiwa sana kwenye hilo eneo. Tuwaelewe na tuwasaidie.
Wala sio swala la kunyenyekewa, ukiwa muhitaji siku zote lazima ujifunze kujishusha na kunyenyea kama unataka kujifunza na kufanikiwa lkn ukijifanya mjuaji huwezi pata nafasi lazima tujifunze hilo
Napenda nyimbo zako.
Lakini apo penye unapewa Gari unauza weee haifurahishi. Mtu akikupa zawadi haimaanishi Hana haja nayo wala Hana mahali pa kuiweka, inamaanisha anakupa uitunze Ile zawadi. Always treasure every gift offered to you.
Napenda sana unavoimba,kila point ya wimbo unayagusa maisha yang mwenyez mungu akuinue zaid
Ubarikiwe sana mtumishi Joel.najifunza sana ,Mungu azidi kukuweka juu kwa utukufu wake
Joel mdogo wangu siyo watu wote wana hekima hiyo kama wewe kwanza mtu mwingine kupata number yako anakuwa na kiwewe. yeye hapo aerewi yeye anachojua nikukupigia sm atakavyoongea kwake ni sawa lkn kwako unaona kakosea wasamehe tu sasa wataerewa jinsi yakuongea na wewe. Mungu akubariki sana nyimbo zako zinatubariki wengi.
Tatizo ni kwamba vijana wengi hawajui kujieleza, si kwa kuongea tu, hata kwa kuandika. Hilo ni janga la kitaifa, wanahitaji kusaidiwa sana kwenye hilo eneo. Tuwaelewe na tuwasaidie.
Point
Shida anataka kunyenyekewa
Oooh
Baba unajuwa kuni kufuraisha.dadiiiooo.
I love all your songs. Ubarikiwe
Baba anajua kunifurahisha,niliingia nayo kwa my wedding yangu,,,sasa Ni 5yrs,,,Glory to God
Laki mbili sio mingi,,,Joel vaa hata ya milioni tano,,,Mungu unayetumikia ako na kila kitu,,,pesa,dhahabu nk,,,vaa Mtoto wetu,wacha waongee.
Point noted.Vijana wengi wanakwama sana.Godbless you Joel.
Ni kweli Joel...bad approach huwa zinawagharimu wengi
Unajisikia sanaa,nakwanini wakunyenyekee?? He mungu huyuuu
🤣🤣
😂😂😂 wanajikuta akina John Legend
Mwanangu weh fikiria tuh mchiz ana Mambo mengi pia ni msanii mkubwa alafu ww unakazana kusema Elisha Moto hapa
Wala sio swala la kunyenyekewa, ukiwa muhitaji siku zote lazima ujifunze kujishusha na kunyenyea kama unataka kujifunza na kufanikiwa lkn ukijifanya mjuaji huwezi pata nafasi lazima tujifunze hilo
Barikiwa mtumishi
Nakupenda xana joelly mungu akusaidie ktk maixha yako
Big up sir Mbezi uko very good in interviews
Joel I like your honesty
God bless you
UBARIKIWE JOEL LWAGA...
Be blessed alot
Nimependa sana. Mungu akubariki sana.
Thanks sana bro kwa hekima kubwa ambayo bwana amekupa.
Big point ...And strong to be streigthfoward
Ni kwel Watu weng wanafeli hapo kweny kuaproch mwenyez Mungu aendeelee kukuinua
Joel asijisikie mchezo! 🙌
Uko vizurii brooo
Huna nkuerewaa saana
Joe is so smart👏
Watu wanatofautiana Joel hasa jinsi ya kufikisha ujumbe so waelewe tu na uwasaidie.
Ushauri mzur kuchukuliana nako ni kuzur
Yani kwa kweli waweza ukiwa na point nzuri ila jinsi unaiwakilisha
Heshima na adabu kweli
Kweli waimbaji wengi wako ivo
Wise man.
Hve nothing to say but God bless you and your family
Mtumishi unakuja kutufuraisha
Point Joel umeongea
On point bro
Hongera
Well said
I saw wisdom in you
Iko kipele nimetamani nimtumbue na katokaje home ajakiona
😅😅😅😅
Nimejifunza kitu kikubwa kaka kumbe watu hawajui namna ya kukutafuta na ni kivip muweze kushere
Acha kiburi hujakamilika wewe bado mchanga sana nyenyekea
Jaman mtu kasema tu mm Sion Kama Ana kibur tusihukumu
@@siamoye4549 ameyufundisha tuwe wanyenyekevu,kaongea vizur tu mtumishi joel
kichunusi nataman nikitoe dah
Nc
♥️♥️♥️♥️♥️
Joel ana akili sana
Mimi naomba kufanya mazungumuz naweza pata nafsi .....0788063115 .... kweny tv yenu .....