Mtumishi! Hongera kwa huduma.........hakika elimu unayoitoa ni elimu inayohitajika, kwa kizazi hiki cha mapokeo; Nimepata taarifa utakuja Tukuyu K.K.K.T, karibu sana utulishe kondoo wa Mungu. Ubarikiwe sana.
Mungu aliye juu baba wa Yesu kristo akuinuwe, akulinde, sababu wewe ni Baraka kubwa saaana kwangu, hasa na kwa safari ya kwenda mbinguni. Barikiwa mutumishi wa Mungu
Mtumishi wa Mungu! Unanigusa mno!. Nabarikiwa sana sana na mafundisho yako!. Mungu aendelee kukujalia roho wake ili niendelee kupokea ujumbe wake kupitia kwako mtumishi wake. Nawezaje kupata namba yako mtumishi wa Mungu.
I would like to visit this church in TZ sijui namna kufika huko kutoka Nairobi. Mahubiri dhabiti kweli, mafunzo ya uzito na Mhubiri huyu ana maono ya kiroho ajabu. Anaongelea kinaga ubaga hali na misukumo ya maisha na injili. Ufafanuzi wake wa Neno ni wa hali ya juu. Barikiwa sana. www.samciceromusic.com
Hongera sana unaokoa huu ulimwengu kwajina lababa nalamwana amina
aki umeningusa n Mimi mungu anibandilishe kwa jina LA yesu kirsto🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mtumishi! Hongera kwa huduma.........hakika elimu unayoitoa ni elimu inayohitajika, kwa kizazi hiki cha mapokeo; Nimepata taarifa utakuja Tukuyu K.K.K.T, karibu sana utulishe kondoo wa Mungu. Ubarikiwe sana.
Mungu Akubariki mtumishi wa Mungu mafundisho yako niyamaana Sana.
Mungu aliye juu baba wa Yesu kristo akuinuwe, akulinde, sababu wewe ni Baraka kubwa saaana kwangu, hasa na kwa safari ya kwenda mbinguni. Barikiwa mutumishi wa Mungu
Nabarikiwa Sana na baubiri yako baba
Nimebarikiwa sana,mungu akubariki sana katika huduma
Asante sana mtumishi
Kaka ubarikiwe sana, mahubiri yanafundisha Nyanza zote za maisha.. Asante sana
Amen, Mchungaji unafundisha maneno yaukweri. Napenda sana mauhubiri yako.
Ubarikiwe na mungu
Ubarikiwe kwa Kaz yako njem
Mmh!kweli nyumba za Mungu zinatusaidia saana kutulekebisha.
Mungu azid kkpa kipawa cha kufundisha nasi tufundishike.
Yohana busega hapo hapo pastor
Mchungaji nakupenda sana kwa mahubiri yako mazuri sana Mungu atusaidie
Mtumishi na barikiwa sana n mahubiri yako mungu akubariki🙏🙏🙏🙏
Asante baba azidikukupa maarifa zaidi ya kukujuza maisha tunayoishi majumbani mwetu sema baba tuponeee amen
Hubili kweli baba manawengne wanaogopa kusema kweli et watakimbiwa na washilika NAkupenda sana sana
God bless you mchungaji unatusaidia sana
Amina nabarikiwa sana
Jamani huyu mchungaji kiukweli nabarikiwa sana anasema ukweli amung,unyi maneno,wewe tunapona mtumishi barikiwa mtumishi wa kweli.shujaa wa imani
Pastor you are wonderful God bless you I think you are also a good writer. I would love to read your inspirational books.
Ubarikiwe mchngaji,umeigusa familiya yangu kuhsu mimba
mungu akubariki baba
Asante Sana kwa mahubiri mchungaji
Niliiimic xn injili yako mgogo niliibiwa cm yangu
Barikiwa mtumishi wamungu mahubiri yako yananiibariki Sana mungu akuzidishie nakusikiliza kwa niia ya you t ub kutoka lamu kenya
Mtumishi wa Mungu! Unanigusa mno!. Nabarikiwa sana sana na mafundisho yako!. Mungu aendelee kukujalia roho wake ili niendelee kupokea ujumbe wake kupitia kwako mtumishi wake. Nawezaje kupata namba yako mtumishi wa Mungu.
