Ntemi Omabala_Acha Tudange Official Video HD.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 ноя 2024

Комментарии • 353

  • @jacobrobert8028
    @jacobrobert8028 7 дней назад +2

    Brother Unajua sana 💯💯

  • @pacificalembegaspard7624
    @pacificalembegaspard7624 9 месяцев назад +9

    From Los Angeles Calorina American 🇺🇸 Yaani huu wimbo unanikumbushaka mambo mengi ya ujana kipindi bado nipo Africa ya mashariki ❤️❤️🌺🌹💯

  • @magrethgeorge9253
    @magrethgeorge9253 2 года назад +9

    Nyimbo nzuri sanaaa,wanaume wakituweka ndani wanajisahau,acha tudange safiii

  • @MagrethLaurian-vu2fx
    @MagrethLaurian-vu2fx Год назад +2

    Acha tudange nakupenda msanii wa kisukuma ila bonge la hb nakupenda

  • @amanjoseph5356
    @amanjoseph5356 Год назад +5

    Ungepata mfadhili mzuri angeipromoti hii nyimbo na shooting kali duh ingependeza sana

    • @juliusbaruti8617
      @juliusbaruti8617 Год назад +1

      Bora akomae peke yake make hao wafadhili matapeli tu

  • @iddykayembe727
    @iddykayembe727 2 года назад +9

    Jamani huyu msukuma anajua sio mchezo❤️❤️❤️❤️

  • @SiwemaLuchoma-ny4mi
    @SiwemaLuchoma-ny4mi Год назад +1

    Acha tudange maana mwanaume hajui samani ya mke akiwa ndani nikihitaji pesa kunipa ni vigumu acha tudange kaka safi sana

  • @lucybengwe959
    @lucybengwe959 8 месяцев назад +1

    Yan huu wimbo schoki kuuskiliza na nstor yang kabsa ira wanaume mungu anawaona😢😢

  • @lazarojr8923
    @lazarojr8923 3 года назад +4

    Dah ww jamaa ni nomaa huu wimbo inadhihilisha kuwa ww ni fundi

  • @LucyKizanga
    @LucyKizanga 9 месяцев назад +1

    Nainjoi maan bila kuwa pekeako kulko kipigo

  • @Josephghatighati
    @Josephghatighati Год назад +2

    Nyimbo nzuri japokuwa sijui kisukuma ila inafundisha

  • @augustinolovukenya7298
    @augustinolovukenya7298 Год назад +2

    You de king of course hangamaga nyanda omabala

  • @elizabethmabala9871
    @elizabethmabala9871 2 года назад +4

    Acha tudange tu😀😀🤸🤸BIG UP SANA.

  • @dottoherman
    @dottoherman Год назад +2

    Ntemi hapa ndio uliuwa vibe kk Mungu akulinde nipo Ndala,Nzega, Tabora

  • @stumay-wx9rp
    @stumay-wx9rp 2 года назад +3

    Ntemi nakupend san japo sijui kisukuma ila ila natak uje unituniye kawimbo siku ya harusi yangu nakupend sana huna kz mbov 🇴🇲🇴🇲💓💓

  • @petrosana8934
    @petrosana8934 3 года назад +7

    Kaka kazi nzuri hakika endelea kutufurahisha wasukuma.mungu awe nawe forever kaka

  • @MwaijaSwedy
    @MwaijaSwedy Год назад +1

    Nakupenda sana huu wimbo aisee acha tudange tu

  • @neemaenock7579
    @neemaenock7579 2 года назад +2

    Goja tudage kwer naupeda sana huu wmbo kama ulikuwp kwenye maisha yangu

  • @nasrahassanmasesa3745
    @nasrahassanmasesa3745 3 года назад +4

    Ongera sana ujumbe nimeuelewa sana safi sana kwa kazi zuri ng'wana nkang'wa

  • @sunwin.Resudahexiaomianbao
    @sunwin.Resudahexiaomianbao 2 года назад +1

    Tena ukijori Jori wacha tudange 👌👌👌safi san

    • @ShavuDodo
      @ShavuDodo 26 дней назад

      Utajijua maana yke ukwijol

  • @jevalineouma390
    @jevalineouma390 10 месяцев назад +1

    Hii wimbo inanikumbusha mbali sana omabala nice songs ❤❤I love it

  • @iddykayembe727
    @iddykayembe727 2 года назад +3

    Raha tulikula wote tukicheka♥️♥️♥️♥️🌏🌏

  • @daudijames8774
    @daudijames8774 3 года назад +6

    Tudumishe Mila yetu najivunia kabila yangu snkumaland

  • @nasrahassanmasesa3745
    @nasrahassanmasesa3745 3 года назад +5

    Kweli zamani ndo walikuw wanaishi miaka mingi kwenye ndoa kwa sasa asilimia % 10

  • @tausitala4237
    @tausitala4237 2 года назад +2

    Aya zimekaa poa sana, salute my brother

  • @mosemapambotv2827
    @mosemapambotv2827 3 года назад +2

    Kaka nakukubali sana naimenigusa kwasababu mindo mumewahuyo mwalabu ulioyasema nikweli kabisa nilifanya hivyo nitakutafuta nikupezawadi kwanyimbo nzur muulize mm ndie

