Tukimaliza kuangalia hii movies tusali sana na kuombea taifa na wagonjwa wote kwasababu kuna watu hata muda huu wa kuangalia movies wakes hi dwa kuupata kwa maumivu ya majonjwa, wengine hata furaha wamekosa 😭😭ni vizuri kila itwayo leo tukumbuke kusali kama tunavyokumbuka kuomba like..
UJUE TUACHE MASIHARA HUYU SIBOMANA KACHEZA SANA HUMU KUANZIA MAVAZI MISUKO YA NYWELE KAMA BINT WA KIJIJINI MM NAMPA HONGERA ZAKE KAFANYA KAZI NZURI SANAAAA
Japo umechelewesha Ahsante kwakuongeza dakika Mungu akufanyie wepec kweny kazi zako ili uzid kutupa burudani ❤❤
Aliyeielewa, Ngoooja!! Ya mwanji gonga like hapa
Sauda kurithishwa mikoba kuanguka izo nidalili za tanu ajafariki kama unamini kama mm tanu ajafa gonga like
Aloo
Kama kunamtu anaamini kama mm kua tanu hajafa gonga like tujuane 😢😢😢😢
Kabisa
Ila mmi sina imani😢 kama tanu apo hayi🥲🥲
Nkweli tanu ajafa@@23Maryamu
@@23Maryamu angekua amekufa mkoba usingemkataa dada ake
Actor never die😅,,, remember that 😊
Mimi wa mwisho sitaki like
Ila iki kipande cha moto sana. Kazi nzuri sana
Jamn leo namm nimewah japo sio saw tafadhar nipeni hat 10 tu
*Kipara* is simply my favorite character!😂 🇰🇪
Kazi nzr wapendwa🎉🎉mungu awajalie afya mtupe laha
SIBOMANA MAPENZI YAMEKUWA SHIKAMOO😂😂😂😂😂POLE DAD,,HALIMA NAKUPENDA BURE❤❤❤❤
Kazi nzuri naomba mungu isiishe leo
Muhina kaibeba muvi mzima kusema ukweli
Masha Allah Asante jaman msitu weke sana ❤😢
Tukimaliza kuangalia hii movies tusali sana na kuombea taifa na wagonjwa wote kwasababu kuna watu hata muda huu wa kuangalia movies wakes hi dwa kuupata kwa maumivu ya majonjwa, wengine hata furaha wamekosa 😭😭ni vizuri kila itwayo leo tukumbuke kusali kama tunavyokumbuka kuomba like..
Gonga like Kwa wale Tunao kubali song!. La funga funga tuondoke Mchaw!. Hana hurumA
Alima asife naomba afe sibomana tafathali Mimi kutoka Moçambique cabo delegado mueda bairro rovuma 2 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Hahahahaa kipara kweny sector ya umbea😀😀😀😀 na michambooo
Kinachoonekana ni kuwa TANU ajafa ndo maana dada yake ameshindwa kupokea mkoba kwa nguvu ya mizimu...
Hiii move tamu sana ase
Pole sana saida ila unyam sana❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Asante
Kutoka Kenya jmn nmechelew bt nmefikaa pongezi kaka tanu kwa kazi nzur❤❤❤❤❤🎉
Jamani Sauda leo umependeza sana na vazi la baibui😊😊
Asante
#Tanu mmi wa kwanza kutazama all the way from country 🇰🇪🙋💞💞💞
Jamani kidari wame muvimbisha mapuu. Wa😮😮😮 namuonea huruma
Nc move
Inamaana tanu hajafa ndio mana mkoba unegoma
Jamani uyu Halima nampenda saaaana
Wale wa kuomba likes siwapi ng'ooooo....en i don't want peace,i want problems😅😅😅😅ila kwenu Tanu kazi nzur tena sana❤❤
Nimekubali kazii
Tanu gonga hapa tokea Congo 🇨🇩🇨🇩🥰🥰🥰
Yes tano hajafa I believe
Nani mwengine ameamini ukifumaniwa usiwai kubali hata chembe😂😂 ...Kama unaamini Muhina Kacheza na Code Vyema Gonga like.
😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂
Mbwelaaa umeongeaa point sanaa wagangaa wapo tyuu jmn kweli😢
Hongera Sana timu tanu kwa kuongeza dakika, kongole kwenu mungu awabariki
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Watu wenye roho mbaya uwa wanafiki sana😅😅yan muhima ana machoz ya karibu na ndo adui mkubwa mbwa huyu🙌
Nimeumia Sana Kumpoteza Chaupele
😂😂😂😂
Oooh oooh oooh!!hatimae siku imewadia.shukrani sana kaka na timu yako
Nilikuwa niki yisuri sana nanime kuwa wa kwanza Leo kutoka Congo nipeni like zangu asheni ushoyo🇨🇩🇨🇩🎉🎉🎉
Duh kali sana
Nmependa sibo kulia😂😂😂😂😂😂alijifanya malkia wa umbea, kumbe poa analia😊
😂😂😂😂
😂😂😂
UJUE TUACHE MASIHARA HUYU SIBOMANA KACHEZA SANA HUMU KUANZIA MAVAZI MISUKO YA NYWELE KAMA BINT WA KIJIJINI MM NAMPA HONGERA ZAKE KAFANYA KAZI NZURI SANAAAA
Wakwanza from Burundi 🇧🇮
😂😂😂😂😂😂Sibomana amebarikiwa kuliko wanakijiji wote 😂😂😂😂😂
Mashallah
Mashallah❤
Tanu hajafa kwa sababu yeye ndo star💪💪
Haja janami mambo ni moto huku 😂😂😂😂😂 wana group mpo 😂😂😂😂
Kazi kubwa hii❤🎉
Wewe tanu aisee kwanza nikupongeze pia uschelewe kuleta 28 Kaka ❤❤❤❤😂😂🎉
Kazi nzuri nawapenda from,🇰🇪Ni wa kwanza laini hata sitaki likes
Musitucheleweshe San BC ndugu zetu tunapenda kz zenu san
Wakwanza Leo toka msumbiji naombeni laiki.
