BALAA LA MISSO MISONDO NA MADANSA WAKE STUDIO ZA EFM

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 779

  • @shannarsaidSwahili
    @shannarsaidSwahili Год назад +114

    Singeli huenda ni mziki mkubwa saana kuliko Amapiano🔥🔥🔥🔥

    • @shabanimudi
      @shabanimudi Год назад +3

      Nakubaliana na wewe

    • @salumuseif3324
      @salumuseif3324 Год назад +2

      yah njoo uswaz uone

    • @feyxalbarry4595
      @feyxalbarry4595 Год назад +5

      Shida hatujui kubrand vyakwetu mm Huwa nakaa kujiuliza tunatafuta mdundo wa Taifa wakat tuna singeli haiimbwi popote Zaid ya tz Sasa Kwa Nini tusiifanye kuwa ndio ya Taifa kma ilivo amapiano Kwa sauzi

    • @ExseviaSamwel
      @ExseviaSamwel Год назад +1

      Exactly 💯 hasa kupitia creativity za aina hizi👍👍

    • @stevengeorgetibenda1647
      @stevengeorgetibenda1647 Год назад +1

      lakini akili zetu zipo makalioni tunajua kugeza za wenzetu mara amapiano mara kwaito

  • @sharafimohamed5937
    @sharafimohamed5937 Год назад +128

    Kama unaamini huyu jamaa mwamba like hapa 😊🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @rechokizumbe7314
    @rechokizumbe7314 Год назад +184

    Sipendi mziki ya hivi ila kupitia huyu kaka nimejikuta namfatilis Sana Mungu akutangulie Inshallah ❣️

    • @shyfettymtunda4619
      @shyfettymtunda4619 Год назад +9

      Mimi pia jamani.😂😂😂😂We Miso Misondo

    • @emilianapaskal7319
      @emilianapaskal7319 Год назад +7

      Kumbe tuko wengi

    • @denicymichael6284
      @denicymichael6284 Год назад +7

      Eh misso misondo UmepigajeAPO!🧐🥳🕺🏻🕺🏻🕺🏻⌨️⌨️🔥🔥

    • @jeremiapeter683
      @jeremiapeter683 Год назад +10

      Mimi napenda hapo Anapo sema.Ume pigajee hapo? Pacome wa Yanga.😂😂🙌🏿 mweeh!

    • @williamdetkvant1313
      @williamdetkvant1313 Год назад +5

      Hyo ndio unatuonyesha utamaduni wetu

  • @clementmdoe2211
    @clementmdoe2211 Год назад +83

    Hakika Majizzo anajua vipaji. Chalii amekuja kuongeza kitu hapo Efm. Big up sana bro Majizzo kwa kuinua vijana

    • @zeddymourice4249
      @zeddymourice4249 Год назад

      Huyo dj sio wa efm bhana,wamealikwa hapo ndio dj kapewa mashine akiwashe.

    • @imanuelmkinga1294
      @imanuelmkinga1294 Год назад

      @@zeddymourice4249 bro kashapewa kazi anakipindi Kila jumanne

    • @laurentmbuya5882
      @laurentmbuya5882 Год назад

      ​@@zeddymourice4249nadhan watakuaa wamemuajirii awaez achaaa ela kama iyo ipiteee kizembe jamaa ni elaa tupuuu saivi uyooo😂😂😂😂

    • @MejaBoy
      @MejaBoy Год назад

      Hatali

  • @esterdavid4190
    @esterdavid4190 Год назад +32

    Bongo ukiwa serious mafanikio utachelewa sana big up misso

  • @victoriacharles2053
    @victoriacharles2053 Год назад +60

    Anafanya udj kwa feeling inaonesha n kitu anakipenda big up misso🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ShaziliMilanzi-oq8xj
    @ShaziliMilanzi-oq8xj Год назад +43

    Aiseeeh Kila kitu na wakati wake now ni wakati wako bro mungu akubarik sana na abarik kazi ya mikono yako🙏🙏

  • @Joekwid960
    @Joekwid960 Год назад +35

    Talent 100%
    Good Music 100%
    Vibe 100%
    Makoti 100%
    Vumbi 0%

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 Год назад +46

    yani awa madansa wake me ata awanichoshi kuwaangalia wananipa rahaa apo limekosekana vumbi tu panoge zaidi 😂😂😂

