Muhina Fundi Anajua sana yaani kauvaa uhusika wake vizurii mno Ufundi wote Wa muhina kauonyesha kwenye hii episode noma sana huyu jamaa mungu amuweke sana.
Hii movie waigizaji wote. Ni noma wanabalaa zito kasoro yule kidari tu Ndo hana maajabu ile karata wangenipa tu Mimi ningemaliza kazi kwanza kidari gani watoto hata hawakomi apo mtaani ingekua ni kesi kila siku Leo nmepita na zaina kesho lusi keshokutwa rehema yaani watoto Wa kike wangefrahi Kidari bana badirika hujachangamka kabisa humu bana.
OYA HUYU MUHINA NI ATARI ANAJUA SANA KUIGIZAA NI FUNDI WA KUUVAA UHALISIA HONGERA SANA KAKA❤❤❤❤❤
Sanaaaa
Muhina Fundi Anajua sana yaani kauvaa uhusika wake vizurii mno Ufundi wote Wa muhina kauonyesha kwenye hii episode noma sana huyu jamaa mungu amuweke sana.
Muina ww ni nyoka mwenye sumu kali wah 😢😢😢
Team furus team kupambana team WiFi team kazi kazi amjambo nawasalimia 🇴🇲🇴🇲🇴🇲
😂😂😂😂
😂😂
Filam zenu zinapendwa sana jamani mpaka 🇲🇿 wanapenda pia jamani Hila musiwe munachelewesha kutowa jamani❤❤❤❤❤
Ndio maana napenda kazi yenu Tanu ...mnaachilia Kwa masaa mwafaka 👏👏 from 254 🇰🇪🇰🇪
Jaamani hili dude nikali kukiko ata sboy anakubali hilo like kwangu
Ww usifananishee snake boy na hii.
@@sekondianacletus4537acha usha biki hiii ni zaidi ya snkboy
😢😢😢sasa misigalo kimemkuta nnn muhina niharali hongeleni sana kazi nzr🎉🎉❤
Cjaipenda huyu muhina,I hope pia yeye yatamukuta
Uyu muhina anajua sana kuigiza anajua kuleta uhalisia
Da alima natamani hata ungekuwa dada yangu wa tumbo Moja jmn nakupenda bule dada karibu songea jmn❤❤❤
usijali nakupenda pia
@@halimaRashidi-vj7nb Asante dada
Anajua sana afu anamaono ya kesho huyu Dada mungu amuweke ni hazina ya taifa da haLima.
Nzuri sana hiyo ndio dawa ya ubaya mwina kula chuma hicho
Wangap tunaipend movie jmn #tunuplus+
Mwina naskiya simpendi mimi ningekuwa ningemnyonga kwamikono yangu mwina muuwaji mkubwa😢 maskini misigaro😢😢😢🇧🇮
Ni kweli mchawi hana huruma
hii move tanu nzuri sana na iko seriously sana ila mwina bonge la nyambisi
Hahaaaaaa mhina fire msiba mzito sana kwako maana anakufahamu kwa makoko na matandu🤣🤣🤣🤣🤣
Hamna waganga, nyie waganga gani kundi zima hamjui mbaya nani apo ndio inapokuja mana halisi ya igizo😂😂😂
Mupo vizuri sana hamcheleweshi❤❤❤❤
Siitaj like ya mtu na ole wake mtu alike
❤❤❤❤❤ vraiment je suis le premier depuis Congo
Naamin misemo ya zaman eti dawa ya Moto NI Moto mmm waongo Sana wahenga dawa ya Moto ni maji 😂😂muinaaaaaaaaaaa
Tanu le King 👑 unajua unajua mpaka unajua tena naona ukimpoteza hadi mwakatobe
Namm nimewahi leo nipewe like zangu msiwe na roho mbaya kama muhina 😂😂😂
Mimi nshachoka wallah tena kumfatilia mwihina na kumbuka haumbuki kazi kuvaa ngozi ya kondoo to😏😏😏
Dawa ya mkopo ulipwe na mkopo
Aisee mhina uko vizuri, na ndio uhalisia wa watu wengi tunaoishi nao,,,
Jmn mi kicheko tu mwanji anarukaruka kama kakanyaga miba😅
Wakwanza kutoka kenya naomba like zenu
Wakwanza kutoka Mombasa kenya naomba likes zenu
Waganga gani mtuu anakufa ivo bila kusaidiya
Mhhhh mwaji umenifurahisha 😂😂😂..... Na mhina kwa kweli uhusika wako umeuvaa vizuri sana hongereni kwa kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉❤❤❤
🎉🎉
@@mwanjifilms123 na kukubali sana 😊🔥
Baaadhi ya misiba yetu ya kibongo bongo kuna kina mhina wengi mnooo na wanalia sana😂
😂😂
Fact kabisa hahaahhaa
Hii kwaya (soundtrack) i wish munge punguza kidogo .... kelele
Kamanda hafi wew
Tanu kazi njema mungu awazishie kila la heri broo
Ila muhima mungu anakuona kw kwel sio kw unafki huo
KAZI zuri
Safi🔥🔥🇹🇿
Muhina mnafik jaman
KAKA MUHINa nakukubaki kichizi uhusika umeutendea haki mnooo sana
Uyu muhm mnfkii sanaaa simpendi,
Muhina umetisha Sana bro much respect 😂
Safisana Mr tanu movie mzuri
Nimependa kazi
Nzur Muhina
Analeta riadha ya muviiii😂
Fact an
😂😂😂kabisa yn
Jamani me mwanji kanichekesha Sana 😂😂😂😂😂
Kazi nzuri hii ,team ya snake boy mmeonyesha mfano tz
Ila Muhina 😂😂 atarii na nusu asee big up bro❤️🔥.
