My gratitudes goes to mr director productions manager hii movie wazee bado kidogo tu vyenye mume edit ifikie bongo.sound iko sawa colour pia iko 100 percent poa director pia big up mzee uko vizur bado kidogo tu tufikie wabongo
We c mzee Gogo gogo watoa machozi na wadigo usema kama mbwa na matiti take manane yuwalala getini vitu huyo wa matiti mawili akutese hivyo tiwa wapo wengi
Ndugu zangu film yetu ya mzee gogo season 1 full ndo hiyo plz tunaona support yenu #watch # watch # wacth and subscribe❤❤❤❤
@samuelkaikarisaAsante sana ndugu , in shaa Allah ndugu tuko katika harakati za maandalizi za kazi nyingi ila tutaziweka hapa zote karibuni
Kazi nzuri 🎉🎉
❤❤❤🙏🙏🙏
Kaz nzur sana
Asante
Asante sana❤❤❤
Wani mzee wetu ulikuwawaambiwa ukifa usiozekumbe ulikuwa watuaga lala slama
Mzeee wetu
🙏🙏🙏
Madada zangu hogera ❤❤❤ iyendelee
My gratitudes goes to mr director productions manager hii movie wazee bado kidogo tu vyenye mume edit ifikie bongo.sound iko sawa colour pia iko 100 percent poa director pia big up mzee uko vizur bado kidogo tu tufikie wabongo
In shaa Allah tutafika soon❤❤❤
Mzee mnofu nakuona maa shaa allah.
Alaf lulu wewe😂
😂😂😂
this is great na inshaallah siku moja mtafika pale pazuri...keep it up ALI K and the crew
Shkuraan kakaa🙏🙏
Good work
Kali sana...mzee gogo noma sana🔥🔥
Shkuraan kakaa
Ila wazee nanyi mna balaa mda mwengine mwataka, kufa siku si zenu bure na piresha, za kijitakia,
😂😂😂😂
Much love to mzee gogo keep shinning mwamba
Shkuraan 🙏🙏🙏
Kazi nzr 🎉
Shkuraan
Mzeee wetu
Amazing sana bro
Teacher Asante pia kakaa
Lulu kama hukutaka mzee ungeacha kuolewa
Anasema alitaka hela yake😂😂
Studio ziko Wp kipaji kiko hapa plz
We c mzee Gogo gogo watoa machozi na wadigo usema kama mbwa na matiti take manane yuwalala getini vitu huyo wa matiti mawili akutese hivyo tiwa wapo wengi
😂😂😂😂
Mzee gogo yuajua sana🎉
Shkuraan🙏🙏
Mmejaribu
Shkuraan
Maokoto😂😂
😂😂😂
Great guys from the code area keep it up
Asante kakaa
Movie nzur sanaa
Shkuraan🙏🙏
❤❤
❤❤
Karim...Jina Ni Kinaya
Kabisa 😂😂😂😂
Alii achana na bibi zaa watu tutakuchoma Ali wwww
Kijana hana adabu😂😂😂
Shemeji mwenyewe asumbuwa na amechoka kama swara
Nikubaya😂😂😂
😂😂😂
Kijogoo wa mtaa muoga kweliii !
😂😂😂 sema jamaa anambio
Kulalina mzee umechemsha mwakatobe sasa wamuoa mtoto wa shule
Babu mali yako yaibiwa spare na tool box imekufaaa
Gari lako thamani waja walipandia gari 2 iweje nyie wapande njia
Babu jinga
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
🙏🙏