KIMENUKA; DUDU BAYA AMLIPUA DIAMOND KWENDA NYUMBANI KWA P DIDDY, AFICHUA UCHAFU WAKE SHETAN KAMKIMBI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 ноя 2024

Комментарии • 189

  • @ditrickmligo
    @ditrickmligo Месяц назад +2

    Dahh Haleluya, hivi vijana kama hawa bado wapo hapa duniani!

  • @nassorali1034
    @nassorali1034 Месяц назад +5

    Subhanallah wallahi umeongea pwenti....inshaallah Allah akuongoe.... akuongoe

  • @nsengiyumvasamuel7139
    @nsengiyumvasamuel7139 Месяц назад +17

    Upo vizuli sana kwenye neno Dudu,nakupata vizuli from Burundi

  • @MohammedGayoye
    @MohammedGayoye Месяц назад +3

    Watu wenye busara na hekima kama hawa wapo wachache...Mungu akubariki Legend

  • @jimmytsenga3425
    @jimmytsenga3425 Месяц назад +6

    Big up sana Brother Dudu baya a.k.a KONKI MASTER.always on point.maximum respect,,Mwenyezi Mungu akubariki.wisdom is power.much love from 🇰🇪 🇰🇪

  • @felixBenos
    @felixBenos Месяц назад +23

    Tuko nyakati za mwisho,hivyo tumurudie mwenyezi Mungu tuwe naupendo,huruma na kuzitii amri za Mungu.

  • @ditrickmligo
    @ditrickmligo Месяц назад +1

    Sawa Mchungaji, ila anzisha kanisa bhana, Mungu akutumie shambani kwake

  • @oscanyakunga
    @oscanyakunga Месяц назад +4

    MUNGU ASIKUPUNGUKIE GODFREY TUMAINI🙏🙏🙏👏

  • @ramadhanissa6926
    @ramadhanissa6926 Месяц назад +2

    Uko sawa kabisa unasema ukweli mtupu 👏👍

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 Месяц назад

    MashaAllah Huyu baba akirudi kidogo tu nakutubu ni mtu wa peponi 🙏🙏🙏🙏.

  • @AllySamandua
    @AllySamandua Месяц назад

    Saf sana umeongea vitu nondo dudu baya ndiyo mana ukaitwa konk master.very nice dudu baya.

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 29 дней назад +1

    ELIMU yako ni nzuri kufundishia vijana wa leo, tena hasa ukiwa na nafasi hata utembelee magereza ukiweza fanya 😮

  • @jumabuckary7698
    @jumabuckary7698 Месяц назад +2

    Dudubaya mkongwe sumu unaongea vitu vya kweli kabisa 😢😢😢😢😢

  • @tinajohn6206
    @tinajohn6206 Месяц назад +1

    Mwamba, konki master👏👏

  • @DansonMtambi-fq2ff
    @DansonMtambi-fq2ff Месяц назад +30

    Dudu baya unaongea point sanaa, ila nakushauri usiwe unajirekodi ukiwa umelewa

    • @Yangaone-h8j
      @Yangaone-h8j Месяц назад +2

      Mtambi yaani umewaza kama nilivyowaza mm

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq Месяц назад +4

      Kwani ulevi wake hapa umejidhihirisha vipi? Kafanya nini hasa cha kilevi hapa?

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl Месяц назад +1

      Huyo anaonekana bilapombe hawezi kufanyakitu. Pombe ishamtawala mwilini

    • @Chilindima-ml9ow
      @Chilindima-ml9ow Месяц назад +2

      Sasa hapa amelewa????

    • @Chilindima-ml9ow
      @Chilindima-ml9ow Месяц назад +2

      ​@@Brunn-mh2bqoya big up snaaaa ujue wabongo tunakua tunafer snaaaa

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 Месяц назад

    Dude Baya, Asante Sana kwa mistari ya bibilia inavhoitolea mifano. Ayubu kwa mfano kateswa vibaya lkn hakumwacha.mungu akaponyeshwa

  • @SefuAbdalla-ng2zy
    @SefuAbdalla-ng2zy Месяц назад +2

    Nakukubali sana konk m sio kwenye mawaidha yakidunia na hata kwenye siasa pia upewe maua yko bro ,from 254

  • @Ax-xpress
    @Ax-xpress Месяц назад +19

    Mchungaji uko vizur sana ....

