MWEKEZAJI WA MIFUGO NA MAZAO YAKE KARAGWE AGUSA WANANCHI KIUCHUMI, WAZIRI WA MIFUGO AWATAKA WAFUGAJI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024
  • Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Mhe.Mashimba Ndaki ametembelea na kujionea uwekezaji katika sekta ya mifugo unaofanywa na mwananchi wa wilaya ya Karagwe Bw. Jossam Ntangeki. Ntangeki ni Mkurugenzi wa Kampuni ya KAHAMA FRESH inayojishughulisha na ufugaji wa ng’ombe wa maziwa na nyama. Pamoja na kuwa na shamba la mifugo katika kata ya Rugera lenye ukubwa wa hekari 2400 bado linaonekana eneo hilo amelitumia sawasawa nab ado eneo hilo linaonekana ni dogo.
    Hivyo amemuomba waziri wa Mifugo na Uvuvi kuweza kumuongezea eneo linguine la ufugaji kwani shughuli zake za ufugaji wa kisasa umekuwa na tija kwa jamii inayomzunguka na Taifa kwa ujumla. Shamba la mifugo lina ng’ombe wapatao 1300.

Комментарии •