    • @UmmyZakiah
      @UmmyZakiah Год назад +1

      Itabid hii show irudiwe halaf wachezee pale nje tuone vumbi😂😂😂nyiee Raha sana

  • @RamadhaniAlphani-j6g
    @RamadhaniAlphani-j6g Год назад +46

    Huyu mtoto anahatari sana hongera majizo huyu mtt ataisogeza sana singel

  • @mosesregnald7117
    @mosesregnald7117 Год назад +38

    I really appreciate him,thankyou Mr Majizzo for realizing his potentials

  • @paulndomba1247
    @paulndomba1247 Год назад +34

    Another biggest star in the music industry is taking over 2024

  • @williamgeorge-hd2tn
    @williamgeorge-hd2tn Год назад +85

    When you get a chance do it to the fullest..normally golden chance can not come twice. Bigup nigga❤

  • @harounreg1137
    @harounreg1137 Год назад +33

    We misso missondo!! Umepigaje hapooo 🤯🤯🤯💣💣💢

  • @kaizerabilahi5958
    @kaizerabilahi5958 Год назад +17

    Wakusini tuna weka hapa like zetu jaman 😂

  • @susanlazaro8956
    @susanlazaro8956 Год назад +25

    😂😂😂😂😂Vionjo vyake vimemfanya watu wamfatilitilie utafika mbali mdogo wangu Misso🔥🔥🔥🔥🔥

  • @kassimkambi7122
    @kassimkambi7122 Год назад +41

    Much love from Nairobi Kenya 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @hyasintndimbo2998
    @hyasintndimbo2998 Год назад +22

    NIlijua tu hapo EFM patawakaaa😅,, Basi hii IMEENDA.... UMEPIGAJE HAPO

  • @abduratifu5802
    @abduratifu5802 Год назад +28

    Aiseee mwamba anajua sana kucheza nahizo keyboard bgup sana wakati ni wake huu weeeh misso unapigaje hapo🏃🏃🏃ngoja niwahi efm kumenoga huko no🔥🔥🔥

  • @EmmanuelJeremiah-r2s
    @EmmanuelJeremiah-r2s Год назад +17

    🎉🎉Nimeanza kuuelewa huu mzk kuptia dogo miso

  • @FarajiMwichande
    @FarajiMwichande Год назад +11

    Aiseee nimefurah san nilijua wazee wamakot wataachwa nawapenda mnooooooo❤❤❤

  • @BarakaAlaka
    @BarakaAlaka Год назад +10

    Big up bro your very talented and you love what your doi it when you get chance use to shoo poeple what you have ilove you broo we are together never give up

  • @innocentswai6239
    @innocentswai6239 Год назад +16

    Ukiwa gym ukiskia hii mixing hakika hauchoki vibe kama lote

  • @damianmhagama4398
    @damianmhagama4398 Год назад +13

    Hiki ni kipaji halisi nakuombea kwa Mungu usonge mbele

  • @Chrishenryson-beats
    @Chrishenryson-beats Год назад +27

    Anavyopiga hilo piano ni balaaa❤❤❤

  • @kassimkambi7122
    @kassimkambi7122 Год назад +30

    Sijawai sikiza fm za bongo lakini Leo nimesikiza juu ya huyu DJ🔥🔥🔥🔥

  • @nasra_gettoflower3880
    @nasra_gettoflower3880 Год назад +36

    Nilikuwa na stress zimekata ghafla baada ya kusikia kichina😂

    • @EmmanuelMtwale-nu3eo
      @EmmanuelMtwale-nu3eo 11 месяцев назад

      An nlsoma comment ako kabla sjackiza kchna chenyewe, an nmeskiza ad merud tucheke ote😂😂😂😂😂

  • @alfanifaraji
    @alfanifaraji Год назад +39

    Love from Namibia 🇳🇦🔥

    • @noelkabaila3284
      @noelkabaila3284 Год назад +3

      🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 Год назад +39

    Dancers wa moto sana they don't care about the camera and steps wako free wanakidimua safi tu kinachokosekana hapo ni vumbi tu 😂

  • @DULLAMWEMA
    @DULLAMWEMA Год назад +57

    Mtoto wa chigugu masasi unaweza sana

  • @rockycity7213
    @rockycity7213 Год назад +9

    Aiseee misso we unaweza kijana wetu keep it up man 🔥🔥💖🎉🥀

  • @azizymachadeson3577
    @azizymachadeson3577 Год назад +7

    Hapo ukiwaachia lisaa mama angu ukikuta Tile's niite mmbwa nmekaaa apa ani fumbi lisipo timka 😂😂😂😂 ni tope la volkano