  • @LupatuMathew
    @LupatuMathew Месяц назад +8

    Dudu wewe ni mtu wa point sana unaongea ukweli mdau

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk Месяц назад +3

    Yaliojificha mungu atayaweka wazi

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 Месяц назад +1

    Takbry takbiry takibry wape darsa hawa wala rushwa waiba pesa wakati raiya wanateseka wao wanakusanya mali majumba magari mashamba ispokua vyote vitadamirika

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe Месяц назад +1

    Brooo umeongeaa point sanaaa

  • @Mpawenayofabien
    @Mpawenayofabien Месяц назад +6

    Ila dudu baya funguwa kanisa ww mchungaji unajielew ❤❤❤❤❤

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl Месяц назад

      😂😂😂😂 wakiristo bwana yeyeto a awaongoze hata Chapombe,hatachizi mnaongozwa nao. Munguawaongoze kwwnyehaki

    • @samwelpaulo1379
      @samwelpaulo1379 Месяц назад

      Acha udini ww

    • @woah.africa99
      @woah.africa99 Месяц назад

      Ujinga kila mtu kanisa huyo yesu lini alingia kanisani wakati alisali msikitini na misikiti ilikua kabla ya yesu mkumbule aliongelea ayob ayub maji la bwana lake liko oman sio kwa wazungu mjue mitume wote ni waislam mitume wote ni waislam amri 10 mbona kua msiabudu masanamu lla ila mzungu anawachongea na mnayabudu mzungu hana na bee

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl Месяц назад

      @@woah.africa99 wajinga hawa ndiyo.maananwanamkubaliyoyote..hatasijui hakili wanaxiwekagawapi .kilawakiongopewa wanafatatu daa hawaviumbe wakiristo ni mtihani Allah awaongoze. Waonikukubalitu.

    • @samwelpaulo1379
      @samwelpaulo1379 Месяц назад

      @@woah.africa99 acha udini na chuki
      Naona umejaa chuki sana sasa hiyo dini yako inakusaidia nn au ndio nyie mkiuanmtu ni thawabu kwa mungu wenu acha
      Dini ya waarabu hiyo

  • @adamswafi5149
    @adamswafi5149 Месяц назад +18

    Bro umeongea maneno mazuri

    • @KaburuKimath-eu5nf
      @KaburuKimath-eu5nf Месяц назад

      Cha ajabu wasanii wengi kama akinabmbaraka na wenzie walikufa masikini ila Hawa WA kisasi hiki Cha nyoko ni mabikioneya dah

  • @aaronswai3092
    @aaronswai3092 Месяц назад +2

    Dudu Baya mpokee BWANA Yesu awe BWANA na Mwokozi na ukahubiri Injili ya Yesu KRISTO!

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w Месяц назад +8

    Shetani hanaga urafiki 😈 kazi yake ni kuharibu na kubomoa

  • @Amospius-r3y
    @Amospius-r3y Месяц назад +1

    dudubaya fungua hekalu wewe ni mhubiri!❤

  • @jamilmaliq3868
    @jamilmaliq3868 Месяц назад +1

    Na didi zote hazina uhusiano na mwenyezi mungu pia ujuwa dini ni za kutoka Europe so unahubiri kenye mzungu alandika

  • @CharlesMbunda-og5tn
    @CharlesMbunda-og5tn Месяц назад +1

    Huyu kaka, anaongeaga point sana!!!

  • @SandeLigate-i8w
    @SandeLigate-i8w Месяц назад +1

    Dudu Baya hongera sana Mungu azidi kukupigania uko vizuri ni mfano mzuri kwa wasanii wenzio

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 Месяц назад +1

    KONKI TATU MASTER!

  • @BobErick-er6qm
    @BobErick-er6qm Месяц назад +3

    Kumbuka babake dudu alikua ni father wa catholic so damu ufwata mkondo ata ukwepe vp so dudu amejikuta asipojitarajia.