  • @josephkulola5625
    @josephkulola5625 3 года назад +6

    Salutations!!! nhamhala udulile sana 🙏🙏🙏

  • @kungumanjale
    @kungumanjale Год назад +1

    Yaaaaan ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥fire west

  • @AntoniQwaray-ge2cq
    @AntoniQwaray-ge2cq 7 месяцев назад

    Napenda sana kuusikiliza huu wimbo wa kisukuma unanipa faraja sana katika maisha tangy japo Mimi sijui kisukuma niko babati Manyara

  • @adelinaemily1572
    @adelinaemily1572 3 года назад +5

    Umenitaji penyewe ng'wana ubhatale natamani sina zawadi nakuombea kwa mungu akupe baraka katika kazi yako

  • @clementpeter4174
    @clementpeter4174 3 года назад +3

    daaaaah bonge la ngoma mi nakuitaa diamondi wa kisukuma hiii video naichk nikuwa dar

  • @AntoniQwaray-ge2cq
    @AntoniQwaray-ge2cq 7 месяцев назад

    nikitazam nawaz xn jinsi hata maisha yetu tunayoishi yalivyo mola atutangulie maan ndoa za siku hizi ni mgum sana

  • @silasteven4168
    @silasteven4168 3 года назад +2

    Team sukuma bise basukuma twigambele basukuma wise Yaya kwidalaha sukuma taifa kubwa

  • @saleheheda4537
    @saleheheda4537 2 года назад +3

    Ntemi umetendea haki Sana ngoma ni Kali Sana 🔥

  • @neemaayubu1786
    @neemaayubu1786 2 года назад +3

    Wimbo mzuri sana,, Mungu akufikishe mbali, Ntemi omabala🙏🙏🥰🥰🥰🥰

  • @rabanikisusi386
    @rabanikisusi386 3 года назад +3

    Ujumbe umenitufkia wananzengo ngoma kaliii

  • @leonardpaul898
    @leonardpaul898 3 года назад +7

    Safi Sana rafiki Kaka angu ni wimbo mzuri,, mungu azid kukubariki na akurinde uishi siku nyingi

  • @minoyakitata869
    @minoyakitata869 3 года назад +2

    Nakupata mkuu ntemi wa mabala ukitupia mzikin ninakuwa wakwanza mkuu hongera sana

  • @sillasteven2949
    @sillasteven2949 3 года назад +1

    Nyimbo zur kijana unajua mwanakamwa Mimi msukuma Niko bongo nasikiliza za nyumban

  • @ZuhuraNhumbi
    @ZuhuraNhumbi 4 месяца назад

    Acha tudange maan wanaume wasikuhiz bas tuu nausikiliza huu mwimbo nikiwa oman

  • @yombocharles3731
    @yombocharles3731 Год назад +1

    Kwi joli ndio Nini, beat Kali sana

  • @NurdinMohamed-e4d
    @NurdinMohamed-e4d 17 дней назад

    Mungu akujalie zaid Ameen

  • @matthewmabula4413
    @matthewmabula4413 3 года назад +5

    Nimecherewa kuicheki video ila bonge ra nyimbo hasa kwenye baar ni hatari pongezi kwako ntemiii 👑👑 Btm africa forever👌👌

  • @madirishasimon9692
    @madirishasimon9692 3 года назад +1

    Kuwa msukuma ni rahaaaaa sanaaaaaa najivunia asili yangu

  • @Nkwimb
    @Nkwimb 2 месяца назад

    Mimi msukuma pure nipo Zanzibar nawapenda san🥰🥰🥰🥰

  • @mawazokazungu8234
    @mawazokazungu8234 3 года назад +7

    Hongera sana huo wimbo unaujumbe mzuri sana

  • @sharifaanna9288
    @sharifaanna9288 3 года назад +2

    Nyimbo nzur san shongera san broo nausikilaza xan nikiwa huk oman🇧🇬

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 3 года назад

      Upo sehem gan wewe mimi pia nipo oman barka

  • @joycekomanya3427
    @joycekomanya3427 2 года назад +2

    Huwa nakumbuka nyumban nikisikiliza nyimbo zako

  • @rwandaafrika6173
    @rwandaafrika6173 3 года назад +6

    Mambo mambo hapo safi Sana napenda sana kusikilinza nyimbo za Nyumbani 100%👌

  • @williamemmanuel7786
    @williamemmanuel7786 2 года назад +2

    Kuimba unaweza Sana ,hongera

  • @SalmaRashidgwanko
    @SalmaRashidgwanko Месяц назад

    Nakukubali kaka mana wanaume wanajisahau

  • @charlessomba2783
    @charlessomba2783 Год назад +3

    Kazi nzuri sanaaaa!!!