  • @jamilamsafiri2501
    @jamilamsafiri2501 Год назад +32

    Nawaza tu pasije pakatimka vumbiiii apo we misoooo weeeeeeee 😂😂😂❤️❤️❤️❤️❤️❤️

    • @rechokizumbe7314
      @rechokizumbe7314 Год назад

      Umewaza kama mimi🤣🤣🤣

    • @alfredymalata269
      @alfredymalata269 Год назад

      😅😅😅😅 Ndio nilichowaza wamewanjima vibe lao la vumbi 😊😊

  • @barakaleader1550
    @barakaleader1550 Год назад +11

    Aiseee God knows how to bless his people banange

  • @allyramadhani7293
    @allyramadhani7293 Год назад +5

    Aaaah uyu dj nifundi atasumbua sana aiseee anakosha watu 👍👍👍👍👍

  • @deejaybiko2800
    @deejaybiko2800 Год назад +5

    Nakupa maua yako ungali mzima @misondo big up ❤❤

  • @joshuamuro9494
    @joshuamuro9494 Год назад +3

    Amapiano now bye bye through the heavy weight dj MISO MISONDO

  • @mpjozzegalvanize4926
    @mpjozzegalvanize4926 Год назад +16

    Sema EFM mmesahau ungemwaga udongo kidogo, lile uongeza vibe😂😂😂

  • @madukaj.j.6999
    @madukaj.j.6999 Год назад +15

    Huyu dogo Mtata sana kwenye hii mambo

  • @PeterWillypnk
    @PeterWillypnk Год назад +4

    ❤❤❤❤❤ Safi sana Misso Una Atareee mwanetu...Wakati wako Now Mungu Akubaliki Kazi zako Ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @abelimaganga417
    @abelimaganga417 Год назад +5

    Maana halisi ya uniqueness ndo kama hivi vibe kama loteee

  • @cleopajackson9934
    @cleopajackson9934 Год назад +17

    😂😂😂Nimeanza kupenda Singeli ghafla Ee Mungu nisamehe Mbwa mimi😢😢

  • @emanuelrais2950
    @emanuelrais2950 Год назад +8

    𝐌𝐈𝐒𝐒𝐎 𝐮𝐦𝐞𝐮𝐚 𝐁𝐚𝐛𝐚 🎉

  • @MchomvuSuphiani-sl8ei
    @MchomvuSuphiani-sl8ei Год назад +14

    Mwamba Sana kipaji ✅ nmeipenda

  • @sharifabahar9905
    @sharifabahar9905 Год назад +8

    😂😂😂😂jamaa alievaa kofia nyeusi namkubari sana

    • @Cambarada
      @Cambarada Год назад

      😅😅umeanza ku-sort mmoja mmoja

  • @filipejohnchuma1985
    @filipejohnchuma1985 Год назад +36

    Mais força Misso Missondo💪 Deus te abençoe ❤🇲🇿

  • @Mapatina
    @Mapatina Год назад +6

    Efm munaweza sana kufikilia Danger music Apa

  • @EdsonMwandikile
    @EdsonMwandikile Год назад +1

    Sifa zote apewe mkurugenzi mtendaji wa efm & tve big boss majizzo kwa kazi anazo fanya kuinua vipaji ❣️❣️❣️

  • @nurdinibrahimu7312
    @nurdinibrahimu7312 Год назад +5

    Unyama sanaa misso na wajuba wa Makoti Raha ya ngoma wachezaji🏃🤸🤾🤣🤣💯🤝

  • @ShadidaIssa-u7z
    @ShadidaIssa-u7z Год назад +13

    Wa kwetu❤❤❤❤❤❤nakupenda tu jamn missooooo❤❤❤

  • @petrowashale1891
    @petrowashale1891 Год назад +13

    Hapo alipotia kionjo cha gospel 🙌🙌🙌🙌

  • @wakunatahafai1969
    @wakunatahafai1969 Год назад +7

    Toto bad hili sijaona Dj kumzidi huyu mwamba aroooo😳😳😳🙌

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar Год назад +22

    Nawapenda balaaaaaaaa❤❤❤❤❤

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 Год назад +6

    Vaibu la kutosha 🔥🔥💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼Nimewapenda❤️❤️❤️❤️❤️Mungu azidi kuwafungulia mfike mbali🤲🏼🙏🙏