  • @GodsonLaizer-fx8by
    @GodsonLaizer-fx8by Месяц назад +1

    Dudu baya 🎉wewe sasa mungu anakuhitaji mana wewe pia pale mosco umefanya mengi
    Mungu akusaidie

  • @SaadiyaMohammad-og5bg
    @SaadiyaMohammad-og5bg Месяц назад +1

    Sio Dunia nishitania binadamu ndiyo mashitania that's is true

  • @EmmanuelChaCha-l2v
    @EmmanuelChaCha-l2v Месяц назад

    Mungu akulinde Dudu Baya

  • @bupasworld7881
    @bupasworld7881 Месяц назад +4

    Mtoto wakiume unasuka unapa make up unadhan linda atakuepo

  • @BertinaMartinsAntonio
    @BertinaMartinsAntonio Месяц назад

    Nimeyakubali Sana manenoyako mze, from🇲🇿

  • @KamiliyaHamis
    @KamiliyaHamis Месяц назад +1

    Kweli kabisa point kubwa hiyo

  • @ERNESTUTONGA
    @ERNESTUTONGA Месяц назад +1

    Ukosawa kamanda

  • @gideonkapange3905
    @gideonkapange3905 Месяц назад +1

    He is talking sense!!!

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s Месяц назад +7

    Kweli dunia ya shetani sasaivi haina shaba tunayaona

  • @AbasiMataka
    @AbasiMataka Месяц назад

    Brother upo sahihi sana

  • @chrisdeoglatias8665
    @chrisdeoglatias8665 Месяц назад +3

    Dudu uko vzr kwny Neno ila naomba mawasiliano yko tuongezeane maarifa!

  • @HurumaeldaudMakala
    @HurumaeldaudMakala Месяц назад

    Nakubali Sanaa Kaka baya the dudu....

  • @AmisamauridNgagada
    @AmisamauridNgagada Месяц назад +1

    Sisi tunaomfuatilia kaka yetu Godfrey Tumaini a.k.a Dudu baya konki mamba alishayasema haya mambo kabla hata sakata la huyu p did hajapatwa na Tuhuma hizi namnukuu Kunawasanii wanapigwa miti 😂😂😂😂😂😂 sababu wanatamaa ya mali acha wapigwe miti😂😂😂😂😂😂

  • @evelinambewe2835
    @evelinambewe2835 Месяц назад

    Nzuri mtumishi Mungu akubadirishe utumikie kanisa

  • @nassorntandu4513
    @nassorntandu4513 Месяц назад

    "mpaka akupige miti" 😀😀😀😀😀

  • @plionasali8856
    @plionasali8856 Месяц назад

    Dudu baya yupo juu anaongea vizuri sana n point kama zote..

  • @peaceconsltd6914
    @peaceconsltd6914 Месяц назад +1

    Kama huna tamaa unge--- godoro Morogoro?.

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s Месяц назад +5

    Soma comment dudu😂

  • @IssaBacar-i2i
    @IssaBacar-i2i Месяц назад +4

    Mimi huwa ninawambiaga yakwamba tanzania hakunaga mwana harakati kama Dudu Baya oya eeh oya eeh sichekeshi ujue konki 3 master

  • @BduniaNengenenge
    @BduniaNengenenge Месяц назад +1

    Dudu namkubali sana huyu mwamba

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 Месяц назад +6

    😂😂😂❤❤YOU WARCH YOU ARE BARK.

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 Месяц назад +1

    Dudu uko vizuri konki ktk dini😊

  • @letajirsimba
    @letajirsimba Месяц назад +1

    kiufupi shetani ni malaya,hana demu mmoja😁

  • @RebecaMackenzi
    @RebecaMackenzi Месяц назад +1

    Dudubaya anawashinda hata baadhi ya wachungaji kwa kusema ukweli. Mungu atusaidie na vizazi vyetu kwakweli jamani🙏

  • @cidewashington670
    @cidewashington670 Месяц назад +6

    Kumeanza kuchangamka yajayo yaratushangaza

  • @elijahsaro6611
    @elijahsaro6611 Месяц назад +2

    Huyu jamaa mwisho atakua pastor

  • @MakaveliErnest-sj1tr
    @MakaveliErnest-sj1tr Месяц назад +10

    mm kuna xk niliend kwa mganga hiyo siku nilitak kugongwa na gari tangu hapo nilirud kanisan.