  • @mohamedomary8892
    @mohamedomary8892 Год назад +1

    Nampenda sana nanyimbo zake zinaujumbe mzuri sana tofauti na Diamond

  • @janethnelson4517
    @janethnelson4517 2 года назад +1

    Hongera Sana kwa juhudi zako mungu akupe nguvu uzide kuelimisha jamii kwa njia nyimbomaisha marefu kwako 🙏🙏🙏🙏

  • @annastaziapaschal6371
    @annastaziapaschal6371 4 месяца назад +1

    From china naelewa sana huu wimbo😂😅

  • @petroladslaus563
    @petroladslaus563 3 года назад +6

    Umenifanya nizipende nyimbo za kisukuma, safi sana jamaa

  • @gulaitv
    @gulaitv 2 года назад +1

    Ngoma kali kama pilipili mbuzi wewe ni hatari aiseee kweli we ndo mtemi wengine acha wakadange tu

  • @mnyama-xc8py
    @mnyama-xc8py 6 месяцев назад +1

    Beautiful song ,the best sms

  • @josephnestory9925
    @josephnestory9925 3 года назад +1

    Nakubali xana ntemi unafahamika nchi nzima nipo dodoma makao makuu wagogo wanapiga ngoma zako

  • @brightonmeshack8228
    @brightonmeshack8228 3 года назад +4

    Big up San mwamb nakuelewag San mie kwa nyimbo zako

  • @JanetiJohniJanetiJohni
    @JanetiJohniJanetiJohni 2 года назад

    Kwer kabsa hawana maana, endelea kuwakumbusha

  • @boazimaganga
    @boazimaganga 3 года назад +2

    Nakupenda Sana mwana mabara japo sikijui unaimba ukiwa umetulia kweli kweli kalibu kigoma mhangi

  • @kautharkayu6326
    @kautharkayu6326 2 года назад +3

    Najivunia kuwa msukuma jmn🌹🌹❤️

  • @allyntembo5853
    @allyntembo5853 3 года назад +1

    Wap mzee mi wakala nilikuchongea no ya tigo mkwajuni chunya

  • @rajabuabdalla3232
    @rajabuabdalla3232 2 года назад +2

    Nyimb nzur san nimeipenda sana brother wangu

  • @josephsospeter8304
    @josephsospeter8304 3 года назад +3

    Mungu akutangulie ili ufike mbali zaidi Nipo Swidden nakupata vizuri kijana 🔥🔥🔥

  • @denkimnyamweziofficial9011
    @denkimnyamweziofficial9011 3 года назад +2

    Ila jamaa Fanya mpango upeleke kazi zako kimataifa zaid kama makirikiri maana unafanya poa sana

    • @ngwanakangwa
      @ngwanakangwa  3 года назад

      Poa kaka muda utaongea kikubwa uzima na support yenu 🙏🙏

  • @sagengejagadi2520
    @sagengejagadi2520 Год назад +2

    Great song never give up.Namhala Omabala👍

  • @machiyajofrey1672
    @machiyajofrey1672 3 года назад +4

    Kaka yang npenda sna kusikilza nyimbo zko , hi n mja ya kaz nzur sana kuanzia melody na biti lake so la fujo n zuri na video n nzur ila ongeza ubora zaid wa video, stay safe@Ntemi, machiya from Dar es salaam -Tz

  • @MasukaLimbe
    @MasukaLimbe Год назад +1

    Kaz nzuri sana🎉🎉🎉 9:42

  • @manyangukijakalelesi3848
    @manyangukijakalelesi3848 3 года назад +2

    Kaka Kaz nzuri endelea

  • @daudiyusuph1505
    @daudiyusuph1505 Год назад +1

    Nakukubali sana bladha

  • @elizajihangala6648
    @elizajihangala6648 2 года назад +2

    Nyimbo zako nzuri Sana nazipenda

  • @rehemasoud7805
    @rehemasoud7805 3 года назад +1

    Ngonga like miaka kenda impept bwan anamfta mtot wanaume mashtanii hsaaa

  • @EvaZumala-p7c
    @EvaZumala-p7c Год назад +1

    😂Huu wimbo unakumbusha ukipgwa tyu bora kudanga syo😅😅

  • @makoyemathias3503
    @makoyemathias3503 5 месяцев назад +1

    Yaan huu wimbo umenigusa jaman hakika kama aliona tukio langu

  • @mwarobaini3571
    @mwarobaini3571 2 года назад +1

    Daaaah wewe jamaa noma sana,siku moja natamani nifike level zako br

    • @ngwanakangwa
      @ngwanakangwa  2 года назад +1

      Usikakate tamaa ,songs mbele

    • @mwarobaini3571
      @mwarobaini3571 2 года назад +1

      @@ngwanakangwa unaweza ukanipa namba zako Kaka,nikakutumia kazi yangu walau moja,uone namna ya kunishika mkono?,juzi kati ulikuwa kwetu nyehunge,nilifurahishwa na show yak,naomba namba zako Kama hutojari br

