Historia ya Rais aliyefariki wa Burundi Pierre Buyoya/ Kuzaliwa, mapinduzi ya kijeshikesi na mauaji

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 окт 2024
  • #PierreBuyoya #Historia #KifoChaPierreBuyoya ‪@DailyNewsDigital‬
    DailyNews Digital inakupitisha katika maisha ya Pierre Buyoya, ambaye Mwezi Oktoba, alihukumiwa kifungo cha maisha gerezani na mahakama ya Burundi kwa kosa la mauaji ya rais wa kwanza aliyechaguliwa kidemokrasia, Rais Melchior Ndadaye mwaka 1993 - ambayo yalisababisha mauaji ya karibu watu 300,000.
    Jenerali huyo mstaafu alihudumu mara mbili madarakani kwa jumla ya miaka 13, na kwakipindi chote hicho aliingia akifanya mapiunduzi.
    ‪@DailyNewsDigital‬
    Follow us on:
    FACEBOOK;
    SpotiLeo: / spotileo-176. .
    HabariLeo: / habarileo
    DailyNews: / dailynewstz
    INSTAGRAM;
    HabariLeo: ....
    SpotiLeo: ....
    TWITTER;
    Twitter HabariLeo: / habarileo

Комментарии •

  • @highthemetv7857
    @highthemetv7857 3 года назад

    ruclips.net/video/X7ONvSSKZLs/видео.html
    👆👆👆👆👆👆👆
    Kama ni muoga usifungue hii video😨 Tazama jinsi Kafara inavyotolewa hadharani watu wanachinjwa mbele ya camera 😭😭inatisha nimekuwekea video