Muhina we muhindi mbn machozi Yako Yako karibu sana iyo
Nimezaliwa India na kulelewa Tanzania
Machozi yake ya kinafik tu huyu😊
@@afrankmhinafilms mmmmhhh!!!! Iyo Kali haya bwana
Tanu uwe unawaisha mzigo uu bana
Leo wapil hapa kaz nzur san kaka tanu
Kipara❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉😂😂😂Hun baya
Woooooooooow gud job but mnachelewesha sana jamniiiiiiii❤❤❤
Mm najuwa tano ajafa kabisa yani
Tanu namkubali mshauri wa chief
Nzuriiii
Mhina nakukubali sanaaa 😂😂😂wanyooshee
aaaah ngoja ngoja.......
Mchezo unazidi kunoga usitucheleweshee kaka tanu jamani❤
Wa mwisho jameni nipe likes zangu
Mhina safi sana unajua kucheza karata vizuri ha ha haaa
Asante Sana ndugu
Mwenyew naon Bora tabu awe amekufa kabisa maan hat hivo han msaada wowote Kwa wanakijiji afe tuu
Gooooood❤❤
Filam ninzur sana ilah mganga mwaka tobe mme mticha sana
Mbona munachelewesha sana siku izi🎉🎉🎉❤❤❤
Muina we nimunafki sana kwaiyo utauwa mpkaka wapi utajikuta umebaki pekeyako😢
Bora nibaki pekeangu ila adui Hana nafasi kwangu
@@afrankmhinafilms na wewe ndie adui mkubwa😊
All the way from 🇰🇪🇰🇪
Yaani sibomana akilia utazani anacheka😂😂😂😂😂😂Sibo wewe😅
Kipara baada ya kugundua mwamba Hana kitu, basi ye ana million 50 😂😂😂
Best one 🔥🔥🔥
Mimi wakaribu na mwisho nipeni like na mimi
Safari hii mmechelewesha saana
🎉🎉🎉🎉🎉 tanu oyee🎉🎉🎉
Kazi nzuri
Nibra nakupenda❤❤
NNAHAM NIONE KILICHO MKUTA MRITHI MPYA WA MKOBA!!!! YANI AKWATAAAAAAAAAAAAA!
This is good
Sibomanaa pole😂😂😂kimekuramb
Mkoba unamataka tu tanu nasio mtu yeyote yule hamn anaewez kuurith
Muuaji anamachoz mengiii dadek😀😀😀😀
Chaliii mrithi wa mikobaaaaaa
Muhina utauwa wenzako Hadi lini Yani umekuwa hatari mpaka shetani anakuogopa😭😭😭😭😭🇰🇪
Ukiwa adui tu nakupoteza
Nimependa ❤❤❤🎉
Mwamba tanu tunae na tunatamba nae muina jiandae kwa mara nyengine 😂😂😂
Ila mmechelewesha sana
Mnachelewesha sana jamani duh😢
Hv kwnn. Halima anajifunka iyo kaniki mikononi mda wote
Nikama Script inataka ivo,ina maana kwao waganga
Kazi nzuri🔥🙏🇹🇿
Asante kwa mwendelezo
Captain muina🎉🎉🎉
Wakwanza leo naombeni like zenu
Nice
Oyaaa wew mchz katekwa 😂😂😂😂😂😂😂😂
Mganga atakae mtibia na kumuumbua muhina ni mwakatobe tu,,,msiseme sijawaambia😂😂😂
Hakuna mganga wa kunimaliza
😂😂😂😂😂dah@@afrankmhinafilms
@@afrankmhinafilms😂😂
Siku yako yaja
😂😂😂
@@afrankmhinafilmsmuhina una roho mbaya
Mmmmmm muhina kiboko
Mpaka kieleweke
Kipara no one knows tomorrow 😅😅😅
Ebu njoo unifundishe Kiingereza
Wakwanza hapa na mwache uduazi eti mimi wa kwanza 😂
wewe huyo tena
Alafu nyinyi mnawezaje kumkabizi mtu mkoba usiyo wake.......ngoja niende nikamfufue Tanu mtakoma🏃🏼♀🏃🏼♀🏃🏼♀
ha ha ha Rudi tu tanu hayupo
@@sporamashanga4019 Najiaminia💪
Kaliwa na mamba😮
Yan ikitoka snake boy inafata mkoba wa mama ❤❤❤❤
😢maskini alima anamjuwa mdogo yake ubaya wake amekawiya allima weye niodali ❤🇧🇮