    • @ngwanakangwa
      @ngwanakangwa  2 года назад +1

      @@mwarobaini3571 insta dm @ntemiomabala

  • @madukaj.j.6999
    @madukaj.j.6999 2 года назад +1

    Uko viziri Mkuu yaani nimesikiliza duu, inasikisisha

  • @anthonymawela586
    @anthonymawela586 Год назад +1

    Nakubal Sana mwana kang'wa

  • @LucyKizanga
    @LucyKizanga 7 месяцев назад +1

    Mmm kuolewa ckuhizi inaitwa sogea tuishi woteda wote inaeza kuisha

  • @joyceobila6152
    @joyceobila6152 2 года назад +2

    Nampenda na nyimbo zake Zina ujmbe mzuri sana

  • @opqsweetbert9598
    @opqsweetbert9598 3 года назад +2

    Huuu wimbo mkali sana sana hongera aiseeh

  • @AntoniQwaray-ge2cq
    @AntoniQwaray-ge2cq 7 месяцев назад

    kaka huyu anaimb vzr jmn mungu azidi kumbariki

  • @elizabethgabriel6343
    @elizabethgabriel6343 3 года назад +1

    Hongela xana bro kwawimbo huu big pu

    • @kirstofusondo909
      @kirstofusondo909 2 года назад

      Unajitahidi sana ila kwa wimbo huu umeboa sana dada zetu unawafundisha nn?

  • @sarahjoseph9258
    @sarahjoseph9258 Год назад

    Unajua mpaka unajua ten♥️♥️♥️♥️

  • @AmisiUwezo-e7p
    @AmisiUwezo-e7p 9 месяцев назад +1

    Yves ❤❤❤❤ big up sana bro

  • @joxestv3577
    @joxestv3577 3 года назад +5

    Big Guy Huwa na enjoy Sana kusikiliza nyimbo zako Basi tu. Pull up Brother . I feel like I'm at my Home Land

  • @phabianremigius2826
    @phabianremigius2826 3 года назад +1

    Mkuu unajua xana!!!_bhac tu!!!..I respect u xo great!!!.///....10x.

    • @ngwanakangwa
      @ngwanakangwa  3 года назад

      Thanks brother

    • @mosemapambotv2827
      @mosemapambotv2827 3 года назад

      @@ngwanakangwa umeimba vizur sana naukweli maana huyo mwalabu alikua mkewangu namimba ndonilie mpa imeniliza hiinyimbo

  • @TimoteoMsengi
    @TimoteoMsengi Год назад

    Nainjoyoi sana Mimi nipo Tanga hongela sana

  • @deusimwalyego2174
    @deusimwalyego2174 2 года назад +1

    Nimeielewa sana

  • @SterlajSterlajovnijoel
    @SterlajSterlajovnijoel 4 месяца назад

    umetisha sana Ng'wana kang'w

  • @lucasmaduka3562
    @lucasmaduka3562 3 года назад +3

    Hongera sana kaka

  • @kishimbamusic5116
    @kishimbamusic5116 3 года назад +3

    Kazi mbele moja kwa moja hakuna kurudi nyuma!

  • @matha7750
    @matha7750 3 года назад +4

    Weweeeeeee wap kudanga👏👏👏

  • @WinniMartin-d1x
    @WinniMartin-d1x 3 месяца назад +1

    Naupenda sana huu wimbo

  • @abelbufumbe790
    @abelbufumbe790 3 года назад +3

    Penda Sana nyimbo zako japo npo comoro 🇰🇲 penda Sana lugha yangu najivunia kuwa msukuma

  • @juliusmanzalima7513
    @juliusmanzalima7513 3 года назад +2

    Wimbo mzur hongera dogo piga kazi

  • @ezekielndende9194
    @ezekielndende9194 3 года назад +3

    Jamaa yuko vzr sana

  • @poulmisoji4977
    @poulmisoji4977 3 года назад +2

    Kaka angu hongera sana nakukubari sana

  • @teddymabula4199
    @teddymabula4199 2 года назад +1

    Safi jamani napend nyinbo zako