  • @leonardroya6299
    @leonardroya6299 Год назад

    Kumbe Tanzania tunamuziki wetu mzuri ispokuwa tunapenda vyawatu tu mbona muziki huu utoka kimataifa tuache kuiga

  • @fbensony
    @fbensony Год назад +3

    Hongera kijana umejitafuta umejipata na unajiweka sehemu sahihi kwa kipaji chako

  • @maishamapenzimikasa7149
    @maishamapenzimikasa7149 Год назад +5

    We Miso missondo umepigaje hapo💪🏽💪🏽💪🏽 Big up sana

  • @husnaabdullah3009
    @husnaabdullah3009 Год назад +7

    Oya weeeee mshamba uwez kuelewa💃💃💃💃💃

  • @subiraaddo864
    @subiraaddo864 Год назад +2

    Miaka hii talents kwa vijana wadogo zimekuwa nyingi sana Tz lakini bahati mbaya baada tu ya kuonekana na vipaji vijana wanajisahau na kujiingiza kwenye maisha yaliyojaa michanganyiko na hekaheka za huu ulimwengu yanayowapa stress na kupoteza maisha yao kwa depression😢 vipaji vinapotea wakati watanzania bado tunavihitaji 😥, huyu dogo ana talent kubwa sana ushauri wangu usijichanganye na mahangaiko ya ulimwengu stay focused linda afya yako na epuka depression, utafika mbali sana🎉🎉🎉

  • @mohamedihatibu3524
    @mohamedihatibu3524 Год назад +1

    ÙNYAMA SANA ,uyu mpeni show ya nchi nzima aisee ,mtapiga pesa sana @EFM

    • @EzzyEddy-il3ce
      @EzzyEddy-il3ce Год назад

      Wazo Zur nshawah kutoa comment ya hivyo kwamba jamaa aandaliwe shows za mikoan kwa hisani ya EFM watapiga hela

  • @AllyMasoudi
    @AllyMasoudi Год назад

    We Miso umepigaje apo unakipaji utafika mbali kilinde kipaji chako nacho kikulee kwenye maisha yako mashabiki zako leo hatukudai umetuletea wanetu wa makot imekua pw wik iliyopita ulikua unahojiwa kuhusu wazee wa makot ulijibu kua watakuja unafanya maandaliz leo kweli tumewaona hongera ata leo mwenyewe nakuona unavaibu la hatar wanao wamekuja

  • @MrishoMakamba
    @MrishoMakamba Год назад +1

    Miziki yetu hii ya kwetu kivyetuvyetu daah nakumbuka vigodoro so poa miso una mizuka balaa sample atarii 🙌🙌🙌

  • @SWAUMUJOHARI-e3e
    @SWAUMUJOHARI-e3e Год назад +3

    naangalia Kazi zako kwa tabasam zitoo huku nikitingisha miguu na kichwa😊🤝💪💪 congratulation

  • @Patrickmcharo63
    @Patrickmcharo63 Год назад +2

    Watching live from Kakuma Japani

  • @zahrababygarl1568
    @zahrababygarl1568 Год назад +2

    Hii kubwa sana efm Mwenyezi Mungu awabariki sana ❤❤😊

  • @charleschito6341
    @charleschito6341 Год назад +4

    Ebna Home BWAY kongole za kucheba, kweli wakati huwa unatoa maamuzi na ndio umefika kwko.... poa sna

  • @JumaMohamedeLaisse
    @JumaMohamedeLaisse Год назад +1

    Misso força aí meu jovem,umepigaje hapo?

  • @charleschito6341
    @charleschito6341 Год назад

    JWa kumusi, wa kumui "Home bway umedhihirisha ufundi tosha kwnye kuamsha....bless bless

  • @SaniaMustapha-w7c
    @SaniaMustapha-w7c Год назад +1

    2020 nilikutana nae ndanda alinifanyaa na Mimi nichezee bila kupendaaa

  • @emmanuelkyandochali990
    @emmanuelkyandochali990 Год назад +4

    That young man may god always bless him

  • @DannyMasuka-ut4oq
    @DannyMasuka-ut4oq Год назад +7

    We miso misondo umepigaje apo hunyahiya🤣🤣🤣🤣🤣

  • @JosephJohn-zz1yk
    @JosephJohn-zz1yk Год назад +1

    Misso Ivo mwanang nikiwa nmm dj katoto nyambe mtwara❤❤❤❤

  • @yustnersergio5394
    @yustnersergio5394 Год назад

    Nimejikuta naanza kuupenda huu mziki hongera kijana....