Nimekukubari mtumishi kalibu mwanza utuinue kiinjiri
Injili safi kabisa mungu akuongeze nguvu kabisa.
Woow u touched me.... Am blessed with ur preaching mtumishi
Hakika mpaka Sasa nilipo ni kwa neema ya Mungu tu
Mtumishi Bwana aendelee kukutumia
Fact preaching. Bravo to Rev. Mgogo.
Mungu akubariki sana mchungaji
Asante kwa mahubiri mazuri Mungu akubariki sana.karibu ilomba
Amina ubarikiwe sema tupate kupona
Ubarikiwe
Amena ubarikiwe tunashika yetuu
muchungagi may Almighty God bless you and your ministry Amen
Ubarikiwe mtumishi
True those are American teachers. They try making it possible for every student.
Hongera sana baba
Aminaaaaaa
Kazi nzur mtumishi wa mungu
Nakukubal sana mtumishi wa Mungu, BALIKIWA sana
Ameni mtumishi, ubarikiwe
Haleluya barikiwa mtumishi wa mungu tuambiye tupone Ameen
Hongera mt wa Mungu
That's true papa...amen
Feeling blessed by the sermon
More Godly I'm blessed
Chapaijili mtumishi
Blessed
Ameeen mtumishi nabarikiwa sana
Ubarikiwe sana
Sema tupone Baba😁
Hii doze ni moto mchungaji
Mahubirii ina nibariki kabisa
Amina mchungaji
MGOGO WEWE UMELETWA NA MUNGU, MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU TENA APATIKANE MTOTO MMOJA ARITHI UCHUNGAJI AWE KAMA WEWE
Ubarikiwe baba
Ubarikiwe Mchungaji ukweli mtupu.
Barikiwa mchungaji
Asante mchungaji
Huwa napata raha kuwasilikiliza wachungaji kama hawa hangalii usoni,anakuletea Neno la kuponya
Amen toba ni must
Halleluya
Sema baba😂😂😂😂💃
uko vizuri sana
AMEEEN
Umenena kweli tupu
God bless you and us
Ameen
Sema tupone. Be blessed
Amina
Nawomba mucungaji uniyambiye kuhusu waye pendana
Injili toka shamba haiitaji chumvi au limao
Koffi Olomide
amen
🙏🙏🙏🙏🙏💯
Amin,amina mchungaji
Naomba kupata namba yako
Neema na maarifa zikuongoze !!?...Kenya...watamu.
1
I would like to visit this church in TZ sijui namna kufika huko kutoka Nairobi. Mahubiri dhabiti kweli, mafunzo ya uzito na Mhubiri huyu ana maono ya kiroho ajabu. Anaongelea kinaga ubaga hali na misukumo ya maisha na injili. Ufafanuzi wake wa Neno ni wa hali ya juu. Barikiwa sana. www.samciceromusic.com
Daaa hakika
Axantee .
Klla _
Nahita mafundisho ya miti mingi
Amen
Amen sema Baba tupone
Elimu ya gumbaro..sio ut..
ruclips.net/video/MvEZT6JUlXE/видео.html
Unaweza kubonyeza link ukaendea kubarikiwa
Mm mkenya ndugu anataka kumwuuwa ndugu yake mkubwa eti anajitafutia riziki maana angekuwa hapo mfano kuomba omba shetani huyo wa kukemea
Mti wenye matunda hahaha
Numéro yako
Mchukua video unaanza kujitahidi kuchukua,picture vizuri nenda kwenye sauti ikae vizuri
Pastor naomba namba yako
Ukweli ni sumu, it's better to be reproved.
Pwenti
Bwana Yesu akutunze
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😃😃🤣😃
😂😂😂😂
Eeeeimee mungu akubariki sana
Ameen
Amen
Amina
Amina
Amina
Ameen
Amen