Kali sana ❤
Asante chaupele🎉🎉🎉🎉
Sasa awa waganga Gani jaman wanashindwa kuwajua watu watu wa baya
Tanu love youuu so much😘😘😘,yan unaleta kazi mapema had raha Yan ww ni geniuos
Mhina kazi iendeleew 😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤
Asante sana kwa Muendelezo
Waoo nzur hiyo
Sasa waanga watatu mnashindwa kumuoopoa mwezenu duh
Muina kwakweli www ni nyoka mubanya sana Yann unataka kumaliza kila mutu ila jua to ujanja huvika mwizo 😂😂😂😂😂
Duh roho mbaya haimuwek MTU pema 🎉🎉🎉
❤❤❤ muhina
Atari xna 🇨🇦🇨🇦🇨🇦
Nyie sio waganga ni wasela tu wa mitani waganga gny hamujui mbaya nan wala hamuangli kwa ramli
Kabisa hamna waganga apa wahuni tu😂 hawajui chochote sasa uganga Gani huo
@@BarakaMwegoha😂😂😂
Safi Sana ❤
Amani iwe juu yenu . Mwanji apo kwenye uwoga au kujishtukia umeuwa sana yani kama kweli vile
Hii movie waigizaji wote. Ni noma wanabalaa zito kasoro yule kidari tu Ndo hana maajabu ile karata wangenipa tu Mimi ningemaliza kazi kwanza kidari gani watoto hata hawakomi apo mtaani ingekua ni kesi kila siku Leo nmepita na zaina kesho lusi keshokutwa rehema yaani watoto Wa kike wangefrahi Kidari bana badirika hujachangamka kabisa humu bana.
Jamani wapenzi nawapenda bure ❤❤❤❤
Ivi mwisho wa maina ni lini.mana tusipokuwa makini naye atasisi watazamaji ata tutaingia kwenye 18 zake akatumalizaa😂😂
Tena 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂dadek ashindweee
@@KhadijaMwinjuma 😂😂😂😂😂😂😂😂
Kabisa yaani tusipokua naye nakin na sisi Shwaaah tunapotea
Tanu Good job you are now top most followed 👏
Daaaah nimefrah sana kuona mmetuwekea hii kitu
Muinaa.. unajua bro
Waaah Tanu jamani ametupwa ivi tena ndani ya gunia😢😮 ila muina dawa yako yachemka
Yani sozy mmbaya na sehemu alopangwa ndio kazidi kuwa mmbaya
niatari tupo pamoja paka mwisho
mwina kitakachomuua ni hawa wanawake aliowagonganisha
Sambona tanu haokolewi jamanii😂😂😂hadi atakufa kwelii
Aaaah muhina we ni shetani jitu la motoni😢
Nice work 😂😂😂❤❤❤🎉🎉🎉😂😂😂
Kazi nzuri much love from south Africa ❤
Halima oyaa movie inaendelea sambamba
Nilikua nasubiri nikuone tu N.N 😅
mhina wewe nyoko sanaaaaaa daaaaaah
✊
😢😢😢😢 tanu kwisha bt mwanji mtalipitia
Wa pili nipeni like❤❤❤❤❤
Hii staili ya mwanji😂😂😂mbavu znaniuma kwa kucheka
❤❤
@@mwanjifilms123 kaka unajua sana huna baya
Mwina kayakanyaga mwenyewe😂😂😂 bila kupenda😊😊
Move tamu sana hii.
W Tano jmn napenda sana kazi yko kaka tanu ktka Kenya 🎉🎉🎉
Huyo Suzy nae anasura mbaya na roho mbaya pia
much love tanu and team
Top 100 Leo wap like zangu
SABABU YA KUANGUKA KWA UTAWALA WA MHINA ITAKUWA MWANAMKE.
Muhina ❤❤❤ wewe ni mwanaume 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
team tanu tuko pamoja kazi nzury brother Tanu🎉🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂😂😂ila bwana halima kweli 😂😂😂😂😂utaolewa lini et ,ww klasku uko single kuwaza uganga tu 😂😂😂😂
Muhina unajua hadi unajua tena nakuona mbali brooo
Kazi nzuri sn big up
Respect team nzima ya Tanu 🎉🎉
Mungu awe nanyi 🙏
Muhina roho mbaya kweli
Ila muina sipendi jaman
ila muhina kiboko
Mikwakweli muhiba simpendii kabisa ananiuzii ila ndio movie