MAOMBI YENYE MATOKEO - Innocent Morris
HTML-код
- Опубликовано: 20 дек 2024
- MAOMBI YENYE MATOKEO - Innocent Morris
Somo hili litakusaidia sana kujua siri ya maombi yenye matokeo mazuri. Somo hili litakusaidia kujua nini cha kufanya pale unapoomba na kuona kama majibu yako yamechelewa.
Hakika somo hili ni la baraka sana kwenye maisha yako ya maombi.
Ubarikiwe sana.
Innocent Morris
+255652796450 (WhatsApp)
Usisahau kusubscribe RUclips Channel yetu ya Holy Spirit Connect ili kupata mafundisho na maombi.
Instagram Page: holyspiritconnect
Facebook Page: Holy Spirit Connect
Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Instagram Link:
/ holyspiritconnect
Facebook Link:
/ holyspiritconnect
RUclips Link:
/ holyspiritconnect
Bwana yesu naomba ukatimize haja ya moyo wngu ....na wala sitawai acha kuomba 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Niwikweli mtumishi wa mungu, mii niliomba mungu anifungulie kazi ya business ya viatu sijapata mpaka sai ubarikiwe mtumishi wa mungu roho mtakatifu azidi kufungulia zaidi na zaidi amen
Ameen ameeen
Mungu atakupatia haja ya moyo wako katika jina la Yesu Kristo
Nifungue akili ee Mungu
Mungu naomba maombi yangu yawe yenye matokeo
Ameen ameeen
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Somo zuri sana, Bwana Mungu azidi kuachilia mafundisho mazuri zaidi kwako mtumishi tupate kupona.
Ameen ameeen
MUNGU Baba ninaomba unipe kibali cha kuwa na maombi yenye matokeo
Ameen ameeen
Najiunganisha na MADHABAHU hii kupokea ujumbe ili nikue kiroho na kimwili kwa jina la YESU KRISTO aliye hai. Amen
Mungu nipe nguvu na hamu yakuomba nakukutafuta kwa bidii
Mungu naomba unipe nguvu yako homba kwabidii
Maombi yangu Mbingu zikijawa sifa halleluya yangu iwe ya kwanza,MUNGU anapopokea makapu ya watumishi wake waaminini na mimi apokee kapu langu la shukrani na toba ya kweli..Nampenda JEHOVA
Ameen ameeen
Nisahidiye maombi Mungu halete kasitoma kwa kazi yangu
Naomba uniombee mtumishi nibadilike
Be blessed mtumishi
Ameen
Haya mafundisho yamenisaidia sana
Ameen ameeen
Mungu jibu. Maombi yangu
Ameeen,Roho Mtakatifu uniongoze jinsi ya kuomba zaidi bila kukata tamaa 🙏🙏🙏 powerful sermon 🔥🔥 Glory be to God 🙏🙏
Mungu naomba Maombi yangu yapate matokeo
Ameen
Amen Amen 🙏🙏,, sitakata tamaa,, Mungu ombi langu ni kuomba kwa bidii nawe utanitendea kwa wakati umenipangia..,
Powerful message Aman of God itap this my prayers niombe mungu ajibu matokeo
Ameen ameeen
Nitakuombea
Asante Yesu kwa kumtumia Mtumishi wako kutupa shule ya rohoni. Najifunza vingi kupitia hapa.. Barikiwa pastor
Ameen ameeen
Powerful sermon
Ameen
Amen Ee Roho mtakatofu niongoze niweze kuomba maombi yeny matokeokatika jina la Yesu
Amen Amen thank you MOG, it is only by God's Grace and Revelation❤
Ameen ameeen
@@holyspiritconnect nahitaji no za mtumishi huyu nazipataje
Amen Amen ubarikiwe
Ameen ameeen
Amen 🙏 inatupasa kuomba kwa bidii ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ameen
Asante mtumishi wa Mungu kwa mafunzo mazuri sana ,ubarikiwe
Ameen ameeen
Amen..Amen...
🙏🙏🙏
Ee mungu nami uniongoze katika njia zangu na nikutumikie katika njia zinazokupendeza
Ameen ameeen
mungu naomba unipe matokeo katika maombi yangu
Mungu naomba maombi yangu yawe ya matokeo 🙏
Ameen ameeen
Asante mtumishi
Amen Amen, mungu naomba ninambo nyenyekea chini ya miguu yako kwa maombi, uyasikie maombi yangu ill niweze kupata matokeo
Ameen
Asante mtumishi kwa kutufundisha kuomba kwa bidii
Mwenyenzi Mungu naomba maombi yangu yawe na matokeo katika jina la yesu amina
Ameen ameeen
Hallelujah and Amen 🙏🏻🙌👏🏿❤
Ee mungu wangu naomba uyaone na unijbu maonbi yangu na funga zangu zote
AMAN Of God pray for Ruth and Thomas in school do well at school all subjects .
Amen. We will pray for them
Amen ubarikiwe mtumishi
Ameen ameeen
Mungu naomba maombi ya matokeo
Amen amen naomba baba mungu matokeyo yamaitaji ninayo
Amina
🙏🙏🙏
😊Amen and Amen 🙏🕊
Powerful lessons, God bless you man of God
Ameen ameeen
Amen❤
Amen Amen Sana
🙏🙏🙏
🙏🙏
Amen Amen
🙏🙏🙏
Amina mtumishi naomba mungu asiache ata kama nikichoka aninyanyue tena
AMEN 🙏
🙏🙏🙏
Amen
🙏🙏🙏
Wonderful
Thank you
Hallelujah
Ameen
Amen amen hakika nimebarikiwa
Ameen ameeen
Amen persistence persistence
Amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭
Amene
🙏🙏🙏
🙏🙏
AMEN
Nahitaji no za mtumishi huyu nimeaza kumfuatilia jana but nimejifunza vitu vingi
+255652796450 (WhatsApp)
Amen Amen Amen 🙏🙏🙏 Pastor preying for me job and fancy
Ameen. Ok! We will pray for you
🙏🏿✋✋ ubarikiwe sana mtumishi!! Huduma ipo mkoa gani?
Dar es Salaam
Mungu naomba unipee majibu ya maombi yangu 🙏🙏🙏
Amen amen 🙏
Amina 🙏🙏🙏🙏
🙏🙏🙏
Amina
🙏🙏🙏
Amen ❤❤
🙏🙏👏
Amen
🙏🙏🙏
Amen
🙏🙏🙏