Mombasa iko chini ya maji

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 ноя 2023
  • Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
    Website: www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Комментарии • 25

  • @saidhashi2856
    @saidhashi2856 6 месяцев назад +12

    I hav never seen such rain in Mombasa ... it rained 3 days non-stop.

    • @nabillionairevevo5986
      @nabillionairevevo5986 6 месяцев назад +3

      We ni mgeni Mombasa?

    • @user-jk4od9vv3c
      @user-jk4od9vv3c 6 месяцев назад

      ​@@nabillionairevevo5986huyo ni mgeni kweli, Kuna wakati ilinyesha upande wa kwetu hungeona ata nyumba mahali iko

    • @collinselamwenya8028
      @collinselamwenya8028 6 месяцев назад +1

      😂😂😂😂we ujui mombasa

  • @badarahmed1861
    @badarahmed1861 6 месяцев назад +2

    Wamekula pesa za Elnino

  • @sotiklimuru
    @sotiklimuru 6 месяцев назад +4

    When will we accept that we are in charge of our own environment? Residents need to get together with the guidance of their local chiefs, to have a regular clean up programme of the area they live in. Ruwanda has managed this. If we, as the people of Kenya discipline ourselves with regards to litter disposal and, point out those individuals who fail to do so, we then have a sound argument and can dictate what our leaders must do. Crying out to the government to help is only futile, they never will and we know, that we know they will not. We must all be held responsible and learn to dispose of litter properly and ensure that drainage is free of litter. We raise our standards and only then can we force the government to maintain what we have started and, do the work we elected them to do.

  • @edwinmahonga4063
    @edwinmahonga4063 6 месяцев назад +2

    Pesa za el nino zilikulwa kitambo,,,

  • @yasirshee3152
    @yasirshee3152 6 месяцев назад +2

    Mm ni mzaliwa wa Mombasa hizi shida ni blockage coz most areas kuna drainage na walaji mgokaa zile packets za orbit na plastic bottles ndio wanatia kwa drainage mbona old Town hamna floods? Coz huko ni bangi kuruka mgokaa ni kidogo sanaa

  • @charlesgachichio9317
    @charlesgachichio9317 6 месяцев назад +1

    Huu ni mwisho wa dunia Yesu Kristu arudi duniani

  • @ItsWilliemuema
    @ItsWilliemuema 6 месяцев назад +2

    Title zenyu huwa hillarious😂

  • @user-np6tz6zi7b
    @user-np6tz6zi7b 6 месяцев назад

    Shame shame shame to the officials responsible! Kula pesa tu na hawashughuliki na environment...Sasa ona vile watu wameathirika😢

  • @nimrodchokwe711
    @nimrodchokwe711 6 месяцев назад +2

    Watumie Navy na Coast Guard kusaidia watu masikini!

  • @mahmoodmohammed1679
    @mahmoodmohammed1679 6 месяцев назад +2

    Mombasa miaka yote,shida ni hii,what kinda city is this

  • @user-nn4fp4ku6p
    @user-nn4fp4ku6p 6 месяцев назад +3

    The Kenyan government is not serious with there people It’s an embarrassment to Africa Simple they can’t do drainage It’s been like this for years and all they do is keep the money in the back pockets 😢Nkt

  • @edwinmahonga4063
    @edwinmahonga4063 6 месяцев назад +2

    Hii serikali ni ya walafi,pesa za el nino za faa kunya hizi kazi

  • @josephkanyugi3799
    @josephkanyugi3799 6 месяцев назад

    This is my job to solve drainage for the entire Mombasa County. I have been thinking about it for over 20 years now. I had the opportunity to work in Mombasa around Nyali, Shanzu, Mtopanga, all that area in North Coast bounded by the Ocean, Nguu tatu area up to Makupa causeway. For the last two years I have been there, no rainfall incident heavy enough to stop us doing construction work. I travelled upcountry on Thursday evening and now this. I am willing and ready to carry out drainage solution for Mombasa county for the following fees:-
    1) Site visit - KShs 3,000,000 - This will involve visiting all wards and listening to flood stories-one Month.
    2) Preliminary investigations - KShs 1.0 billion - This will involve walking all natural drainage routes and rough mapping - 3 months
    3) Preliminary/Draft design - KShs 1.5 billion - This will involve surveying and designing intake and drains - Tunnels shall be included
    4) Final Design Drawings and TD - KShs 2.5 billion - The preferred option(s) shall be designed and costed.
    5) Supervision of Construction - KShs 3.0 billion - Contractors, Local, Chinese and HAMAS tunnel builders shall be sourced.
    Any takers in Mombasa County or the Government? I however estimate that the whole undertaking will be about 50% of SGR from Mombasa to Nairobi and Mombasa people will not hear of floods again. Any takers?

  • @ghalibabubaker88abubaker87
    @ghalibabubaker88abubaker87 6 месяцев назад +2

    Mombasa county at its best😂

  • @mariesue1275
    @mariesue1275 6 месяцев назад +1

    I thought money for Elnino was released and was to take care of this natural epidemic.
    Kwani hata hizo zilikulwa pia.

  • @salimbilali5174
    @salimbilali5174 6 месяцев назад +1

    Binadamu hatuna shukrn haya tusubiri jua sas

  • @gaza1677
    @gaza1677 6 месяцев назад +1

    Building on waterways and blocked sewage

  • @virginiawanjiru3239
    @virginiawanjiru3239 6 месяцев назад

    Mngu alitembelea kwenyu akapata hakuna hata 25percentage mcha mngu rudieni mngu..bt poleni watu wa mbsani

  • @kukuzambawazambanga
    @kukuzambawazambanga 6 месяцев назад

    Huu ni ujinga wa hali ya kimataifa 🤣🤣🤣🤣🤣 bahari iko hapo
    yaani mumeshindwa kuelekeza maji nyumbani kwao baharini🤣🤣🤣🤣🤣🤣unongwe mkuu huu🤣🤣🤣🤣
    Mbona bara mafuriko hamna
    Wapwani washenzi🤣🤣🤣🤣
    Wanafikiria kwa pua
    zione za zama baharini🤣🤣🤣🤣🤣😉

  • @alexkaranja79
    @alexkaranja79 6 месяцев назад

    Sai nkiendea halima sidhani mamake atakataa kunipea 🤔

  • @kukuzambawazambanga
    @kukuzambawazambanga 6 месяцев назад

    Cha msingi hapa ni nyinyi wote mkome na uvivu wenyu kila mtu achukue jembe muanze kuchimba a canal ikielekea baharini
    alafu kuna serikali ya kaunti huko
    hivi pesa iliyo tengwa ya majanga wanapeleka wapi ama wananunua mafuta ya kuwapaka mabibi zao matakoni vipi
    🤣🤣🤣🤣🤣
    Maumbwa nyinyi sasa mnavua wapi nyumbani kwa mlango yako samaki huyoo unamrukia kuja hapa umejileta mwenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @charlesgachichio9317
    @charlesgachichio9317 6 месяцев назад

    Its end of world Jesus Christ is returning to earth