    • @Daniel-g2f6v
      @Daniel-g2f6v Месяц назад +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @chrisdeoglatias8665
      @chrisdeoglatias8665 Месяц назад +1

      Ha ha haaaa! Unabaht sn maana wagnga wakiona mteja alokuja ana nguv, kipaw au bahati wnyew wanaita nyota yeye au shetan humuamuru akuibie hcho kipaw au km n mteja sn bc yale mapepo ya utmbuz yanakuingia nawe uishie kuw mgnga au mchaw ndy maana waenda kw wagng weng huishia kuw wgnga au wachaw.

    • @joshuaandrew386
      @joshuaandrew386 Месяц назад

      ​@@chrisdeoglatias8665😂

    • @RestitutaNjau-k8x
      @RestitutaNjau-k8x Месяц назад +1

      😅😅😅😅

    • @MustyNgongo
      @MustyNgongo Месяц назад +1

      Duu pole xnaa

  • @AbdulkingMswaty
    @AbdulkingMswaty Месяц назад +4

    Uyu mwamba anaongea point san

  • @mussahamimu8030
    @mussahamimu8030 Месяц назад +1

    Huo ni ubaya tu kwani siku zote milikuwa hamujui anayoyafanya leo ndo mnaanika ? Nyote ni wale wale

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 Месяц назад +3

    Xawa kabisa konk tatu ...una ongea na maandiko...uko vzur😅

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 Месяц назад +1

    Watanzania huwa wanajifanya hawaelewi dudu baya anavoogea kwavile ushetani umewatawala

  • @GraceKente-l2c
    @GraceKente-l2c Месяц назад +1

    Nampendaga konk sana

  • @nixonmudengani7188
    @nixonmudengani7188 Месяц назад

    Ambia Dudu Baya Snoop,Dre,Eminen,Nas,Buster, Tupac Biggy wote ni magent hakuna mtu mzuri huko siku hizi braza

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f Месяц назад +3

    Wameliwa😂😂tu kwa tama zao😂

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 Месяц назад

      Hata Kama mimi tako Kama la mwijaku aisee nisingeliacha.

    • @DavidSemu-gu6wp
      @DavidSemu-gu6wp Месяц назад +1

      Dah! Hiyo NI dhamira ndugu yangu Kwa Mungu umesha mlawiti,omba toba.

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 Месяц назад

      @@DavidSemu-gu6wp mimi napenda kweli matako ila ya wanawake

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 Месяц назад +2

    Mmh dunia si mahali salama kea ss

  • @GoodluckGodfreyNgomuo
    @GoodluckGodfreyNgomuo Месяц назад

    Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @SuleimanNyawa
    @SuleimanNyawa Месяц назад

    Sisemi kitu broo uko sawa.

  • @nassorntandu4513
    @nassorntandu4513 Месяц назад +1

    Dunia iko kwa shetani" hilo nakubali sana maana Shetani amepewa mamlaka makubwa sana na Mungu na Yeye Shetani ameahidi kuwahadaa na kuwapotosha kundi kubwa!
    Ulawiti unaofanywa kwa watoto sasa ni katika kazi ya shetani na wengi wameamua kumfuata shetani.

  • @teddymgimwa7547
    @teddymgimwa7547 Месяц назад +1

    Fadhaa upo shh

  • @PrincepiusTarimo
    @PrincepiusTarimo Месяц назад +2

    Dudu baya ndounafaa kuitwa Simba sio uyo mshenzi alio toka kwa PDD alafu anasema kunavitu vingine walifanya avikufaa kupost