  • @Museveniseverine
    @Museveniseverine Год назад +7

    Mwamba yupo vizuri kwa mix

  • @carlitacelestino5548
    @carlitacelestino5548 Год назад +12

    Deus abençoe irmão 🇲🇿❤🔥🔥

  • @kijonalusay
    @kijonalusay Год назад +15

    lOve These guys

  • @ShafiiDafaa
    @ShafiiDafaa 11 месяцев назад

    Oya nakubali mzee unaweza

  • @goodlucknjau77
    @goodlucknjau77 Год назад +13

    Ume pigaje apoo ❤❤😂😂😂

  • @mshuatz3923
    @mshuatz3923 Год назад

    Hunyiiiii hihoooo hunyaahaa hihoooooo uoni uongooo😊😊😊🥰🥰🥰

  • @shomiydizo7573
    @shomiydizo7573 Год назад +2

    Jamaaa anablaaaa sana heshima yakoo majizo

  • @AmirKassim-vq8th
    @AmirKassim-vq8th 8 месяцев назад

    Mmmh aisee misso 2seme2 umetixha ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @abubakarkimonge
    @abubakarkimonge Год назад +4

    nakubali vibe miiiisooo

  • @darhustler
    @darhustler Год назад +1

    All the best to Misso na wanae, 100% is good

  • @idreamfoto
    @idreamfoto Год назад +1

    Msenge Hapoi 🔥 🔥🔥🔥🔥🔌

  • @maikomatayo2794
    @maikomatayo2794 11 месяцев назад

    miso misondo umepigaje mungu ibariki popote ulipo akuongesee kipaji chako saidi ❤❤❤❤

  • @ERA.P01
    @ERA.P01 Год назад +7

    That's great, All the best bruh!

  • @LPBRANDSTUDIO
    @LPBRANDSTUDIO Год назад +8

    yani video za miso ndio zina Views wengi kuliko zingine😂😂😂😂 weeeee Misso Misondo Umepigaje Hapooo

  • @aaminaasljbgbvf745
    @aaminaasljbgbvf745 Год назад +7

    Kumekuchaweeeeeeeeee😂😂😂 sutdo kuna kunatifuka vumbiiiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @brazzalicius
    @brazzalicius 9 месяцев назад

    From Congo with Love 😍🔥🔥🔥

  • @kennedyjomo9255
    @kennedyjomo9255 Год назад

    Dj akona vibe kushinda mziki wenyewe sio

  • @leilasalum5918
    @leilasalum5918 Год назад

    Me mwenyew nimempenda gafla karibu moro mji kasoro bahari

  • @mpetaamarijani2656
    @mpetaamarijani2656 Год назад +1

    Aisee we majizo endelea kuongeza thamani ya vipaji daah misomisondo ...

  • @AishaAloni-j9z
    @AishaAloni-j9z Год назад +1

    Mpaka rahayaani hongera Sana kijana😆

  • @musaamuj
    @musaamuj Год назад

    Dah kali sana kenya 🇰🇪 tumeikubali, misso misondo umepiga aje hapo lakini

  • @HajiMbange
    @HajiMbange Год назад

    NAKUBALI KUPITIA TALLENT YA DJ MISO SINGELI TUTAIPANDA WENGI SAANA, MZIKI MZURI MIX ZAKE.

  • @joakimndanga1170
    @joakimndanga1170 Год назад +2

    Kama umesikia kichina jipige kifua😂😂😂 misso misondo🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mondigugo4392
    @mondigugo4392 Год назад +3

    Mungu akupe uwezo mwingine kwa Kaz yako

  • @suleimanawadh8777
    @suleimanawadh8777 Год назад

    Noma sana dogo anajua uwo ndio ikwer limekosa vumbi kiwake zaid

  • @antonyslivesta5343
    @antonyslivesta5343 Год назад

    Yani utafikili ile ndge ya jadu imerudi kumchukua jadu mwenzao ❤jamaa wametisha sana sna sna wamefata dj wao bwana dj kuwaona vijna wake vbe kama lote

  • @FikiriMaziku
    @FikiriMaziku Год назад +9

    Nilikua sjawah kuwaza kama nitadownload singel kwenye sim yangu ila huyu dogo kanifanya nitake nyimbo yakwanza imekua yake unakitu dogo wasipo kuloga utafika mbak 😂😅😂😂 ilakama ningeipata hii mix wangekoma nalile sabufa lilivyo na kelele 😅😅😅 sema wanabahat