  • @neemamabena-xx5er
    @neemamabena-xx5er Месяц назад +1

    Aminaaaaa❤❤

  • @MmangaHamadMmanga-p3k
    @MmangaHamadMmanga-p3k Месяц назад

    Dudu baya umetisha kinoma

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s Месяц назад

    Nakuelewa sana mzee dudu

  • @NihimbazweBeniste
    @NihimbazweBeniste Месяц назад

    dudu baya kweli we nimchungajii kbx

  • @edbertyustack1598
    @edbertyustack1598 Месяц назад +1

    Genius dudu

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 Месяц назад

    Sahihi kabisa

  • @birorichantal3610
    @birorichantal3610 Месяц назад +1

    True

  • @FilbertRobert-e4u
    @FilbertRobert-e4u Месяц назад

    Duuuh! Kwa sasa Shetani amejichanganya na Raia

  • @MAGOLIYAMBALIKILAVIRE
    @MAGOLIYAMBALIKILAVIRE Месяц назад +1

    DEREVA BAJAJI KWADIWANI KIPUNGUNI UKONGA DUDU BAYA HATARI MNO AMENENE VIBAYA MNO KIUKWELI HUYU JAMAA YUPO VIZURI

  • @davidwatson6821
    @davidwatson6821 Месяц назад +3

    Mchungaji mtarajiwa🔥🔥🔥

  • @jamilmaliq3868
    @jamilmaliq3868 Месяц назад

    Dudu mbaya wacha uwongo kuongeya usicho juwa . pi Didi ni amesaidiya wasani wengi wa ki Africa na hii ni vita ya kumaliza legacy ya wafrica

  • @AidaRaphael
    @AidaRaphael Месяц назад

    ❤❤❤ Hakikaa ni injiri ya kueleweka idiot na makunyanzi, barikiwa dudu.🎉🎉🎉

  • @Rennyanselim
    @Rennyanselim Месяц назад

    Huyu dudu kaingia kwenye ushauri au maana atumuelewi

  • @DorisZephania-ci8ym
    @DorisZephania-ci8ym Месяц назад

    Sasa si uokoke tuu mbona una faa kuhubiri Injili?

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s Месяц назад +3

    Shida wazazi tumekua watafutaji hatuna muda wa kulea

  • @theophilmakumbuli
    @theophilmakumbuli Месяц назад

    Amina baba

  • @NikoMachandaiza
    @NikoMachandaiza Месяц назад

    Nakukumbuka aisee tangu Ile nyimbo za amlu kumi za Mungu

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 Месяц назад

    Wafahamishe inawezekana vijana wengi tanzania kesha tuharibia inawezekana vipi kijana utoboe pua huyu mzee mwenzangu inatakiwa tumsapoti ili kuwapa darasa vijana tunamashaka vijana wengi kawatafuna

  • @TysonAugustinoSimba
    @TysonAugustinoSimba Месяц назад

    Kaka mkubwa wewe ninoma mungu akubariki

  • @EspoirBudade-on9ef
    @EspoirBudade-on9ef Месяц назад +2

    Engover imeisha dudu

    • @samwa9496
      @samwa9496 Месяц назад

      Ya cocaine au pombe

  • @CaisseMalatinho
    @CaisseMalatinho Месяц назад

    Machoga Top 3: Juma Mlokole, Dulvani na Baba Levo

  • @pastoreliya663
    @pastoreliya663 Месяц назад +2

    Dimondi anataka kuzaa mtoto wa P didy ,ili alithi Utajiri Hahaha chezea illuminati tofauti ya Dimondi yeye ni Freemason P Didy ni illuminati ,ni chama tofauti ila kazi zao nimoja kuna uchawi wa maraekani na Uwalabuni king dom ,

    • @ramadhanwilbard8196
      @ramadhanwilbard8196 Месяц назад

      Uchawi huko kila kona ya dunia ndiyo maana nchi namba moja kwa uchawi duniani ni Romania,kwahiyo jitahidi kuelewa kwanza unachokiandika.

    • @user-to6up4hg2w
      @user-to6up4hg2w Месяц назад

      ​@@ramadhanwilbard8196 thats true

  • @hamidsalmin4810
    @hamidsalmin4810 Месяц назад

    Dudu baya nina kupenda kwa ukweli wako, wewe unajuwa mengi kuhusu usanii na kutaka umaarufu. Ni bora ume toka. Na kukubali sana bro.

  • @PrincepiusTarimo
    @PrincepiusTarimo Месяц назад

    Dudu baya anasema ukweli sana

  • @leonardmwayeya13
    @leonardmwayeya13 Месяц назад

    Dudu baya famiriya Yako ikowapi kutwa kucha yawatu wire na dadaake shuhurikia famiriya Yako wewe nibaba wawasani mbona wakubwa wenzio hawana ujinga huwo

  • @SareheAbdala
    @SareheAbdala Месяц назад +1

    Ukopw sana

  • @Jeremiatitomawala
    @Jeremiatitomawala Месяц назад

    Uko saw kaka

  • @miltonmusictv7626
    @miltonmusictv7626 Месяц назад

    Dudu anaongea na ujasiri mkubwa sana